Vitu muhimu vya kuzingatia kabla ya ujenzi wa nyumba yako | Ushauri wa mafundi
Вставка
- Опубліковано 6 кві 2021
- Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: slidedigitaltz - Розваги
Kamera man uwe mbunifu sio unachukuwa picha waongeaji tunaitaji tuone mandhari ya kinachoongelewa
Kwel kabisa anaboa kinoma
Fundi umeelezea vizuri sana your verry good
Asante sana fundi kwa maelezo yako mazuri
MASHAALLAH, MASHAALLAH, MASHAALLAH
Masha Allah
Mashallah fundi
Fund uko vzr sana ,,unautendea haki ujuz wako piga kelele kwa fund akeeeeee weweeeeeeee
Shabah. Namb
Nimekuelewa fundi asante
Nimekupenda fundi
Nzuri sana fundi mzuri sana
Shabani siuje malindi kenya tuna tafuta fundi mzuri kama wewe. Uko na kazi nzuri sana
Kabsa hta mm natafuta fundi mzuri walalh huku malindi
Tumlete huyu fundi
Ata Mimi Fatma natafuta fundi Kama uyu ndio wanasemaga hivyo Cha muhimu bolesha msingi
Ndio madilisha makubwa yanapendezesha nyumba
Stepu za kibaraza napenda na mawe napenda yanapendezesha
Nambari ya shabani tafadhali
Namba zenu
Kazi zuri naomba namba ya fundi.
Nimependa sana fundi anajuwa kuelezea vizur namm nahitaji nijifunze zaidi nakupata vp
Dada nisaidie namba ya fundi Shabani tafadhali
Number za fundi
1:01 sawa
Dada yake mi nakubali sana
Habari naomba no ya fundi
East Africa naomba number y hyo fundi please
Number please ya fundi
Compun gan hii
Ndio fundi ana maelekezo mazur
Namba ya fundi
Me nilikua naomba nijiunge na ao mafund naomba mawasiliano nae😮😮
Thamani ya nyumba mxingi
Madirisha mazuri ningapi kwangapi
Naomba namba ya fundi shabani
Namba za fundi jamani
Dah fundi tunakupataje?
Weka na namba ya fundi
hata mm naomba namba ya fundi tafadhal
Nilikuwa nakipendaga ichi kipindi
Fundi sheby nimekuelewa
Mbona hamkuweka namba za cm nataka kujengewa na mimi niko kenya lkn
Nwombw number ya Fundi Shanabi jamani
Yaonekanamkoghali
Fundi weka namba tunataka tujenge
Mimi pia naomba number ya fundi shebani
Naomba kila vídeo ya ujez naomba
Munitumie namm nifundi ujez pia nakuwa najifuza vitu
nitumieni mamb ya fundi
Tutumie namba ya fundi shabani
Ni fundi mzuri sana unastahili pongez kabisa
Do mm naomba msaada hv mwonekana wa nyumba ya million 15 ukoje
Na fundi shabani ani saidiye na plans sababu na mimi na tarajiya kuanza majengo.
Me nataka namb ya fundi
Ikonarumngapi
Fundi shabani unatafutwa
Mkuu, kiwanja kipo sehemu tambarare msingi kozi 5 za nini kaka?? Hizo ni gharama zisizo za lazma brother, hapo sio ushauri..yaani kisa muonekano uingie gharama ya msingi kama unajenga kilimani?? Hamna haja ya kozi 5 kwenye kiwanja tambarare kaka, usifanye watu waogope kujenga..
Huyo amekariri
Kuna kitu nmepata hapa
Namba yako tafadhal
Mashaalah
Nyumbanzuri jamani inahuzwa?
😀😀
Shabbani vp kurasini
Mshindwe nyie tuu kumuita fundi
Nz
Naonba no ya fundi shabani.
Unajenga sehemu nyingine ukiitwa zaidi ya Dar kaka Shabani?
Kwaujenzi Bora imara na mafundi bora tucheki tupo dar0766587867
Toeni number ya huyo Fundi!
Naomba number pls
Wewe kama Huna uwezo wa kozi tano hizo jenga unavyoweza hajakulazimisha.
Namba ya fundi tafadhali