Bony Mwaitege - 'BADO NAMPENDA' (Official Music Video) SMS SKIZA 9840971 TO 811

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 сер 2022
  • Kwa Neema ya Mungu kazi zangu zote sasa zitapatikana katika channel yangu hii, nikuombe sana kuungana na mimi kwa hatua nyingine mpya kabisa.Mafuta ambayo Mungu ameyaweka ndani yangu ni wakati mwingine wa kukuvusha ...
    Pia unaweza kuwasiliana namimi moja kwa moja kwa simu namba:-+255 753 582 739.
    Bony Mwaitege - 'BADO NAMPENDA'
    Video Directed by Director Willy +255 673 734 620
    MUNGU AKUBARIKI SANA.

КОМЕНТАРІ • 1 тис.

  • @johndaudi4658
    @johndaudi4658 3 місяці тому +9

    Wimbo unanifinulia kwamba Yesu angali anakupenda licha ya makosa yako, tubu kwake tu anakupenda❤

  • @primitivechannel5899
    @primitivechannel5899 Рік тому +108

    Fellow Kenyans Enjoying this Song Please Pass by and Leave a THUMBS UP👍

  • @user-fc4vb1me9k
    @user-fc4vb1me9k 3 місяці тому +6

    Huu wombo unanitoa machoz kwan kuna mwanamke alinikimbiaga kwaajil ya umasikin nilivyo miliki gar na nyumba akaniomba radhi lkn moyo ulishindwa kuaamehe ingawa nikua nampenda mungu atusaidie sana kupendana wakat wa shida na raha kama tuapavyo mbele ya mazabahu ya mungu

  • @user-nc1ov7qm5m
    @user-nc1ov7qm5m 5 місяців тому +11

    Nilikuwa napita makutano ya soko la wazi la kongowea kaskazini mwa kisiwa Cha Mombasa nikaskisia wimbo huu kwenye mikutano wa injili,niliguswa na hapa nasema Mungu ambariki mtunzi na aliyeimba,nimebarikwa mara dufu

  • @user-io2rj2yp5d
    @user-io2rj2yp5d 3 місяці тому +3

    Eeh Mungu mpe mtumishi wako maisha marefu aendelee kutubariki

  • @boazdanken
    @boazdanken Рік тому +14

    Upendo wa Baba Mungu ni wa Ajabu sana asante Kaka

  • @rebekachacha
    @rebekachacha 25 днів тому +2

    Family yangu inapitia haya wimbo umenifanya nilie mungu akubaliki kunipunguzia maumivu haya

  • @rosebellamwanje7894
    @rosebellamwanje7894 Рік тому +89

    Huu wimbo naupenda sana maana inanikumbusha ndugu yangu aliyetoroka nyumbani😭😭lakini naamini kupitia huu wimbo atarudi...

    • @user-bg6ee1eq9t
      @user-bg6ee1eq9t Рік тому +4

      Hakika naupenda sana kaona mbali

    • @srvestabahebe6625
      @srvestabahebe6625 Рік тому +5

      Ata me mdogo wangu kila siku namuombea sana arud aombe msamaha nyumbani?

    • @enockelias
      @enockelias Рік тому +3

      Nakupenda Sana unaenda na mazingira

    • @rosebellamwanje7894
      @rosebellamwanje7894 9 місяців тому +3

      Amen mungu ni wa miujiuza🎉...after a long time he finally came back home

    • @Luke__1_
      @Luke__1_ 9 місяців тому +2

      Amen amen... Mungu ni mwaminifu

  • @gracenjeri9914
    @gracenjeri9914 Рік тому +89

    My fellow 🇰🇪🇰🇪kenyans let's show bony mwaitenge love❤....pita na like plizzzzz.....I love its🔥🔥🔥🔥🔥

  • @petronilahkedogo393
    @petronilahkedogo393 Рік тому +100

    Kenyans in the house 🇰🇪❤️❤️

  • @andreamakoyeofficial9756
    @andreamakoyeofficial9756 29 днів тому +1

    Huo muonekano ulioutumia kwenye huu wimbo ndio ninaouhitaj kwenye wimbo wangu niombee tu niko napambana

  • @fotunatamghoi4346
    @fotunatamghoi4346 Місяць тому +1

    Mtunzi wa nyimbo mungu amekutumia kwa kweli ,,nyimbo imenifunza kila mara niangukapo dhambini nokatubu kwa mungu

  • @20Amos_Musembi
    @20Amos_Musembi 6 місяців тому +5

    Jamani huyo kaka wa 'ngoma' almaarufu kama "drum" 🥁 kwa kimombo ameweza vibaya sana 🎉
    Hasa hapo wimbo ukielekea kuisha, (paa paa paa pa pa pa pa!) kazi safi sàna 😅 unaielewa kazi yako 💪

  • @Philemonkayombo
    @Philemonkayombo 2 місяці тому +4

    Nakumbuka matusi nilyo ambiwa na mwanangu kuwa sina uwezo wa kumzaa Yeye mwanaume ila nina mbegu za kuzala wanawake inaniuma sana.

    • @JoseJose-iw3kk
      @JoseJose-iw3kk 2 місяці тому

      msamehe

    • @user-cq9cm2hu3z
      @user-cq9cm2hu3z Місяць тому

      Muombe kwa mungu amsamehe sababu alijuhi alitendalo na mungu ambadilishe

  • @user-cq9cm2hu3z
    @user-cq9cm2hu3z Місяць тому +1

    Nyimbo za bonne zinanibariki sanaa natamani mwanangu akikuq aje siku moja na yeye aimbe kama huyu kaka aishi kwakumtumikia mungu

  • @ErickMahese-wm4yp
    @ErickMahese-wm4yp 18 днів тому +1

    Baba bonny nakutakiya sikumingi watufariji munyimbozako❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @MwaaziElisha91
    @MwaaziElisha91 Рік тому +8

    Balikiwa mweshimiwa ZAMBIA🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲 NAKONDE -TUNDUMA TANZANIA🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @fatimahants1526
    @fatimahants1526 Рік тому +18

    Ujumbe umejitosheleza, ubarikiwe sana kwa upeo mkubwa umegusa maisha ya mzazi na mtoto, mungu akuongeze daiman.....nk

  • @mwakagift5635
    @mwakagift5635 10 місяців тому +1

    Wimbo mtamu sana wenye matumaini ya kwamba tunapojua tumekosea tukitubu bwana ako tayari kutusamehe makosa yetu

  • @onesmombele2571
    @onesmombele2571 8 місяців тому +1

    Mtumishi wa mungu hichi ni kitu kwelikweli. Kula chuma hichooooo! (Bado nampenda!)

  • @hadsonmahindu
    @hadsonmahindu 10 місяців тому +3

    Nisawa kwamawaitha MUNGU akubariki , Mimi ni muimbaji hapa Kenya Eldoret unikumbuke pia niinuke

  • @deniccgabriel6153
    @deniccgabriel6153 Рік тому +46

    Bado tunapenda sauti yako Mzee Bonimweitege usituache tumekaukiwa kusikia ile amsha amsha yako nchi nzima imelala Mzee wangu kunavitu unaviimba vya maisha yangu....

  • @BeatriceSade
    @BeatriceSade Місяць тому +1

    kupitia wimbo huu namkumbuka sana mumewangu

  • @DennisNalungu
    @DennisNalungu 14 днів тому +1

    Wimbo huu ni wa mafanikio sana kwangu asante kaka

  • @catherinebunyasi6051
    @catherinebunyasi6051 Рік тому +17

    My first time kuskiza wimbo hii,niliskia roho yangu imekuwa nyepesi na nikasamehe watu wote,,be blessed man of Watching from kenya🇰🇪🇰🇪

  • @farajalongo4528
    @farajalongo4528 Рік тому +52

    Dunia ina njaa ya mziki wa namna hii. Barikiwa mtumishi wa Mungu 🙏

  • @sophiaraymond5966
    @sophiaraymond5966 11 місяців тому +1

    Mwenyez Mungu awatuze sana wazazi wetu tunawakosea tunawafanyia vitimbwi vya kila aina ila huwa wanatusamehe kabla hatujawaomba msamaha , tukikwama tunashindwa namna ya kurudi kumbe tushasamehewa tujifunze kutubu hata Kama huna uhakika wa kupatiwa msamaha we tubu tu

  • @Nelima-zp2kp
    @Nelima-zp2kp 11 днів тому

    Ameen and ameen mimi ni mtu tu ila mwenye kibali, asante sana Martha i love all your songs,hawa zinanipa mtumaini bariki sana mum nasikiza nikiwa saudi❤❤❤❤❤❤

  • @VICTORMUTHENYA
    @VICTORMUTHENYA Рік тому +22

    Napenda sana huduma Yako 🙏🙏🙏🙏 Mungu akubariki sana Kwa viwango vya juu 🙏🙏🙏

  • @barakahelias3737
    @barakahelias3737 Рік тому +9

    God bless you
    Toka nikiwa mdogo najifunza kitu kwa MUNGU kupitia nyimbo zako.Tuko pamoja katika kazi ya BWANA
    "Barikiwa sana Mtumshi"

  • @greenwellnsyukwe4729
    @greenwellnsyukwe4729 9 місяців тому +1

    Watoto tuache dharau Kwa Wazazi wetu hata km tumefanikiwa kimaisha, Wazazi ni Wazazi tuu hapana wengine zaidi ya hawa au haoooo.

  • @onesmombele2571
    @onesmombele2571 8 місяців тому +1

    Toka Dodoma mpaka naingia iringa sijabadili wimbo mwingine. Mwaitege wewe ni hatari

  • @selinasamsonnkone673
    @selinasamsonnkone673 Рік тому +3

    Boni naomba nikudie imegusa mtoto wangu

  • @jeniphaisraeltz5569
    @jeniphaisraeltz5569 Рік тому +8

    Nabarikiwa sana na nyimbo zako Baba hujawahi kosea ujumbe mzur sana barikiwa🙏

  • @jackidan5047
    @jackidan5047 4 місяці тому +1

    My first time kusikia hii wimbo kwa Ena coach nikienda Bondo kwa orientation ya my son ❤❤ ilinibariki sana until now imekua favourite yangu

  • @Rumafrica
    @Rumafrica Рік тому

    Bado nampenda akirudi namsamehe. Pst his kali sana

  • @berniceivui8127
    @berniceivui8127 Рік тому +3

    Wimbo mzuri sana GOD bless you bonny mwaitenge from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪best song i like it

  • @simonnyemazi5286
    @simonnyemazi5286 Рік тому +5

    Mungu akuzidishie kipaji chako na akupe maisha mema 🙏

  • @IsaacApoko
    @IsaacApoko Місяць тому +1

    My daughter was deceived and ran away from home,by one of pastor,l heard this song on my way to Nairobi,l felt in tears up to date she has never settled at home due to that pastor.Good message in it.

  • @AlexAnyonge
    @AlexAnyonge 9 місяців тому

    Naupenda wimbo huu kweli nakumbuka pale nyumaa nilikuwa mtu si kamili kweli ukirudi ukitubu utasamehewa i love you song

  • @augustuskateeofficial6945
    @augustuskateeofficial6945 Рік тому +4

    BADO pia Mimi napendwa na mungu, mapenzi yake kwangu Haina mivaka nashukuru mwenyezi mungu sana kwa uwepo Wake kwangu siku zote..amina

  • @adililukama3753
    @adililukama3753 Рік тому +4

    Good song hakika mwaitege unakonga nyoyo zetu ndagha malafyale

  • @daudimhoha894
    @daudimhoha894 Рік тому +1

    Haleluyaaa.sifa.nautukufu.apewe.Bwana.mwenye.huruma.milele.na.milele

  • @mekeyamusa3523
    @mekeyamusa3523 Рік тому +2

    Brother bonny nmeokoka kupitia nyimbo zako mungu azidi kukupa nguvu wengine nao waokolewe Amen 254

  • @irenwanjala3112
    @irenwanjala3112 Рік тому +5

    Msamaha wa mzazi kweli wa maana🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾, hivyo ndivyo Mungu wetu hutusamehe Bali tunazidi kumkosea 👏👏👏 . Mungu tunatubu 💔

  • @emanuelibrahimu2046
    @emanuelibrahimu2046 Рік тому +3

    Daaah kaka hongerako jina lako liandikwe mbinguni mungu akupe viwango vya juu sana sana!

  • @lazaroraphaelmwandosya7010
    @lazaroraphaelmwandosya7010 Рік тому +1

    Mungu wa mbinguni aendelee kukutumia atakavyo

  • @giftkalenge418
    @giftkalenge418 9 місяців тому

    katika nyimbo za bony huu kweli moyo wangu unafurahishwa unatia huzuni nimeupenda sana

  • @surmarlenefaila9748
    @surmarlenefaila9748 Рік тому +6

    Ubarikiwe mwimbaji wa mungu

  • @juliennewakana1966
    @juliennewakana1966 Рік тому +4

    Kazi nzuri sana mutumishi wa mungu unanibariki🇨🇩🇧🇮

  • @user-bg6ee1eq9t
    @user-bg6ee1eq9t Рік тому +1

    🎉chukua maua yako bonny artist kali sana yaan muonekana saut tofaut hongera

  • @hermanmarko6939
    @hermanmarko6939 6 днів тому

    We tubu tu mungu anakusamehe. Mungu anatupenda sana.

  • @sallysimon5466
    @sallysimon5466 Рік тому +9

    Our king of gospel❤❤❤❤much love from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪you never disappoint

  • @Terryann25
    @Terryann25 Рік тому +15

    Nice song 🙏🙏🙏🙏. Let's learn to accept our mistakes and we will be forgiven GOD 🙏 🙌 loves us. We🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪ns loves u 💕💖 brother. Amen.

  • @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL
    @SIFAELIMWABUKAOFFICIAL Рік тому +1

    Hakika barikwa mtumishi wa Mungu

  • @azadinzunda4327
    @azadinzunda4327 Рік тому

    Jamani ndugu zetu wakenya kiukweli mnaupendo wa dhati kweli maana nimeona coment zenu humu hakika bado wa tz tunawapenda pia

  • @hdjirungakashililika7538
    @hdjirungakashililika7538 Рік тому +3

    Ujumbe mzuri kwa jamii na vijana , mungu azidi kukubariki bon mwaitege, kazi nzuri yenye ubunifu uliosanifiwa na roho mtakatifu

  • @josesombo186
    @josesombo186 Рік тому +62

    Let us all gather here to congratulate this man
    Pure talent, good music, full package
    We're blessed and educated
    We love you Kenyans Mwaitege

  • @joshuakarisa9572
    @joshuakarisa9572 Рік тому

    Mungu akubariki na azidi kukupa ufunuo wa utumzi aina hii,,,hizi ndio nyimno watu wanatamani kisikia,,zinazoongea na moyo wa mtu,,,

  • @joashmutoto7260
    @joashmutoto7260 Рік тому

    Bony ata Mimi bado napenda nyimbo zako hunibariki Sana,,,,,baaado nakupenda Bony

  • @williamntipapa6934
    @williamntipapa6934 Рік тому +11

    Watching from Kenya
    God bless you boniboni may God bless you abundantly ad give you more revalations 🔥🔥🙏💖🇰🇪

  • @elizabethbethy7267
    @elizabethbethy7267 Рік тому +8

    Wimbo mtamu sana... much love from Kenya ♥️💞💞🙏🙏🙏💪💪💪

    • @lilylee267
      @lilylee267 Рік тому

      Long life man of God, much love from kenya🇰🇪

  • @jacklinebarnabas
    @jacklinebarnabas Рік тому +1

    Àsante sana kaka bony hakika nyimbo imenibariki na kupitia huu wimbo mdg wangu alikua ametoweka mda sana had ikasemekana amefariki hatimaye amekuja kutuomba msamaha

  • @stevenmbonaga8306
    @stevenmbonaga8306 Рік тому

    Bony bwana we! unampenda yeye anasema bado yupo batani anakula bata labda zikiisha

  • @lucyakinyi8072
    @lucyakinyi8072 Рік тому +8

    Great job Bonny watching from Kenya I really love the song it teaches ❤️❤️❤️❤️

  • @dannyboas1409
    @dannyboas1409 Рік тому +3

    Ubalikiwe sana mtumishi wa Mungu

  • @jameskenzedex
    @jameskenzedex Рік тому

    Baado legend yupo sawa kabisa nakupenda sana Baba wa roho nipo kenya nakusikiza kwa sana tangu utoto wangu

  • @stephenmutuku7432
    @stephenmutuku7432 Рік тому

    Wimbo wapendeza huu. Talanta kuu hii. Pongezi Bonny Mwaitege

  • @oscarmsafibandah6311
    @oscarmsafibandah6311 Рік тому +15

    This song has made my day to be honest shukran baba mwaitege kwa ngoma mzuri 🇲🇼🇿🇦🇹🇿🔥🔥

  • @samuelsesei1098
    @samuelsesei1098 Рік тому +3

    Barikiwa sana mtumishi wa MUNGU🙏🙏🙏

  • @josephinewere4007
    @josephinewere4007 Рік тому

    Aki Mimi napenda sana the way dancers wamedress pamoja na dance yao, na the way hii song ilianza 😀😀💯

  • @JaneMoraamoseti
    @JaneMoraamoseti Місяць тому

    huu wimbo unanikumbusha maisha 🥺🥺🥺

  • @nicodemusngeta2541
    @nicodemusngeta2541 Рік тому +8

    This songs encourages me it has made me to forgive everyone,,,,,May Holy spirit of God take space in my heart in Jesus name 🙏.

  • @PapaTheKingmusicTv
    @PapaTheKingmusicTv Рік тому +4

    Favourite song! 🔥 🔥 🔥,Kenya nakupenda sana! video 💯💯🔥🔥
    Instrumental 💯🔥💯🔥🔥 vocals 💯💯💯🔥💯🔥

  • @evodiuskatundu8882
    @evodiuskatundu8882 Рік тому +1

    Dah jamani Bonny umenikonga moyo. Kusamehe ni jambo la msingi ❤❤

  • @sofiaoman5901
    @sofiaoman5901 Рік тому

    Namuomba Mungu Siku moja niweze kukutans na kaka yangu mkubwa nimuda mrefu hstujsonans

  • @kelvinwepo5470
    @kelvinwepo5470 Рік тому +4

    The Producer behind this is a genius!!!!!!

  • @faithmutheumutuku4880
    @faithmutheumutuku4880 Рік тому +8

    A nice message 🔥🔥

  • @user-li7fn2yv1p
    @user-li7fn2yv1p 5 місяців тому

    Huu wimbo hata nikisikiliza kila siku auchoshi ❤

  • @ezrajoseph3666
    @ezrajoseph3666 Рік тому

    nimeusikia leo na nimeplay zaidi ya Mara 10 maana ujumbe wake ni mzuri, vocals, instrumentals and beat all are good and delicious music at all

  • @godfreykitoki9639
    @godfreykitoki9639 Рік тому +3

    Nimevutiwa na production producer alitulia...bravo

  • @officialdratom3492
    @officialdratom3492 Рік тому +56

    Father of the Gospel in Tanzania🔥🔥🔥🔥
    Glory to our God 🙏🙏🙏

  • @liberatusjackson5045
    @liberatusjackson5045 Рік тому

    Kila chenye mwanzo lazima kiwenamwishoo man umezeekaaa

  • @deborahkahindo1208
    @deborahkahindo1208 Рік тому

    Shallom baba nyimbo zako ni mafundicho kabisa mungu akutie nguvu

  • @marionkassaila9474
    @marionkassaila9474 Рік тому +3

    Hongera pastor mungu akubaliki

  • @bonyaerick2937
    @bonyaerick2937 Рік тому +7

    Ooooooh my God, thanks for letting me know that God still loves me, He's just waiting me to repent and rebuild me again. Thanks mwaitege am tuning in from Uganda Kampala. Love ur songs legendary be blessed

  • @michaelkihanga9231
    @michaelkihanga9231 Рік тому +1

    Mungu akubariki Sana kwa injili ya uimbaji ambayo imetufanya tuokoke wengi ambao hata hatukuwa na mawazo ya kuokoka lakini jumbe zako hakika zimetuvuta wengi kumpenda Mungu

  • @michaellucasmwita678
    @michaellucasmwita678 Рік тому

    kwakweli huu wimbo no nzuri Sana Mimi binafsi nakupenda Sana mungu akubaliki

  • @duncanmulu2450
    @duncanmulu2450 Рік тому +6

    Naipenda sanaaa mtumishi wa Mungu. Watching from Kenya's🇰🇪🇰🇪🔥💪

  • @dashyakishy598
    @dashyakishy598 Рік тому +35

    The song is a hit 🎯 it's on another level...it's just amazing 😍 can't get enough of it 🔥 more grace in the ministry father of gospel....Much love from Kenya ♥️🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @samuelongeri
      @samuelongeri Рік тому +2

      Nyimbo safi sana mtumishi wa mungu Mwaitege,naomba namba yako please Bonny.

  • @user-ku5lv9wv8k
    @user-ku5lv9wv8k 9 місяців тому +1

    Huu wimbo unagusa sana, amenena maneno ya uchungu sana,,❤

  • @ntulandumbi4642
    @ntulandumbi4642 Рік тому +2

    Bado nampenda ni vile na bwana wetu yesu bado anatupenda àngaliye zambi zetu

  • @godlinegabriel2299
    @godlinegabriel2299 Рік тому +4

    Bado nampenda. Wimbo unabariki sana.

  • @rangiesonvedastie4017
    @rangiesonvedastie4017 Рік тому +10

    Beautiful gospel song listening from zambia 🇿🇲

  • @lucasmboje-zq9bd
    @lucasmboje-zq9bd 9 місяців тому

    Wimbo huu kila nikiusikiliza Na toa machozi kabsa

  • @AlbertCitegetse
    @AlbertCitegetse Рік тому

    Bony mnaimba vizuli sana nyimbo zenu nazipenda saaaana

  • @velmamuteitsisakwa8697
    @velmamuteitsisakwa8697 Рік тому +35

    I don't get enough of this song...i repeat it continues as I go at work at back from job.. nikifika kwa nyumba n ya kwanza kuicheza kwa Bluetooth yangu much love from me here in Kenya

  • @eliudmwalugelo5191
    @eliudmwalugelo5191 Рік тому +5

    Powerful and beautiful song

  • @user-wd4ps2ez7n
    @user-wd4ps2ez7n 10 місяців тому

    aminaaaaa jpe Myo mung atamldxhaaa wkti utfka wkat ukifka kuna jmbo linatakiwa lifanyike

  • @evaristkiiza1938
    @evaristkiiza1938 Рік тому +1

    sasa uyu ndo bony mwaitege nnae mfahamu Long time ago
    songs za ujumbe safi na mziki usio kuwa na makelele
    Kazi nzuri mtumish wa Bwana Yesu
    Hongera