🎉❤❤Loveness ni mwanamke na nusu nampenda saana piya anamshepu wake nilimuona kwenye mashindano ❤❤❤❤🎉napenda vile anajiamini na kujitapa kwamba yeye ni mwanamke❤❤❤
@@annajohn3377 uyo sio mato boy uyo nimtu wamazoezi kapenda kua maisha hayo yajim sasa sisi weuzi tunazama machimbo kunawana riasa wa kenya love mbona priss
@@HanifaOman-oo4plLovenes mwanamke kuna rafiki yangu amesoma nae alikuwa anavaa Sket ila sauti ya kiume muonekano wa kiume ila ni mwanamke sio mwanaume
Mazowezi siyo shida lakini nidhamu kama vile mwanamke, sababu muili yetu na sisi wanaume tumeumbwa kitofauti kwahiyo fanyeni mazowezi katika mipaka hili kutunza asili yako, isiwe yenye kufanya watu wawe nama mwasali mengi, Mungu anajuwa ni kwanini katuumba tofauti! Tufanye mambo yote huku tukitunza maumbile ya Mungu.
Ni mwanamke kweli niliona video zake za zamani akiwa kwenye mashindano ya misuli ya wanawake tena monalisa alikua mmoja wa majaji tena kipindi hiko love alikua na shepu ya kike kabisa
Kwa kweli ndicho kilichobak maana duuu hata ukivuta hisia kwamba ni mwanamke hisia znagoma labda ajlembe angalau hisia znamate kdg Japo kajiharibu jaman mdada mwenzetu
Ata apa ninapokaa nyumba ya jirani kuna msichana wakazi wakichina sijui ni mphilipino anamwonekano wa kiume siku ya kwanza kumwona nilizani ni mwanaume sauti yake tu ndo yakike ila mwonekano wake tembea yake ni yakiume kabisa Wana HOMONI za kiume zimezidi
Sema hii ni mara 2 naona kitu hapa hichi. Kuna yule mwanamke ana homoni za kiume. Sijui alikuwa mjamaica au msouth Africa vile. Alfu hata tusiende mbali hata LUVANGA yule mchezaji wa twiga starts pia
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
Ok
😂
❤
Angekuwa mwanaume angekuwa romantic sanaaaaa😊
Hongera da love nakupenda sana uko.pc sana dada ang
Nimeipenda sana anavyojikubali kama mwanamke safi sana
Nampenda sana lovenes hajui kinuna yeye anacheka tuu
Hawa ni wanawake wenye hormone za kiume, wapo weng Sana mtaani
I like u so much lovenessna kazi yako aki mola ni mkuu
Mm nakupenda sana mwaya loveless
Matiti yapo wapi
Dah mungu mkubwa jamani
🎉❤❤Loveness ni mwanamke na nusu nampenda saana piya anamshepu wake nilimuona kwenye mashindano ❤❤❤❤🎉napenda vile anajiamini na kujitapa kwamba yeye ni mwanamke❤❤❤
Nampenda sn Lovenes anajiamin nakupenda bure❤❤😂😂
Em ajipodoe cku moja tuzid ona uzur wake napenda sana anavocheka mashallah af kumbe mnyama mwenzangu😜🦁🦁🦁🦁🦁🦁❤️❤️❤️❤️Mchaga mwenzangu
Angalia miss fitness ndio utaamini km ni mwanamke
Wanadam wagum kuelewa wapo wengi sana wanawake zaidi ya Love
Kweli kabisaa. Wanashangaa mambo ya kawaida kabisa yani.
Haswaaaa
Nawaki kufuru wasije wakazaa kopy kama love maana watu awajui ukuu wa Mungu
Kwweli wapi mato boy lkn huyu too much jmn
@@annajohn3377 uyo sio mato boy uyo nimtu wamazoezi kapenda kua maisha hayo yajim sasa sisi weuzi tunazama machimbo kunawana riasa wa kenya love mbona priss
Penda sana loleness
Duh! Mwanaume au mwanamke sitaki kuamini
Anaupendoooo sanaaa huyu na ni very romantic😂❤
Oya mnafanana sana
Yaan mm binafsi had leo siamin km huyu mwanamke
Dahh Makonda anawaona
H😂😂 ameshindwa kumuona juma lokole amuone huyu tena mwanamke
Mashogatu wote
Mi itanichukua mda mrefu sana kuamini
Nampenda huyu dada anajiamini sana
Haaaahaaah
Kaka
Kaka huyo si yo dada
@@HanifaOman-oo4plLovenes mwanamke kuna rafiki yangu amesoma nae alikuwa anavaa Sket ila sauti ya kiume muonekano wa kiume ila ni mwanamke sio mwanaume
@@Mina.15 Mambo vp
Siamini mpaka nione mie
Jmn jmn mungu hachezewi msivuke mipaka jmn
Kwa chombo hichi aminifu cha habari naamini huyu ni mwanamke
Uliamini km bibi wa miaka 70 na kijana ilikuwa Kiki au maana hiki ni chombo kinachoaminika lkn KiKi ya bibi iliwaharibia sana na uaminifu wamekosa
@@OfficialA83640mi pia naona watu wa kiki wanaenda Kwa hizi channel fake,,na sio kama hii hapa ya company
@@OfficialA83640
Iyo video ya mbibu wa miaka 70 waliomba msamaha wa global
Suali langu mwili umekaza kwa vyuma vipi hapo nyege zinampanda huyo
Wamefanana hadi raha
Love umependeza sana umekuwa mwanamke mzuri👏👏👏
Mwanamke gani muogopeni mungu ndio mazoezi na iyo saut jee
Mashallah lakn manyonyo yako wapi jmn
Mazowezi siyo shida lakini nidhamu kama vile mwanamke, sababu muili yetu na sisi wanaume tumeumbwa kitofauti kwahiyo fanyeni mazowezi katika mipaka hili kutunza asili yako, isiwe yenye kufanya watu wawe nama mwasali mengi, Mungu anajuwa ni kwanini katuumba tofauti! Tufanye mambo yote huku tukitunza maumbile ya Mungu.
Fact
Umeongea vyema kabxa
Kabisaaaa
Scrambled eggs
😂😂😂😂😂😂😂Mimi sielewi kuwa ni mwanamk naona tu kama linaume linaigiza kua wa kike
Mbona sauti ni ya kiume au mnasapoti huu mtandao
Mimi siamini Mpaka siku Nimuone Anamimba😂🙏
😂😂😂
Hahahahah hata mim pia
😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂
Ndo umeamuwa ss
Huyo ni mwanaume hata kitenge ufungaji wa kiume huo
Mwanamke huyo kwani hujaona alivyoshiriki mashindano ya kike
Leo nacheka
Kwa kweli hapana kama mnatupiga
Mpaka Sauti ya kiume😢
Matiti yapo wapi ☺️...
Yapo wapi JE ❓🤒
Kama ni shoga sawa
Ni mwanamke huyu ndugu yangu
Mfikirie video za kupost
Loveness anachekesha
Angetuonesha picha za shule ya msingi jamani
Hapa kweli nimeamini huyu ni mwanamke
ila nimependa ako na ucheshi mwingi🥰
Mhuu sijakubali kabisa
Nyie mm nampenda huyu
Hivi ni kweli ndio hata matiti yasiwepo kweli,???
Kwa mikono hiyo migumu hivyo. Sijui
Mbona nailazimisha akili na macho kuamini kuwa huyu ni mwanamke lakini vinagoma kuamini jamani!!
Nimwanamke Tena ni mchagaa
Sio wewe tu hata mimi akili inakataa
😂😂😂😂
Hata mm asee,naona nailazamisha akili kuamini kitu ambacho kama sio kweli vileee,ilaaaaa mh hapana kwakweli
Kam kwl atuoneshe kibwenye ila naamin huyu mwanaume
😂😂😂😂😂😂
Mm nasubili apate mimba tu
Ila wanafanana
Dda Imelda fanya uende Moshi kwa wazaz wake nao tuwaskie maana daah
Naiamini global TV hapo nimejua ni mdada global hawana mbambamba😂
Jichanganyeee😂
Emelda wewe nimuandishi halaf unamshangaa...😅?? I love ❤ her
😂😂😂😂Dah naenjoy sana kumuona loveness anamaneno yakuchekesha
Hee nayule alosema lovness nimume wangu aendeakamshtaki anamzalilisha lovness jamani
wana fanana❤❤
Ungekula ya kienyeji sasa
Lavnesss Simba dam❤❤❤
Nimekataaa
Jirani yangu yuko na , sehemu za siri za kiume yuwapata hedhi
nipe namba yake
Damu iyo inatokea wapi? Au ana k ndogo
@@Leylah-pz5scunakuta ana uume lakini ndani organs za kike. Yapo sana
Wapooo watu kamaaa haooo mmoajaaa nilisomaaa naeee ilaaa alikuaaa haend period❤
Wow 🎉
Wanafanana live
Mbona ni mwanaume kabisa
Mayai nne kala yeye? Waaa
Global tv Online tunawaamini sana kwa habari zenu ila kwa hili mbona mnatuangusha et
Nakupenda lovaness
Kama vipi nitakutafuta na mm ili nikahakikishe kama ww ni mwanaume au mwanamke usitutanie kabisa,sura kama hiyo iwe ya kike😖😖😖😖
@Prossonassoro-mt9fk Weeeee kwa hiyo na ww unauhakika kwamba ni mwanamke🙆🙆🙆🙆
jamani nivituko sana 😢😞😔😅😭🤣🤣🙆♂️🙆♂️🙆♂️🙆♂️🙆♂️🙆♂️🙆♂️🙆♂️🙆♂️🙏🙏🙏🙏
Loveness nimekuona kwenye miss fitness uko vizuri una kishuzi shepu unayo haswa ila sasa hivi sauti imezidi kuwa ya kisela tofauti na kipindi kile
Nimemuona pia alikua mzuri MashaAllah
Daaaahhhhhhh
Kama kunyanyua vyuma ndo kuwa na shepu na saut ya kiume mazoezi hapana kwa kweli
Imelda naomba contains zako kuna jambo nikupe Exclusives binafsi inaniumiza
kwa ninavyo muamini lmelida mtema nimeamini kweli lovennes ni mwanamke
mimi nitaamini kama connection yake itavuja
@@dvjkelly8449😅😅
Ni mwanamke kweli niliona video zake za zamani akiwa kwenye mashindano ya misuli ya wanawake tena monalisa alikua mmoja wa majaji tena kipindi hiko love alikua na shepu ya kike kabisa
Leo ndio nimeamini kama ni mke kwa Sababu ya imelda
Nikweli kabisa naona apa mtt wa boss wangu
Imagine ndo demu wk😅😅😅
Ana watoto wawili ilawatu hawaitikaki inafika kipindi wanauliza wanaye kama kwelinimama kipinde yeyendiye amewazaa❤❤❤❤❤
Anawatoto wawili?
Mimi siyamini kama ni mwanamke
Waongo hawa wanatafutakiki
Mwanamke Nenda Kasearch Insta Post Zake Za Miaka Ya Nyuma Ni Mwanamke
Ni mwanamke kabisa
Ila misielewi sauti ya mwanaume,
Hakuna la ajabu katika sauti
Uyu kashakijengea bod ya kiume yaani hata saut bado ipo kiume kiume
Mbn sautiii ya kiumee
Mbona Hana nyonyo
Mm mwenyewe Niko na bezi la khatari na ndevu juu ila sikufanya mazoezi
Kweli jamani ni mdada huyu
Mimi natamani kumuona Loveness akiwa amejiremba
Kwa kweli ndicho kilichobak maana duuu hata ukivuta hisia kwamba ni mwanamke hisia znagoma labda ajlembe angalau hisia znamate kdg
Japo kajiharibu jaman mdada mwenzetu
Sasa mbn video haiendan na video au nmepigwa
Huyu ni mwanaume bn
Kamua kujialibu
Siyo kik kweli?
Ata apa ninapokaa nyumba ya jirani kuna msichana wakazi wakichina sijui ni mphilipino anamwonekano wa kiume siku ya kwanza kumwona nilizani ni mwanaume sauti yake tu ndo yakike ila mwonekano wake tembea yake ni yakiume kabisa
Wana HOMONI za kiume zimezidi
Ilaa mcheshii😂😂😂😂
Siyo mwanamke huyo hata maziwa hana
Angalia miss fitness utamuona mm mwenyewe nilibisha lkn nilivyoangalia miss fitness nikakubali huyo ni mwanamke
Subhana Allah
Mnaosema anasauti sauti ya kiume hivi hamusikii sauti ya dada imelda kubwa kuliko ya love 😂😂😂😂😂😂😂
Acha sauti ya Imelda sauti ya gigy je
Hawai ni mabindi jasiri sana wanajiamini mukilakitu nawapenda saana
Haiwezekan huyo kuwa mwanamke jmn jmn
Mi sipendag ata kumwona uy daaah
Sasa hd nyumbani kujiweka kiume ndy nn na yy si awe anajitofautisha kazini na nyumbani
Mbona kavaa kitenge sasa
Mwenye macho haambiwi taxama
Mijanaume mingi hilivyo hivi mishoga tynaiyona mibaunsakumbe wakitembea mavi yanawadondoka😂
Bado siamini
Sijui nicomment nn mwanamke 🥚🥚🥚🥚🥚🥚🥚🥚🥚🥚🥚🥚🥚🥚🥚🙄
Sema hii ni mara 2 naona kitu hapa hichi. Kuna yule mwanamke ana homoni za kiume. Sijui alikuwa mjamaica au msouth Africa vile. Alfu hata tusiende mbali hata LUVANGA yule mchezaji wa twiga starts pia