Masanja unyenyekevu wako unakupeleka into another higher spiritual realm where you gonna command things from above i mean heaven dimension with higher glory
Masanja ulianza mdogo mdogo kama masihara vile, sasa Bwana amekuinua mpaka watu maarufu wenye majina yao wamekukubali na umeweza kuketi pamoja nao. Hakika njia za Mungu hazichunguziki. Umekuwa funzo kubwa kwa wengi, ubarikiwe sana na Mungu aendelee kukuinua kwa viwango vingine.
Mungu hafanyi kazi kwa staili hii au nawatumishi wa namna hii,
Masanja unyenyekevu wako unakupeleka into another higher spiritual realm where you gonna command things from above i mean heaven dimension with higher glory
Masanja ulianza mdogo mdogo kama masihara vile, sasa Bwana amekuinua mpaka watu maarufu wenye majina yao wamekukubali na umeweza kuketi pamoja nao.
Hakika njia za Mungu hazichunguziki. Umekuwa funzo kubwa kwa wengi, ubarikiwe sana na Mungu aendelee kukuinua kwa viwango vingine.
Mungu awabariki watumishi wa mungu
Huu ni mtandao hatari sana 😢😢
Wamegeuza mungu baba yao
😭😭😭😭😭
Nabaki nakuuliza Tu what's going on
Wewe unampagia mungu acha upuzi wewe huwezi just njia zake
Kuna wanaokera. Vimini km vyote
Kwani kuliwa na nini wapendwa