MIMI NI MGONJWA NAISHI KWA MASHARTI MAGUMU SANA - MBOSSO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 235

  • @Naam3616
    @Naam3616 27 днів тому +8

    Subhanah Allah mboso .wallah muhimu ujue dini umevuka mipaka ya mungu kuvaa msalaba

    • @AbdirahmanAsad-c2h
      @AbdirahmanAsad-c2h 24 дні тому +1

      Ameruka boda anaitwa Johnny mbosso..kafiir huyu bila jadal

  • @ChristineElias-bn4dw
    @ChristineElias-bn4dw Місяць тому +10

    Umepona kwa jina la yesu

  • @Winleizerabdy
    @Winleizerabdy 15 днів тому +2

    Ila kwa wasanii wa bongo huyu khan namkubali sana❤❤❤

  • @edmundnkarangu134
    @edmundnkarangu134 Місяць тому +15

    Pole sana Mbosso Mungu atakuponya inshallah🙏

  • @simbaasad5811
    @simbaasad5811 Місяць тому +6

    Braza kwa maradhi hayo, kaa karibu na ALLAAH tu.

  • @mtumuhimu6793
    @mtumuhimu6793 Місяць тому +50

    Msalaba n ishara ya ukombozi amekombolewa na DAMU YA YESU NA HIYO NDIO ITAMPONYA KWA JINA LA YESU AMINA

    • @naomibejah9220
      @naomibejah9220 Місяць тому +4

      Sio kila msalaba niwayesu my dear pale misalaba ilikua mitatu

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz Місяць тому +2

      Ww matatizo yk binafsi yesu kayaponya naomba utoe ushahidi maana kama yy alishindwa kujikomboa kwenye msalaba ataweza kumkomboa yesu acha izi

    • @OmarNyota
      @OmarNyota Місяць тому +1

      Msalaba umemfanya watoto wake wote wawe ni wazinaa wote ni wanje ya ndoa

    • @sturbbornvideoz8547
      @sturbbornvideoz8547 Місяць тому

      We nawe taira kweli ww 😂 ati damu ya yesu nkt!

    • @SafielMsuya-d2k
      @SafielMsuya-d2k Місяць тому

      Well said 👏 ​@@naomibejah9220

  • @MohamedAbdirahman-c4u
    @MohamedAbdirahman-c4u Місяць тому +7

    Mashallah mbosso Khan tunakukubali tu sana King of bongo flava❤❤ 💯

  • @ShabaniAkbar
    @ShabaniAkbar Місяць тому +64

    Daah sawa tunapenda mziki Ila mboso kakosea kusema allhamdulilah.watoto wote was nje ya ndoa kidini aipaswi kumshukulu mungu na kumsiku kwa kukuwezesha kuzini.wao wote ni watt wa hao wanawake aliozaa nae.

    • @AbdallahKolowani-mf3fq
      @AbdallahKolowani-mf3fq Місяць тому +16

      Sasa amshukuru nani mtoto ni barakha kutoka kwa mungu

    • @BonifaceSesige
      @BonifaceSesige Місяць тому +1

      Daaaah pole sana mshedede kumbe unapitia changamto kubwa hivyoooo😢

    • @JokhaJokhaabla
      @JokhaJokhaabla Місяць тому +2

      Sawasawa maneno yako kwa anaelewa atasekubaliana na ww ila mbumbumbu atakukatalia na kukupinga

    • @TheReporter-A47
      @TheReporter-A47 Місяць тому +1

      Achana na mambo ya fikra za wazungu wewe ukiwa kwenye ndoa ni nini huwa inaonekana au ni nadharia tu

    • @hatibbaraka3956
      @hatibbaraka3956 Місяць тому +2

      Tatizo la wenzetu nilivyoliona wengi hawataki kufunga ndoa mapea ili wapate utulivu,sasa tunapopata hawa watoto wa kuzaa nje ya ndoa kisheria ya dini ya kiislamu lakini haiwatambui.
      Sio kwamba haiwatambui kama ni watoto bali ni uhalali kwa baba hakauna.
      Sasa tusome tuache mihemko tutafahamu tu.

  • @justinog3105
    @justinog3105 Місяць тому +17

    Mbosso umeongea ukweli mwanaume ukizoea kupewa vitu na mwanaume mwenzio utakuliwa ila kupewa urudishe sio mbaya but umenichekesha kidogo eti nipewe mi zuchu😂😂😆😆❤❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @rosemahenge9071
      @rosemahenge9071 Місяць тому

      Hahaha hata mimi imenichekesha hiyo eti mi Zuchu au

  • @DaudCYPRIAN
    @DaudCYPRIAN Місяць тому +3

    Pole kaka mbosso a k a mshedede nakukubali sana ila pole kwa chamgamoto ya kutotumia vitu vyenye sukali pole sana

  • @kamikazisalma5209
    @kamikazisalma5209 Місяць тому +15

    Innalillah wa Innaillah rajiun nimuswiba kuona mtoto waki islam umevaa misaraba nawakati dini umesoma dunia inawabeba vibaya sana mkumbuke hapa duniani tunapita na akhera panatungojea 😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏

  • @annndirangu6282
    @annndirangu6282 10 днів тому

    Ooh my favourite musician.so sorry To hear what you are going through. Sending healing your way

  • @AphrodiceMbyayingabo
    @AphrodiceMbyayingabo Місяць тому +2

    Vumilia Sanaa Mbosso Mola amekimuona tunakupenda sana nasi!

  • @halimashaban811
    @halimashaban811 Місяць тому +7

    Pole sana mwenyezi mungu akufanyie shifaa innsha'Allah 🤲

  • @Djdizzotzm
    @Djdizzotzm Місяць тому +25

    Kama unamkibali khani like hapa wakuu
    👇

  • @BahatiAli-hl4je
    @BahatiAli-hl4je Місяць тому +1

    Pole Sana bloody Allah akupe shifaa ya haraka In sha Allah

  • @shiksshiks8494
    @shiksshiks8494 16 днів тому +1

    Kwani uko na diabetes na chorestrol juu hio ndo mtu hufungiwa hzo vitu,i was once there bt nilipona,blv God atakuponya

  • @ELIFASMADEBHO
    @ELIFASMADEBHO 24 дні тому +4

    Mbosso nimusanii wa both waislamu na wakristo kuvaa msalaba anachofany nikwaajir ya fans wake😊

  • @MinaahOmary-wd8ls
    @MinaahOmary-wd8ls 19 днів тому

    Mbosso msalaba wa yesu tenaaa

  • @halimashaban811
    @halimashaban811 Місяць тому +8

    Dhaaaaaaaaah 😢
    Nimekuonea huruma jmn utapona tu innsha'Allah 🤲

  • @emorutnicholas1893
    @emorutnicholas1893 28 днів тому +1

    Napenda nyimbo zote zako Mbosso ila punguza umalaya ina hatari zake kiakili na afya kwa jumla!!

  • @charlesngeno662
    @charlesngeno662 16 днів тому

    that studio is legit

  • @vangilly4294
    @vangilly4294 Місяць тому +21

    Acheni ushambaa kuvaaa msalaba kuna shida gani Acheni ujinga huwezi mpangia mtu maishaa

    • @HEMEDIHAJI
      @HEMEDIHAJI Місяць тому

      @@vangilly4294 sawa ww km hauion shda hpo ila shda ipo

    • @rendee267
      @rendee267 26 днів тому

      Bora umeliona hilo watu wanajikuta wanaojua dini

  • @bravojay-n3r
    @bravojay-n3r 5 годин тому

    Woow like this

  • @freemanmusic401
    @freemanmusic401 11 днів тому

    Watukoomee❤
    So kwa mitwango hio...
    Duuuh!!!

  • @Abbih.Princia
    @Abbih.Princia 18 днів тому

    Ndio maana anaimba nyimbo mzuri mingi lakini anaishi maisha mabaya tu bila furaha

  • @shawnclassy5446
    @shawnclassy5446 Місяць тому +17

    Jesus can transform your health situation my bro,,,,Believe in Jesus

    • @Ibelvinjesus.c
      @Ibelvinjesus.c 26 днів тому +1

      Yes

    • @asha39earl
      @asha39earl 25 днів тому +2

      Believe in the creation or the creator of the heavens and earth? Allah is the only one who heals Alhamdulilah

  • @mishimohamed5997
    @mishimohamed5997 Місяць тому +1

    Pole sana mbosso,am mishi from kenya,plz use cannabis tea na utoe sadaka sana.

  • @CalliamKayechikwindi
    @CalliamKayechikwindi Місяць тому +3

    Mbosso anatombana sana

  • @skotziki23
    @skotziki23 Місяць тому +5

    Mbosso 4 life❤

  • @JasminiAhmad
    @JasminiAhmad Місяць тому +2

    Pole sn mbosso khn imenickitisha

  • @nelaxtv9781
    @nelaxtv9781 Місяць тому +1

    Great brother mbosso I'm your big fan❤

  • @JusticeKayuni97
    @JusticeKayuni97 Місяць тому +2

    Dada sio bahati sema mnasiri zenu

  • @StevenKapugi-y7b
    @StevenKapugi-y7b Місяць тому +3

    🎉🎉🎉🎉🎉mbosso mkweli sana

  • @abdullahalkindi6641
    @abdullahalkindi6641 Місяць тому +4

    Mbosso ndugu yangu nakusihisi vua na Acha kuvaa misalaba kama ni muislam kumbuka Una mitihani mingi ya maradhi kama unavyoongea hapo usikuhadae umaarufi ukasahau akhera yako hakuna mtu alijua kama dida ataondoka na ww zingatia hilo..unamuiga bos wako kuvaa misalaba kumbuka akhera baba

  • @marywanjiku4330
    @marywanjiku4330 Місяць тому

    Quick recovery...i love u music do much

  • @PandaKakozi-n9i
    @PandaKakozi-n9i Місяць тому +1

    Mbosso khan 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Kidabitangassa
    @Kidabitangassa Місяць тому +11

    Huyu mboso ni bartazar😂

  • @Awlo-g6d
    @Awlo-g6d 28 днів тому

    Nampenda mbosso❤❤❤

  • @drtheresiakaruhanga3543
    @drtheresiakaruhanga3543 Місяць тому +1

    Mbona mond na Hamo wanavaaga misalaba hamuwaandami, wanajuana na Mungu wao hayanihusu maana hata Mimi napambana na Hali yangu.

  • @linuskitumbu1900
    @linuskitumbu1900 Місяць тому +2

    Juu ya kutumia Food Suppliments

  • @MohamedAhmed-yi7qz
    @MohamedAhmed-yi7qz Місяць тому +13

    Mbona hawapati mafundisho kwa kifo cha Dida kwamba kuna kesho kuvaa msalaba haikubaliwi kwa muislamu

    • @LydiaIsangi
      @LydiaIsangi Місяць тому +3

      Inawezekana walisha hamia Kwa mwamposa wew huna habari😂

    • @makaveliano0174
      @makaveliano0174 Місяць тому +6

      Acha ushamba wa dini, kwan kuvaa msalaba kuna kosa gani? Mbona ma padre na ma ascofu wanavaa kanzu na hujasema

    • @nancynancy-iv8qb
      @nancynancy-iv8qb Місяць тому +5

      Kw hiyo dida alikufa kw sababu alivaa msalaba

    • @AsiaBakari-b8d
      @AsiaBakari-b8d Місяць тому

      ​@@makaveliano0174kwani wanamavaz gan wale?

    • @Onepiecefamily-v1c
      @Onepiecefamily-v1c Місяць тому

      😂😂😂😮​@@LydiaIsangi

  • @samjabri2611
    @samjabri2611 28 днів тому

    Alallah at akuponya

  • @apostleprophetkennethngoli657
    @apostleprophetkennethngoli657 Місяць тому

    Sio kwa ubaya lakini nahisi @Diva kuna hali ya kushuka kiwango.
    Omba kwa hili maana inaweza kuwa ni agenda ya adui (Mwovu) kukutoa kwenye viwango vyako

  • @nicodemusbura7669
    @nicodemusbura7669 Місяць тому

    Pole sana ndugu

  • @JarafeMomade-v4u
    @JarafeMomade-v4u Місяць тому +2

    Nikweli bro

  • @alphoncelaurent9454
    @alphoncelaurent9454 Місяць тому +1

    Ila mshedede na hujawahi kupost ata mama wa mtoto hata mmoja unastaili tuzo😂😂😂😂

  • @abdullahalkindi6641
    @abdullahalkindi6641 Місяць тому +7

    Aiseee ata wewe mbosso Leo hii unavaa misalaba....Innalilahi wanna ilayhi rajiun

    • @afrihension
      @afrihension Місяць тому +4

      Wanadamu tungeishi vizuri sana kama hatungekua na hii migawanyiko ya kidini ambayo haisaidii mtu yeyote. Mungu ni mmoja na ni wetu sote.

    • @Rakel-d9v
      @Rakel-d9v 28 днів тому +1

      Waafrika Nikama tulibebewa Akili na hizi dini , hatujui hukumu ni Mungu tu atafanya
      ​@@afrihension

    • @afrihension
      @afrihension 28 днів тому

      @@Rakel-d9v Nakubaliana na wewe.

    • @khamiskamtoi5480
      @khamiskamtoi5480 27 днів тому

      Unajua Pesa inapatikana kirahisi

    • @emmanuelbonaventura4258
      @emmanuelbonaventura4258 27 днів тому

      Waislamu mna ubaguzi sana nyinyi, huwa mnajikuta wakamilifu sana nyie na dini yenu, hamna upendo wa kimungu ndani yenu, sijui mnamuabudu Mungu gani?!

  • @carlivian
    @carlivian 18 днів тому

    🔥🔥🔥❤️

  • @SesiliaMwala
    @SesiliaMwala Місяць тому +1

    Utakua xawa mung mkubwa 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @Jamesmakoris
    @Jamesmakoris Місяць тому +5

    Natamani ningezaliwa TZ kwa sababu hakuna seriousness ya maisha huku bora ushibe na ucheze mziki

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 Місяць тому +1

    Upuuzi kabisa

  • @gagedamoursarusaru8079
    @gagedamoursarusaru8079 Місяць тому +4

    Mbosso Khan❤

  • @EsterJustine-c9q
    @EsterJustine-c9q Місяць тому +1

    Mnaofatilia misaraba hamna kazi za kufanya. Yaan roho zinawatoka kbc khaaaaa!😂

  • @karthala6676
    @karthala6676 24 дні тому

    Masalaba katiya

  • @DevoteKabura
    @DevoteKabura Місяць тому +5

    Ila kuzaazaa kwa wanawake tofauti sio fasheni.

    • @itanzaniaAS
      @itanzaniaAS Місяць тому

      Tena anakaribisha matatizo kwenye familia

    • @hatibumohamedi3471
      @hatibumohamedi3471 27 днів тому

      ​@@itanzaniaAS wew ulio zaliwa bila kuchanganya una matatizo acheni ushamba

    • @itanzaniaAS
      @itanzaniaAS 27 днів тому

      @@hatibumohamedi3471 UKIKUA UTAACHA

  • @tridun.65
    @tridun.65 Місяць тому +1

    ❤❤❤❤mbosso

  • @ShiruWachira
    @ShiruWachira 28 днів тому

    Received healing in Jesus name 😢

  • @ramadhanirama7970
    @ramadhanirama7970 19 днів тому

    Nitafute mboso ninaimani ninaweza kukutibu na ukapona hiyo shida ya moyo wako inatibika niamini

  • @SideMuu
    @SideMuu Місяць тому +1

    Unacheka😢

  • @HamisMtarika
    @HamisMtarika Місяць тому +3

    mboss wee mwisilam haipassw kuvaa msalaba kijna acha iv

  • @MovicBlack
    @MovicBlack Місяць тому

    tunakupenda hapa Cape town Afrika Kusini

  • @jaberjohn7556
    @jaberjohn7556 22 дні тому

    Mboso just take a flight come to USA l will host you , you will get good doctors they will work
    On you and you will be okay. Dr.

  • @jamiljamal5067
    @jamiljamal5067 26 днів тому +1

    Mboso kwani wewe no muislamu ama mkiristo

  • @mbeguclassic3387
    @mbeguclassic3387 Місяць тому +5

    Yani mnalazimiahwa kuacha dini yako kweli mnavalishwa mi salaba kisa ni umaarufu😢😢

    • @YamunguMatamya
      @YamunguMatamya Місяць тому +2

      Hivi msalaba una maana Gani ndugu 😢

    • @DennisFandi
      @DennisFandi Місяць тому +1

      Vaa na ww km anafaidi

    • @MariamuJuma-t8z
      @MariamuJuma-t8z Місяць тому +1

      ​@@YamunguMatamya inamaana nidini zisizo za kweli ndowanavaa misaraba dini yakweli ni lslmic peke yake ingieni katoka dini yahaki jmn achananae na mislaba

    • @HEMEDIHAJI
      @HEMEDIHAJI Місяць тому

      @@mbeguclassic3387 misalaba n ishara ya kuwa huyo mtu n mkristo na pia mkristo hapimiw mizan hvy bas tujtahd tusifanye mambo ambayo n haramu kw waislam ili tuweze kupimiwa mizan na pia kutetewa na manabii na mitume wetuu ambao n Adam A.S,Idrissa A.S,Nuhu A.S,Hud A.S,Swaleh A.S, Ibrahim A S,Luty A.S,Ismail A.S,Is-haqa A.S, Yaqub A.S, Yusuph A.S,Shaib A.S,Ayoub A.S, Dhul-kiflin A.S,Mussa A.S,Haroun A.S,Daud A.S, Suleyman A.S, ILyaas A.S, Alyasaa A.S, Yuwnus A.S,Zakaria A.S,Yahya A.S,Issa A.S, Muhammad S.A.W

    • @Rockbalozi
      @Rockbalozi Місяць тому +5

      ​@@MariamuJuma-t8zwewe unajuwa aje kama hiyo dini yako ni ya kweli, na ulizaliwa ukakuta dini zipo,.

  • @PeterRas-o7d
    @PeterRas-o7d Місяць тому +2

    Mimi Ni Mkristo Mboso Wewe Cjui Dini gani😂😂

    • @MariamuJuma-t8z
      @MariamuJuma-t8z Місяць тому +2

      Dini yake niilee yakwenda jpili cjui jpili huawanaenda dini gani

    • @RitbayRitbay
      @RitbayRitbay Місяць тому

      😂😂😂​@@MariamuJuma-t8z

  • @Aimeprince257
    @Aimeprince257 Місяць тому

    Atakua ka nyeto sanaaa ndo maana mikono inatetemeka

  • @Prince_mpdBen_walao
    @Prince_mpdBen_walao 18 днів тому

    Nisha_sikia_mbosso_akipanda_hashuki_nandomana_kaimba_mushike_huyo____tokea_#BENI_DRC

  • @africanmandetraveler2847
    @africanmandetraveler2847 28 днів тому

    Mna discuss zinaa media ya hovyo.

  • @YoungBreezy-k4w
    @YoungBreezy-k4w 29 днів тому

    Kuma sana huyu alieandika hivi

  • @Bintiiiiiiiiii
    @Bintiiiiiiiiii 27 днів тому

    Mbona kavaa hiyo plus ➕?

  • @jrm9448
    @jrm9448 25 днів тому

    Ila li diva ni libaya. Sura limeumika

  • @salumunsabimana6502
    @salumunsabimana6502 23 дні тому

    Wewe huwezikupata kipaji cha marehem dida .

  • @josephjumaone
    @josephjumaone 27 днів тому

    Hello Mboso, DM I'll help out on your journey to great health.

  • @KINGABUMEKAR
    @KINGABUMEKAR Місяць тому +10

    MBOSSO MUONENI IVOO LKN ANAKAMIAA KITANDANI YAANIII AKILIPATA LISHANGAZI ANALIKAMIAAA MAMAE

    • @chodo09
      @chodo09 Місяць тому +1

      Ashakukamia ????

    • @Ethnicfm91
      @Ethnicfm91 Місяць тому

      Ningekuwa Sina Adabu Ningekuuliza Umejuaje Au alimkamia Shangazi Yako?

    • @AgnesJohn-f1r
      @AgnesJohn-f1r Місяць тому

      😂😂😂​@@Ethnicfm91

    • @IdarousPossy
      @IdarousPossy Місяць тому

      Alikupelekea moto nn

    • @AnethMushi-c3e
      @AnethMushi-c3e Місяць тому +1

      Asifiaye mvua imeny__😅

  • @Goldenstarz254
    @Goldenstarz254 Місяць тому

    Safi

  • @lambertbitaofficial1998
    @lambertbitaofficial1998 21 день тому

    😢

  • @StellaMbinya
    @StellaMbinya 27 днів тому

    Bro nakuombea Sana upate kupona ila tafadhali nitafute Nina dawa nzuri Sana ya moyo itakuponya Niko Kenya pls usinipuuze

    • @bonifacekasoka4048
      @bonifacekasoka4048 27 днів тому

      Mbinya unataka kumpeleka Kwa kavonokya?

    • @StellaMbinya
      @StellaMbinya 27 днів тому

      @bonifacekasoka4048 nikafanye nini kwa kavonokya

  • @AminaMjuju
    @AminaMjuju Місяць тому

    Uyooo mkaka wa nyuma namsalmia

  • @bahatifaustine6440
    @bahatifaustine6440 28 днів тому

    Mboso ana acid reflux jaman gonjwa linatesa hili acha tu

    • @emilyatieno7924
      @emilyatieno7924 27 днів тому

      sounds like diabetes

    • @bahatifaustine6440
      @bahatifaustine6440 22 дні тому

      No, co sukari.. Me naumwa hyo asid, yan ukifurah sana ni shda,ukihuzunika ndo kabsa, ukikasirika ndo usiseme..ukila vyakula vya mafuta au mangano ni shda, moyo unaenda mbio, ganz na kutetemeka mikono... naptiaga hizo hali so namuelewa sana anachoptia

  • @Rizikiskitchen
    @Rizikiskitchen 23 дні тому

    Ila kama ni ugonjwa ambao unaweza kutibiwa kwanini usifatilie matibabu?

  • @abdullahalkindi9673
    @abdullahalkindi9673 Місяць тому +2

    Sasa msalaba na Mboso inahusu nini? Au ndio fashion ya Wasafi maana na boss Diamond ndio analo msalaba

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 Місяць тому

    Mbona kila siku story hizo hizo za mboso

  • @ndarnationsoundtz
    @ndarnationsoundtz Місяць тому +1

    Kwanini watu mnajaji kuwa muislam awezi kuvaa msalaba kwani akivaa kuna ubaya gani uyo ni msanii yupo kibiashala zaidi msijifanye kuwa mnajua dini sana kuwa sharing watu jichunguze wew na sio kuongelea wengine

    • @AmourAmour-ux3nm
      @AmourAmour-ux3nm Місяць тому

      Kuhusu hilo kwa muislamu haifai kujishabihish n mambo ambayo ni alama kwa Dini nyengin... uislamu ni dini yeny utaratibu maalum n nidhamu yake lkn kwa hapo kijana yupo makosani hajawa kafiri muda ambao hajaikan Dini yake

    • @FrenkMushi-i7f
      @FrenkMushi-i7f Місяць тому +2

      ​@@AmourAmour-ux3nmKwaiyo na uo mziki anao ufanya ni aharam tatizo lenu nyie mnajikuta Sanaa km vile MUNGU ni mjomba wenu

    • @Smart12-p2q
      @Smart12-p2q Місяць тому

      @@FrenkMushi-i7fwewe Vipi heshima watu zote si kuu ina chuki kwa bi nasafi kaka😊

    • @AmourAmour-ux3nm
      @AmourAmour-ux3nm Місяць тому +1

      @FrenkMushi-i7f mimi Dini yangu ni uisilamu tena kwa kuisoma je na wew ni muislam km sio muisilam lugha nitakayoitumia huwez kuielewa............ Karibu nikufunze

    • @IbniAbbas-yz3kt
      @IbniAbbas-yz3kt Місяць тому

      ​@@FrenkMushi-i7fhivi kwanini ndugu wakikumbushana nyie mnapenda kushadadia sana na kupanic!?shida mnashindwa kuelewa kwa kuwa tunatoutiana sana!ila yeye mwenyewe anajua kuwa hilo analofanya ni kosa!yaan sawa na nyie mambo yenu mnayajuwa wenyewe ila sisi hatuyajui!!

  • @HEMEDIHAJI
    @HEMEDIHAJI Місяць тому +1

    Kumbe mbosso kashabadl dini maana naona msalaba shngon hpo

  • @SabihaKhamis-q4m
    @SabihaKhamis-q4m Місяць тому +7

    Mboso Rudi Kwa mungu bada ya dida ni ww

  • @FatimaAbdulla-s4i
    @FatimaAbdulla-s4i Місяць тому +3

    We dini yako ipi, iyo umevaa ishara kuwa ww si muislam

    • @Smart12-p2q
      @Smart12-p2q Місяць тому

      Dini yake ni muslmu hamna shida na yeye kina ya wa bongo si chuki mtu kwa mambo wena fanya Eti mimi muslimu mi si chuki watu kwa dini wena fuata lazima hesima watu si Judge mungu ana judge 😊

    • @HEMEDIHAJI
      @HEMEDIHAJI Місяць тому +1

      @@FatimaAbdulla-s4i sahh n haramu kw muislam kuvaa misalaba na shda ya technology hii video inaishi alf Mbwana n muislam Mungu amfanyie wepesi asiwe anafanya mambo ambayo n haramu kw muislam

    • @RitbayRitbay
      @RitbayRitbay Місяць тому +1

      ​t12-p2q Haram kuvaa misalaba ni haramu asiwe mnafik kma anatka ukristo aende aache dini kma ilivyo sio kufanya misalaba misalaba hpa

    • @Smart12-p2q
      @Smart12-p2q Місяць тому

      @@RitbayRitbay Sawa Nakubail Wewe Una sema kweil mungu akubariki basi

  • @JescaMwagama-oc9yt
    @JescaMwagama-oc9yt Місяць тому

    unawatoto wengi sema hutakag swali hilo

  • @Yesuniwokovu
    @Yesuniwokovu Місяць тому

    Nimeona nipite nisimalize bando

  • @KeaSaid-q5u
    @KeaSaid-q5u Місяць тому

    Mkufu wa msalaba ni Nini sasa?

  • @JehhusRaoul
    @JehhusRaoul Місяць тому +1

    Mboso yule dada alifariki alizaa nae

  • @KeaSaid-q5u
    @KeaSaid-q5u Місяць тому

    Anasukari huyu

  • @iptisamismaill-f6h
    @iptisamismaill-f6h Місяць тому +1

    its time to leave mbosso

  • @UwimanaLiah
    @UwimanaLiah Місяць тому +3

    ivi uyu mbosso ni muislam ao 😢🙄🙄mbona wanava misarabaa 😂😂

  • @naimadam1588
    @naimadam1588 Місяць тому +2

    Kumbe mbosso aliretadi kwenda kuwa mkiristo, hasara kubwa

  • @aboudijaaboudija
    @aboudijaaboudija Місяць тому

    huyo diva nae akili zake khee

  • @HassaniVuai-xe4gk
    @HassaniVuai-xe4gk Місяць тому +1

    Mboso ww ni muislam au ni mkristo coz umevaa cheni yenye msalaba

  • @Maryam-vj1rb
    @Maryam-vj1rb Місяць тому

    Mboso kwani wewe Mkiristo?

  • @HassanSadiki-u1z
    @HassanSadiki-u1z Місяць тому

    Mbona umevaa msalaba

  • @relaxstarman
    @relaxstarman Місяць тому

    😂😂😂