SAKATA LA SUMU YA GAS BEACH KIDIMBWI, MENEJA AFUNGUKA "WAKO POLISI, WIVU WA MAPENZI"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 31 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 24

  • @bakarikayugwa3295
    @bakarikayugwa3295 3 роки тому +6

    Daaa pazuri Sana kumpiga teke chura ni kumuongezea spidi hawawakomoi bali wanajikomoa hizo ni mbinu za mtu alishindwa kupambana na kujipambaunua anakimbilia kuchufua tu ili wooote wafeli kama we umefeli feli kivyoko ila ndo tatizo letu wabongo

  • @ciciandjojo7701
    @ciciandjojo7701 3 роки тому +1

    Beach kidimbwi pazuri jamani. 👏💪💕watu wabaya waachei kuwaharibia wenzao biashara

  • @kedyjohn1848
    @kedyjohn1848 3 роки тому +1

    Logically, Kidimbwi is an open space: sioni ni jinsi gani moshi wa sumu (spray ya mkobani) ingeweza kuathiri makumi ya watu. Hata ukiwa na sumu hiyo bado itaevaporate in the endless air na kuwa less toxic.

  • @matinazaidi
    @matinazaidi 3 роки тому +3

    Uongooo tu wabongo wameshindwa kubuni mbinu nzuri yakufanya biashara basi wanamharibia mwenzie..Hili ndilo tatizo letu

  • @kudoja_fish_shop9592
    @kudoja_fish_shop9592 3 роки тому +1

    Nipen jins ya kufika kidimbwi jaman

  • @biggestnasritv2601
    @biggestnasritv2601 3 роки тому

    THE BIGGEST BOSS NASRI

  • @mamylnkuzi8482
    @mamylnkuzi8482 3 роки тому +1

    Uo uongo tuu watu wote hao ...roho mby z watuu

  • @neemanyerere5160
    @neemanyerere5160 3 роки тому

    Mmmh

  • @omarylukindo5306
    @omarylukindo5306 3 роки тому

    Nan kaicheki video hii akivuta taswira ya uto na manara juu ya kidimbwi😂

  • @irakozejclaude7869
    @irakozejclaude7869 3 роки тому

    Kindimbwi Safi siku nikija tz nitafika

  • @salehsuleiman1218
    @salehsuleiman1218 3 роки тому +1

    Ipo wapi hii kidimbwi

  • @moodychanday9220
    @moodychanday9220 3 роки тому +1

    Inapatikana wapi hii please

  • @fatumaabdallah1064
    @fatumaabdallah1064 3 роки тому

    Iko wapi

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 3 роки тому

    Duh noma

  • @salehsuleiman1218
    @salehsuleiman1218 3 роки тому

    Kidimbwi hoteli ya utopolo

  • @alihu3752
    @alihu3752 3 роки тому

    Shida tu bongo zinasumbua kuhalibiana biashara

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 3 роки тому

    Wivu wa kimaendeleo wanataka kuwaharibia mpoteze wateja