Mrisho Mpoto Ft Kassim Mganga - Kitendawili (Official Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 236

  • @shakurfaith
    @shakurfaith 4 місяці тому +3

    Miaka 6 mbele lakini bado hii nyimbo inafikirisha sana.
    Kitendawili Mjomba

  • @kisshydirector2630
    @kisshydirector2630 7 років тому +26

    nipo zimbabwe sijui kiswahili ila ngoma nimeielewa gonga like kama wewe ni wazimbabwe

  • @sethstiven3393
    @sethstiven3393 7 років тому +18

    Apewe tuzo huyu MRISHO au mnasubir afe mseme tumepoteza jembe

  • @calistobwire2590
    @calistobwire2590 4 роки тому +5

    Kama hujui ilipo bahari tumia mto kwenda😂😀nipo Kenya nakupenda Sana mrisho

  • @isackamgavilenzi7926
    @isackamgavilenzi7926 5 років тому +6

    Kwa watanzania tunaolaumu vyuma vmekaza(kuchoka kula maharagwe) tusubili mafanikio ya miradi hii inayowekezwa kwa sasa (tusubili banda lijae)

  • @mwitajames3586
    @mwitajames3586 7 років тому +15

    KUKU ANAE TAGA ACHIJWI AKICHIJWA MSIBA.
    TUSUBIRI ATOTOE TUHESABU VIFARANGA NA MAYAI VINZA.
    HESHIMA AKO MPOTO.
    AWAIJUI MIIKO KUA SI WAFUGAJI UKUTA VIMETEGWA KWENYE SAHANI.

  • @avirlkagisa5073
    @avirlkagisa5073 7 років тому +26

    nimekuelewa sana Mrisho Mpoto hahahhaahha wana fasih mko wapiiiii kumpa likes nyngiiiii

  • @azizymachadeson3577
    @azizymachadeson3577 7 років тому +2

    nmekuelewa sana dingi, hebu ngoja nami nisubiri banda lijae mana nmechoka kula marage! si mimi tu hop watanzania wote labda tuwe na subra daaah! nmekuelewa sana sjui ka wamekuelewa ka umemsoma Mjomba gonga like kuonyesha umechoka marage hahahahaaaaa

  • @mtikasaidi8580
    @mtikasaidi8580 7 років тому +7

    sina budi ya kukupa saruti 200% kwa kazi mzuri sana mazee

  • @shedybrown3895
    @shedybrown3895 7 років тому +5

    Kwel akunyosheae kidole hakawii kukuchapa kofi

  • @athumanyohane7861
    @athumanyohane7861 7 років тому +3

    wapo wanailia kuona mcba upo kwao lakin muandaaji ni marehemu.....daaa fasihi tamu saan like u mjombaa

  • @dbornchambilo5128
    @dbornchambilo5128 7 років тому +7

    Sasa, na vp wale waliokua wanaish kwenye nyumba bila kutupa taka wala kwenda chooni. Au yale mashimo yaliyochimbwa, yalishafukiwa?
    SIZONJE..! Hiki ni kitendawili. Lkn je, utakitegua au utanipa mji ili nikutegulie?
    Salute mkuu. Naamin tunaokuelewa ndo uliotulenga kutupatia ujumbe huu.

  • @kennethkapanga670
    @kennethkapanga670 7 років тому +8

    mjomba umetisha maneno yako najaribu kutizama kwenye TUKI mbona bado sielewi jamani? Mjomba kama ndo ivo mi naenda zimbabwe!!!!

  • @sultanisengi2519
    @sultanisengi2519 7 років тому +6

    mmmh yaan nmebaki tu kuangalia mapicha picha maana sielew

  • @kredomakwaya1404
    @kredomakwaya1404 2 роки тому +1

    Tega nikutege

  • @zachjoshua5171
    @zachjoshua5171 7 років тому +3

    Mjomba wimbo ni Mzuri sana ila huwa natumia muda mwingi sana kuelewa. ...I have dream...want to meet you one day. nahisi siku hiyo maswali yangu yote yatapata majibu sahihi.

  • @platotaurus5939
    @platotaurus5939 7 років тому +5

    Baba was Fasihi Andishi na Simulizi huyu.
    Naipenda sana lugha yangu ya kiswahili na hakika fanani huyu huwa haachi kunikosha hadhira mm. Kazi nzuri

    • @pstv8215
      @pstv8215 7 років тому

      Nakuona Kaka... | Philbert Francis

    • @platotaurus5939
      @platotaurus5939 7 років тому

      THE REAL ALPHONCE
      nikuulize swali kaka. Wachina au waarabu hotuba zao huwa wanazisoma kwa lugha gani hata wakiwa ugenini??

  • @saumuhassan1365
    @saumuhassan1365 7 років тому +5

    Yes tupo tunaolia, ila vilio vinatofautiana, big up kwako Mjomba, ukitaka kujua kiswahili vizur mfate mjomba.

  • @danielmakungwa7540
    @danielmakungwa7540 7 років тому +4

    hongera kaka unajua kutumia fasihi

  • @stephanojoseph5093
    @stephanojoseph5093 6 років тому +1

    kama unaamini hili ni jiwe LA selikalini goga lake apo chini

  • @robertohtesh3193
    @robertohtesh3193 7 років тому +1

    Twasira kamili inadhiirika Nyumbani +254 kwasasa.sijui tuzike au tehesabu idasdi ya maiti zinzotembe kwanza.Mjomba natamani tukutane kumikumi kwa Wallah Bin Wallah kwa mara nyingine mwaka huu.

  • @blessedmercy3036
    @blessedmercy3036 4 роки тому +2

    wooooiii, mimi hapa nimepewa kazi ya kuuchambua huu wimbo. sielewi chochote... si mtu anieleze tafadhari anavyomaanisha

    • @shakurfaith
      @shakurfaith 4 місяці тому

      Jifunze Kiswahili kwanza. Hakuna neno "tafadhari" kwenye lugha yetu. Ni tafadhali.

  • @canstandtv4383
    @canstandtv4383 7 років тому +6

    Unaonaje tuzike kwanza au tuheaabu idadi ya maiti zinazotembea ....duuuuh #nimekupata mkuu m naona tuzike tu tukihesabu haziishi mbona znaongezeka alafu zitatuozea bora tuzizike tuuu

    • @avidiuselias1213
      @avidiuselias1213 5 років тому

      Hahaaa bora tuzike tu maana maiti nyingine zinazaliwa

  • @rogathcostantine6767
    @rogathcostantine6767 7 років тому +4

    Kuku anaye taga hachinjwi akichinjwa msiba sizonjee 'kitenda wili tega tega nikutege.......'Muelevu hun'gamua

    • @shakurfaith
      @shakurfaith 5 років тому

      Rogath Costantine *Mwerevu hung'amua* jitahidi kutumia herufi fasaha za lugha

  • @ARFIddy
    @ARFIddy 7 років тому +3

    Nyimbo zako mm mdomo wazi tu kaka 😃asanteni

  • @oscartvonline2382
    @oscartvonline2382 7 років тому +4

    Nimeshiba fasihi. Ama kweli, KISWAHILI KITUKUZWE

  • @deosanctusmtenga9062
    @deosanctusmtenga9062 7 років тому +16

    huyu kuku anataga mayai mengi sana na tuna shaka kama atatotoa yote: mipango na miradi mingi inaanzishwa, he ataiweza yote?
    sizonje kila anayeingia ndani anatoka nje sijui ni kwa nini: uongozi ni dhamana ya muda maalumu na wakati ukifika utaondoka tu.

    • @kedmondkepha7707
      @kedmondkepha7707 6 років тому

      Deosanctus Mtenga kwelie???

    • @allyismail455
      @allyismail455 Рік тому

      Huu wimbo alikuwa anazungumzia watumishi wa darasa la saba na walifoji vyeti kufukuzwa , yeye kwa mtazamo wake aliona hawakupaswa kuondolewa

  • @youngroti733
    @youngroti733 7 років тому +4

    na mimi hapa nadhani kuwa naichambua kiswahili doooooooo

  • @lymcrace7467
    @lymcrace7467 7 років тому +3

    Haya mashairi yana mafumbo kwa hali hii ya mheshimiwa magufuli mtaielewa 2020 #sipangiwi
    Gonga like kama unaukubali huu wimbo

  • @amisiabdou960
    @amisiabdou960 7 років тому +1

    aisée mjoba upo sawa

  • @fabiansolomon2528
    @fabiansolomon2528 7 років тому +1

    Dah shida kuku anataga tu miaka inaenda sasa sijui lini anaatamia aje atage ndo tuone ivo vifaranga

  • @madigasankara6610
    @madigasankara6610 6 років тому +3

    c super cette chanson et j'aime bien la tradition et la protection de notre ancetre

  • @Mbugokilonda
    @Mbugokilonda 7 років тому +2

    Jamani huyu jamaa ni nowma sana, apewe sapoti muziki wake ufike mbali, maana anaongea maneno kuntu sana, maana mashairi yake ni kama dawa, kama unaumwa lazima upone, nakukubali sana mpoto, mungu akupe maisha marefu

  • @yasinamiri7649
    @yasinamiri7649 4 роки тому +3

    You are the best in Africa my father only you you are last Odia Warrior in Africa more people have to suffer more people have to die don't ask me why it is Africa natural mistake

  • @mrishomasenga7118
    @mrishomasenga7118 4 роки тому

    Mrisho mrisho mrisho basi inatosha

  • @abdallahmomba1899
    @abdallahmomba1899 7 років тому +1

    Wanakwambia fumbo mfumbie mjinga mwerevu utambua

  • @lamsonngwila7204
    @lamsonngwila7204 7 років тому +13

    KASSIM pamoja na kushirikishi kwenye wimbo lakin bado haelew maana yake.

  • @ibbu-tz
    @ibbu-tz 7 років тому +1

    Kama tumechoka maharage, tusubiri basi kwanza banda lijae ...
    ha ha ha nadhani baada ya miaka saba litajakuwa limeshajaa, mitatu iliyobaki tutaanza kubadili mboga. Boooooooomm!!! 🔥🔥🔥👊👊👊
    LIKE kama umemuelewa MPOTO!! 😃😃😃

  • @saginikeith5942
    @saginikeith5942 7 років тому +1

    waandaji tutakula tena wali mwisho, inawezekana tumechoka maharagwe lakini tungoje banda lijae. kazi mufti sisemi kitu

  • @kedmondkepha7707
    @kedmondkepha7707 6 років тому +2

    Naipenda sana hii nyimbo japo mashairi yake ni magumu ya kibantu hongera sana mjomba aliefundisha chui kula watu ni binadamu noma sana mrishompoto

    • @mwanahawa
      @mwanahawa Рік тому

      Kuku wa kutaga hachinjwi akichinjwa msiba...winner for me

  • @gaitananeema912
    @gaitananeema912 7 років тому +1

    woooooow nice song mrisho mpoto cku zote huwa unafanya vzuri saf ana

  • @justinmwandoe913
    @justinmwandoe913 4 роки тому

    Yani uncle bado sijashikanisha. Nahitaji mfafanuzi naona. Na ukenya wangu hapa nimeambulia patupu

  • @aggraypeter.5008
    @aggraypeter.5008 7 років тому

    Nani atalipa Ada baba

  • @ayoubshaibu7147
    @ayoubshaibu7147 3 роки тому

    watu wanalia lakini vilio vyao vinatofautiana, unaonaje tuzike kwanza au tuhesabu idadi ya maiti zinazotembea

  • @sikitu8957
    @sikitu8957 4 роки тому

    Ni atari kweli nyimbo nzuri kama izi ndo zina kosa matunzo tuna sikia majeje zina pewa matunzo kweli iyi dunia ni ya shetani

  • @abdulghanmohammed8338
    @abdulghanmohammed8338 7 років тому +3

    Dah mrisho mpoto ananikoshega sana ,kam unamkubali mrisho mpoto tupia namba hapo nchini nikuunge kwenye group la WhatsApp la mpoto

  • @abdillahkassim5400
    @abdillahkassim5400 7 років тому

    Mmmmmmmhh!!! Sizonje SIZO ZA NJE?!????

  • @jaydon3361
    @jaydon3361 7 років тому +3

    Ukitaka kujua bahari ilipo fata mto

  • @frankchaula6840
    @frankchaula6840 7 років тому

    Watu wabaya sana wamemuharibu kaka said Michael mungu alipe hapa duniani kabla ya ahera

  • @daudmotto4476
    @daudmotto4476 7 років тому

    mhhhhhhhh uy anatish

  • @jeathjp.mwendapeke8207
    @jeathjp.mwendapeke8207 4 роки тому +3

    Dah ...you are gifted man...the message is too ambiguous but directs something from something big....be blessed...

  • @natuscharlse1971
    @natuscharlse1971 7 років тому

    Nilikuita ili uingie ndani kwasababu kila anayeingia ndani lazma atoke nnje..........
    Kiukweli watu wanalia......
    Wapo wanaolia kwakuhisi wamedanganywa.........
    Wali mweupe kwa sheikh.....

  • @everistempawenimana4218
    @everistempawenimana4218 2 роки тому

    Good luck

  • @barakaelmwanga3447
    @barakaelmwanga3447 7 років тому +1

    wamekutana mafundi na wamefanya poa kinomanoma

  • @boniphaceelias2455
    @boniphaceelias2455 Рік тому

    Jumbe nzulisana mrisho mpoto

  • @mrishomasenga7118
    @mrishomasenga7118 4 роки тому

    Unajuwa tafsiri ya jina mrisho

  • @bajakisonzo4935
    @bajakisonzo4935 7 років тому

    Kwl hatakam tumechoka maharage na tunataka nyama tusubilin banda lijae

  • @barick
    @barick 7 років тому

    Sizonje anataka kuchinja kuku anaehatamia duh!wali mweupeee kwa shekhee

  • @bensonlugano9160
    @bensonlugano9160 7 років тому

    Daah nielekezen maana mi sijaelewa mzee ananiacha kando

  • @mohammedfakih993
    @mohammedfakih993 7 років тому +3

    Aliyemfundisha chui kula watu ni binaadam.........kuna tofauti kati ya watu na binaadam....watu wote ni binaadam ila binaadam wote sio watu.....nadhani tu

  • @probrownbarmas7255
    @probrownbarmas7255 5 років тому

    Brother nataman uje umpokee sizonjo nchi 2026

  • @seniorcarlos6087
    @seniorcarlos6087 7 років тому

    ng'ombe hazeeki maini ndo ninayo yaona hapa kwa MJOMBA mpoto

  • @graceedward6626
    @graceedward6626 7 років тому

    sizonje sizo za Nje maguful sio Wa nje kila KTU ndaniiii wozaaaaaah kama hujui bahar ilpo tumia mtooo kwendaaaa

  • @azizisalimu3828
    @azizisalimu3828 7 років тому +2

    We mtu mbaya Sana

  • @adamsclassic9306
    @adamsclassic9306 7 років тому +1

    Hahahahah nimeipenda hii ngoma daa Mjomba nakuelewa sana Kasim Mganga Umefanya vzur sana hii ngoma

  • @mjedengwapoizon8726
    @mjedengwapoizon8726 7 років тому

    Tuzike kwanza mpoto baadaye tuje tuhesabu maiti zinazotembea👆😀😀😀😀😀😀

  • @hallunamajany1161
    @hallunamajany1161 7 років тому

    duuuh... mbora kuhesabu maiti zinazotembeaaa ndo tuzike

  • @clementgeorge3387
    @clementgeorge3387 5 років тому

    kwakwel maisha magum vyeti feki vilileta msimba

  • @yohanamarco5630
    @yohanamarco5630 2 роки тому

    Banda litajaa vipi mjomba nawakati kanga utagia polini.

  • @athumanyohane7861
    @athumanyohane7861 7 років тому

    huhuuuu inawezekan kwel tumechok maharage lakin kam tunatak nyama tusubil banda lijae....shkamoo uncle mi ckuwez labda shaban robert

  • @benjaminekimanuka6240
    @benjaminekimanuka6240 3 роки тому

    Weee ni zawadi afrika, binadamu mwenye akili kama muchwa

  • @kingndoto7262
    @kingndoto7262 3 роки тому

    nipo kenya wilaya ya lamu cost

  • @azizisalimu3828
    @azizisalimu3828 7 років тому +1

    Mganga ameutendea haki sana huu wimbo

  • @mhonamisaomar7011
    @mhonamisaomar7011 7 років тому

    Iko poa nawaelewa..pendezaje kac..mjo..

  • @maishamarcolusendamila5911
    @maishamarcolusendamila5911 7 років тому

    haya ni magani aina moja ya mashairi mengine ni ngonjera wimbo tenzi au utendi

  • @kasobokihuna1250
    @kasobokihuna1250 7 років тому

    mie natoka zangu zimbabwe saizi nakuta "kuku anayetaga hachinjwi akichinjwa msiba".......shkamoo mpoto ila kwan unafkiri kuna mwenye uwezo wa kumchinja!?? hakunaga na atakayejaribu tutamla nyama

  • @sika_investments
    @sika_investments 7 років тому +1

    Kitendawili tega... tegaa, tega nikutege mwibaaa....Jamani nimesikia vibaya?

  • @duniatv4432
    @duniatv4432 7 років тому +2

    uyu jamaa kumuelewa inahitaji upeo mkubwa sana

    • @robinsonhelela8231
      @robinsonhelela8231 7 років тому

      Dunia TV Anasema japo hali ngumu ila tumsubir Magufuli.Tuendelee kumpa mda Rais wetu aiweke sawa Nchi yetu

  • @graceamran326
    @graceamran326 Рік тому

    Jamani uku kuzuri sana kaka tunakupenda sana❤❤❤❤❤❤

  • @danielmakungwa7540
    @danielmakungwa7540 7 років тому

    xawa kaz zako nzur xwal moja tu mpoto,kwann unapenda kutembea peku

  • @gabrielsixtus1718
    @gabrielsixtus1718 7 років тому

    sizonje ni sizo za njo mpoto unaturudisha shule na hyu kuku anayetaga

  • @Manyohu.tv1
    @Manyohu.tv1 Рік тому +1

    Wapo wanaolia kuona Marehemu Ndiyo mwandaa msiba (Watanzania wanalia sababu ya kilio chao ni rais mwenyewe kufanya maisha kuwa magumu)😂

  • @selemanimasatu2421
    @selemanimasatu2421 7 років тому +1

    Tumechoka maharage lakin kama tunataka nyama tusubili banda lijae.

  • @oscariusmartin6823
    @oscariusmartin6823 7 років тому

    Uko vzr ni mwanafasihi mzuri sans

  • @elisawangare3296
    @elisawangare3296 6 років тому

    Walahy cjaelewa kitu

  • @godlistenmacha8098
    @godlistenmacha8098 5 років тому

    Mimi nimekusikia sana mwl. Wa kiswahili s/s. Tz, hyo misamiati naielewa sana ila! unapoiunganisha na kuzaa sentensi ndo tunakopishania mkuu. Sizo za nje sura zilizopo ndani.

  • @nyabisemaro2095
    @nyabisemaro2095 6 років тому

    jamani bila kuwa Mwana kiswahili huwezi kuuelewa huuu kama unauelewa basi ni mziki mzuri Hongera Mpoto kwa ujumbe wako Mzuri

  • @deosanctusmtenga9062
    @deosanctusmtenga9062 7 років тому +17

    kuku anayetaga achinjwi na akichinjwa msiba: mkubwa haadhibiwi na akidhibiwa lazima halo ya hewa ichafuke.
    watu wanalia, wapo wanaolia na wanaoendelea kulia japo vilio vinatofautiana lakini msiba ni uleule: watu wanateswa na halo mbaya ya maisha\uchumi kwa namna tofauti, wengine kufukuzwa Nazi (majipu) wengine vyeti feki, wengine malimbikizo ya kodi, Ila kwa ufupi wote wamejeruhiwa.
    mtoto anapoulizwa nani atalipa ada, baba, yupo wapi?, kafa: wananchi wakiulizwa kuhusu ni nani atawaletea maendeleo wanamtaja, ingawa matumaini ya maendeleo hayo ni duni kwa sababu hawaoni matumaini ya baba yao huyo kuwaletea maendeleo.
    watu wanalia tofauti lakini msiba ni mmoja, vipi tuzike kwanza au tungoje: je, magumu haya ya kiuchumi tuyasahau kwanza na tuendelee na mengine au tufanyeje?
    Mwalimu wa fasihi anapotoa mfano wa maiti zinazotembea watoto wanazidi kulia: je, mkuu wetu\kiongozi wetu anapotuambia kuwa uchumi wetu unazidi kukua wakati tunaona ukiwa umedorora anatutia uchungu na kututoa machozi zaidi.

    • @daudymhelela6
      @daudymhelela6 7 років тому

      Deosanctus Mtenga tisha brou

    • @christophermahawi9806
      @christophermahawi9806 7 років тому

      Deosanctus Mtenga Umekosa hiki kitendawili.

    • @merinamasawa1180
      @merinamasawa1180 7 років тому

      Deosanctus Mtenga hakika wewe ni tunu ya taifa. Naomba ukaombe kazi BAKITA. Ntakupa na barua ya recommendation. Hii tafsiri ni tamu japo yeye mwenye wimbo akiulizwa ataogopa kutoa tafsiri hii

    • @charlesgichinka9339
      @charlesgichinka9339 7 років тому +1

      Deosanctus Mtenga gud keep it mr

    • @faustanyambe7153
      @faustanyambe7153 7 років тому

      Sawa broo

  • @ummyibrahim2119
    @ummyibrahim2119 7 років тому

    shkamooo mpoto,,we mwanafasihi haswa uh

  • @godfridomallya2644
    @godfridomallya2644 7 років тому

    Shikamoo Anko mpoto
    Ijapokuwa wengi wetu inatupa kazi kuielewa fasihi ya nyimbo zako lakini buradani tunaipata na hiyo ni moja ya kazi za fasihi kuburudisha ingawa naamini msingi kuu ni message that Is to be communicated kwa hadhira sikati tamaa nitaisikiliza hata mara mia ili tu niburudike na ujumbe niupate
    Ikiwa vema tuwekee wepesi tuelewe vema na mapema kabla time haijaitwa too late

  • @ochibamuchalwa6203
    @ochibamuchalwa6203 6 років тому +2

    I love the costuming. True African theme.

  • @johnsanga9594
    @johnsanga9594 6 років тому

    mimi naona tuzike kwanza hao malehemu wanao tembea tutawaongezea siku za kuishi ili wapate muda wa kutubu.

  • @njendahdehunter3609
    @njendahdehunter3609 7 років тому

    mmmmh mkali mrisho kweli kitendawili

  • @mohamedisarafi2025
    @mohamedisarafi2025 7 років тому

    SI ZO ZA NJE

  • @silashemed4849
    @silashemed4849 5 років тому

    Wewe ni Gwiji uliye bobea,mashairi

  • @amannenula3993
    @amannenula3993 7 років тому +1

    Daah mjomba unajuaaa

  • @fahariyangu2782
    @fahariyangu2782 7 років тому

    Ww kiboko

  • @imanezekiel2522
    @imanezekiel2522 7 років тому +1

    KASSIM pamoja na kushirikishwa haelewi maana yake mpaka leo akimuuliza anamwambia ulivyoelewa ndo maana yake hiyohiyo

  • @patrobamaingu2505
    @patrobamaingu2505 7 років тому

    Ngoja nisikilize tena

  • @dorcasgitari8278
    @dorcasgitari8278 6 років тому +7

    My role model. This is the music I want to do.