KUFAHAMU BEI ZA KILA AINA YA BATI. BEI ZA VIWANDANI NA WAKATI GANI BEI ZINAKUWA MORE AFFORDABLE. 🏠

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 сер 2024
  • PUNGUZA GHARAMA YA UJENZI KWA KUNUNUA BIDHAA KUTOKA KIWANDANI.
    TALKING FROM EXPERIENCE, NYUMBA YA 60M INAWEZA KUKAMILIKA KWA 43.7M HADI 50M. FUATILIA KWA UMAKINI VIDEO ZETU ILI UINGIE KWENYE UJENZI UKIWA INFORMED.
    KARIBU SANA🤗
    0:00 - intro
    0:55 - Bati za kawaida G30
    1:44 - Bati la kawaida G28
    2:57 - Vipimo Maalum
    3:10 - Bati la Chengachenga
    3:37 - Versatile Bati ya Vigae
    4:31 - Bati ya Mandarin
    5:06 - Best time to Buy
    5:55 - Outro

КОМЕНТАРІ • 22

  • @NassirAliy
    @NassirAliy 2 місяці тому +2

    Anaeleweka vizur sana

  • @husseinmgoo3074
    @husseinmgoo3074 Місяць тому +1

    Ok

  • @mussakabele2360
    @mussakabele2360 2 дні тому

    Changamoto nyingine ya hizi bati ni kupauka, bati umenunua kiwandani kwa bei ya juu kisha ndani ya mwaka bati imepauka

  • @Paulina-p3z
    @Paulina-p3z 22 дні тому

    Ukiaza kiswahili malizA na kiswahili engine shule atujaenda

  • @DeodathChinyamba
    @DeodathChinyamba 26 днів тому

    Hivi ziko bati za rangi ya mafuta na rangi ya maji??

  • @iamnormal8648
    @iamnormal8648 Місяць тому

    Naomba orodha ya majina ya viwanda vya mabati vya Dar es Salaam, na mahali vilipo na namba zao za simu.

  • @ashahassan2120
    @ashahassan2120 3 місяці тому

    Mm nashanga vizngu

  • @jimmymungai522
    @jimmymungai522 2 місяці тому +2

    Good video, informative. Mna bati transparent?

    • @halisibuilderstz
      @halisibuilderstz  2 місяці тому

      Shukran🙏 Nitumie msg whatsapp nikutumie namba za kiwandani. Mimi ni mjenzi, nilitembelea tu viwanda ili nielimishe wateja.

    • @user-po8hz7xw9j
      @user-po8hz7xw9j Місяць тому

      ​@@halisibuilderstznamba ya simu

  • @user-lr2ff5mp5t
    @user-lr2ff5mp5t 29 днів тому

    Jee ww una pat8kn wp

  • @jafetiwilson8092
    @jafetiwilson8092 3 місяці тому

    Ushauri wangu jitahidi kutumia lugha ya kiswahili mwanzo mwisho kama ni english nayo hiwe hivyo hivyo ,,maake bila hivyo uweleweki

  • @fanni-ck6do
    @fanni-ck6do 2 місяці тому

    Hiyo gage 28 elf 36,500 ni kwa meter ama?

    • @halisibuilderstz
      @halisibuilderstz  Місяць тому

      hii ni bei ya bati la kawaida lenye urefu wa Mita 3.3, gauge 28 dk ya 1:44

  • @rosemaryalbert1154
    @rosemaryalbert1154 3 місяці тому

    Mbona material ya changa hujataja bei ya geji 28

    • @halisibuilderstz
      @halisibuilderstz  Місяць тому

      @rosemaryalbert1154 16,500 per Meter. Sikiliza hapa 3:29

  • @murubachella5602
    @murubachella5602 3 місяці тому

    Habari ya uzima
    Namba zenu tunazipataje?

  • @cyborgmatumula650
    @cyborgmatumula650 3 місяці тому

    Bro una WhatsApp ?

  • @cyborgmatumula650
    @cyborgmatumula650 4 місяці тому +1

    Huko wapi na nitumie WhatsApp number please