NDARO NA TX DULLA WAMKATAA CLAM KUMILIKI BILIONI, SISI TUNA MILIONIZA KUWAMBIA MTU TOKA HAPA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 вер 2024
  • Facebook: / earadio
    Twitter: / earadiofm
    Subscribes: / @eastafricaradio

КОМЕНТАРІ • 36

  • @zebedemirambi3067
    @zebedemirambi3067 9 місяців тому +1

    Amejibu= amejaibu😂 this one can be a good singer jinsi alivyo anza kuimba he is the best nimuombe aingiye kwenye music ataimba vizurisana naatabariki Watu Sana katika jina la Yesu Kristo ❤❤️♥️🇨🇩

  • @bashiruhassani1017
    @bashiruhassani1017 10 місяців тому +4

    Mm namkubar sana mtumish

  • @SophlaJackson-nt1nc
    @SophlaJackson-nt1nc 10 місяців тому +2

    Safii ndalo uko vizuri maelezo yako

  • @emasonnziliye8635
    @emasonnziliye8635 10 місяців тому +6

    Ndaro muha huy anajua kujieleza🥳🥳

  • @muvyatijuniormj3399
    @muvyatijuniormj3399 10 місяців тому +1

    TX Dullah amempa irene ushauri wa uhakika na kiunyamaaa,inabidi msichana apewe kazi

  • @MwanadiaSaid
    @MwanadiaSaid 3 місяці тому

    Ndaro apo umewabeba sanA wenzako awajui kujieleza

  • @herifilms
    @herifilms 10 місяців тому +3

    Pamoja sana🔥🔥🔥🔥

  • @BAHATIKIBA-ul6wx
    @BAHATIKIBA-ul6wx 10 місяців тому +1

    Never Dissapoint Ndaro🎉🎉🎉🎉

  • @tomprs255
    @tomprs255 10 місяців тому

    Never disappoint East Africa

  • @SophlaJackson-nt1nc
    @SophlaJackson-nt1nc 10 місяців тому +2

    eti ela frani yaku msumbua mtu we toka hapo yaani bado saana mme jaa njaa tuu posho zamwezi izo kwenye ma UA-cam watu wanajua tafuta pesa mpaka kwenye kifo uenda watu Wasinielewe nini Namanisha

  • @stevenndeda
    @stevenndeda 10 місяців тому +1

    Swala lakubadilisha nyimbo tune mpk melodies makanisa mengine mpk lines hilijambo nilakwelinalinaboa

  • @kimanimuikamba4714
    @kimanimuikamba4714 8 місяців тому

    Hii squad ni hatari.. Alafu uongeze steve mweusi.. Matata sanaa😂

  • @princeemmanuelsanga4099
    @princeemmanuelsanga4099 4 місяці тому

    Sa mbn nikimuangalia dula nacheka sijui nacheka nn

  • @levygasper7438
    @levygasper7438 10 місяців тому

    Dullah hapo ndo umenikosha mwana umetaja Burundi kwr mwakani show umeandaliwa mwanangu

  • @DonMooSTUDIO_Express
    @DonMooSTUDIO_Express 10 місяців тому +10

    Haijapendeza sana, uwezo wa kwenye video zsnu haujaendana na kwenye interview hata kidogo.

    • @grannyboy3606
      @grannyboy3606 10 місяців тому +1

      Interview sio comedy

    • @DonMooSTUDIO_Express
      @DonMooSTUDIO_Express 10 місяців тому

      @@grannyboy3606 hiyo interview yenyewe umeielewa!?. Tuache kutazama mambo kwamtazamo wa kitoto. Unajua maana ya Interview. Uliza swali moja kisha mpe uhuru mtu wa kujielezea na wengine wapewe maelekezo kabla ya kuanza kuwa wasiingiliane katika mahojiano. Mmoja akijibu wengine wanatulia mpaka mwingine aulizwe. Lakini hawa wanaingiliana kama wapomtaani wanapiga stori. Sisi tuliokua enzi za kufatilia vipindi vya habari vya redio tunajua nini lengo na maana ya mahojiano. Sio hizi zenu za kukurupuka kurupuka

    • @JenifaJohn-k5d
      @JenifaJohn-k5d 10 місяців тому

      Acha uchawii

    • @DonMooSTUDIO_Express
      @DonMooSTUDIO_Express 10 місяців тому

      @@JenifaJohn-k5d hakuna mchawi zaidi ya shabiki mbumbumbu anaweza kukutoa ktk mstari mnyoofu. Nikisema mimi mwenye akili timamu inatosha. Wataacha uzembe katika kazi hakuna kitu cha maana walichokifanya hapo. Bora wangeita mtu mmoja tu akahojiwa kwa upana akafunguka. Hii EATV inajifanya ya vijana kumbe ya wahuni wa vijiweni. Kaangalie interview za SnS. Mtu anaulizwa maswali ya akili na anapewa muda wa kujibu kwa akili

    • @adrianorayner6551
      @adrianorayner6551 10 місяців тому

      Huo ni wivu

  • @NasibuMtengu
    @NasibuMtengu 5 місяців тому

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @esterdoriye8377
    @esterdoriye8377 9 місяців тому +1

    Nampendaga chard 😊😊😊😊

  • @kisangatz1035
    @kisangatz1035 10 місяців тому

    Wabongo bwana mukipata shida munatusumbuwa sana kwa vibakuri endereeni muwe munatunza hayo maneno

  • @marhamephrahym275
    @marhamephrahym275 10 місяців тому

    Ila masatu yuko cool sana i feel jealous kwa bby wake😂

  • @evelnjuma1834
    @evelnjuma1834 4 місяці тому

    😂😂😂😂😂 jaman mchungaj 😂😂😂😂

  • @CharlesNdeni-m8b
    @CharlesNdeni-m8b 7 місяців тому

    Tx alivyojikaza na hiyo headphone😂😂😂

  • @michaeltheophile7035
    @michaeltheophile7035 10 місяців тому

    Bubu anaitwa maneno😂😂😂 nakubali

  • @uredipeter412
    @uredipeter412 10 місяців тому

    Duuuhh Dada mrembo pink, nakubali mtumishi

  • @Pierre-de-lubu
    @Pierre-de-lubu 10 місяців тому

    Ni zamu ya T e k c 😂😂😂😂

  • @NuhuMetson-mt1vc
    @NuhuMetson-mt1vc 10 місяців тому

    Nmekubal san wanang

  • @SophlaJackson-nt1nc
    @SophlaJackson-nt1nc 10 місяців тому +1

    eti ela frani yaku msumbua mtu we toka hapo yaani bado saana mme jaa njaa tuu posho zamwezi izo kwenye ma UA-cam watu wanajua tafuta pesa mpaka kwenye kifo uenda watu Wasinielewe nini Namanisha

  • @muvyatijuniormj3399
    @muvyatijuniormj3399 10 місяців тому

    TX Dullah amempa irene ushauri wa uhakika na kiunyamaaa,inabidi msichana apewe kazi

  • @muvyatijuniormj3399
    @muvyatijuniormj3399 10 місяців тому

    TX Dullah amempa irene ushauri wa uhakika na kiunyamaaa,inabidi msichana apewe kazi