MCH MBARIKIWA MWAKIPESILE NA MASANJA MKANDAMIZAJI LIVE🙏🏾

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 112

  • @bartolomeuhenrique1574
    @bartolomeuhenrique1574 Рік тому

    Kwa mchugaji mbalikiwa,anawokovu mgumu ata kuhumeza shida,ila ukivumilia kukaha naye duh,kwanini usiokoke,...amen

  • @shalomizrael667
    @shalomizrael667 4 роки тому +2

    Binafsi niyaonapo haya najuwa YESU yu karibu kuja, Mungu awabariki watumishi. Lisaidieni kanisa lipone liwe takatifu Yesu ajapo aikute IMANI ile aliyowaachia mitume. ✝️🛐😭

  • @felsonsanga8502
    @felsonsanga8502 6 місяців тому

    Ubarikiwe baba askofu emmanuel

  • @amockkalinga1520
    @amockkalinga1520 2 роки тому

    Kwa kweli kaka Emmanuel mungu azidi kukutunza ainue huduma yako wewe ni mfano wa kuingwa👈💪💪🔥👏🙌🤩🤩🤩🤩🤩🙏

  • @godfreykawibesele8545
    @godfreykawibesele8545 4 роки тому +1

    Yani bro nashukuru Sana binafsi nabalikiwa kupitia ww so Mungu akulinde uenende sawasawa na mapenzi yake

  • @mwalongojames1507
    @mwalongojames1507 4 роки тому +2

    Tunakukalibisha kwenye kikosi kazi Bwana masanja

  • @mrmhenipm
    @mrmhenipm 4 роки тому +1

    Masanja umenifurahisha kiukweli !
    Uendelee kubarikiwa mpaka wenye Wivu wabadilike wawe wema !Nawatakia kazi njema

  • @amosimichael208
    @amosimichael208 4 роки тому +2

    Amen mch.masanja mabadiliko ni hatua moja baada ya nyingine huyo pastor anawokovu mgumu lakini ndo inayohitajika kwa sasa so wokovu wa sasa umebumbuliwa NB.maombi ndo iwe tabia ako mpaka mwisho achana na comment za watu huwezi kubadilika nipo India now wokovu wake nipo nae ni kam nipo Tanzania mfuate hasa.amen be blessed

  • @maryemanuel5263
    @maryemanuel5263 4 роки тому

    Kaka Masanja wewe ni watofauti sana napenda maisha unayoishi ya kumtanguliza Mungu maishani wacha Mungu aendelee kukubariki Na kukupeleka mbali kwa viwango.

  • @setholivier4862
    @setholivier4862 4 роки тому +7

    Inapendeza sana watoto wa MUNGU wakiwa pamoja ❤❤.
    .
    Kila mfanyacho kifanyike kwa upendo.
    1 Wakorintho 16:14
    .
    Salimianeni kwa ishara ya upendo.
    2 Wakorintho 13:12
    .

  • @mwachamwacha5538
    @mwachamwacha5538 4 роки тому +1

    Mbarikiwa mzee wa gombo .injili isiyogoshiwa inapatikana hapo ..nakujua hukopeshi

    • @shalomizrael667
      @shalomizrael667 4 роки тому

      Huyu mzee anapiga gombo lileee la nyakati za biblia

  • @Mathsworld27
    @Mathsworld27 4 роки тому +3

    Kikosi kazi mbarikiwe

  • @chandarotv7649
    @chandarotv7649 3 місяці тому

    Masanja uko sawa sawa kabisa hakuna mtu au mtumishi anae jua Kila kitu, hayupo

  • @josephmpemba8004
    @josephmpemba8004 2 роки тому

    Mch. Masanja ubarikiwe sana kwa unyenyekevu huu. Mungu atakupeleka mbali. Wana wa Mungu yatupasa kutokuwa wepesi katika kuhukumu. Na zaidi ya yote kutokuhukumu kabisa. Tuwe wanyenyekevu kwa kuwa Mungu ana watu wake.

  • @gauedwin1960
    @gauedwin1960 4 роки тому +6

    Woow..I looked and saw PAUL & TIMOTHY..Dady Emmanuel I Love Ur God,you are a blessed generation🙏

    • @Feelfreechurch
      @Feelfreechurch  4 роки тому +1

      Gaudenciar Edwin AMEN my Daughter 🙏🏾

  • @ericksuleiman9619
    @ericksuleiman9619 2 роки тому

    Mungu awakumbuke kwa kazi nzuri

  • @medadiissa324
    @medadiissa324 4 роки тому

    Kazi isonge mbele Yesu Kristo ahubiriwe kwa nguvu zote

  • @ernestinamgeni6329
    @ernestinamgeni6329 4 роки тому +1

    Mungu awabariki sana katika kazi zako

  • @cliftonmahande9358
    @cliftonmahande9358 4 роки тому +1

    Naomba daima adumu Mbarikiwa katika unyenyekevu asije akayaacha maagizo ya Bwana Yesu.
    Katika waimbaji anaongoza kwa nyimbo zenye nguvu za Mungu na zenye jumbe za kweli

  • @natifasmith3468
    @natifasmith3468 4 роки тому +2

    Usipokubali kufundishwa huwezi kuwa mwalimu msanja mungu akubariki kwa kujishusha

  • @teeanna2060
    @teeanna2060 4 роки тому +6

    Mungu nipe Mume mcha MUNGU kama Masanjaa🙏🙏 furaha kama yote

    • @Feelfreechurch
      @Feelfreechurch  4 роки тому +2

      Tee Anna Pokea sawasawa na haja ya Moyo wako

    • @teeanna2060
      @teeanna2060 4 роки тому +1

      @@Feelfreechurch Amen napokea kwa jina la YESU

    • @kitasyajohn6033
      @kitasyajohn6033 4 роки тому +2

      Ubarikiwe Sana Dada hebu nakusihi nitafute kwenye namba hii 0764597887

    • @kitasyajohn6033
      @kitasyajohn6033 4 роки тому +1

      Tee

    • @shalomizrael667
      @shalomizrael667 4 роки тому

      Mungu akubariki umeomba lililo jema machoni pa Mungu amini imekuwa ivyo. Wengine tuliangukiaga ktk mikono ya wanyang'anyi ndoa zikafa tupo tunahangaika na dunia. Ninamachozi yasiyo kauka machoni maisha yote.

  • @gracelutumo6911
    @gracelutumo6911 2 роки тому

    Mbarikiwe sana watumishi.

  • @masterkey536
    @masterkey536 2 роки тому

    Sawaaa masanja

  • @prayalways9416
    @prayalways9416 4 роки тому +1

    Amina. Mbarikiweee 😍

  • @christophermgoli1236
    @christophermgoli1236 4 роки тому

    Barikiwa Sana. Mchungaji Masanja kazi ndio kwanza imeamka panda mbegu za uzima.

  • @ev.eng.enockl.mwakapalila2499
    @ev.eng.enockl.mwakapalila2499 4 роки тому

    Dah ni neema ya namna gani watu kukaa pamoja na kukubali kujifunza kwa waliowatangulia. Kaka Emmanuel na mchungaji niseme tu Mungu akubaliki sana kwa moyo wa namna hiyo.

  • @OmariJuma-su6fz
    @OmariJuma-su6fz 6 місяців тому

    Nikweli kbs

  • @florapeudy3963
    @florapeudy3963 2 роки тому

    Amina kubwa

  • @felsonsanga8502
    @felsonsanga8502 6 місяців тому

    Emmanul ni humble sanq

  • @benardsamwelministry7024
    @benardsamwelministry7024 4 роки тому +4

    Kwa yesu kumenoga hako katishet mtumishi nimekaelewa

    • @Feelfreechurch
      @Feelfreechurch  4 роки тому +1

      Benard samwel ministry Amen Asante sanaaa

  • @cliftonmahande9358
    @cliftonmahande9358 4 роки тому +5

    Mbarikiwa ni miongoni mwa watumishi wanaofundisha kweli yaani maisha ya Toba
    Mfuate huyu Emmanuel na umsikilize na kuyafuata maagizo yake kama Yoshua alivyomsikiliza Musa hautojuta.
    Injili ya kweli isiyo na mizaha ndiyo yenye mamlaka ya kubadili tabia zetu.

  • @iluminathawilliam6549
    @iluminathawilliam6549 4 роки тому +1

    Waoooooo nimefurahi kumuona mwakipesile kwa mwasanja

  • @m.mmarckus6298
    @m.mmarckus6298 4 роки тому

    Kwa Yesu kuna raha Armani,Mungu azidi kuwa bariki kila iitwapo leo

  • @evangelistgideon6917
    @evangelistgideon6917 4 роки тому

    Mungu akubarikiwe sana

  • @revinaimani6846
    @revinaimani6846 9 місяців тому

    Mtumishi wa mungu masanja mbona ili la mbarikiwa upo kimya jaman kuna nn hujui kuwa alifungwa? Na mwanae alikufa! Inapendeza saba ndg kukaa pamoja kwa umoja

  • @yohanamlagala8608
    @yohanamlagala8608 4 роки тому

    Nawapenda sanaa watumishi wa mugu...nimefurah kwamkwli kuona mnakumbuka kutembeleana

  • @fanuelngambiye1342
    @fanuelngambiye1342 4 роки тому

    Mungu azidi kuwainua watumishi

  • @kedricksiame6167
    @kedricksiame6167 3 роки тому

    Hongera kwa kupokea ugeni mkubwa

  • @jackyluns8224
    @jackyluns8224 4 роки тому

    Ukipata wa hivi kama mch Emmanuel hujutii mahusiano unaona kama alikuwa wap toka zamani hongera mtumishi one day naiombea siku utupatie darasa daah i swear Mungu atatenda

  • @servantjosiahtv3129
    @servantjosiahtv3129 4 роки тому +2

    Nimefrahi sana... Nimebarikwa pia

  • @sillassaid3257
    @sillassaid3257 2 роки тому

    Balikiwa Sana sana

  • @m.amanitv8534
    @m.amanitv8534 4 роки тому

    Sauti iko chini Sana Masanja

  • @esterbarinaba5891
    @esterbarinaba5891 4 роки тому +1

    Mungu awainue ila siku nyingine sauti ifanyiwe marekebisho

  • @josegambi7149
    @josegambi7149 4 роки тому

    God may bless you Emanuel

  • @sabinagerold9962
    @sabinagerold9962 4 роки тому

    Sijui lin nitakutana nanyi Watumishi, Kaka Ema naomba namba

  • @sabinagerold9962
    @sabinagerold9962 4 роки тому

    Mungu awe nanyi, karibuni na kwangu

  • @samuelnduati9792
    @samuelnduati9792 4 роки тому

    Hakika Mungu ni mwema.

  • @mercyjesus6637
    @mercyjesus6637 2 роки тому

    Njoo na kwetu jmn

  • @nikodemmwahangila3334
    @nikodemmwahangila3334 2 роки тому

    Askof umenipa rahaaa jinsi tu unavyotabasamu hivi na unavyoitikia amen askof haya bwana

  • @virginiakibe1846
    @virginiakibe1846 4 роки тому

    One day iwill be in Tz will such you mchunganji masanja

  • @ezekieljolam3961
    @ezekieljolam3961 4 роки тому

    Mahali mlipo ni sehem sahihi mungu awabariki

  • @mariamswedi1140
    @mariamswedi1140 2 роки тому

    Mh!!!

  • @gabrielenocygabriel4623
    @gabrielenocygabriel4623 2 роки тому

    dah ebwana ubarikiwe mwakipesile

  • @felistasabuni4285
    @felistasabuni4285 2 роки тому

    Amina

  • @naomijohn1273
    @naomijohn1273 4 роки тому

    Vizur sana

  • @OmariJuma-su6fz
    @OmariJuma-su6fz 6 місяців тому

    Naitazama nikiwa ujerumani

  • @jumakitandu5438
    @jumakitandu5438 4 роки тому

    Kujifunza kutoka kwa waliopita ndiyo maarifa mema

  • @neemamwakasaje2801
    @neemamwakasaje2801 2 роки тому

    Kalambo national Park

  • @salvatorymasaki4758
    @salvatorymasaki4758 4 роки тому

    Wao God bless you

  • @godfreymbuya-go5zd
    @godfreymbuya-go5zd Рік тому

    Mrudishe njia kuu alianza nae kupoteza ngudu yetu huyo kukandamiza ilikuwa Kwa upande wa comedy ila Kwa upande wa Imani naona Kwa upande wangu angesema kubembeleza coz watu wanahitaji maandalizi kama hayo na sio vitisho maana automatical ukisema kukandamiza inamaana zakuendelea kudiskasi kitaalam niseme hii kukandamiza ilikaa kule original comedy Kwa ukomedy barikiwa mtumishi wa Mungu mtoto akiunyea mkono elewa.

  • @mangakwigema
    @mangakwigema 3 роки тому

    Leo masanja mpole km nini

  • @emmosilver6039
    @emmosilver6039 6 місяців тому

    Baada ya masumbufu naiyona faraja ya MUNGU mwenye Rehema ikikujia,utabiri pokea kutoka kwa Bwana,naona badiliko la fanaka hutalia Tena Nuru naikujie,Pokea bubujiko la faraja na'am na usahau yote.Ili makusudi mema ya MUNGU ya timie kwako..

  • @goodvictoryeunice
    @goodvictoryeunice 2 роки тому

    Mke wa masanja 1 Timotheo 2:9,1petro 3:3-4

  • @magrethsanga942
    @magrethsanga942 4 роки тому

    Amen

  • @kitasyajohn6033
    @kitasyajohn6033 4 роки тому +3

    Huyo mwakipesile ni mchungaji wa kweli ambae anakagua mpaka kijiko Cha wali umekiwekaje mdomoni yaani namaanisha anakagua Kila tendo ufanyalo

  • @ligthinessfilipo6475
    @ligthinessfilipo6475 Рік тому

    Masanja ninaamini hapo umekutana na upako .

  • @rachelemmanuel6244
    @rachelemmanuel6244 4 роки тому

    wakaribishe ndani wageni

  • @naomioman9794
    @naomioman9794 4 роки тому

    AmeeeN

  • @lubatikoseme9412
    @lubatikoseme9412 2 роки тому

    Next stop Kwa mwamposya mkakanyage mafuta

  • @isackjrmedia6781
    @isackjrmedia6781 4 роки тому

    This is amazing

  • @angelantony5356
    @angelantony5356 4 роки тому +1

    masanja na mbarikiwa????? Mungu atusaidie tuwe na mwisho mzuri.
    wawili hawawezi kwenda pamoja kama hawajapatana. sina imani saaana na muunganiko huu. mwenye jicho la roho ataona kitu hapo , walio waombaji watapata kitu cha kufanyia kazi na watu wa mwilini hawataona chochote.
    Roho wa Mungu atusaidie katika kila huduma anayotupa itufanye tuzidi kushuka zaidi kuliko kuinuka.
    shetani mbaya jamani....

  • @tunukiwamahenge1549
    @tunukiwamahenge1549 4 роки тому +1

    Barikiwa sana

    • @happynyahoro7334
      @happynyahoro7334 4 роки тому

      Nampenda sana Masanja na mke wake wana upendo wakutoka ndani wako wazi, Mungu awabariki sana hamna roho yakujikweza.

    • @elicalyimo8592
      @elicalyimo8592 4 роки тому

      Mungu awabariki

    • @mwasamwasomola7138
      @mwasamwasomola7138 2 роки тому

      Pastor masanja Mungu azidi kukuinua kwa unyenyekevu wako tunajifunza mengi

    • @hawashedrack959
      @hawashedrack959 2 роки тому

      Uwiiii kaka Masanja jmn chunguza Kwanza .wakuachie kitabu chake yale nimaono yk

  • @princeemmamunda4286
    @princeemmamunda4286 4 роки тому

    Nakataka hako kashati kalikoandikwa kwa Yesu kumenoga
    Mchango wake ili nikapate ni shingap

    • @Feelfreechurch
      @Feelfreechurch  4 роки тому

      Prince Emma Munda Sawa wala hamna neno UTAKAPATA KABISAA

    • @tusajigwemathias3758
      @tusajigwemathias3758 4 роки тому

      @@Feelfreechurch mi pia masanja ila nipo mbeya naomba nikapatee pleaseeee

  • @hellenimmaculate5953
    @hellenimmaculate5953 4 роки тому

    Hicho kigae kilichopasuka mkeo hakioni

    • @sophiamduma7397
      @sophiamduma7397 4 роки тому

      Mhhh kila mtu Ana mtazam wako.... Big up mchg ema

  • @bilioneabichwa
    @bilioneabichwa 4 роки тому +1

    Masanja ni mtu mwenye akili sana,, ana uwezo wa kubadilika kulingana Na mazingira Na kuishi Na mtu wa aina yeyote.

    • @Feelfreechurch
      @Feelfreechurch  4 роки тому +1

      Blionea Bichwa Ndivyo itupasavyo kuwa🙏🏾

    • @shushan1113
      @shushan1113 4 роки тому

      Paulo anasema nilikuwa Kama myahudi ili niwapate wayahudi nilikuwa Kama mtumwa ili niwapate watumwa...nilikuwa kama chini ya Sheria ili niwapate walioouwa chini sheria ingawa sipo chini ya Sheria

    • @evangelistmagadula6509
      @evangelistmagadula6509 4 роки тому

      Njoo Lumo huku

  • @jackyluns8224
    @jackyluns8224 4 роки тому

    Ukipata wa hivi kama mch Emmanuel hujutii mahusiano unaona kama alikuwa wap toka zamani hongera mtumishi one day naiombea siku utupatie darasa daah i swear Mungu atatenda