MAAJABU YALIOMO NDANI YA AL QAABA | SIRI 8 USIZOZIJUA
Вставка
- Опубліковано 28 сер 2022
- Follow Us On:
FACEBOOK:
/ aqonlinetv
INSTAGRAM:
aqonlinetv?utm_...
TWITTER:
/ aqonlinetv
WHATSAPP:
chat.whatsapp.com/LTkso2pn287...
TIKTOK:
vm.tiktok.com/ZSJKAVXxK/
TELEGRAM:
t.me/aqonlinetv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 Aq Online Tv. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. - Розваги
Eee Mola wangu mlezi nakuomba nami unijaalie na vizazi vyangu siku moja kabla kufa tuweze kufika katika nyumba yako tukufu tufanye ibada tutekeleze nguzo uislamu amin amin amin ya Rabbi
Ameen
Amiin thumma amiin
Ameen
Allah akbhar alhadhullilah, Allah akbhar alhadhullilah,Allah akbhar alhadhullilah rabbil al ameen
Amiinn
Masha’Allah namuomba Allah (SWT) anifikishe mimi na vizazi vyangu na waumini wa kisilamu ambao hawaja jaaliwa kufika hapo Amin Allahuma Amin Ya Rabil Alaamin 🤲🤲🤲
Aminn
Mashaallahu mumngu ametujaalia vitu vizuri ukiomba kwa alkaaba unafayikiwa lakini wengine hawaridhiki mpaka aende kwa mganga,ndio aridhikee.,hii niukosefu waimani uchamungu Allah anaweza kilakitu mtegemeani yeye.,
Allah anijalie mimi na kizazi changu pilate fursa ya kuingia ndani ya mji mtakatifu kwa ibada na atusamehe tulioyakosea Amin
Allah na sisi Yaraby utufikishe huko tukaone kwa macho yetu Yaraby
InshaAllah utafika
MASHAALLAH!! MASHAALLAH!! MASHAALLAH!! EWE MOLA WEYU UTUFIKISHE NASIS INSHAALLAH!!❤❤❤
InshaALLAH mungu atujaalie wepesi tuwe miongoni mwa kwenda kuzuru alkaaba
Insha allah,mungu atupe kheri na afya njema waislamu wote wapate bahati ya kufika makka kuhiji
AMIN THUMMA AMIN SOTE
Mashaallah Allah atujalie kheri hapa Duniani na kesho akhera
Allahu Akbar mashaallahu mambo mazuri kama haya mnatakanini waja wamungu munamwendea kwaganga Allah ashawapa utukufu huo munamkasirisha nguvu,nautukufu nauweza wa toka kwa Allah.,
MashaaAllah Allah atujaalie tufike huko tuliokua hatujafika inshaa,Allah
MASHAALLAH ♥️ ♥️
Kuna watu hd leo wanajua hilo ni kaburi la mtume Subhannallah Mungu atufanyie wepesi tufike ktk nguzo ya 5 ya uislam
Shukran
Mashaa Allah n jamno lakujivunia kwa Waislaam, Alhamdulillah
ALHAMNDULILLAH ALHAMNDULILLAH ALHAMNDULILLAH YA Allah
Mungu atujalie heri waislamu sote nshallwa tukaone pepo ya mtume mohamadi
Yaa Allah nakuomba kabla ya mauti kwa huruma na rahma zako nisujudu ktk ardhi yako tukufu
Mashaallah mungu atujalie tufike alkba
Mashaallah mwenyezi mungu atujaalie nasi tufike il8 tutubie zambi zetu
Allah akubarik na kutubarik sote kwa uwez wa Allah (s.w)
Na awatagabalie towba zao walio fika huko Aamiin
Ma sha allah
Shukran kwa kutujuza
Tusiyoyajua
Mashallah shukran kwa kutujulisha 🥰🥰🥰
Ya Allah nijaalie niwe miongoni mwa watakaokwenda kuhiji katika katika nyumba yako tukufu iliyoko Makka kwa ikhlas
Aamina
Inshallah tupate ujira kutoka Kwa Allah
Shukran sana kwa kutujuza
Mashaallah Allahu Akbar ❤❤❤🎉
mashaalla shukran kwa kutujuza
DHIKRI FIKRI SHUKRI SUBRI QABRI
Shukran mubarikiwe
Allahu Akbar
Mashaalah
Masha Allah
Mashaallah
Shkran
Mashallah tabarakallah❤❤❤❤
Ma sha Allah
Mashallah
Ndege..haipiti juuyake Wana.anga wote.hutegemea Alkaba.sababu ya.mawasiliano sababu yenyewe imevuka wanapo ishia wao pia inalindwa.na
Mataifa
Yote makubwa.kama.marekani.uingereza ufaransa.ujerumani kama.mungu ailivyosema
Si jambo la kujivunia kulindwa na nchi hizo, kwa Mwenye uelewa nadhani Allah anatosha kuilinda
Mashallah 🥰🥰
Allahu akbar 🥰😘
Mashaallah mungu atupe kheir njema sote waislam na atupe Pepo yake kwa ridhaa yake
Amiin ndungu yngu 🤲🤲🤲 ya Allah tuelkeze kw njuwa a sahihi
Amiin🙏
Allahumma aaamin
Mashaallah mungu atupe kheri njema sote waislam na atupe pepo yake Kwa ridhaa yake amiin
Allahumah aaaamn 🙏
Mashallaah
اللهم آمين آمين آمين يارب العالمين
Amin
Allah akbar 🙏🙏
Alhamdu lillah
Allah akbar
mimi nasema asanteni kwa kutufahamisha tusiyoyajuwa
❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤
Akbar
Subhannallah😂.
Nijaalie nami niweze kufika huko
Subhannallah
Yaraby na sisi utupe uwezo wa kufika huko tukajione kwa macho yetu
Inshaallah
0:02
Alfu lela ulela
Maash Allah mungu atupe uwezo wakwenda hajj pia kuona Kwa macho yote yaliomo huko. Hakika bahati
Shukran sana kwa kutoonesha
Lakini hujatuonesha hilo jiwe lenyewe hilo jiusi
Ndiohapo namimi nauliza
Jiwe liko upande wa nje na alizingitia yaliomo ndani
Majitu.majinga ni mengi sim.wanazo.lakini kufatilia mambo.ya dunia mnashindwa.uliza.watu wanaokwenda.mwezini.nnini.kinawasaidia kushuka duniani.kama.sio .kaaba.mtabisha kila.kitu kwa.upumbavuwenu
Kwa vipi vitu hivi viwe siri, kwani vimevichwa ?
Jiwe kamela imeshindwa kuliona au uongo?
We Sema hadith tu subir had ufe utaamin siku yake
Naomb kuona kaburi LA mtu saw saw saw
mtu swa swa swa ndio nani?😢😢😢
Mtume kazikwa maka situmeonyeshwa alikaba
Kumbe jiwe lili jegwa Wala halikushuswa kama wanavyo dai nduguzetu
Wewe mpuuzi huo utumbo wako unaoongea umezungumzwa wapi hapo? Tambua hiyo nyumba aliyeijenga ni Abraham na mwanawe Ishmael, Abraham ni baba wa imani ktk Bibilia na ktk Qur'an. Wakati wanajenga hiyo nyumba waliyosema hiyo nyumba yake Mungu, hilo jiwe lilikuwepo na yeye ndiye aliyejua kuwa limetoka kwa Mungu Muumba. Sasa yeye Abraham amesema hivyo na hiyo nyumba kajenga yeye nwenyewe, je wewe ni kama nani unayepinga?
Ndugu zako kina nani waliosema? Jiwe lililitumiwa na nabii Ibrahim kujua kua ndipo mahali alipooteshwa na MUNGU linaonekana kwa nje kwenye kipembe cha hiyo alkaaba, yani pale pale alipoliacha nabii Ibrahim, nabii Muhammad alifanya uboreshaji pamoja na maswahaba wake waliliondoa na walipo maliza walilirudisha, kwa sasa limejengewa kwenye kipembe kwa nje ,yani sehemu inaitwa MAKAN IBRAHIM
Good job bro follow back God I love you ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Lkn hizi zote ni hadisi 😂
Kitu unakiona
Hizo nakshi aliweka Ibrahim na mwanaye Ismaili? Nauliza tu.
Uneambiwa ziliwekwa na mfalme wakati wa utawala wake au hukuskia? Kwani ata henzi za mtume huo smikiti ulikua hivyo?
Jiwe jeusi likowapi?
Jiwe aliko ndani liko nje
Watu waongo sana
Wewe mkweli tuambie
NITUMIE NAULI NIENDE NIKASHUHUDIE NIKAONE KAMA NI KWELI UNAYOYASEMA IKIWA NI KWELI NTAKURUDISHIA PESA ZAKO
Unaijua?au.unakufru munngu nikuongezee ndege haipiti juuyake mawasiliano yamevuka mbingu ya7 Kaulize.uwambiwe usidharau tu ni ujinga
Wapumbavu ni wengi wanaamini kabisa wakifa wanaenda peponi tena Pepo ya kiarabu 😂😂😂😅😅🤣😂😂😂 mamaeee Africa siku tukija shtukia michongo ya wazungu na waarabu hata hizo hela za waafrica kwenda kuhiji uko watazikosa
allah akufanyie wepesi utoke kwenye ilo giza
Uarabu si Uislam na Uzungu si Ukristo . Hata yule alisoma historia shule ya msingi atagundua dini ipi iliyokuja Afrika kwa mlengo tofauti wa kidini isipokuwa uwakala kwa ajili ya dhuluma ya wakoloni ambao athari zake mbaya kila mtu anazijua juzi jana na leo hii inavyotukandamiza . Tusijifiche Kwenye kichaka
cha Uzungu na Uarabu tujadili Kwenye dini ipi ? Leo hii Kuna mali zetu kibao zinachukuliwa bure lakini watu fulani wenye chuki na upande fulani ambao kwao kufundisha kuchukia dini fulani ni kawaida lakini utashangaa papo hapo wanawaubiria watu wao
upendo eti! Pia watakuelezanchi zao za Afrika zinauzwa na viongozi lakini nyoyo za haziumii pindi taasisi zao za Imani zinavyopata manufaa ya kiuchumi bila huruma dhidi ya nchi zao na kwao ni sawa tu hakuna kelele hakuna matata. Haya ni MATOKEO ya mlengo uliowaleta na kupata makuruta
walioenea Kwenye serikali zetu ambao hakuna kuhoja baba mkuu kila anachochukua .....
Mapovu yatawatoka Wengi,,, naww si utaenda Mbinguni kwani shida iko wap??
Pilipili iko shamba inakuwashia nini? Hizo zako pesa nendea mbinguni kwa wazungu, hujajua kua mpumbavu utakua wewe siku hiyo?
Kweli wewe ni Kenge,,, Hizo pesa zako Kanunuwe Madanguro
Hayo si maajabu ukiwa na pesa unaweza kujenga nyumba kwa mawe ya dhahabu.
Hiyo Kaaba si chochote bali ni mabaki ya upagani wa waarabu wa kabla ya uislamu ambao unafuatiliwa hadi leo
Weweusrseme
Usiyoyajuwa
Wewekafirituuuu
Ndugu fanya utubie...
Ilijegwa na nabii Ibrahim ,huyo kwako ni mpagani? Sio lazima uchangie usiyoyajua, hau unaona ufahari kwakua wewe ni mpagani basi unadhani utaambatanisha ibada muhimu na huo upagani wako?
Waarabu Bana wanajuwa kutafuta pesa eti nyumba tukufu eti ilijegwa n'a adamu vichekesho kabisa
Ni wazi hujaskiza yaliyosemwa Kwa video hii Wala hujasoma. Ignorance is the main reason why people fail in life. Religion came to us from middle east and those are the people God chose whether you agree or not
Ww acha kuchomeka maneno yako kama hujui kaa kimya🤫🤫
Mtangazaji ni professional Lugha ya Kiswahili uko sawa.
Wewe hata hujuwi nini maana ya nyumba tukufu unadhani Mapinduzi na Mikutano yenu tu ni mitukufu hapo mnakosea. Na kama unasema WaArabu wanajuwa kutafuta pesa basi na nyinyi fanyeni juhudi wa Africa/Tanzania muitafute hiyo pesa kama rahisi. Usi comments mambo usiyo yajuwa mengine yanakuwa hayakuhusu wewe. Vichekesko kama wewe unavyo chekesha…..
Weni mwehu kabsa soma uislam syo utukan
Inshallah Allah atufanyie wepesi Kwa uwezo wake.
MASHAALLAH❤❤❤❤
Mashaallah Allah atujalie kheri hapa Duniani na kesho akhera
Shukran
Masha Allah
Mashaallah
Mashallah
Mashaalah
Allah akbar
Allah akbar