Mateso ya Tariq Akiwa Hospitali KCMC Hadi India | Upasuaji Mkubwa Ulivyomtesa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 жов 2024
  • Tariq Kipemba akieleza alivyotibiwa baada ya kumwagiwa tindikali katika hospitali za KCMC na India

КОМЕНТАРІ • 137

  • @elenzianjk5543
    @elenzianjk5543 Рік тому +7

    Dunia imejawa na waovu. Mungu aendelee kukupigania brother Kipemba uvuke katika mtihani huu. Mungu ni Mwema.

  • @vincosmeticsmarvin
    @vincosmeticsmarvin Рік тому +7

    Daaaah guyz kiukweli......ukiwa salama na uko na viungo vyote mshukuru Sana mola😢😢

  • @SwaumuRashidi-dk4yu
    @SwaumuRashidi-dk4yu Рік тому +5

    Ama kwel kabla hujafa hujaumbika..tumshukuru Allah kwa kila hali..pole sana Tariq

  • @moddy8744
    @moddy8744 19 днів тому

    Dah inanisikitisha sana pole bro Mungu Atakulipia na Inshallah utaona tupatie no yako tuchangie

  • @bahatiedward8866
    @bahatiedward8866 Рік тому +2

    Pole sana mungu akuponye ndg kweli macho ni taa ya mwili

  • @rahmarajab3688
    @rahmarajab3688 Рік тому +1

    Simama kwa Mungu,,Yeye ndiye mwenye malipo yako,anayejua dhamira zetu,binadamu na ni haqeemu bora zaid asiyehitaji Shahidi, Pole sana sana!!!Mungu atakuponya,,,😭😭,Mtegemee yeye, kwani yeye ni mwenye nguvu.

  • @sakinamixpambe2602
    @sakinamixpambe2602 Рік тому

    Pole sana Tariq Allah akufanyie wepesi kipenzi

  • @elispiuselias1339
    @elispiuselias1339 Рік тому +1

    blessed are those who did this awesome procedure!

  • @neemasamwel9545
    @neemasamwel9545 Рік тому +1

    Mungu azidi kukuimarisha Tariq tunakuombea waliokufanyia ubaya huu utawarudia maradufu Mungu atawalipa na walaaniwe maisha Yao yooote.

  • @sophiamasawe4309
    @sophiamasawe4309 Рік тому +3

    Uwepo wa Mungu ni mkubwa sana,kaka ashukuriwe Allah

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 Рік тому

    Pole sana tariq allah atazidi kukuponya

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 Рік тому +1

    Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi insha Allah. Amlaani aliyekufanyia huo unyama.

  • @catherineleonard9828
    @catherineleonard9828 Рік тому +5

    Pole sana kaka mungu akufanyie wepes uweze kuona

    • @nadyasalim7956
      @nadyasalim7956 Рік тому

      Amiin

    • @monicaissah5662
      @monicaissah5662 Рік тому

      Duuu!!😭😭😭😭maskini kaka ananisikitisha uyu mwe mungu wangu ,mungu akusaidie kaka

  • @KieneJanga
    @KieneJanga Рік тому

    Mungu ashukuriwe mna uwanaume wko uliokuponza uko nao ❤❤nakupenda bure

  • @waselejr7655
    @waselejr7655 Рік тому +1

    Uzima ni kila kitu namshukul mungu kwa uzima kwan mwenzetu mpk anatafuta kuona kwa 250m na cc tunaona na bado tunamlaumu mungu hatuna hela

  • @LuCyAloyce-ty9mu
    @LuCyAloyce-ty9mu Рік тому

    Upo vizur Sana kak your are so hendsome

  • @vailetyclement7255
    @vailetyclement7255 Рік тому

    Daah!! Tariq umenitoa machozi Kaka mungu akupiganie upone jicho lingine

  • @swahilitherapytv3846
    @swahilitherapytv3846 Рік тому +1

    Pole sana brother, Allah akupe shifaa

  • @kaskas4764
    @kaskas4764 Рік тому +1

    Yani umfanyie mwenzio unyama 😢 Ambao hata mtu akitafuta ni ujinga tu .ati kisa mtu amekutalia mambo yako pole sana kaka wallah imeniuma sana. Mungu akupe subra. Na Inshaallah atakulipia

  • @saumuhamisisaumuhamisikumb9733

    pole sn kk Allah akufanyie wepesi inshaallah

  • @TimaIsmael-n5q
    @TimaIsmael-n5q Місяць тому

    Alhadu lah minal faezina

  • @OmanOman-ky2oo
    @OmanOman-ky2oo Рік тому +1

    Mungu ni mwema Allah akupe Kila laher

  • @zuwenaalamin8985
    @zuwenaalamin8985 Рік тому +2

    Pole sanaaa Ndugu yangu

  • @cycynageragezekwambaraneza1987

    mungu nimwema siku zote

  • @suzanamwangingo2995
    @suzanamwangingo2995 Рік тому +3

    Kijana alikuwa mzuri sana .leo hii binadam mnamfanyia mwezio unyama hivi .kwakweli inauma sana

    • @sazanahussen6715
      @sazanahussen6715 Рік тому +1

      Ndio maana hutakiwi kumwamini rafki hata km mnapendana vp dah huyu mwamba mungu amtunze tu

    • @ameria2332
      @ameria2332 Рік тому

      Yaan Mi Hata Mtu unifanyie nn, Siwezi kumuharibu kiasi namna hii,bora tu umwombee kwa Mungu ndiye atajua cha kumfanya,dah inauma mno zaidi ya.

  • @dottohami
    @dottohami Рік тому +4

    Alhamdulillah mungu ni mwema

  • @stellaerick2735
    @stellaerick2735 Рік тому +2

    Mungu ni mwema

  • @miriamemanuel9854
    @miriamemanuel9854 Рік тому +1

    Pole kak jaman mmmh alaniwe na afee kifo cha mateso sku za mwisho wake

  • @estherminnahboaz6956
    @estherminnahboaz6956 Рік тому +3

    Mungu ni mwema you look handsome bado

  • @pastoraile7195
    @pastoraile7195 Рік тому

    Usijaliii mungu atakujibia jama hewezi pelekwa jela nicheni kubwa yakeee

  • @nasraismail5367
    @nasraismail5367 Рік тому +2

    Allah azid kukufanyia wepes inshallah

  • @rahmbanzi620
    @rahmbanzi620 Рік тому

    Mungu akujalie wepesi Kaka utafanikiwa sana sana

  • @ritapiusnicolaus7068
    @ritapiusnicolaus7068 Рік тому

    Pole sana Tariq umepitia magumu ila Mungu ni mwema tutazidi kukuombea mpk dakika ya mwisho ingekuwa mwenzangu na mie ningeshakufa ml 200 si mchezo

  • @musokedios8162
    @musokedios8162 Рік тому +14

    Tanzania tumefika mbali, tatizo la ushoga nikubwa kuliko tulivyolijua, Mungu atuhurumie na kizazi chetu,

    • @joycekaguo8476
      @joycekaguo8476 Рік тому +1

      Imekujaje umu Sasa

    • @dearmama4336
      @dearmama4336 Рік тому +2

      Mbina sijakuelewa huyu ni shoga au🙄🙄

    • @luisojr3480
      @luisojr3480 Рік тому +1

      @@dearmama4336 Hapana jamaa sio shoga fuatilia stori mwanzo ndo utaelewa

    • @neemasamwel9545
      @neemasamwel9545 Рік тому +2

      Mamtu yamelaaniwa yani huyu aliemfanyia hivi Mungu atashughulika nae malipo nihapahapa duniani

    • @jamesminja3273
      @jamesminja3273 Рік тому

      @@joycekaguo8476 fwatilia story yoteeeeeee

  • @zainabukimolo5827
    @zainabukimolo5827 Рік тому +4

    Wallah inasisimua na kuumiza jmn,dunia imeharibika sana sasa hv usimwamini mtu

  • @saralusinde53
    @saralusinde53 Рік тому

    pole kakangu MUNGU akutunze uwe na afya njema

  • @julianapetery3060
    @julianapetery3060 Рік тому +1

    Duh kaka mshukulu mungu sana kaka🙏🙏

  • @winifridamalunde8484
    @winifridamalunde8484 Рік тому

    Pole sana kaka Mungu Aendelee kukutetea binadam ni wabaya sana😥😥😥

  • @swahilitherapytv3846
    @swahilitherapytv3846 Рік тому +1

    Akupe subra

  • @ombeninasari584
    @ombeninasari584 Рік тому

    Mungu akuponye yeye ndie Muweza wa Mambo yote Amen

  • @aminamikidadi7754
    @aminamikidadi7754 Рік тому

    Pole sn kaka ...huyo shoga amekuingiza kwenye gharama am bazo hukutegemea...

  • @beatricetenywa4367
    @beatricetenywa4367 Рік тому

    Hujafa hujaumbika..Sasa huyo mtu anapata faida gan Huko aliko?pole sana kaka Mungu atashugulika nae🙏

  • @lastkinglastking3326
    @lastkinglastking3326 Рік тому +1

    Haya ndio mazala yakuacha mashoga inchini.yani huyo ibilisi shoga Bada ya kukosa ushirikiano akaona apana huyu kijana acha nimuuwe tu.pole sana kaka yangu Mungu atakuponya

  • @hyacintagugu7
    @hyacintagugu7 Рік тому +1

    Asante Yesu.Dah..Ameona tena jamani

  • @banajuliana758
    @banajuliana758 Рік тому

    Asante Mungu kukuokoa😊

  • @davidmarik4633
    @davidmarik4633 Рік тому +2

    Ukisikiliza Kwa makini story inavyo Anza uyo Rasta naye pia akuwa mtu mzur kutokana na Maneno anachukua uku anapeleka uku daah pole bro ila unaendelea kunifunza Mafariki syo watu wakuwaamini

  • @tatuhussen9588
    @tatuhussen9588 Рік тому +4

    Pole sana binaadamu ni myama kuliko simba akiamua

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 Рік тому +1

    Dah ntihani mkubwa aisee mbona pole sana maana umepitia sehem ambayo Mungu amekupangia kupitia ni jambo la kumshukuru Allah ndy muweza wa yote na mpangaji wa kila jambo

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 Рік тому

    Pole Sana watanzania tuwe Makin uchoko umeingia Tanzanian asilimia kubwa sasa

  • @Anzunuly
    @Anzunuly Рік тому +2

    Inahuzunisha Daah 😢😢😢

  • @magrethmkongwee8512
    @magrethmkongwee8512 Рік тому

    Asante Yesu umeona

  • @cossyjulius9813
    @cossyjulius9813 Рік тому +1

    Kaka pole sana

  • @mwanakomborashid7053
    @mwanakomborashid7053 Рік тому

    Ubaya ni deni linalosubiria kulipwa...,Haijalishi tunakosea kiasi gani hakuna mwenyew haqi ya kumuadhibu mwenziwe kiasi hii tumuachie Allah tu😢😢😢

  • @estherkimario7940
    @estherkimario7940 Рік тому

    Duuuh pole mnooo

  • @perpetuaishika2574
    @perpetuaishika2574 Рік тому

    Mungu akuponye ndugu. Alaaniwe aliyefanya huu uuaji😢

  • @Oboss_billharvester
    @Oboss_billharvester Рік тому

    Mmmh, hua sipendi kuweka comment ila hapa imenibidi, Kwanza kabisa pole sana lakini pia mshukuru mungu kua up Po hai, usisahau kuwashtaki waliokutendea uovu huo Kwa mungu

  • @mussamc641
    @mussamc641 Рік тому +1

    Di 😢😢 milioni 250 .mh kama mm apo ndo nitoleee iyo. Ila mungu akupe zaid na zaid in sha allah

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 Рік тому +1

    Daah aisee we acha tuu 😭😭

  • @rahmbanzi620
    @rahmbanzi620 Рік тому

    Usijali Kaka Wala usiwaze kulipiza kisasi acha mungu apambane nao mwenyewe

  • @greenermichael2057
    @greenermichael2057 Рік тому

    Mungu msaidie huyu kijana

  • @gabrielgeorge2831
    @gabrielgeorge2831 Рік тому

    Dah wazungu konyo aisee mpka tufike huko technolojia dahh

  • @HildaFortunatus-it9ku
    @HildaFortunatus-it9ku Рік тому

    Mungu ni mwem 🤲🤲

  • @magdalenabenedict2089
    @magdalenabenedict2089 Рік тому +1

    Pole sana bruh 😢

  • @hanifahanifa1010
    @hanifahanifa1010 Рік тому +2

    Afu.uyu nimsomi mzur TU jaman

  • @fatmagwimile1354
    @fatmagwimile1354 Рік тому

    Kabla hujafa hujaumbika binadamu wabaya sisi 😭😭

  • @misschagga8042
    @misschagga8042 Рік тому +1

    Pole sana kaka mapito ni makubwa sana hayo.naona mwijaku atakua amejifunza sana hapo kaishiwa pozi😂😂

  • @naimahhussein8430
    @naimahhussein8430 Рік тому

    Daaah😭pole kaka angu

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 Рік тому +1

    Jamani umepata shida 😭😭😭😭😭

  • @mwanakupona
    @mwanakupona Рік тому

    Mnatoa dua nyingi tu haitoshi mumchamgie pesa azidi kutibiwa

  • @faudhahamisi7588
    @faudhahamisi7588 Рік тому

    Pole san kaka

  • @najmasaid7057
    @najmasaid7057 Рік тому

    Allah ndie hakimu wahaki

  • @annajulius9940
    @annajulius9940 Рік тому +2

    T mungu nimwema hata hapo ulipofika Ni yeye utakua sawa 40/60 tunakuombea

  • @fatumajumanne5961
    @fatumajumanne5961 Рік тому +1

    MUNGU akufanyie wepec uweze kujcmamia kupata ridhk mpendwa. MUNGU Sema nao Hao jamaa Aman ya mioyo Yao iwe ya moto. 😢

  • @herirazaro-ho1jg
    @herirazaro-ho1jg Рік тому +2

    🙏🙏🙏

  • @mariamsimion7127
    @mariamsimion7127 Рік тому +5

    Kama umemuona mwijaku gonga like

    • @elenzianjk5543
      @elenzianjk5543 Рік тому +1

      Watu wanazungumza vitu vya msingi vya kuhusmzunisha, wewe unaleta utani.

    • @all-victorious2156
      @all-victorious2156 Рік тому +1

      Toa ushamba wako hapa , jitahidi watu wasijue kwamba huna akili.

    • @catherinemuhagama7338
      @catherinemuhagama7338 Рік тому

      @@elenzianjk5543 yaniiii 😂😂et gonga like ya konyo

    • @elenzianjk5543
      @elenzianjk5543 Рік тому

      @@catherinemuhagama7338 hahah

    • @ameria2332
      @ameria2332 Рік тому

      ​​Au ndo wale ukute na yeye alishiriki maan huu sio utani hata kama akili hamna,kbs huyu ni marehemu wa akili ,kichwani hazitembei saw.

  • @cathykan7572
    @cathykan7572 Рік тому

    Maskini mkaka wa watu! 😢🥹🥹……Mungu ni mkubwa atakuponya mwaya 😌🫶🏾🫶🏾🫶🏾🫶🏾

  • @fakhariyasalum4020
    @fakhariyasalum4020 Рік тому

    Dah inauma sanaaa 😭😭😭😭😭

  • @dianamuhumba
    @dianamuhumba Рік тому

    Pole Babe😔

  • @raveenagasper8491
    @raveenagasper8491 Рік тому

    MUNGU akapigane na mtesi wakoo broo..

  • @doreenkihampa7204
    @doreenkihampa7204 Рік тому

    M/mumgu akufanyie wepesi upone kabisa, pia amini iposiku aliekufanyia hivyo mungu atampa hukumu take!

  • @sweet16honey75
    @sweet16honey75 Рік тому +1

    Hiyo ndio hospital ilimfanya mtoto wa Raila kuona

  • @hanifahanifa1010
    @hanifahanifa1010 Рік тому

    Mwijaku

  • @HamdanWazir
    @HamdanWazir Рік тому +1

    Allah ni mjuzi

  • @risperladee5718
    @risperladee5718 Рік тому

    Eeeishhh huu ni unyama

  • @sadickrajabu8980
    @sadickrajabu8980 Рік тому

    Nawe ungefunga kweli kisasi ni haki

  • @kayuzabarnabas5002
    @kayuzabarnabas5002 Рік тому +1

    Mwijaku yupo kimya sana

  • @officialarafa6511
    @officialarafa6511 Рік тому

    😢😢😢pole sana bro

  • @ObedBizzu-ep2yx
    @ObedBizzu-ep2yx Рік тому

    Pole sn

  • @suzanamwangingo2995
    @suzanamwangingo2995 Рік тому +2

    Huyo kijana aliyefanya hivi kwakweli akamatwe .kwasababu lazima atamfanyia mtu mwingine

  • @muddymuzungu4357
    @muddymuzungu4357 Рік тому +1

    😢😢😢😢😢🙏🙏😭😭😭😭😭😭 Daaaaah

  • @oliverjason4335
    @oliverjason4335 Рік тому

    Mwijaku anachungulia jamani uyu aliyefanya ivi yupo anaangalia unajisikiaje Kaka ety kumpa mwenzio gharama zote izi

  • @Officalnaph
    @Officalnaph Рік тому +1

    Pole sana bro

  • @sweet16honey75
    @sweet16honey75 Рік тому

    Huyu kaka namfatilia toka siku ya tukio huyu si ni yule kaka wa Arusha?

  • @suzanamwangingo2995
    @suzanamwangingo2995 Рік тому

    Selikali ifanye juu chini wamemkamate tu wakimuacha tu atafanyia wengine .tunaomba serikali msilifumbie macho hili

  • @hellendaniel3809
    @hellendaniel3809 Рік тому

    Yaan dunia ina watu waajabu kumharibu mwenza sura na walikuwa wanamuonea wivu HB wawatu.Mungu atawalipa

    • @hanifahanifa1010
      @hanifahanifa1010 Рік тому

      Huyu mwanaume mzur ila sisi wanawake apo watamuona . Mbaya

    • @catherinemuhagama7338
      @catherinemuhagama7338 Рік тому

      Tambua mapenz ni hisia,na kuangalia vgezo sio sura tu,wengne tunapenda saut, body hvyo yaniii Tariq ni handsome bado atapata tu wakumfaa

  • @mohamedshah1700
    @mohamedshah1700 Рік тому

    Mwijaku kaingiwa na woga kakaa kimya si kawaida yake

  • @raveenagasper8491
    @raveenagasper8491 Рік тому

    Nimejikutaaa naliaaa😭😭😭😭😭😭Kakà MUNGU ni mwaminifu, nayukoo upande wakooo...

  • @vittesaadani10
    @vittesaadani10 Рік тому

    Huyo jamaa alitoa hongo ya ushoga ndio maana kaachiwa

  • @oxwad3836
    @oxwad3836 Рік тому +1

    🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️

  • @edwardsolomon169
    @edwardsolomon169 Рік тому

    Hujafa hujaumbika daa