Kuhani Musa Asimulia Alivyofufua Watu4 walikufa familia 1 Sikiliza Uone maajabu ya mungu

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 101

  • @SarshNishael
    @SarshNishael Місяць тому +1

    Amina sanaa baba angu Mungu wa mbinguni hazidi kukueka tunakupenda sanaa uzidi kutenda na kwetu wengine

  • @GeorgetteMalenga
    @GeorgetteMalenga 20 днів тому +1

    Ubarikiwe baba nasi mungu atuwone kwajiya yamutadawo

  • @KhadijaAli-zd8jq
    @KhadijaAli-zd8jq Рік тому +4

    Ubarikwe baba kuhani musa Richard mwacha naomba mungu akure maisha marefu sana Yesu kristo mungu mkuu Yesu kristo mungu wa kuhani musa Richard mwacha naomba TENDA NA KWANGU MIUJIZA MIKUBWA NAPOKEA BARAKA NA NEMA ZA NGOMENI 🙏🙏🙏🙏🙏🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇹🇿

  • @adisabetty2173
    @adisabetty2173 Рік тому +2

    Amiiiiiiina
    Na
    Musa
    Bwana yesu asifiwe aongezewe
    Balaka na Nuru nyingi zimuchukiye
    Amiiina
    🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @CarenMichael-dd1yd
    @CarenMichael-dd1yd Рік тому +2

    Sio Dar pekee, baba njoo na hapa pia🇸🇸

  • @saidself
    @saidself 28 днів тому +2

    Ubalikiwe.sana.yesu.wangomenì.ana.weza.baba.

  • @KhadijaAli-zd8jq
    @KhadijaAli-zd8jq Рік тому +2

    Bwana Yesu kristo mungu mkuu naomba usiwache salama watesi wangu wote wakate moto 🔥🔥🔥

  • @WinifridaWilliam-t4r
    @WinifridaWilliam-t4r Рік тому +1

    Nakupenda sana baba yangu Wa kiroo mungu akupe maisha. Marefu

  • @NeemaKimario-r3p
    @NeemaKimario-r3p Рік тому +1

    Nakupenda sana baba mungu akulinde akuepushie na mabaya yote ya dunia❤💖🥰😘

  • @adisabetty2173
    @adisabetty2173 Рік тому +2

    Ahsantene
    Baba
    Musa
    Yes
    Yes
    Nachukuru amiiina 🖐️🖐️🖐️

  • @BahatiJuma-i3f
    @BahatiJuma-i3f Рік тому +2

    Mungu amekuchagua wewe kwa kusudi maarumu, angeweza ata kunichagua mimi ila ni wewe. Mungu akulinde uipige injiri kwa moyo mmoja

  • @veronicamillinga
    @veronicamillinga Рік тому +1

    🙏🏿🙏🏿🙏🏿mungu akupe maarufu zaidi ya neno la bwana amina

  • @AlceMasanga-gp8db
    @AlceMasanga-gp8db Рік тому +1

    Mm nkukubali cn kuhani make unamafundisho yko nayapenda cn ubarikiwe cana

  • @SubiraMakale
    @SubiraMakale Рік тому +1

    Mungu aiweke maisha marefu uzidi kutusaidia wanyonge

  • @Rodahpaschal
    @Rodahpaschal Рік тому +2

    Kuhani musa nabiii MUNGU amsaidie kaka petro arudi live

  • @LucyMkimala
    @LucyMkimala 2 дні тому

    Mwenyezi Mungu akutunze na kukulinda Baba Kuhani ,kwa jina la Yesu Kristo alie hai .

  • @r2kgang856
    @r2kgang856 Рік тому +1

    Baba hapa mpole kama sio wewe ukiwa madhabahuni...Amina arab ubarikiwe sana baba

  • @LucyMkimala
    @LucyMkimala 2 дні тому

    Hakika Yesu wa Ngomeni unafanya maajabu kwa macho yetu tunashuhudia,, Yesu wa Kuhani Musa Richard Mwacha watesi wanao mtesa Mama angu Magreth , naomba mwaka huu Yesu ufanye jambo juu ya hao Watesi 🙏🙏 Yesu wa Ngomeni nakuamini najua utafanya Jambo 🙏🙏🙏🙏

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 11 місяців тому

    Naomba no ya mutumishi wa mungu nimwindaji kwetu Kenya mungu akipenda atakufunulia yaliyo kwetu barikiwa sana mumishi wa mungu ❤❤❤

  • @HussenJuma-y8y
    @HussenJuma-y8y Рік тому

    Nakupenda bure tu❤❤❤❤❤ kuani Wangu

  • @JaneWahito-j3f
    @JaneWahito-j3f 4 місяці тому +1

    Ata mimi naomba yesu afufue maisha yangu

  • @TheresiaWilson-k4x
    @TheresiaWilson-k4x Рік тому +2

    Mungu.akubariki.san.Baba.yetu.wakiroho..

  • @JoharyMakumuli
    @JoharyMakumuli 9 місяців тому

    Ahsante sana yesu wangu wa ngomeni umenito mbali sana, mungu akupe afya utupone wengi amina

  • @devotajohn756
    @devotajohn756 Рік тому +2

    Mwenyezi Mungu azid kukulinda Baba yangu 🙏🙏🙏🙏😭😭😭😭😭🤲🤲

  • @mussaabobakar7537
    @mussaabobakar7537 Рік тому +1

    Acha kusema uongo bas mm sipend hiv mnavo sema mnafufua watu uongo 😅😅😅😅😅😅

  • @augustinfrancis6924
    @augustinfrancis6924 Рік тому +1

    Maisha marefu baba Kwa huduma👍👍👍👍🔥

  • @rosemambo1347
    @rosemambo1347 8 місяців тому

    Amen Baba Mungu azidi kukutia nguvu..

  • @AliceMande-k5r
    @AliceMande-k5r 6 днів тому

    Jaman nakukubali sana baba angu kuhan mussa amiinaaaaaaaaa😢😢

  • @PierreWenga-wl9lf
    @PierreWenga-wl9lf 2 місяці тому

    Amen Amen Mungu akupe maisha marefu

  • @jenniferlopezy3644
    @jenniferlopezy3644 Рік тому +2

    Nakupenda Sanaa baba angu wa kiroho

  • @AdelaShirima-b5e
    @AdelaShirima-b5e Рік тому

    Mungu akusaidy kuhan wetuuu❤❤

  • @joanelisha7996
    @joanelisha7996 2 роки тому +4

    Mimi nakependa Sana na Nina kuamini Mungu anakutumia piga kazi jembe la yesu.

  • @DamianoRuboa
    @DamianoRuboa 10 місяців тому

    Baba tunashukuru kwa kazi unayo ifanya. Mungu akujalie kabisa. Lakini huku kunawengine wanahangahika. Tunahitaji kupata nambayako ya sim.

  • @vickystellah3194
    @vickystellah3194 2 роки тому +2

    Ubarikiwe sana Kuhani wa Mungu Baba.

  • @RoseMichael-i1i
    @RoseMichael-i1i Місяць тому

    Mungu akubariki xna naakpe maisha marefu

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 10 місяців тому

    Mungu akipenda kuhani Musa plz naomba tukualike kwetu Kenya

  • @francinemuderhwa9436
    @francinemuderhwa9436 13 днів тому

    Mungu atukuzwe sana kuhani Musa

  • @sifamwashite
    @sifamwashite Рік тому

    Bwana yesu kristo mungu mkuu nataka usiwache salama watesi wangu woote wakate moto kwa jina la yesu

  • @easternyerembe7271
    @easternyerembe7271 Рік тому +1

    Mungu akutunze baba yangu wa kiroho

  • @TheresiaWilson-k4x
    @TheresiaWilson-k4x Рік тому +1

    Amen.mungu.Akurinde.Baba.miaka.mingi.sana

  • @AngelMinga-x6b
    @AngelMinga-x6b 7 місяців тому

    Bwana yesu atukuzwe Baba mm namatatizo ya kiafya naomba maombi yako baba

  • @CarenMichael-dd1yd
    @CarenMichael-dd1yd Рік тому

    Kweeli Baba,naaaamini nikiwa. Hapa Kenya🇸🇸🔥🙏

  • @subiralusako9098
    @subiralusako9098 Рік тому +1

    Amina

  • @JudithMwakasege
    @JudithMwakasege 8 місяців тому

    Mungu akutunze baba tumekuelewa

  • @adisabetty2173
    @adisabetty2173 Рік тому +1

    Amiiiina
    Baba 🙏🙏🙏🙏🙏🙏😭😭😭😭😭😭

  • @dianapaulo-qe6rw
    @dianapaulo-qe6rw Рік тому +1

    YESU akuzidishie miaka mingi Baba

  • @evelnemlanzi9257
    @evelnemlanzi9257 2 роки тому +2

    Yesu wa ngomeni🔥🔥🔥🔥

    • @chissolamujingasolange1183
      @chissolamujingasolange1183 2 роки тому +1

      Utukufu na shukrani ikwelekeye mwalimu musa Richard kuhani .Nami unikumbukeko!Nami muito wangu arudi nhumbani.nami nishudiye ukumbwa wa yesus

  • @SaidaNassoro
    @SaidaNassoro 5 місяців тому

    Aminaaa baba 🙏

  • @jonisshayo5334
    @jonisshayo5334 2 роки тому +1

    Amina baba mungu akupe maisha marefu

  • @HusnaSharifu
    @HusnaSharifu 9 місяців тому

    Tangu nianze kufatilia huyu Baba kwakweli alhamdullilah najiskia vizuri

  • @saidself
    @saidself 28 днів тому

    🎉❤amina.ngo.me.iko.salama.

  • @gloriamichael7935
    @gloriamichael7935 2 роки тому +2

    Sauti ya upole subiri fatigue yake akiwa madhabahuni.😂😂😂Amina ya radi

  • @AnnaMwapila-de3ry
    @AnnaMwapila-de3ry Рік тому

    Ubalikiwe sana na nakuamini sana

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 11 місяців тому

    Ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen ❤❤❤

  • @jonisshayo5334
    @jonisshayo5334 2 роки тому +1

    Chapa kazi baba hakika tunauona utukufu wa yesu aliekutuma kwetu yesu wa ngomeni sasa hivi anatisha wafu Tanzania yoote sasa anawafufua baba usijali wanadamu tumepewa vinywa kunena illa laiti wangejua karama na kipawa mungu alichokupa kwa ajili ya Tanzania na dunia kwa ujumla

  • @aishajuma7813
    @aishajuma7813 2 роки тому +1

    Amina🙏🙏🙏🇴🇲

  • @AngelMinga-x6b
    @AngelMinga-x6b 7 місяців тому

    Naomb niombee baba

  • @DicksonFredlick
    @DicksonFredlick 10 місяців тому

    Amen.BABA

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 10 місяців тому

    ❤❤❤❤❤❤

  • @SaraphinaSamweliSamwelli
    @SaraphinaSamweliSamwelli 9 місяців тому

    Ww ni jembe la mungu azidi kukutia nguvu foreva

  • @BboossBILLY
    @BboossBILLY 4 місяці тому

    Mimi na mwamini

  • @aminaasia-jl8fk
    @aminaasia-jl8fk Рік тому +1

    Kama ninguvu zaMUNGU basi ubalikiwe

  • @marymarco9148
    @marymarco9148 Рік тому

    Amina🙏🙏🙏🙏

  • @RizikiKatana-g6f
    @RizikiKatana-g6f 3 місяці тому

    AmenAmen

  • @chissolamujingasolange1183
    @chissolamujingasolange1183 2 роки тому +1

    Baba Nami unisaidiye.niko apa angola.roho imesha umwa kabisa.dju ya mototo Ana itwa prisesa Kiala tambue

  • @r2kgang856
    @r2kgang856 Рік тому +1

    Hii clip kufuuka watoto mke naioata wapi

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 10 місяців тому

    Umenikumbusha junzi nalioda Niko Kwa shamba nafiega muzituni alafu nikamaliza nigaaza kung,oa mizizi kumaliza kung,oa mizizi nigaaza kulima ile shamba ukacha unganiambiya nitakusaidia kulima hii shamba nilikuona nigashangaa sana

  • @r2kgang856
    @r2kgang856 Рік тому

    Naamini namimi mama yangu atafufurka amekufa kifo kutayanisha

  • @fatmamussa2373
    @fatmamussa2373 2 роки тому +1

    Alafu mnatoa maneo ya shombo wakati mko na shida kibao unatakiwa maombi ili muache uchawi maana mtakata moto kwa jina la yesu kiristo

  • @fatmamussa2373
    @fatmamussa2373 2 роки тому +1

    Alafu mkome kumtukana kuhani watu

  • @MagrethJukael
    @MagrethJukael 8 місяців тому

    Kuan mssa muungu akulinde sn san utusidie nakuombea ukae miak maelf namaelf kuan mssa naomb namm unissdie unifichulie mkoan singd saiv nipo dar kigambn

  • @BeatriceGeorge-ge4km
    @BeatriceGeorge-ge4km 6 місяців тому

    Kumbe,atauchumi,wangu,umeshafufuko,walipouzika

  • @MuslimYouthman
    @MuslimYouthman 2 місяці тому

    DUH WATU SIJUI MTAFANYWA MATAHIRA MPAKA LINI UONGO WA WAZI KABISA PUMBAVU KABISA MAJITU MAZIMA MTADANGANYWA KITAAHIRA HIVYO YAANI HATA ANAVYOONGEA HUSHTUKI TU ETI LAKINI NIKIMUENDEKEA KILEMA SASA HIVI AAMKE SIWEZI ILA KUNA WAKATI INATOKEA😂😂😂😂MMEKALISHA MATAKO TU

  • @Churchofecclesia
    @Churchofecclesia 2 роки тому +1

    Baba kama baba

  • @fatmamussa2373
    @fatmamussa2373 2 роки тому

    Wote mnaopinga huduma ya kuhani mussa basi nyinyi utakuwa wachawi ila sisi tunaoamini tunajua watu wanafufuka ngomeni mkubali muache ila habar ni mmoja tu ngomeni kunaufufuo tu

  • @MaggieMkandawire-k5g
    @MaggieMkandawire-k5g Рік тому +1

    Ninakupendamutushimunguazidikukuuongeza moyo

  • @maspro6294
    @maspro6294 2 роки тому +2

    Acha ujanja wa kutaka kuwaibia watu sadaka zao na kuwadanya watu hakuna mtu kafa akafufuka na kama kweli nenda mahospital ukawafufu watu walio kufa hii didi ya kikiristo ni dini ya kishetani

    • @fatmamussa2373
      @fatmamussa2373 2 роки тому +1

      Kama unaona ni ujanja fanya na wewe basi tuona

    • @fatmamussa2373
      @fatmamussa2373 2 роки тому

      Uchawi unawasumbua tu huna lolote pepo wewe unakaz yakutukana mtumishi wa mungu je kakosea wapi mbona makasiliko ivo au wewe ndiye uliwaua nini

    • @evelnemlanzi9257
      @evelnemlanzi9257 2 роки тому

      Shetani ni wewe na dini yako

    • @georgemrinji4729
      @georgemrinji4729 2 роки тому

      Uwelewa wako na mambo ya rohoni ni kiduchu sana, wanaofufuka ni watu waliokufa na kuchukuliwa msekule na si kifo Cha mapenzi ya Mungu

    • @michaelfaraday07
      @michaelfaraday07 2 роки тому

      Kama mnaona uchawi ni rahisi basi fanyeni nyinyi.Huyu ni mtumishi wa Mungu na ametumwa kuwasaidia wengi wenye shida zao

  • @karimujuma6595
    @karimujuma6595 2 роки тому +1

    Huna uwezo huu ni binadam wa kawaida tu Tena huna lolote ktk ilo ulilosema acha uwongo wako

    • @fatmamussa2373
      @fatmamussa2373 2 роки тому

      Wewe kiumbe funga domo lako mbona mimi kwetu kafufuka kama huna imani acha watu wengine wafunguliwe

    • @fatmamussa2373
      @fatmamussa2373 2 роки тому

      Kama ujui Yesu yuko ndani yake ndiyo maana watu wanafufuka kuhani watu umuache kabisa tena umkome

    • @evelnemlanzi9257
      @evelnemlanzi9257 2 роки тому

      Pepo iloooooo

    • @fatmamussa2373
      @fatmamussa2373 2 роки тому

      @@evelnemlanzi9257 wewe apo uko na iyo pepo maana uwezi tukana mtumishi wa mungu ama unalaana wewe katubu

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 2 роки тому

      Angemfufua Magufuli🤣🤣🤣🤣

  • @zayanazayana5353
    @zayanazayana5353 2 роки тому +1

    Ina maana yy hawamis wazazi wke walomzaa akamfufua japo mama yke Dunia hii tokea iumbwe hajawahi Mtu kufa akarudi Yani hata angekuwa Shekhe wa Dunia ningemwambia muongo kw herufi kubwa

    • @fatmamussa2373
      @fatmamussa2373 2 роки тому +1

      Acha kumzihaki mtumishi wa mungu utachuma rana kubwa

    • @fatmamussa2373
      @fatmamussa2373 2 роки тому +1

      Kama huelewi acha c razima ufatilie ibada zetu

    • @fatmamussa2373
      @fatmamussa2373 2 роки тому +1

      Ila kaaukijua ngomeni ndiyo sehem ya ufufuo upo utake usitake kelele zoko wala kwetu hazina maana zaid tutakupiga kwa radi na moto wa yesu kiristo

    • @evelnemlanzi9257
      @evelnemlanzi9257 2 роки тому +1

      Hujielewi pimbi ww

    • @michaelfaraday07
      @michaelfaraday07 2 роки тому +1

      Pimbi wewe😏

  • @EsterNdalu
    @EsterNdalu Рік тому +1

    Amina

  • @merryguza3307
    @merryguza3307 Рік тому

    Amen

  • @jennifernyongesa2713
    @jennifernyongesa2713 7 місяців тому

    Amina