Umekiona kifaa cha kunawia mikono cha TX Dulla?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 сер 2024
  • Kifaa cha kunawia sio lazima liwe sinki la pesa nyingi unaweza kuwa ata na kubuyu chirizi, ambacho umekiweka nje ya choo chako. Fanya kweli kwa kuweka kifaa cha kunawia mikono nje ya choo chako usikubali kubaki nyuma.
    FANYA KWELI, USIBAKI NYUMA
    MTU NI AFYA
    #fanyakweli #usibakinyuma #mtuniafya #wizarayaafya #projectclear

КОМЕНТАРІ • 4