MTOTO AMUWEKEA TEGO LA KICHAWI MAMA YAKE NYUMA YA KABATI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 сер 2024

КОМЕНТАРІ • 47

  • @MatildaMakawia
    @MatildaMakawia 3 місяці тому +5

    Hakika Yesu Kristo anatisha hakuna mahali asipoona...zab 139
    Asante kwa mtumishi wako Kuhani Musa Richard Mwacha
    T

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm Місяць тому +1

    Unione we Yesu ingawa ni mwezi umepita. Nkomo bwana Yesu utende Amina.

  • @maryaugustino8716
    @maryaugustino8716 3 місяці тому +7

    Jamani mbona haya mauza uza toka nizaliwe na niwe mkiristo sijawahi kushuhudia haya mambo. Hakika tu akoelekea Mungu mwenyezi ndio anayejua, ila ipo siku atakuja bwana wa majeshi na kuwatawanya wote wenye kiini macho na kutupwa kwenye ziwa la moto. Mungu tusaidie na utufunulie uelewa wakung'amua mema na mabaya

    • @constanciamosha5144
      @constanciamosha5144 3 місяці тому

      Hujawahi una nini wewe

    • @yukundapeter8200
      @yukundapeter8200 3 місяці тому

      Kama hujawahi fanyiwa ubaya shukuru Mungu,Sisi tumeteseka toka tumbo hadi leo kwa hiyo funga baki,au na wewe ndo wale2

    • @Danielmilia
      @Danielmilia 3 місяці тому +2

      Daniel milili

  • @SindeBajuta-u2c
    @SindeBajuta-u2c 27 днів тому

    Naomba uniombee na mimi mtumishi. Namatatiso sana

  • @RebekaQawoga
    @RebekaQawoga 2 місяці тому +1

    YESU KRISTO wanazareti aliyehai hai wakuhani kusa nisadie

  • @ChristineKhangwi
    @ChristineKhangwi Місяць тому

    Numbee mwoyo wangu unafuraha

  • @JeskaMringo
    @JeskaMringo Місяць тому

    Yesu anatenda jaman

  • @LovenessJohn-ht7xh
    @LovenessJohn-ht7xh 2 місяці тому

    Yani mungu akupe maisha maref Kuhn muss umenisaidia sn kwenye maisha yang baba

  • @victoriambithe8801
    @victoriambithe8801 Місяць тому

    Amen Amen Amen

  • @user-ef2mt4ye6q
    @user-ef2mt4ye6q 2 місяці тому +1

    sasa huyu anasema watajuaje ,,roho wa mungu akiona chenye kiko sirini lazima kitolewa wenye mnapinga ukweli nanyi mnajijua

  • @MawazoMamy-eu9bl
    @MawazoMamy-eu9bl 20 днів тому

    Bwana asifiwe

  • @StelaJohn-nj5yf
    @StelaJohn-nj5yf 3 місяці тому

    Yesu Kristo wa Ngomeni Okoa familia yangu..

  • @user-fc4vl8zi4r
    @user-fc4vl8zi4r 2 місяці тому

    Mhhh tusiwadanganye watu tumuogope M/Mumgu

  • @estherndungo1872
    @estherndungo1872 2 місяці тому

    Yesu wangomeni ni Mukubwa

  • @user-gm4qi3nn9n
    @user-gm4qi3nn9n 3 місяці тому +1

    Niko omani lakin tangu nijiunganishe na ngomeni hakika naona muujiza mwenyewe Tu sijaamua kusimama

    • @user-rl5qu4zj9b
      @user-rl5qu4zj9b 3 місяці тому

      Unanifurahisha mwezangu sasa unasubili nini kuamua

  • @elizabethsimonmapunda7678
    @elizabethsimonmapunda7678 3 місяці тому

    Yesu wa kuhani Musa R Mwacha fichua na kwangu

  • @sospeterAlex
    @sospeterAlex 3 місяці тому

    Yesu wangomen fichua nakwangu

  • @hedayawangara153
    @hedayawangara153 3 місяці тому

    Good comedy

  • @marywanjiku1704
    @marywanjiku1704 Місяць тому

    🙏🙏🙏

  • @user-jq9bf3po8u
    @user-jq9bf3po8u 3 місяці тому

    Yesu nifunuliye namimi

  • @MwanaishaShattry
    @MwanaishaShattry 2 місяці тому

    Kiasi nyumba iingie makuhani eti. Imepakwa ragi nyekundu kama nyumba ya mumiani

  • @HappyGreenTea-fo8lz
    @HappyGreenTea-fo8lz 3 місяці тому

    Kuhani fungua familia yetuu mchawi anaechezea familia yetu afeee kwa jinn La yesuu

  • @user-ox2uw9ds5o
    @user-ox2uw9ds5o 2 місяці тому

    Mbna ilikanisa wamevaa vilemba🥴

  • @kaoretosha6668
    @kaoretosha6668 Місяць тому

    Watu wananunua mambamutu kufanya "KAZI" kwa jina la "YESU".

  • @user-uz5cu7cr9h
    @user-uz5cu7cr9h 2 місяці тому

    Watu umewapanga wacha kudanganya watu

  • @user-zz1sj6sp8z
    @user-zz1sj6sp8z 3 місяці тому +1

    Yy atajuaje. Bado.mtt.acha.upotoshaji.nauongo

  • @niyiesther6571
    @niyiesther6571 2 місяці тому

    YESU KRISTO wa NGOMENI ATUKUZWE saaana

  • @LovenessJohn-ht7xh
    @LovenessJohn-ht7xh 2 місяці тому

    Mungu anatenda jmn

  • @RebekaQawoga
    @RebekaQawoga 2 місяці тому

    Najiungamanisha naiba ya ngomeni najiunamanisha namimi nitendewe

  • @user-ox2uw9ds5o
    @user-ox2uw9ds5o 2 місяці тому

    Mbna kama kweli

  • @salvatorymyumbilwa9335
    @salvatorymyumbilwa9335 2 місяці тому

    Pastor nitabirie shida hii niliyonayo na familia yangu hasa hasa mke wangu.

  • @lilianwaflotina1288
    @lilianwaflotina1288 2 місяці тому

    Comed show and Cheka tu😅

  • @ashuramachinja
    @ashuramachinja Місяць тому

    Duu

  • @salemkambuteh1409
    @salemkambuteh1409 2 місяці тому

    Yaani nyie wakiristo akili zenu zinashikiliwa na wahuni wanaojiita viongozi wa ukiristo.
    Ushauri wangu kwenu tumieni muda huu kuutafuta ukweli katika Imani vyenginevyo mutadanganywa na hao wahuni na hatimae hakuna mtakachoambulia baada ya mauti yenu.
    Mkiamua kuwa waislamu kusilimu ni free of charge.

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 3 місяці тому

    Cku xote wachawi yanasema viini macho.Tena popote mlipo duniani.

  • @user-eg3fg3ic9q
    @user-eg3fg3ic9q 3 місяці тому

    shauli mnaangamia kukosa maarifa

  • @samwelmatemu8873
    @samwelmatemu8873 2 місяці тому

    Mbona naona kama ni utapeli huu yani kama akina maji marefu.uwongo uliopitiliza

  • @user-tw9wu2gz4g
    @user-tw9wu2gz4g 3 місяці тому

    Usanii huu

    • @DaheerK
      @DaheerK 3 місяці тому

      😂😂😂mbona kuna msalaba huo usanii kweli

    • @rahmakikoti
      @rahmakikoti 3 місяці тому

      Mchawi lazima utasema usanii maana unaona wenzio wanafichuliwa,NGOMENI MCHAWI HACHOMOI

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle 2 місяці тому

    Sasa huyo mtoto anajua nini

    • @maryammaryam7354
      @maryammaryam7354 Місяць тому

      Acha,nikwambie, mtot anaeza ingizwa kwa Chama,hata aikiwa n mwez moj,n awe Wana mchukua,so mtoto hakupenda,Ola aliibgizws