Mbunge Aida Ubarikiwe Mno Mtumishi napenda,kukufuatilia Sana,kwa jinsi unavyo wasilisha mahitaji ya Watanzania, hakika, Una sifa zote za kuwa Kiongozi bora na si bora Kiongozi be blessed 🙏🙏🙏🙏
Exodus6:2-3 2:And God spake unto Moses and said to him, "I am the LORD. 3 And I appeared unto Abraham, unto Isaac, and unto Jacob, as God Almighty, but by my name JEHOVAH was i not known to them
Fikra duni ndizo zinazosababisha uccm na uchadema , na hili linaweza kuiangusha nchi na kuigawa vipande vipande kisa mfumo wa vyama vingi,mfumo huu ni mzuri endapo tutautumia VIZURI kama wale waliotuletea !
Mbunge Aida Ubarikiwe Mno Mtumishi napenda,kukufuatilia Sana,kwa jinsi unavyo wasilisha mahitaji ya Watanzania, hakika, Una sifa zote za kuwa Kiongozi bora na si bora Kiongozi be blessed 🙏🙏🙏🙏
Huyu Mama ni Mzalendo kweli kweli. Mtunzeni!
Unafaa Dada uko vizuri na makin kwa haki ya mtanzani
Hongera dada,katiba mpya ni muhimu,sema dada,wakuu wa mkoa wawe wazawa na wakuu wa Wilaya ili tubanane wasituletee wasio na uchungu na makazi
Hao ni kenge tuu
Chadema oyeeeeee dada Aida mwenyezi mungu akutunze naakubariki sana❤
Nakupendaaa sana madam wakilisha wananchiii miaka mia kwako
Dada umenifuraisha sana ssm wake mia kwauwezo ulionao wa kuona mbali mungu akubaliki akulinde wankasi hawakusea katiba mpya ije Toka jana
Mbuge nakupa honger sana unafa kuwa kiongozi upo vizuri unaongea point sana daaah
Ukiwa wazili mkuu utalikomboa taifa
Mi mwenyewe inaniuma Sana ndugu yangu.bora umerisema wambiee
Pole Sana Dada alafu wanatuambia maendeleo ayana chama
Haya mambo yanafanyika sehemu nyingi kwenye madiwani wa CHADEMA. Pole mh.
Huyu dada yupo makini jamani acheni utani mawazo yake chukuweni wahusika
Hongera mama
pole sana dada kwa hayo ila usichoke kupambana
Daaa sali sana uko vzr utafika mbali mhe wangu
Huu dada yupo vizur anawatoa jasho tu
Unanifaa sana dada.
Exodus6:2-3
2:And God spake unto Moses and said to him, "I am the LORD. 3 And I appeared unto Abraham, unto Isaac, and unto Jacob, as God Almighty, but by my name JEHOVAH was i not known to them
Wanalohooo mbaya haoo hii nii nchi yetu wote
Katambii wewe vp wemwenyewe ulikuwa chadema,muache aseme,dada uko vizuri,katimbi ziroooo KBS
Huyu Katambi Anatoa Taarifa Gani Yakipumbavu Namna Hii
Kumbe haya mambo bado yanaendeles nchi hii!?kweli katiba ni muhimu kuliko tunavyofikiri🙌
,katiba ni mhimu sana ťena sana
Hamnaa usingizii nchii dada Ni shidaa tu kila kiongozi yupo kimaslahi tu na familia
Sasa Amna kupiga kula tunataka katiba mpya, atutaki ujinga.
Uyu mama nimempenda bule jmn... please nipeni namba zake
Safiiii sanaaaa
Safi sana aida wambie hawajui wanajitoa akili
Safi Mama🥰🥰
Sisi ndio wamachinga wale wale wanjonge Leo wajanja kesho watakuja kutuomba kula hao wacheni tu watunyanyase
Dada uko poa sana
Daaah inauma
Ester blayani katoa macho kwenye suala la mbunge halali wa chadema, hahaha
🤣🤣🤣🤣🤣🤗🤗🤗
Nguvu ya umma inakuja
Sanaaaa
Ipo siku.
namkubali xana huyu mh wajimbo la nkasi mh kenani
Safi sana , tunataka katiba Sasa hivi.
tunaraisi waajabu sana
Waambiee wamezowea sana haoo
Dada yupo poa Sana 2025 hiyo
Nimekupenda bure dada angu natamani ningekuwa mwananchi wa nkasi
Kama wazir kazingua kias hicho namshusha vyeo
Tunahitaji Ajira za kutosha hata Kagera tuko nyuma shule na vituo Afya havina watabibu
Katiba mpya ndio solution
Ester bulaya anacheka huku anawasiwasi
Hiyo ni kwer
Katambi pwido sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Fikra duni ndizo zinazosababisha uccm na uchadema , na hili linaweza kuiangusha nchi na kuigawa vipande vipande kisa mfumo wa vyama vingi,mfumo huu ni mzuri endapo tutautumia VIZURI kama wale waliotuletea !
✌🏿
Ndiyo dada ndo maana tunaomba katiba mpya itusaidie.
Kama sijasahau ✌ walikwambia usiende tudai haki njaa ikakuzidi komaaa sasa.
Yan mtu ashinde alafu asiende kisa nn weeeee haijawahi
😭😭😭😭😭
✌️✌️✌️
DADA NAMKUBALI HUYU ACHA TU
NAANZA RASMI KUMFATILIA
Jembe
umemuacha mumeo baada yakuwa mbunge
ACHA ujinga wewe
@@sebastianmichael4031 TULIA NIKUPASHE WEWE HUJUI CHOCHOTE😂
Weinakuhusu nini kama kaachika??kaolewe wewe,au muowe wewe nyooko tu,mwanamke yuko vzr mkomeni
Mbna hata ww uliachka hatusemi
6
Zambi itawatafuna ccm
😭😭😭😭😭😭😭
cdm hua haikosei huyo ni kama wabunge mia Moja wa ccm acha dada awape vidonge tulieni dawa iwaingie viziri labda mtazinduka
Wewe katambi unawaambia nini watanzania ziba kopo lako
Unakumbuka hili la Ccm 👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
ua-cam.com/video/ZSlsLanqAdw/v-deo.html
Katimba mbovu iyo wewe