I wish hii nyimbo ingefanyika on live on stage with full of Instruments like drums. Ni fire sana. Bass guiter Malaika wakulinde popote ulipo. You made justice to this song, transition ya wimbo kutoka bila beat, kuja 1/4, then 4/4 💫. Huu ufundi wote ungefanyika kwenye live stage ingekuwa balaa sana
Huu wimbo ni ibada kamili mbele za Mungu. Leo siku ya pili kila nikitulia naingia UA-cam kuusikiliza upya, hii itakuwa mara ya nane kwa leo tu. Nahisi uwepo wa Mungu kila nikiusikiliza. Mungu aendelee kuwatumia na kuwabariki ktk utumishi wenu wapendwa.
Mie pia mchina ndio chaguo langu, japokuwa wote wanaimba jamani huwa wananikumbusha uwepo wa Mungu. Soloist wote ni wazuri, kwaya nzima ina mvuto nawapenda kuliko!
nampenda sana huyu mama mweusi please naomba namba zake nampenda mnoooo naomba niongee nae hata neno moja tuuuu. basi naomba mwambieni kua kuna binti anampenda natamani nije kua kama yeye sio kiumbaji bali kama mama mwema wa nyumba yangu atayonibariki Mungu
Mungu awabariki sana ila wanaolichafua kanisa la Mungu kwa sifa mbaya basi watubu dhambi zao ili kanisa la Mungu liendelee kuwa safi maana sisi ni nuru ya ulimwengu na watu wanataka wajifunze kupitia imani zetu.
naomba kujiunga AICT chang'ombe 😭😭😭
What a song!, if you like this song please don't forget to like this comment.
Amen
I wish hii nyimbo ingefanyika on live on stage with full of Instruments like drums. Ni fire sana. Bass guiter Malaika wakulinde popote ulipo. You made justice to this song, transition ya wimbo kutoka bila beat, kuja 1/4, then 4/4 💫. Huu ufundi wote ungefanyika kwenye live stage ingekuwa balaa sana
Nazidi kunarikiwa
Mbarkiwe kwa kaz nzur
Still listening and watching 2022...be blessed 🙏
Asanten xana kwa nyimbo nzuriii mung awape neema teleee amina
waimbaji kazi nzuri sana mungu aweteteee kila saaa damu yke iwafiche kutoka mabaya yte God bless cvc
Huu wimbo ni ibada kamili mbele za Mungu. Leo siku ya pili kila nikitulia naingia UA-cam kuusikiliza upya, hii itakuwa mara ya nane kwa leo tu. Nahisi uwepo wa Mungu kila nikiusikiliza. Mungu aendelee kuwatumia na kuwabariki ktk utumishi wenu wapendwa.
Oh my God, what a wonderful song, Repentance and Holiness, we are God's instruments, who is listening with me this an amazing message
Mko vizur dada zangu mungu kawapa sauti nzur za kumwmbia
Utukufu kwa Yesu,jamani mbarikiwee mnatuponya kupitia uimbaji.Mungu aendelee kuwainua saidi na zaidi
Nawapenda sana changombe vijana..tangu zama za vunja,.Gusa..mpinga Kristo,usiku was manane..sasa pazia..Mungu azidi kuwapa nguvu,.
The 3 women soloists, God bless you all changombe family
This is the best song to my side that I have ever heard from you Servants of God. Christ Jesus be with you all there you're
MUNGU Atukuzwe kwa sauti zenu waimbishaji (muimbishaji wa Kwanza nakupenda bure, )
Nawapenda sana, tuwe safi na wasikilizaji, asanten sana
Wimbo huu ni kati ya nyimbo za cvc zinazonibariki sana
Mungu awabarik kwa kaz kubwa mnayoifanya🙏🙏nawapenda mnooo mkaimbe mpaka mbingun
Hakika kwaya hii ina vipaji jman ad raha ❣️ Mungu awatunze muendlee kumtumikia yeye.
Mbalikiwe sana watumishi
Nawapenda sana watumish
Nawapenda sana hua munifanya niyaone maisha kua mepesi sana kila nigusapo hapa aaaa ni upako tupu
Wimbo huu unanibariki sana
Aict tunabarikiwa sanaaa
Mungu wa mbinguni awabariki xn
Kutoka Kenya, ukwel wimbo mzuri
Nabarikiwa sana Nyimbo zenu,BWANA awabariki.
Amina mvarikiwe sana
Anaonyaa Isayaaaaa duuuu Bahati uko vizuriii
God bless you changombe choir you are really blessing to me I'm from Kenya.
dada wa kwanza amenibariki,,,nawapenda sana hawa masololist,,mbarikiwe sana na penda kuwaangali kila saa
Mungu awabariki sana,wimbo mzuri huwa unanibariki mno.
Mimi huu wimbo naurudia mara kwa mara.. naupenda sana
Tuweni safi waumini
Hongereni waimbaji wote wa Chang'ombe choir (CVC)
Umetulia saana unapoimbisha kwaya
Amen kitakatifu
I just love 💕 this song Mungu azidi kuwabariki
How I love you people of God. I wish one you serve with us here in Mwanza at Nyamhongolo EAGT Christian Centre.
God bless you much.
Iweni Safi,unanibariki sana huu wimbo,God awabarik kwa kazi yenu
wimbo mzuri Sana'a wapendwa mungu akubariki
Mungu awa bariki
Ata mbinguni malaika wanasujudu na kuabudu kwa imani nyimbo zimejaa upako tele
Heavenly Tone! ❤
mungu wa mbinguni awatunze wote, duuh!! mbarikiwe sana.
I love this woman ,God bless you
Mungu awe nanyi nimeupenda wimbo huu asanteni Sana
Mungu awe nanyi kwa kutangaza Nina la BWANA
Your songs are good
namuona marehemu mariam,Mungu akulaze pema peponi
Mariam ni yupi hapo nisaidie mpendwa, kifo chake cha kikatili kiliniumaa!
Endeleeni kuitenda kazi ya bwana maana kwa kufanya hivyo wengi tunabarikiwa .mungu awatie nguvu
u touch my heart...the 1st sololist be blessed
Heart touching message!!! iweni safi watu Mungu - tunaonywa
Iweni safi
Yaani hapa nawapata huwa waimbaji wanaonibariki sana hakika kila anachokichagua Mungu ni kitakatifu Mungu awabariki sana.
Wimbo mzuri saaanaaaa Na ujumbe mzuri
Bwana atakutangulia kisha atakufuata nyuma.....ahadi za Mungu ni kweli.
Hongereni sana watumishi wa Mungu nyimbo zenu zinanigusa mno,Wilkins Muhoroni Kenya
Asanteni sana naam, Kitakatifu! Wellcom back our proud choir. Iweni saaaafi!
nahisi kuzimia kwa kufuraia nyimbo hii hasa sololist ya pili huwa mwli unasheki kwa saut ya pangoni aseee Balikiweni mpka mchaganyikiwe
Mie pia mchina ndio chaguo langu, japokuwa wote wanaimba jamani huwa wananikumbusha uwepo wa Mungu. Soloist wote ni wazuri, kwaya nzima ina mvuto nawapenda kuliko!
Am blessed by uour ministry of preaching through music.Hod bless you
uyu mamaa ananibarikigi saana jehovaa nisii barikiwa mamaa
Kwa kweli nafarijika sana na uinjiristi wenu wa nyimbo.Mungu awabariki sana na tena sana
daaaaa very nice ukijuaa sauti aliyekupaa ni anaepaswa kusifiwa hvy huna budi kupaza sauti yako nakumsifuuu be blessed all
Sifa na utukufu apewe Bwana.. Mungu awajalie wazidi mtukuza Mungu
Huu wimbo naupenda.
barikiwa san wapendwa hakik mnatend moj y karam tulizopewa mwenyez mung azid kuwaongza msongee mbele zaid
iweni safi,unanibariki Sana huu wimbo
hakikaa nikitakatifu m barikiwe sawaà.
Safi sa Aic Chang'ombe Mungu awatunze
Mungu awabarik nakuwatunza katika wito wenu. lovn u ol.
Amina.....iweni safi safi kweli,kila mtu.inabariki sana wangu
Heko soloist. You are in a higher level. Allow Christ to use you
Nice sanaaaaaaaaa
My lovery song
Am blessed with this song may u God of heavens bless chang'ombe choir and be a bodily parts of God
nampenda sana huyu mama mweusi please naomba namba zake nampenda mnoooo naomba niongee nae hata neno moja tuuuu. basi naomba mwambieni kua kuna binti anampenda natamani nije kua kama yeye sio kiumbaji bali kama mama mwema wa nyumba yangu atayonibariki Mungu
I really blessed
Mungu na awaongezee upaki
Naaaam,anaonya isaya anaonya....
Good song
Safisana nizamyenu safisana vijana
Muimbishaji wa tatu,nakupenda bure
Mungu aendelee kuwabariki kila iitwapo leo, nabarikiwa sana na kazi zenu
nili skiza ule wimbo "hakuna " na nikampokea yesu. mungu awa bless sana. kitakatifu kila anacho chagua
uko vzur sana mama sololist ubarikiwe.....pia kwaya nzima kaz yenu ni njema saana
Mungu aendelee kuibariki Huduma yenu wanangu.
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
huu wimbo unanitia nguvu jaman mbarikiwe sana
Naipenda sana chang'ombe mungu awabariki
nabarikiwa Sana na wimbo huu, Mungu awabarik cvc
Huwa napendezwa sana na ujasiri wake was kufikisha ujumbe kwa viungo vya mwili
changombe has always been a blessing and my best choir this century
Mungu awabariki sana huwa napenda huduma yenu tangia enzi za mpinga kristo, gusa ucku wa manane n.k mungu awape kuinuka zaid ya hapo
Napenda sana uimbaji wenu, barikiweni sana kwa kazi nzuri
Ameeeen hiki ndo kinanifanya niamin kupitia aict mnanibariki sana
Mko vzr sana na poleni sana kwa mcba wa mwenzenu
Tafadhali weka ule wimbo wa halleluya iko kwa hii album
Huwa napata baraka sana Nina posikiliza nybo zenu zimefanya mi
Nimjue ..Mu ngu
Nawapenda sana kwa nyimbo zenu
Mungu awabariki sana wana CVC
Mungu awabariki sana ila wanaolichafua kanisa la Mungu kwa sifa mbaya basi watubu dhambi zao ili kanisa la Mungu liendelee kuwa safi maana sisi ni nuru ya ulimwengu na watu wanataka wajifunze kupitia imani zetu.
Bety lucas
I real like the song, Mungu awatangulie pia katika kazi hii aliyowaitia ili watu wengi waendelee kumjua Mungu
Naizipendaga sana nyimbooo zenuu munguu awabarikii sana