Bony Mwaitege - Usijitetee (Official Music Video) SMS SKIZA 9840975 TO 811

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 чер 2021
  • Kwa Neema ya Mungu kazi zangu zote sasa zitapatikana katika channel yangu hii, nikuombe sana kuungana na mimi kwa hatua nyingine mpya kabisa.Mafuta ambayo Mungu ameyaweka ndani yangu ni wakati mwingine wa kukuvusha ...
    Bony Mwaitege - Usijitetee Official Video- ni kazi yangu mpya na ya kwanza kati ya video nyingi ambazo ntaziachilia mwaka huu,Mungu amenipa kibali cha kuipeleka injili tena kwa njia hii.,nikuombe uungane nami katika kuwafikia mataifa.
    Pia unaweza kuwasiliana namimi moja kwa moja kwa simu namba:-+255 753 582 739.
    MUNGU AKUBARIKI SANA.

КОМЕНТАРІ • 971

  • @bonimwaitege4073
    @bonimwaitege4073 3 роки тому +340

    Asanteni Sana wote mliosikiliza wimbo huu mkabarikiwa nisaidie kusambaza ujumbe huu kwa wote mlio karibu nao Ili nao wahudumiwe by ..Bony Mwaitege. Nawapenda sana

    • @malimabuliro647
      @malimabuliro647 3 роки тому +8

      nimebarikiwa sana mtumishi plz naomba niufanye cover huu wimbo nimeupenda sana ni msanii wa comedy kutoka joti TV naitwa malima

    • @marymyonga3808
      @marymyonga3808 3 роки тому +2

      Hongera sana Kaka hilo base me hoi na ndo limenogesha wimbo Ubarikiwe

    • @deborahassan6409
      @deborahassan6409 3 роки тому +2

      Barikiwa kaka nyimbo zr sana

    • @rachealvutsigwa2863
      @rachealvutsigwa2863 3 роки тому +2

      Be blessed keep the fire burning ♨♨♨

    • @syesinyoafubima2038
      @syesinyoafubima2038 3 роки тому +3

      Imeaambazwa mkuu hongera kwakurud kutupatia chakulA cha masikio na kiroho

  • @editherkigabo9541
    @editherkigabo9541 3 роки тому +114

    Wale ambao huwa tunatetewa na mungu tujuane hapa🙏🙏🙏 kazi nzuri bony

  • @jameskilonzo2322
    @jameskilonzo2322 3 роки тому +4

    Barikiwa Sana mwimbaji mwenzangu, natizama nikiwa kenya

  • @masekete
    @masekete 3 роки тому +4

    Sitajitetea kutoka leo....Mungu ajidhihirishe sasa

  • @frankmark853
    @frankmark853 3 роки тому +10

    Usijiteteee waaaaa nipe like za boniiii

  • @salmabintiamina177
    @salmabintiamina177 3 роки тому +33

    Nitetee eeh mungu wangu 🤲am Muslim but to this song lee god bless me through this song 🤲baba bony love you napenda kuskia nyimbo zako sana be blessed 🙏

  • @eliamsigala3034
    @eliamsigala3034 3 роки тому +1

    asante kwa wimbo sukari kabisaaa

  • @bonifacekikombo1182
    @bonifacekikombo1182 Рік тому +1

    Somo kazi iko sawa,, nakuombea sana kwa Mungu uzindi kubariki wengi

  • @amanisalim7939
    @amanisalim7939 3 роки тому +11

    Oyoooooo!! Hii ni kizaz zaidi bony mungu akujalie maisha marefu huku ukiendelea kutoa huduma za kimaadil mema jaman ''like'' kwa huu wimbo walao ataa.10

  • @bagazakind
    @bagazakind 3 роки тому +6

    Nitanyamaza Mungu aniteteye Barikiwa mtu wa Mungu

  • @zakayokilumile
    @zakayokilumile 3 роки тому +1

    Mungu pekee ndie mtetezi wetu Amen ubalikiwe

  • @iweningogoofficial3733
    @iweningogoofficial3733 3 роки тому +2

    Hongera baba uko vizuru kila SKU najivunia uwepo wako Mungu akutunze nilifika kanisani kwako Mwakajana wakarimu sana Hongera

  • @josephatjordan5560
    @josephatjordan5560 3 роки тому +7

    HEEE😳😳Nyimbo hii imenigusa na kuniondolea hofu ya moyo wangu!!!!Mungu ukienileta katka dunia hii atakua mtetezi wangu mpaka siku ya mwsho!!!kweli muachie mungu wataondoka kwa njia saba ila wanakujaga njia moja 🙏🙏🙏🙏.....BARIKIWA MTUMISHI

  • @haysanhassan2685
    @haysanhassan2685 3 роки тому +8

    Bony Mwaitege una kazi kubwa sana ya kufanya huku digital watu wakutambue, sababu mtaani tayari unatambulika na album zako zinaunguruma kila leo.

  • @rachelwilly863
    @rachelwilly863 3 роки тому +2

    Nimesubiri sana video hiii,, Mungu Akubariki 🙏

  • @LucyDaudi-zv2ox
    @LucyDaudi-zv2ox 21 день тому

    Kupitia wimbo huu MUNGU naomba unitete Kila magumu yote nayopitia mim pamoja mwenza wangu tuweze kuelewana

  • @bishoppetermugendi5546
    @bishoppetermugendi5546 3 роки тому +6

    BWANA YESU ASIFIWE Napenda Nyimbo Zako Zote NAOMBA Kufanya Corable Na Wewe Tafathari GOD BLESS YOU

  • @talliakamum9138
    @talliakamum9138 3 роки тому +5

    Kwa kila Jambo mungu die mtetezi wangu ata kama SA ivi naapitia hali ngumu mungu nishike mkono nko karibu kukufa

  • @roseantony4339
    @roseantony4339 2 роки тому +1

    Amina nyimbo imenibariki mungu akubaliki sana

  • @karibunyumbani3824
    @karibunyumbani3824 2 роки тому

    Wow wow wow maneno mazito Sana yanenitia moyo mno kweli uimbaji ni mzuri Sana hasa mwimbaji akiwa anampenda MUNGU kwa moyo wake wote ninebarikiwa Sana

  • @fikirinitausi799
    @fikirinitausi799 3 роки тому +19

    Mungu ndiye mtetezi wangu!! Asante kwa wimbo mzuri !!!

  • @papatomaso4874
    @papatomaso4874 3 роки тому +4

    Nawashukuru twendele kushea kazi na kumsapoti mtumishi wa mungu Bonny mwaitege mungu awabariki kwa kusikia ujumbe God bless you all

  • @user-il5pv2qy3y
    @user-il5pv2qy3y 3 місяці тому +1

    Asante sana ndugu yangu , Tena SHEMEJI YANGU, KEa wanya kyusa

  • @lukasbehelwa2534
    @lukasbehelwa2534 Рік тому +1

    Kaz nzur kaka bon fansi mwaitege nakukubasanaa blood

  • @SuperRomain49
    @SuperRomain49 2 роки тому +5

    My GOD IS ABL TO SAVE ME IN JESUS NAME 🙇🏽‍♀️🙇🏽‍♀️🙌🏽🙌🏽🙏

  • @momoknight5522
    @momoknight5522 3 роки тому +7

    Ameen 🙏 mungu nitete bwana wa bwana wewe n mwaminifu 🙌🙌🙌🙌🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪we love you so much be blessed Man of God 🙏

  • @m.biangwamalenso3291
    @m.biangwamalenso3291 2 роки тому +1

    Facts amina Asante sana barikiwa mtumishi wa Mungu 🥺🥺🥺🤭🤭🥺💖🥺🥺🤭👏🏾👏🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾👏🏾🔥💯

  • @nadineniyonkuru8913
    @nadineniyonkuru8913 2 роки тому +1

    Amen songa,mbere mungu awe nanyiye

  • @lumamichombochayesu1838
    @lumamichombochayesu1838 3 роки тому +3

    Aisee ujumbe umejaa nguvu ya Mungu, amen #Usijitetee wewe mwache Mungu akutetee

  • @fundieddy9164
    @fundieddy9164 3 роки тому +30

    "...wameruhusiwa kushindana na wewe lakini kukushinda hawawezi..."
    Amen.

  • @jacksonkabubi4612
    @jacksonkabubi4612 3 роки тому

    Napenda sana nyimbo zako zote nakufuatilia sana Nikiwa kigoma pia nilikuona bandarini kigoma nikatamani nikusalimie, 🙏🙏

  • @eliazaryjuma1160
    @eliazaryjuma1160 2 роки тому

    Nami naenda kutetewa na mungu ktk jina la yesu anaye amini mungu anaend kumtetea na yeye aseme amen

  • @jacksonnnonjela348
    @jacksonnnonjela348 3 роки тому +9

    Amen pastor ubarikiwe sana
    Namwachia Mungu anitetee.

  • @amisaa5910
    @amisaa5910 3 роки тому +6

    Amen natetewa namungu nabalikia mno From🇧🇮

  • @swalhatsaluum2835
    @swalhatsaluum2835 2 роки тому

    Nmebarikiwa kwa kweli na huu wimbo,,,Yan saiv naamka nao,,nalala nao,,,Yan unanipa nguvu kwa kweli,,,ubarikiwe na uzidishiwe baba Bonny

  • @ashafayida7359
    @ashafayida7359 Рік тому

    jambo mchungaji wa mungu nyimbo zuri saaana kabisa baba

  • @daudmwaipasi5672
    @daudmwaipasi5672 3 роки тому +4

    Barikiwa Sana Mwimbaji wangu wa nyimbo za injili Bora kuwahi kutokea Tanzania MUNGU akupe maisha marefu uzidi kufundisha kupitia nyimbo zako.

  • @PrincessOm3285
    @PrincessOm3285 3 роки тому +5

    Amen amen Mtetezi wangu yupo waku nitetea katika maicha yangu hata watesi wangu wakuje kwanjia moja watarudi kwanjia saba sababu ninae Mtetezi wangu. be blessed man of God💖🙌

  • @gedeonbulongo4480
    @gedeonbulongo4480 3 роки тому

    Utukufu kwa mwanakondoo wa Mungu alie chukuwa dhambi za ulimwengu.... Mungu atuwezeshe kutojitetea,sababu kwa nguvu za binadamu hatuwezi lolote...mara na mara mwanadamu anapenda sana jitetea.aksante muimbaji mkuu Bonny.

  • @floriannkwita4672
    @floriannkwita4672 Рік тому +1

    Baba yangu tupo pamoja ninasikiliza wimbo nikiwa inchini Congo Mjini Kalemii by mwl Florian Nkwita Mjasiriamali

  • @marthaanton6967
    @marthaanton6967 3 роки тому +3

    Waoooo Hongera kaka hakika wimbo unamfuta sn

  • @user-xp4lg5bk8d
    @user-xp4lg5bk8d 2 роки тому +4

    Kutoka nikuwa mdogo nilipenda sana nyimbo zako Bonny, be blessed my brother, Mungu ataniletea kwa kweli🙏🙏🙏am a new subscriber be blessed🙏🙏🙏

  • @yesunimwema4497
    @yesunimwema4497 2 роки тому +1

    Mahatma twende sambamba🙌🔥💯🙏💝

  • @joshwaamollel49
    @joshwaamollel49 11 місяців тому

    Dhaaa kak munguu azidii kukupiganiya maana munguu ndiyo muwezaa yotee ni kiwaa hapa Kenya nyumbaa nitanzania 🙏🙏💯💯

  • @rachealvutsigwa2863
    @rachealvutsigwa2863 3 роки тому +5

    Asante sana kaka Bony kwa huu wimbo mzuri. Mungu ndiye mtetezi wetu, nautazama nikiwa uarabuni..ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu

  • @RandyMwanaKin
    @RandyMwanaKin 3 роки тому +53

    Lingala: Nzembo Kitoko
    French: belle musique
    Swahili: wimbo Mzuri
    English: good music
    Spanish:buena música
    Portuguese: boã musica
    🔥❤️🎶🤗
    #randykinamber

  • @kabogeof9597
    @kabogeof9597 3 роки тому +2

    Nakukubari sana bro. Ubarikiwe sana kaka mungu akupe afya uzidi kutuletea ujumbe zaid na zaidi

  • @thepowerofsilentsoul2135
    @thepowerofsilentsoul2135 2 роки тому

    Oya Oya oooyaaaaaa Kenyan tuko Rada Sana,, nyimbo zako Ni Baraka tu,,,,nikiwa Na 17 yrs 2010,,sahii nimekua mama watoto Bibi YA mtu,,but nyimbo zako still strong brother,,, God with you and your family,,

  • @barakambogera1667
    @barakambogera1667 3 роки тому +7

    Hongera Sana BRO. HAKIKA UMEONGEA UKWELI MTUPU HONGERA SANA

  • @unclenico9738
    @unclenico9738 3 роки тому +4

    Wow wapi likes za 🇰🇪🇰🇪 🇰🇪 wakenya

  • @davidvitalis4784
    @davidvitalis4784 Рік тому

    Mimi sijiteteiii Nitetee wewe Mungu wangu unayeweza yootee! Elishaadaaii

  • @dayanadulle6842
    @dayanadulle6842 2 роки тому

    Hakika baba sitajitete daima nita mwacha Mungu mwenyewe anitetee 🙏

  • @happinessshirima3279
    @happinessshirima3279 3 роки тому +4

    Congrats broooh bonny mwaitege

  • @rispathequeen
    @rispathequeen 3 роки тому +3

    Nikweli kabisa asante kwa huu umenifalinji sana mungu akutete pia wewe 🙏🇰🇪🇶🇦

  • @winnieamanya1550
    @winnieamanya1550 3 роки тому

    Naupenda ujumbe wako mtishi wa mungu....##usijitetee mungu nakuachia wewe unitetee...

  • @nkurunzizaelias3599
    @nkurunzizaelias3599 Місяць тому

    Muyimbaji muzuri mungu akbarki Sana na akuwuse tunakuombea baraka uwezo furaha kutokea kwa mungu ubarkiwe Sana.

  • @justineniyukuri5120
    @justineniyukuri5120 3 роки тому +4

    Mungu ndiye mtetezi wetu ata tutetea GOD bless you we love the song

  • @alcottlouisamay7177
    @alcottlouisamay7177 3 роки тому +8

    Amen ...because I dont have parents ,,God will fight for me and my sis

    • @massbass6090
      @massbass6090 2 роки тому

      Usijali jipe moyo Mungu n baba na nimama yetu anatuteteya kila wakati

  • @etonyemyaesau1433
    @etonyemyaesau1433 2 роки тому +1

    Jamani nikiona wimbo huu naona tatizolangu alishi limekuwa sugu maombi yako nimsaada kubwa

  • @protaisburundi9081
    @protaisburundi9081 2 роки тому

    Ubarikiwe mtumishi wamungu. Kwa ujumbe huu. Mzuri kupitia wimbo huu. Protais TURAKINGIWE from bufundi

  • @duncanmulu2450
    @duncanmulu2450 3 роки тому +7

    Asante kwa kufungua Chaneli yako. Sasa kila siku sibanduki hapa🔥🔥🔥🇰🇪🇹🇿

  • @justinejohn8425
    @justinejohn8425 3 роки тому +5

    Video haiko kama inavyotakiwa kuwa crear (HD) camera man hakujiandaa vzr ila yote ni kwa UTUKUFU WA MUNGU ujumbe umefika mahali ulipokusudiwa Mungu awabariki washiriki wote wskiongozwa na kaka yangu mtumishi wa Mungu BM

    • @bonimwaitege4073
      @bonimwaitege4073 3 роки тому +1

      Amen nashukuru Sana ndugu ninamuomba mungu atusaidie kuboresha nyimbo zijazo...

  • @ibrahimmtuly6004
    @ibrahimmtuly6004 2 роки тому +1

    Unapo sema ww Mungu ana nyamaza unapo nyamaza Mungu anasema nao bonge moja la wimbo Mungu akubariki bony kwa ujumbe mzuri🙏

  • @zawadivumilia1752
    @zawadivumilia1752 3 роки тому +1

    Mungu akubariki sana dungu katika kristo

  • @dacruzwamugeyo5682
    @dacruzwamugeyo5682 3 роки тому +3

    Asante mtumishi wa Mungu,uyu wimbo umenibariki na kuniponya vindonda moyoni 🥰

  • @duncanmulu2450
    @duncanmulu2450 3 роки тому +3

    Wow....Kaka yanguuu na Mwimbaji wangu ninayekupenda...Barikiwa sanaaa Mtumishi wa Mungu....Mungu azidi kupanua na kutanua mipaka yako kaka. Falme na wakuu na wainame waseme Yesu ni Bwana kupitia huduma yako

  • @kelvinecheloti6881
    @kelvinecheloti6881 3 роки тому +1

    Nakuombea ufundi zaidi mungu akulinde sana

  • @experiuskamugisha6863
    @experiuskamugisha6863 3 роки тому +1

    Ubarikiwe sana mtumishi ni Mungu tu ndiye anayetosha yuhai mtetezi wetu

  • @jeannotnereetv3768
    @jeannotnereetv3768 3 роки тому +4

    From🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 I love this song❤️❤️❤️❤️❤️Let's God bless !!!sita jiii teteya Mungu tuuu ata ni teteyaaaa

  • @lizmass4253
    @lizmass4253 3 роки тому +5

    Mimi personal I miss u big time, welcome back, leave it to GOD

  • @daudifanueli8143
    @daudifanueli8143 2 роки тому

    Wimbo huu unaujumbe mzuri wakunijenga .asnte mtumish mwaitege.daudi kutoka Arusha.

  • @dennischakwe4893
    @dennischakwe4893 3 роки тому +5

    Nilitarajia video moja simple sana... Simple in a way hakuna parts nyingi.. But the content still remains
    Yeye ndie Alpha na Omega.... Nice work

  • @papatomaso4874
    @papatomaso4874 3 роки тому +5

    Nzuri sana

  • @michaelmb9237
    @michaelmb9237 3 роки тому

    Eeeeh mungu wangu naomba Unitetee kwa mana pekee yangu siwezi 🙏🙏

  • @elizabethmwandu6937
    @elizabethmwandu6937 2 роки тому

    Usijitetee wewe muache Mungu akutetee .Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu🙏

  • @PapaTheKingmusicTv
    @PapaTheKingmusicTv 2 роки тому +7

    My mentor,he is the one who made me start to sing in gospel

  • @KABERENGEONLINE
    @KABERENGEONLINE 2 роки тому +5

    Unaposema wewe Mungu ananyanza!! Ukinyamaza wewe Mungu anashuka 😍 can I get A Big Amen from you guys

  • @saradavirginiavirginia426
    @saradavirginiavirginia426 Рік тому

    Mungu akubariki sana kuna vita nilipitia nikawa ktkt ya ile vita nikasikia huu wimbo nilipata wa kunyamaza, na ni kweli nilimuona Mungu akinivusha ktk ile vita kwa hali ya juu sana . Watesi wangu walikaa kimya. Mu hatakuacha kama ulivyo.

  • @ndjangudidos5890
    @ndjangudidos5890 3 роки тому

    EE Mungu mutetezi, utetee wa tanzania, wa congomani, wa Uganda , piya taïfa nzima.
    😘😘😘U Bony

  • @ekalesimon6476
    @ekalesimon6476 3 роки тому +6

    MUNGU mutetezi wangu,

  • @enockbryson8167
    @enockbryson8167 3 роки тому +3

    Kazi nzuri mtumishi👏🤝

  • @manyanyazakaria
    @manyanyazakaria 3 роки тому

    Video umeitendea haki mtumishi safi sana hauchoshi wimbo huu

  • @angelinajacobmkumbo1912
    @angelinajacobmkumbo1912 Рік тому

    Ubarikiwe mwana wa Mungu Bonny na wimbo wako wa usijitetee hakika ni faraja kwa wengi mmojawapo mimi asante saana

  • @johnouma8134
    @johnouma8134 3 роки тому +23

    This song has really blessed and touched me in equal measure, nabarikiwa nikiwa Uarabuni. Bonny Mwaitege and Sifaeli has been anointed by God,.🇰🇪🇹🇿

  • @jacklineanyumba5413
    @jacklineanyumba5413 3 роки тому +3

    I love the msg alot,and the video is wow

  • @nyandwiniyera5535
    @nyandwiniyera5535 3 роки тому

    Amen amen nyimbo zako za ni bariki saana na zina ni faliji saana 🙏🙏

  • @sheilanatalia1619
    @sheilanatalia1619 2 роки тому

    Yani Bonny Mwaitege alizama wapi
    Hadi karejea sauti Tofauti
    Mwimbie Mungu Bonny unacho kipaji
    You lift alot of souls
    Usikimie saana mtumishi
    We Love you

  • @mrkibali6075
    @mrkibali6075 3 роки тому +3

    Kaz nzur sana

  • @josephnyaga6223
    @josephnyaga6223 3 роки тому +6

    The King is Back Jameni!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

  • @leontinebinlydi9459
    @leontinebinlydi9459 3 роки тому +1

    Amena, Iyo nikweli kabisa ubarikiwe baba

  • @rebeccabecky3732
    @rebeccabecky3732 3 роки тому +1

    Bonny nakupenda bure.. kazi nzuri.🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @ezechieljacques9320
    @ezechieljacques9320 3 роки тому +8

    From south Africa but whenever I see your song it always new to me. I love your songs since when I was young till now

  • @fetamusictz3690
    @fetamusictz3690 3 роки тому +3

    Mwenye mavazi yake karudi sasa

  • @josephinajoram5355
    @josephinajoram5355 3 роки тому

    MUNGU akubariki baba nimda sana nilikuwa nimemis nyimbo zako aise

  • @drfrankfaustine5469
    @drfrankfaustine5469 3 роки тому +3

    Amen kk bony ulikuwa wap safi umeludi vzr kwenye gem

  • @amikadful
    @amikadful 2 роки тому +9

    Loving this in London! My 9 month old son loves this song! We put it for him all the time and he just dances and clap! Mungu anitetee!

  • @danvictorebinda8301
    @danvictorebinda8301 2 роки тому +5

    Oooooooh my goodness , what an amazing song with such a great messages, Thank you man of God,
    I'm really blessed
    Watching you from south Africa

  • @elviamaniofficieltv3859
    @elviamaniofficieltv3859 3 роки тому

    Mungu akubariki ndugu yangu kwa wimbo ambao Mungu anakupeleka mbele zaidi tumebarikiwa endelea kuwa na furaha 🎧🎧🎧🎧🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @salomelisence316
    @salomelisence316 3 роки тому +23

    Namwacha mungu anitetee..God bless you.more love from kenya 🇰🇪🇰🇪

  • @lamerckmsuya5513
    @lamerckmsuya5513 3 роки тому +3

    Good, stay blessed Mtumishi