Buy it from iTunes: geo.itunes.apple.com/in/album... "Waite" Video by Mrisho Mpoto. SUBSCRIBE Mziiki For Best African Music | bit.ly/1uNJIXi #LISTEN | #LOVE | #SHARE
Mrisho Mpoto wewe ni bingwa wetu!!! Watanzania na wote wale watupendao tumtangaze Mrisho Dunia nzima aweze fahamika na kuijua Tanzania na utamaduni wake!
Nimekuja kaka jamani nawengine nawaita njooni apa kuna elimu sana tena mafunzo makubwaa jamani njoooooooon uku kumekuchaaaaa ✊️✊️✊️✊️✊️✊️✊️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️🤳🤳🤳
Ila mjomba anamaani kitu cha maana sana hasa kwa viongozi wanaotupiga ambao mpaka leo wana tusumbua na mikataba mibovu japo wamesoma lkn sasa matumbo yao ni shida kwa Nchi hii Jamani Mungu Tukomee Tz taifa lako Baba!
Nani mwingine yupo anasikiliza kutoka mwanamuziki na mashuhuri Tz 25/2/2024
mimi trh4 leo mwenzi wa 3
Leo
Nan mwingine anasikiliza JUL 2024 gonga like
kama upo hapa 2025 nipee like🎉🎉
2022 nani yuko hapa tuwaite na wengine😊
2022
❤❤
2023
Wameitwa na magu wamemtoa roho. Wanaitwa na makonda sasa wanataka kumtoa pia
Ukweli unaelimisha
alikuwa mbuzi . lakini angekuwa , angekuwa ng'ombe.😆😆😆😆
Nko nayo mpaka leo 2023 naendelea kuwaitaaaaaaa 🫶🏻🫶🏻🫶🏻🫶🏻🫶🏻
Tupo
05_07_2024🎉 nmekuja tena bdo kali
anaetazama 2019 konga like
Disemba 2023 bado tunasikiliza mawaidha ya MJOMBA.
Can't stop listening to the lyrics + rhythm....hard to find what he really means....
I know it is quite off topic but does anybody know of a good place to stream newly released tv shows online?
Listening from the lakeside city of kenya....mrisho has got alot of intelligence still wondering why ....he isn't appreciated to the level I want
Mrisho Mpoto wewe ni bingwa wetu!!! Watanzania na wote wale watupendao tumtangaze Mrisho Dunia nzima aweze fahamika na kuijua Tanzania na utamaduni wake!
2022 I'm still watching this
this dude is a true poet,mad respect bigman mjomba
mjomba hakika wewe ni genius..leo 2022 naitazama..lakini nyimbo za ajabu ajabu zina viewers wengi, mpoto nipo nawewe popote pale
Leo hii nimm masikilizano mjomba hakika Waite
Kwa mini huu wimbo hijfikisha 10 million views still wondering....much love from the lakeside city of kenya
I listen to this song several times to understand what you convey. Salute chief
Big up my brother.
One love from Angola.
🏢🏢🏢🐶🐩🐶🐩🏢🐶🐩🐶🐩🐶😊🐩🏢🏢🏢🏢🏢🏢🏢🏢🏢🏢
Sure so much love from Kenya
Africa traditional from Tanzania
Hii nga inamuhusu Magufuli kipindi anawania uraisi sasa hapo ndio nimekuelewa Moto
I love all your songs ❤️♥️♥️ from Kenya
2024 mko wap
Nawaita pia wa Kenya wenzangu mjomba wetu wa Africa mashariki
Here after listening it in radio maisha
2023
Can't stop listening to this masterpiece till now 2021
Me too
Nimekuja kaka jamani nawengine nawaita njooni apa kuna elimu sana tena mafunzo makubwaa jamani njoooooooon uku kumekuchaaaaa ✊️✊️✊️✊️✊️✊️✊️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️✍️🤳🤳🤳
Hii ni sanaa ya Hali ya juu sana. Taswira za kitosha kabisa na zenye UJUMBE mzito sana. Kongole sana
2020 tupoo,gonga like
2023 here we go ❤❤
Ila mjomba anamaani kitu cha maana sana hasa kwa viongozi wanaotupiga ambao mpaka leo wana tusumbua na mikataba mibovu japo wamesoma lkn sasa matumbo yao ni shida kwa Nchi hii Jamani Mungu Tukomee Tz taifa lako Baba!
Uko vzur kwa tungo zako tata❤️❤️❤️🙏🙏🙏
huku kenya twaipenda 2020 bado
Nakupenda mjomba , nazidi kukupenda hasa pale unaposema kuku anaetaga hachinjwi.
Wewe ndo uliyebaki kuidumisha utamaduni wetu 🥰🥰🥰🥰🥰
Kila nikisikiliza hua na gain msemo mpya huyu jamaa ni noma sana
karibu kwetu Congo Kinshasa tunakumis Sana mjomba
M nahis ukitaka kumuelewa sikiloza nyimbo ikiwa mpya sio mda unapita ndo inaenda kusikiliza
Hii ngoma naipenda sana
Mjomba waambie waje ukweli waufiche moyoni na uongo mdomoni tutawaelewa. Tunawasubili
Mm Pius mossae sijaelew kiundan hil shail. Ila nimepata kitu juu ya rushwa juu ya wanasiasa na mabeberu wakiita ni zawad
WAITE WAITE WAKALISHE CHINI WATUELEZEE....ILIKUWAJEE WAKAOTA MAJIPU!! Mashairi saafi sana!
Alikuwa mbuz mdogo tukamla kaixha bax
Uyu jomba na mashairi nampiiga saluti 😊
I ❤❤❤❤❤❤ this song bytha
Ooooh my dear mmmmmwaah
nakuelewa baba,na nakubar haswaaaa
Ninaipenda sana nyimbo ya waite bigg app kwako mrisho mpoto
mjomba ndo kila kitu anasimama yeye tu bongo wengine wanachutama daima long live viva mpoto
Ahhahahahha unajua mzeee
Liswa Bayege kutoka Simiyu hongera,Waite.
Best artist that Tanzania has ever produced
Good work mrisho hata kenya umevuma sana... hongera toka taiwan 👌👌
Maarifa yananipa kutanga na Mrisho
Love this song so much
Swali kwa swal, swali kwa maelezi na swali kwa mkato.
Jamaa anaijua sanaa hasa kwa upande wa Mashairi
Mimi sjaelewa kinachoongelewa huja japo beat ndo naipenda maudhui ya wimbo kwakweli mm niko kushoto
hongera sana kwa ujumbe
Nakubal kaka mungu akulinde daima
Noma kaka
Mjomba hii ngoma ni noooma nakuona uko na mzee wa USALAMA KWANZA..... GGM
💯💯💯💯
Tumeitika tukaketi I say...waaaaaa! Moto hiiiii....Ahsante mjomba.
Kazi ya fasihi💪💪💪
Anaekula kwamikono miwili awezikushiba kamweee never. Hahahahah asante sana mjomba mpoto
Mean ukawa
Nawaita lkn hawtki kuja mbna????
mashairi yako yanahamasa sana na ninayaelewa sana maana mengi yanahusu wanasiasa wetu
Sijaelewa chochote ila wimbo nimeupenda😂😂
hapo anangelea wakoloni
1/1/2020 still watching
gta nmlio nmeuelewa sana dumisha uhuru na umoja wake kwa waume na watoto mlio wa gtaa nmeusoma
Hatar fumbo mfumbue mjinga ajueeeeeee
More love frm kenya
usiwaite kaka MPOTO achana nao.
Asanteee kwa ujumbeee Mzuri sanaaa
Hili dude Mjomba sijui kama utaweza kulipiku! Kali sana!
Gud mpoto.we ni nguli wa fasihi
Yan mm jamn huyu jamaa sijui nitamuelewa lin
Waiteeee Waite wakalishe cini mzuri sana
wewe ni shujaa wa kweli kaka mrisho ,hakuna mwingine zaidi yako kaka, unatesa sana.
Waite waitazame tena 2020 roading
what does the lyrics say? I am called here because of the name of the song, but I don't understand the language. help?
Asante Mrisho shairi tamu sana maneno yamekolea tena ya kiutu uzima endelea na kazi nzuri ndugu. Ama kweli Muungwana hanuni kwa mashavu hununa moyoni
Revokatus
Hello m nimezielewa
Asahante mrisho ujumbe wako ni mzuri sana
Mrisho.potto.nimwisho.kwakuelimisha
The best song ever
mrisho mpoto namukubali sana
This is mpoto aisee anajua sana 👍👍🔥👏🏻🙏🏽
Mrisho hii Kali
mrisho weee,ni jembe
Kuwaita muhimu saaaan
Imenichukua mwaka mzima kuelewa wimbo
Unaweza kunielewesha nami mjomba?
@@hbhajji8128 wapi hukuelewa mjomba.
Ulipoelewa we nieleweshe tu maana mafumbo ya huyo mjomba mpaka ule ushibishe ubongo ndio ung'amue😁😀
hakuna kama wewe mpoto ur the bes
Mrisho🔥🔥
minima sana
Tupo
Naupenda sana huu wimbo enzi za ubiti tunasutana 😂😂
weye ndio mwamba baba la baba Na kukubali sana
Safi sana mpoto
2022 April 28 Nani Bado anamcheki mwamba wa Misamiati TZ Mpoto?!
Hadi nimemaliza wimbo kuelewa maana yake hamna