Hakika Mungu wetu anatuwazia mema kila kiitwapo leo. Tusibabaishwe na chochote. Our GOD is in control of our plight. Thank you vijana kwaya mbezi beach. Keep on magnifying the LORD.
Shaloom watu wa Mungu Tunaomba radhi kwamba hatukua hewani kwa muda kama miaka 2 kuna jambo tulikua tunaliweka sawa kiutawala lakini sasa tumerudi tena kwa kishindo na nyimbo ambazo zitakubadilisha kiroho na kukufurahisha Kaa mkao wa kubarikiwaaaa
Kawimbo kazuri sana Yaani sichokaji kusikiliza na kuutazama Mungu Awabarikia Mno
Amen mungu wabariki sana
Hongereni sana watumishi wa Mungu
Amina Mungu hawabariki wotenimeipenda iyo nyimbo Sana mubarikiwe jamani
Huu wimbo wa Furahini katika Bwana umenibaki sana na nyimbo zingine zote .
amina watu wa Mungu
Mungu awabariki sana awainue viwango vya juu zaidi
Mungu awabariki sana
Hakika Mungu wetu anatuwazia mema kila kiitwapo leo. Tusibabaishwe na chochote. Our GOD is in control of our plight. Thank you vijana kwaya mbezi beach. Keep on magnifying the LORD.
Nice song....from mwananyamala
Hongereni
Nakubali sana mungu awabariki sanaaa
Nimewakuwabali endeleeni kumuaibisha shetani
Hongreni sana vijana wenzangu
Shaloom watu wa Mungu
Tunaomba radhi kwamba hatukua hewani kwa muda kama miaka 2 kuna jambo tulikua tunaliweka sawa kiutawala lakini sasa tumerudi tena kwa kishindo na nyimbo ambazo zitakubadilisha kiroho na kukufurahisha
Kaa mkao wa kubarikiwaaaa
Mungu awabariki sana muendelee na huduma ya bwana
Amen barikiwa sanaa
Mbarikiwe sana, wimbo mzuri
Mbarikiwe watu wa Mungu
You're real the best guys. Mungu azidi kuwatumia. Ningepata nafasi ningejoin kwa utukufu wa MUNGU.
anayejua jina la solo
Amen
Nitapataje CD yenu
Cd inapatikana pale kanisan Kkkt Mbezibeach katika duka lililopo gate A
Yes
CD inapatikana kanisan kkkt Mbezibeach
Tunaomba radhi kwamba hatukua hewani kwa muda kama miaka 2 kuna jambo tulikua tunaliweka sawa kiutawala