Wafilipi 4:6-7 [6]Msijisumbue kwa neno lo lote; bali katika kila neno kwa kusali na kuomba, pamoja na kushukuru, haja zenu na zijulikane na Mungu. Be careful for nothing; but in every thing by prayer and supplication with thanksgiving let your requests be made known unto God. [7]Na amani ya Mungu, ipitayo akili zote, itawahifadhi mioyo yenu na nia zenu katika Kristo Yesu. And the peace of God, which passeth all understanding, shall keep your hearts and minds through Christ Jesus.
Speech zake ni very powerful and and contains authority man of God.HOPE one day atakua the biggest preacher in the world.Hakika kupitia yeye Mungu amenivusha kwenye eneo ambalo nilikua nimelizoea.
well done mtumishi Tony, mafundisho mazuri. Sema utusomee neno kwa kutumia Biblia maana hizi App za simu muda wowote zinahitaji Update sijui wanapunguza neno au wanaongeza ...
Aaah adamu mchomvu anazingua anacompein kila mda hatulii kusikiliza hadi anamtoa mzungumzaji kwenye mpangilio wa point kwani hua hawezi kutulia tu au awe anatoka wengine waendelee haiwezekani mtu aanaelezea ye anakurupuka huko na kuongea tena visivyo endana nachanganya mambo dah watu tuko makini kuelewa lakini huyu adm anaharibu sjui majina ya adam yana shida gani naona akili zao ni za kushukiwa tu hawawezi kutulia
kuna time mchomvu anakera sana tena anaharibu si vyema kumkatisha mtu akiwa anaongea yan kila interview anafanya hii mbona wakina mamy na kennedy wanatulia mpaka mtu amalize then maswali yanafuata lakin adam kila sekundi kasharukia ebu hii kitu arekebishe maana inakua too much
Huu nimsiba Eti Mungu hafanyi kazi peke yake haya tueleze anasaidiwa na wewe au tufundishe Mwalimu,,, nijuavo Mimi Mungu hanamshirika hapo VP acheni kuropoka ili mpate coment
Wafilipi 4:6-7
[6]Msijisumbue kwa neno lo lote; bali katika kila neno kwa kusali na kuomba, pamoja na kushukuru, haja zenu na zijulikane na Mungu.
Be careful for nothing; but in every thing by prayer and supplication with thanksgiving let your requests be made known unto God.
[7]Na amani ya Mungu, ipitayo akili zote, itawahifadhi mioyo yenu na nia zenu katika Kristo Yesu.
And the peace of God, which passeth all understanding, shall keep your hearts and minds through Christ Jesus.
Speech zake ni very powerful and and contains authority man of God.HOPE one day atakua the biggest preacher in the world.Hakika kupitia yeye Mungu amenivusha kwenye eneo ambalo nilikua nimelizoea.
I love listening to pastor tony
Asante pastor tony napokeaq mbegu yangu bora iliyopandwa ndani yani yanu iman chanzo chake kuskiaa
Mwanaume wa wanaume Yesu anainua
Nakupenda pastor Tony kapola❤
Barikiwa sana pastor tony kapola
Ahsante Pastor ninajifunza vingi kupitia wewe all in God bless you
Thanks Tony, kila nikifuatilia mafundisho yako napata kitu kwenye maisha yangu na familia yangu
What an interview... asanteni sana
well done mtumishi Tony, mafundisho mazuri.
Sema utusomee neno kwa kutumia Biblia maana hizi App za simu muda wowote zinahitaji Update sijui wanapunguza neno au wanaongeza ...
Preach Preach Preach Man of God,your in the right place sir.
Bigap kwa pastor Ton kapola🙏🙏🙏❣️❣️❣️❣️❣️
Asante sana mtumishi watu umewajibu vizuri sana Mungu akubariki
Hongr pastar Mungu ataotesha mbegu ambazo umepanda no matter what Hakika Mungu anakusikia
The Best Interview ever! He GOATED IT!!
Unanipa radha ya neno la Mungu paster ubalikiwe
Mungu si tegemezi ujue pia
Hii ni Bonge la interview, nimependa @xxl mlivyokuwa creative. Ur the best media with bright presenters.
Wooou
Adam bhn anaharibu interview aambiwe anaboa
God bless u pastor tony kapola nakuelewa sana
Jamani kodi nyingi sana nchi hii, zinakatisha tamaa
God bless you ...
Nimebarikiwa na Mafundisho japo muda mchache Barikiwa mtu wa Mungu
Namkubali sana huyu Pr
This was very powerful let man of God blessed
Eee MUNGU anisaidie namimi
Sisi ndo wale tunaosaidiwa na mungu
Mungu akutunze sana baba mchungaji aisee unajua kufundisha neno la mungu
Bangi anazovuta Adam ukijaribu unawezq kuvua nguo ukahc bd umevaa 🤣 ila huyu pastor ni next level 💥
Be blessed pastor Tony
Thanks
Pastor ana sauti kama Barnaba fulani
Asanteni
Amen mchungani Kapola
Good sana wanangu
So sweet
Adam plzzzz iga mfano wa milad akihoji watu kahhh
Dah pastor katulisha madini ya maana sana
Adam unauliza maswali mazuri Mungu akubariki
Well done Tony
Daah. Adamu chizi kweli eti Kumoka
Huyu pastor kapola ni balaa, kiukweli sijawahi ona
Anadanganya
Mungu ni Mungu
A nafanya kazi pekeyake na
Au na watu
XXL good 👍 pastor yuko goooooood
Bonge la kipindi na hongera kwenu.....next time Tena japo hjamliza kiu yetu leo
Nmba ya pastar please
Adam bangi mbaya saana na anakaribia kuzimaa haisee
Emeeen
Uyu kak ana maswali ya ajabu😅😅😅
Ameen kiongozi
Please Adam, let the Pastor explain him self.
Aaah adamu mchomvu anazingua anacompein kila mda hatulii kusikiliza hadi anamtoa mzungumzaji kwenye mpangilio wa point kwani hua hawezi kutulia tu au awe anatoka wengine waendelee haiwezekani mtu aanaelezea ye anakurupuka huko na kuongea tena visivyo endana nachanganya mambo dah watu tuko makini kuelewa lakini huyu adm anaharibu sjui majina ya adam yana shida gani naona akili zao ni za kushukiwa tu hawawezi kutulia
Yaniii anakera
Akuwe najikaza muache mtu amalize maneno kwenye kuongea
Nitakuwepo tena hichi kipindi
kuna time mchomvu anakera sana tena anaharibu si vyema kumkatisha mtu akiwa anaongea yan kila interview anafanya hii mbona wakina mamy na kennedy wanatulia mpaka mtu amalize then maswali yanafuata lakin adam kila sekundi kasharukia ebu hii kitu arekebishe maana inakua too much
Kwakweli kher umeongea🎉🎉
hat mm napenda Sana uyu mchungaji
Master maind
Good 👍
Kanisa lako lipo wapi mchngaji
Good
Hakuna nchi isio na uhalifu mtu wa mungu 😅😅
Ahaaaa mmetukatisha
You blessed mi
🙌🙌🙌🔥🔥
Amen
God enjoy to be in the middle of Men🙌🙌🙌🙌🙌
Jumatano akija muulize kwanini Yesu amezaliwa tarehe ya mfanano na miungu wengi
Tarehe ipi
Aje Tena tunahitaji madini siku nyingne
Mwanadamu ameumbiwa roho chaguzi Kisha akaonyeshwa kutambua mema na mabaya na mwisho wake akaambiwa
Huu nimsiba Eti Mungu hafanyi kazi peke yake haya tueleze anasaidiwa na wewe au tufundishe Mwalimu,,, nijuavo Mimi Mungu hanamshirika hapo VP acheni kuropoka ili mpate coment
Ww nawe hujaelewa ww ndo uache kulopoka hpo vyote anavyoongea vipo kweny biblia kwahy kasome biblia ndo uje kukoment
2023 ukwendeee zakee
Betrayal is painful sin😔😔😔
Watangazaj wana makelele hawatoi mda kwa mchungaj
Macho ya rohoni adamu vipi wewe mkristo gani jamani tunaimba kwenye kipaimari
Walikula Bangi 😂😂😂
Una kitu,utafika mbali
Sank you
❤❤❤