Diamond your song has brought the world together. Seeing all the people in outfits of masai, ball room, martial arts, suits, belly dancers etc are all dancing the sane beat. Wow. What a world we live in
Diamond platnumz ni baba wa Afrika kuanzia kwenye music adi subscribers yeye niwakwanza tu naivi anakwenda kua diamond platnumz to the world 🌐🇹🇿 nipen like
Nawapongeza wote wanaomsimamia Diamond Platnumz , producer S2kiz, Director,ndugu jamaa na marafiki wa Diamond, Mashabiki. Kwa ujumla pongezi kubwa ziende kwako mwenyewe Diamondi Platnumz kwa kazi nzuri sana Mungu akupe afya njema akulinde uzidi kufanikiwa katika kazi zako.
Nah this shit is fireeee as a Tanzanian American, its been a while since I've listened to Afro beats. This hit is giving me every reason to start loving Afro beats again.
bado kaka ingawa anajitahidi sana Lakini huwezi kufikisha mziki kimataifa kwa kupeleka sound za watu Kama hapo amapiano sio mziki wetu lakini nyimbo imeenda Tunazidi kuwapa Wenzetu Airtime
Diamond Platinumz kawazidi wasanii wa afrika kwa ubunifu na ujasiri alionao kwenye muziki wake ndio maana anatisha hivi KINYAMWEZI....huyu mwamba,anafikiria sana muziki kina kirefu lion forever my idol...RAIS waingize kwenye mfumo waache tu kutubeza banae🦁🦁🦁🤞🤞🤞🇰🇪🇰🇪🇰🇪...mie mwananchi wa kenya ILA kimuziki mie mtanzania🎉
How many likes for #Komasava ?
Comment Your Flag 🇹🇿🇺🇸🇿🇦 & Let's Celebrate By 👇
dplatnumz.lnk.to/komasavaremix
❤❤❤
Tanzania 🇹🇿
Tanzania 🇹🇿
u never disapoint Mondi
Si beat tu ata video kama izi hazipigwagwi
@@dplatnumz DRC 🇨🇩
Wakenya halloo,piteni na likes za kenya 😮
wee poze nakujua
wacha udaku
Lazima from somali kenyan girl proud to be kenyan🇰🇪
@@allan4528 😂😂😂weee
ua-cam.com/video/_9bcQg0pjEk/v-deo.htmlfeature=shared
we diamond chukua mauwa yako... nouma sanaaaa hili goma... nipen izo like zangu bhc
Kula chuma hicho, nginja nginja 🎉🎉🎉🎉🎉 wapi like za simba
Diamond your song has brought the world together. Seeing all the people in outfits of masai, ball room, martial arts, suits, belly dancers etc are all dancing the sane beat. Wow. What a world we live in
Ni Tanzania, Africa na dunia kiujumla inafurahishwa kwa uwepo wa Diamond Platnumz. Mungu amjalie kuishi miaka mingi kipenzi cha watanzania.
❤
Amin❤
Naombeni like jaman na mimi sijawahi kupata maishani mwangu kina Komasava
si tu tombes sur ce commentaire , que Dieu t'accordes un beau destin, plein de réussite dans tout ce que tu entreprends
Merci bcp
Que Dieu vous protège ❤
Comment ça va @cesar🖐️😝
Igualmente para vos! 🫂 Bendiciones 🙏🏻
Amen and I wish the same❤
Thank u so much and May God protect u too and May u also be successful ❤❤❤
Mimi ni mkenya 🇰🇪 napenda muziki wa Simba mtoto wa elfu mbili Kama Willy poul akileta ujinga apigwe Kofi Simba siku zote🙏🙏
Type na English tukubali wewe ni mkenya😂
Hii nyimbo najikuta naisikiliza tena na tena huku youtube.
Diamond umetuweza
❤❤❤kapambna walahi iko poa sana
Mimi sijuwi nisemaaj ila jama
Sijuwi nimpee cheo ngani ila ila ila amenikosha
Mzee umeitedea haki hii song na Mungu akutangulie kabisa 🙌🙌🙌🙌👏
Uyu mwamba kashindikana Afrika,, acha tumpeleke Grammy sasa, comment ça va to the world
Wa kwanza kutokea🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪naomba like kama umekubali hii ngoma🎉🎉😂😂❤❤
Wakwanza mimi kutoka CANADA 🎉🎉🎉 mipeni like zangu
Sijawahi kupata like jamani Jason Derulo kaupiga mwingi sana.
njoo geto nikupe like ukashushie na juice
@@ninja_fedhul2383 akitoka geto aje na huku nimaptie cmment ashushie na maji
@@ninja_fedhul2383 🤣🤣🤣🤣Nimeipenda hiyo chukua ✊
@@ninja_fedhul2383 uzuri nimepata like 482
Withdraw izo likes basi zishafika 1k
Wa kwanza kutokea Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 naomba like ❤❤❤zangu
🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩👏🏽👏🏽👏🏽
Sawa tunakupa like lakini mmemficha mchezaj wa simba Kibu Denis tumepata taarifa et yupo uko congo kishansa😅
@@Johnsonnsteven-zs1pg5cx9kiko uku As vita club amesajiliwa
@@Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k😂😂😂
Tunamtaka kibu wetu aisee😂😂😂😂😂😂
Love this song most definitely its a hit for Africa listening from 🇿🇦 love it❤ it represents all of us 🌍🌎🌏 global
Tanzania 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 hits song from my brother simba la masimba like kwanza hapa 😊
Diamond platnumz ni baba wa Afrika kuanzia kwenye music adi subscribers yeye niwakwanza tu naivi anakwenda kua diamond platnumz to the world 🌐🇹🇿 nipen like
Nice song and video diamond platnumz
😂😂😂
Yeye NI wa kwanza kasababu alienda kwa pddy
Baada ya remix tunaka colabo lingin na jason. Kam kweli shabiki wa simba na unangoja kolabo lingin dondosha like kwa wingi mond hazione💪💪💪💪💪
Huyu mondi anajua mpaka anakera ❤
Tanzania tumetisha sana niwaone mkiniunga kwa like nyingi basi💥💥💥
Yoh Up coming apa si mniconfirm Kama Niko poa
Nice 👍👍👍❤️
Nawapongeza wote wanaomsimamia Diamond Platnumz , producer S2kiz, Director,ndugu jamaa na marafiki wa Diamond, Mashabiki. Kwa ujumla pongezi kubwa ziende kwako mwenyewe Diamondi Platnumz kwa kazi nzuri sana Mungu akupe afya njema akulinde uzidi kufanikiwa katika kazi zako.
Jason Derulo is gonna become South African. Welcome home 🇿🇦 🙏🏽
Wa kwanza kutoka USA naomba like
Kama unakubali diamond ndio king wamziki tanzania weka like yako apo twende sawa
Grammy awards tukikosa tunaandamana basi Simba anajua anajua anajua Tena 🎉🎉🎉
Grammy😂😂😂. Mbele ya shwalabam..unaota. iyi biti sio kali kama unavyozani.
@@husseindjumida6568wewe ni punga. Komasava usifananishe na upuzi wa tshwala bam. Hii ni banger
Haters 😢@@husseindjumida6568
@@husseindjumida6568acha roho ya kichawi ko wew ndo Grammy academy? Jinga
Daah 😢 tumekosa grammy kaka
It doesn't matter wether its yoruba,igbo or nguni languages we just want the throne and we gon have it keep moving mond.🎉🎉🎉
Mnauhakika diamond ni binadamu wa kawaida kama sisi kweli 🤣🤣🤣✊. Wenye wivu wajinyonge ila walioelewa gonga like hapa 🎉😅
😂😂😂Sio binadamu kbsaa uyu
🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿Moçambique-Chimoio
Mbona balaa hili nipe like bhasi ngoma kali sio poa
Dope🔥
Ninapenda musika ya Tanzania ❤❤ nipatiye like kwa mimi😢😂❤❤❤❤🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼
you Rwanda boy give me your wathap number
C’est pas grave si tu as pas
Hakuna msani mkali kama diamond🎉🎉🎉🎉🎉
Diamond ni umbwa sana
Mm wa kwanza ktokea Zanzbar naomba like zngu
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Wakwanza kutoka nigeria nipeninlike zang🎉🎉🎉
Vp
Kwani mimi Murundi hamuwezi nipa like, sio poa 🇧🇮
Vp bujumbura uko
Indirimbo ninziz
Komasava murundi
Buja tuko poa xaana, lakini hii Komasava imekalishwa na Ngo amapiano inaitwa Je Vais Bien by SAT B🇧🇮🔥
Ebu yi seach UA-cam nakusubiri hapa unambie
🎉
I love you so much Diamond Platnumz
Alieskiza komasava zaidi ya mara 10 dondosha like apa😂😂😂😂
Huyu jamaa bwana anapeperusha flag ya Tanzania na Africa kwa ujmla... Congratulations bwana Nassibu juma Dangote 🎉🎉🎉🎉
huyu jamaa bwana anapeperusha flag rwanda na africa
Huu wimbo tangu umetok had leo naangalia tuu 🙌🙌🙌🙌
Eu também
Imagine wa tanzania hawana support kwa diamond......kazi wao ni kumponda diamond....from Kenya we real support him
Hamna bana wote tuna msupport, anawakilisha e.africa🇹🇿🇹🇿
Yap Kenya tunasapot sana dangote
Hata vitabu vya Mungu vinasema NABII HAKUBALIKI KWAO kwa hiyo usishangae ndugu hiyo ni kawaida haswa kwa mtu mwenye mafanikio
Weweeee
Shiiii we support him soo much
Mu Rwanda 🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼abakunze iyi collable mumpe like eeh!Jamani ushirikiano huu ni wakwanza barani Afrika,East Africa on the top👏👏👏👏
Zawandika igi Swahili br hio ruga Niya Rwanda peke sio ntuka dukoze isoni😂
Turabakunda cane abavandimwe bacu karibu tanzania
@@EgideMuhawenimana-sf3elkinyarwanda first 🙌🏾yavuze ababanyarwanda gusa
Ndabona mwateye udusongabugari
unataka kusema nini bro? lugha la kiswahili ni lugha yetu katika mashariki ya Afrika na Kinyarwanda deserves its respect coz it is ours
Huu Simba 🦁 ni mkaliii wa Show Yani Nipenii like
Respect kuri Diamond kabisa 🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼
Depuis Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩✌️
Kama unaamini Diamondi Platnumz anatuinua Tanzania gonga like zako kwa nguvu hapa
Kwa sasa nidunia yote angalia vizuri kila aina yote iko haba kwenye iyingoma
Kweli kabisa
Leo nami nipo. Ikiwa mara ya kwanza, naomba likes nyiiingi za team simba Ili nisipotee kwenye Kila hit anayotoa.
Abanya Rwanda twese dukunda Diamond mpe like 🎉🎉🎉🎉
Kbs
Turayiguhaye
twese tulamkunda diamond❤❤❤❤❤
Umusa ko waharaye raa😅😅😅
good song sichoki kuuangalia
Big up Joh...Fanya Muziki Vile Unapenda
Kama unatambua komasava from kenya 🇰🇪 piga like kabla ifike 1million🎉
Mtu alike nione notification nirudi kuiangalia tena 😊
Em fanya kurudi 😊
Nah this shit is fireeee as a Tanzanian American, its been a while since I've listened to Afro beats. This hit is giving me every reason to start loving Afro beats again.
Ikiwa unaaamini kua diamond anaufikisha sehemu mziki wa Africa weka laiki yako hapa 🙌🙌🙌
bado kaka ingawa anajitahidi sana Lakini huwezi kufikisha mziki kimataifa kwa kupeleka sound za watu Kama hapo amapiano sio mziki wetu lakini nyimbo imeenda Tunazidi kuwapa Wenzetu Airtime
@@mattmax773Ushaur Wako?😂😂😂
@@NgaizaKimbeNgaizakimbe akiutoa ushauri niambie 😂
@@NgaizaKimbeNgaizakimbeBongo Fleva ipae😂😂
Hawez kitu
Tanzania tukusanyike hapa Tuonyeshe like....isiwepo nchi ya kutuzidi Tuonyeshe Love Kwa Diamond platnumz
@@BibleTruth-y1h ni kweli jamani😄😄
Fayaaa
Platinum unahatariiii aseee,,,,,gonga like apa kama na wew unavibe na comasava remix
Wow this is a banger bro ...from South Africa ...i am so proud of this master peace ....Africa to the world
Simba wa East Africa 🇷🇼🇨🇩🇰🇪🇹🇿🇺🇬🇧🇮
Wakwanza kutoka rwanda 🇷🇼🇷🇼🇷🇼nipeni like
nimekuwa mwanzo ku view. like kwang
Hii ya watu wazima Haina matusi lakn Ngoma Kali sana
Bila shaka uuh wimbo the diamond ata chukuwa tunzo ya dunia nzima wewe unaonaje towa like kama ni kweli🎉🎉🎉❤❤
Bro lazma atakusanya kila tunzo ata wabane vipi
Tunzo gani ya dunia ya kupewa yeye kwa hii ujinga yake
Tusikilizie aushushe kwanza nyimbo ya comedown ya rema tumpe mda kijana mtanzania mwenzetu anajua kutuheshimisha sana tanzania❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥
@@ISSASHABANI-sw7lxjifunze kiswahili kwanza!! # kumbuka Wivu n ugonjwa wa kike!!
@@nduwimanaamidou4009 iyo ni kweli kaka yani ata wafanyeje iyoh imesha sainiwa
Wa kwanza tukoka Bujumbura nipeni liké 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Nimeikubalisana
Kwn Burundi Kuna watu 😢
Tupo
Hi. Nakuja bunjumbura next week suturday. From Mwanza Tz
Tuko pamoja
Umetishaaaa sanaaaa Baba🙌🏽🙌🏽🙌🏽🔥🔥🔥Asante kwa kupeperusha bendera yetu vyema kabisa🇹🇿🇹🇿🇹🇿.
dernier congolais à avoir aimé Koma sava, le hit a été viral 🎧🥰
mes j'aime alors ✋
Jaman atae nikuta like zang naomba haujuiii 🇹🇿 Komasava
Tupo🇹🇿🇹🇿
🇰🇪🇰🇪🇰🇪Kenya. Wapi likes.
Simba atabaki kuwa Simba🦁🦁
Wa kwanza tokea Jamuhuri ya Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 na msanii wetu @dplatnumz 😅😅😅 naombeni like kwanguuuuu
😂😂😂Nimependa Watu Walivyo like😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Diamondi
Komasava
Anyone in December 2024?❤❤🇧🇯
🎉🎉❤
Here
Wa Malawi muko wapi nipeeni likes zangu tukisonga jamani ❤🇲🇼💯💯🇲🇼
❤❤❤❤
Waoooo. Nimekuwa wakwanza kucoment hapaa❤❤❤ simbaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nyoo
Vp video ya mwamba Wang
Filwaaaaa
Kama unaikubali io kolabo gonga like ukisonga
MAELEKEZO NI RURAAAAAAAAAAAAAA🔥🔥🔥🔥
Wa kwanza na mimi maana kila mtu komassava like nyingi kwa simba na 🇹🇿🇹🇿🇹🇿💖💖
JASON DERULO IS AMAZING, WONDERFUL,A 🌟 STAR AND MAKES HAVE JOY❤❤❤❤❤❤🎉🎉😂🎉😂🎉🎉😂🎉🎉😂🎉😂🎉😂🎉😂🎉😂🎉😂🎉😂🎉😂🎉🎉😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😅😅😅😅❤😅❤😅❤😅❤😅❤😅😅😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Wakwanza kutoka Kenya, nipewe likes pia🇰🇪...
hii ngoma lazima igonge 1B mamaeeeh
MUNGU naomba u2pelek kimataifa rasmi,,,,🤲🤲🤲
Amka kwa ndoto yako😂😂💔
Amka usikojoe kw kitanda
Every thing is possible by God
Is any Rwandans here 🇷🇼🇷🇼🇷🇼 mumpe likes rwose iyi ngoma niba namwe ibakomyee
Tupo mkuu
Ndo hizo tumekupa
🇪🇷 Eritrea approves! Selam neakum - komasava
Wa kwanza kuangalia toka dodoma nipewe likes zangu🎉
Ukiangalia mara ya kwanza unaeza usielewe sasa rudia tena uone hili goma balaaaa
Diamond Platinumz kawazidi wasanii wa afrika kwa ubunifu na ujasiri alionao kwenye muziki wake ndio maana anatisha hivi KINYAMWEZI....huyu mwamba,anafikiria sana muziki kina kirefu lion forever my idol...RAIS waingize kwenye mfumo waache tu kutubeza banae🦁🦁🦁🤞🤞🤞🇰🇪🇰🇪🇰🇪...mie mwananchi wa kenya ILA kimuziki mie mtanzania🎉
Ametisha sana diamond
Diamond platnumz
Me wa mwisho ila nimeangalia mara 7 mpk sasa ❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Wa kwanza kutoka Congo 🇨🇩
Nipeni likes jaman
Wa kwaza kutoka cuba nipeni like zangu
😅
Great Hit Song Diamond Platnumz. 😊♥️
nyimbo ni 🔥💃🥂,,,wa pili please naomben like ..n pia mnipitie hata kama ni watu kumi tuu nitashukuru ndipo twaanza n sisi 😢..
Ni Kali Tena sana jamani😅
Jamani wa kwnza Mimi likes kwa Johnson Derulo na zombie & brother mkubwa diamond platinumz nipo hapa 2024 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
johnson tena
@@Filmart255 haujui
Dunia inaenda kasi kumbe mwamba anaitwa Johnson sio JASON
To drc simbaaaaaaaaa
Johnson ndo Nani tenaaa🙆🏿♂️🙆🏿♂️
Kama umeielewa ngoma na unamkubali mond gonga like apa❤
C'est chaud comment ça va avec Diamond trop fort 🇨🇬🔥🔥🎉
Jamaa ana kipaji😊😂❤...Naiangalia siichoki,2024 ngoma ime hit hatari,mnakubali??❤🎉
Concordo
Nyimbo imezidi kuwa tamu Sana💪🇹🇿🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷📌📌📌📌. Comasava to the world
wanao mkubali Jason Derulo naombeni like ❤
Huyu na Chris brown wakalii
😂
Gerilson
Cmon where’s my West Indians and African ppl at 🇭🇹🇲🇱🇹🇿 drop them flags💙💙❤️
Toka Congo 🇨🇩🇨🇩
Naombeni likes zangu
wakwanza kutoka Germany naomba like zangu 🎉❤❤
From U.S.A nipeni like ❤❤ nakukubali Sana Simba ❤❤
Hadii ukoo comasava ww😅😅😅
@@arafaally3646 yeah
S😂mat🎉
NAMASTE from India 🇮🇳
KOMASAVA 🙏🏾
Watu wa Burundi like hapa tujuane ❤❤❤❤ komasava nyimbo ya dunia ❤❤❤❤
🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉coma sava😂😂
Wa kwanza kutoka Congo naombeni like zenu 🇨🇩 🎉🎉
Kama ww ni mkenya sign hapa🇰🇪👉
@@jucekid2157🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Balaaaa sana
ua-cam.com/video/Br5WPnQjXH0/v-deo.html afro bongo uga dancehall tmix version
😂😂😂
Komasava motoooooooooooo ilah mond we n jini mzee
Jason Derulo kauwa sana kaimba Hadi kisukuma humoooo😂😂🎉🎉🎉🎉
Im proud to be african where are my African brothers and sisters?🎉❤😊
Kama unaamini platinum ndo mwenye Tanzania kimziki gonga likes kwangu
Wa kwanza kutoka Egypt nipeni like nyingi hapa 🔥🔥🔥👏👏👏
Mm msumbawanga wa kwanza nipeni like
Homie