Bony Mwaitege - Tuko Sawa (Official Music Video) SMS SKIZA 9840974 TO 811

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 кві 2021
  • Kwa Neema ya Mungu kazi zangu zote sasa zitapatikana katika channel yangu hii, nikuombe sana kuungana na mimi kwa hatua nyingine mpya kabisa.Mafuta ambayo Mungu ameyaweka ndani yangu ni wakati mwingine wa kukuvusha ...
    Pia unaweza kuwasiliana namimi moja kwa moja kwa simu namba:-+255 753 582 739.
    MUNGU AKUBARIKI SANA.

КОМЕНТАРІ • 142

  • @jameskamundia2343
    @jameskamundia2343 2 роки тому +4

    Hallelujah...hapo sawa this song usually bless my heart ..wapi likes tukienda sana

  • @simonmdune9066
    @simonmdune9066 3 роки тому +13

    Akika mbele za Mungu tuko sawa niyanini tubaguane ?Mungu wangu nakuomba unisaidie nisiweze kubagua na waliochini yangu akii 🙏🙇‍♂️🤲😭

  • @proudpeace5161
    @proudpeace5161 2 роки тому +9

    GOD BLESS THE WORK OF YOUR HAND BROTHER POWERFUL SONG I WISH PEOPLE'S OF SAUDIA ARABIA🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦 CAN HEAR SWAHILI

  • @esthermutua1287
    @esthermutua1287 3 роки тому +27

    Amazing one bony never disssapiont all we are equal ..... much love from Kenya z🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 gonga like tukiendaga

  • @shirufavoured5388
    @shirufavoured5388 3 роки тому +10

    Kenyans need to hear this,,,,TUKO SAWA

  • @rukiajegeka881
    @rukiajegeka881 2 роки тому +5

    Barikiwa Sana Wimbo mzuri. Mbele za MUNGU site tuko sawa🙏🙏🙏

  • @naomynekesa6643
    @naomynekesa6643 3 роки тому +4

    Hakika mungu Ako sawa n sisi binadamu tuko sawa Ameni kaka 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏

  • @janekalondu6177
    @janekalondu6177 Рік тому

    Kwelo kabisa mtumishi wa mungu huwo ujumbe umenibariki sana kweli

  • @winnieatema9058
    @winnieatema9058 2 роки тому +2

    Wow you're going to be a good person

  • @lutomiakempf8930
    @lutomiakempf8930 2 роки тому +4

    Oh this song is a blessing to me, kweli niliteswa sana na one of my relative after my father died. Will never forget. Mungu yuko kweli na asifiwe

  • @leviticuswanjala6227
    @leviticuswanjala6227 Рік тому

    Iko sawa baba endelea naitazama kutoka kenya.

  • @emmanuelhatangimana3431
    @emmanuelhatangimana3431 Рік тому +1

    Hongela sana kaka

  • @PaulOkwiri
    @PaulOkwiri 3 місяці тому

    Nimeona vile security guards, house helps wanadharauliwa...lakini mbele za Mungu tuko sawa.

  • @user-wu2zp8kd9n
    @user-wu2zp8kd9n Рік тому

    Ni kweli tuko sawa mbele za mungu

  • @barakabenny7718
    @barakabenny7718 3 роки тому +4

    Huu wimbo unanibariki Sana napenda Sana mapigo yake ya mziki

  • @millecentbarasa8820
    @millecentbarasa8820 2 роки тому +7

    Exactly 💯💯💯 sisi wote tuko sawa, Mungu alibariki kwa kazi nzuri.

  • @akumobume3529
    @akumobume3529 3 місяці тому

    Hakina mbele za mungu tuko sawa ❤❤

  • @nellyshantel1001
    @nellyshantel1001 3 роки тому +4

    Ingekua secular na one week millions views .....total true tuko sawa 💥💥💥💥💥

  • @FaustaSulle
    @FaustaSulle 9 місяців тому

    Tupo saw mbele za Mungu 🙏

  • @rachealwachiye6648
    @rachealwachiye6648 Рік тому +1

    I love this song not only this but all songs by bonny mwaitege ❤.

  • @doreenkigosi1524
    @doreenkigosi1524 Рік тому

    Balikiwa sana baba yangu kweli

  • @user-wd6su5ms6s
    @user-wd6su5ms6s 2 місяці тому

    Wimbo uko poa sana barikiwa

  • @ayubuchares6177
    @ayubuchares6177 2 роки тому

    Upo vizur sana mtumishi wa mngu

  • @noelchao292
    @noelchao292 3 роки тому +3

    Kazi nzuri kaka
    Mungu azidi kukutunza uzidi kumtumikia kwa njia ya nyimbo
    Tunakupenda kaka yangu

  • @johnmukua3528
    @johnmukua3528 Рік тому +1

    Mbele za Mungu sisi wote sawa✅✅✅✅

  • @bonimwaitege4073
    @bonimwaitege4073 3 роки тому +11

    Asanteni Sana ndugu zangu mungu awabariki wote

  • @victorokelo1469
    @victorokelo1469 2 роки тому

    Iko sawa nyimbo yako

  • @juliethemmanuel932
    @juliethemmanuel932 3 роки тому +1

    Wimbo mzr San unanibarik San nakukubal San mng akubarik San napend kuimba nataman nam kufika kweny uimbaj Ila cjui naanzaj kuimbaa mng aendelee kukubarik mtumish Bonny

  • @salticinternationallimited1444

    Lynn exactly ubarikiwe sana my brother

  • @timothykengere2535
    @timothykengere2535 2 роки тому +3

    Smart song my Gospel ✨✨✨ 🎸 we are all equal in the presence of God 🙏 nice 👍 🎙️..............

  • @shanizkanini1693
    @shanizkanini1693 3 роки тому +1

    Nikiona huyu bonny akiimba nataman sanaa kuimba 🥺🥺🥺but sijui ni nan atanisaidia kukuzaa kibaji change Cha uimbaji🙏🙏mungu anisaidie🙏🙏🙏🙏

  • @bjabdi6582
    @bjabdi6582 Рік тому

    Song nzuri sana natena sana

  • @naominabutungu4596
    @naominabutungu4596 2 роки тому +6

    Tuko Sawa mbele za Mungu.. powerful song with great teachings.. your songs always gives me hope in life. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @user-ye3bi5vu5b
    @user-ye3bi5vu5b 4 місяці тому

    Hey man of God I love your gospel

  • @thomasphilimonmolel8855
    @thomasphilimonmolel8855 2 роки тому +1

    Ni kweli kabisa binadamu wote kwa Mungu tuko sawa

  • @mourineolang3201
    @mourineolang3201 2 роки тому +1

    Watching from Nairobi

  • @ponsiananombo9423
    @ponsiananombo9423 2 роки тому

    Ubalikiwe sana mtumishi wa MUNGU

  • @shangweremiofficial4124
    @shangweremiofficial4124 3 роки тому +1

    Kazi njema Kaka Mungu Akupe kondoo walio sahihi.Barikiwa Sana

  • @rehemanyale2212
    @rehemanyale2212 3 роки тому +1

    Kazi nzuri mtumishi sote tuko Sawa, lv Sana kwako, 🇶🇦🇶🇦

  • @Prince0866
    @Prince0866 3 роки тому +6

    Kutoka nchini Kenya 🇰🇪 Bonny Tuko SAWA!!!

  • @nevergiveupinlife753
    @nevergiveupinlife753 Рік тому +1

    Bony my favorite artist May Almighty God uplift him and bless him abundantly 🙏🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇸🇦

  • @MachoziKasimu-cj5tj
    @MachoziKasimu-cj5tj Місяць тому

    Mungu akubariki kaka yangu

  • @recencysurveycto8788
    @recencysurveycto8788 Рік тому +1

    Vraiment bony nous sommes tous égaux devant Dieu ,félicitations bony

  • @memorylwando8759
    @memorylwando8759 2 роки тому

    Nakukubari mtumishi

  • @museyekebeyacinthe748
    @museyekebeyacinthe748 Рік тому

    Mon frère je t'aime beaucoup que notre seigneur je sus christ te bénisse malgré que je comprends pas trop bien mais j'adore tes chansons et ça me édifié bcp

  • @GasparMkude
    @GasparMkude 7 місяців тому

    Mungu mwema🙏🙏🙏

  • @user-mh6le2wp1s
    @user-mh6le2wp1s 5 місяців тому

    Boni.mwaitege. nipende.mimi kamanilivyo

  • @josphatmwangi2940
    @josphatmwangi2940 2 роки тому +7

    Powerful song, watching from Kenya.

  • @duncanmulu2450
    @duncanmulu2450 3 роки тому +6

    Kazi nzuri sanaaa Mtumishi...our Gospel King

  • @etonaabwe2877
    @etonaabwe2877 10 місяців тому

    That's true we all equal before God Almighty

  • @lucyamaase7339
    @lucyamaase7339 3 роки тому +5

    We are equal in the eyes of the lord

  • @gracegasper8833
    @gracegasper8833 2 роки тому

    Ubarikiweeeee!

  • @emoitjacobfoundation6471
    @emoitjacobfoundation6471 2 роки тому +2

    Much love from Kenya

  • @princessleli5644
    @princessleli5644 Рік тому

    Haswaaaaa

  • @dorcasmwakio5011
    @dorcasmwakio5011 2 роки тому +3

    True we are equal in the eyes of God.
    You never disappoint Bony
    Keep spreading the gospel

  • @mussaaroda6052
    @mussaaroda6052 Рік тому

    Ubarikliwe sana

  • @FfFf-yb9cp
    @FfFf-yb9cp 8 місяців тому

    Amen bonny this is strong song be blesssed.❤❤❤❤❤

  • @shishj377
    @shishj377 3 роки тому +15

    Just heard this song in a matatu ya buruburu...it's such a beautiful song..very gifted...more grace to the one who wrote the lyrics.

  • @lornahmulitani2798
    @lornahmulitani2798 2 роки тому

    Kazi ya mungu haina makosa sisi zote tuko sawa ubarikiwe sana mtumishi

  • @calebkiptoo2207
    @calebkiptoo2207 2 роки тому

    Dance iko hapa imeenda shule😂😂big love bonny..🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @mdta8161
    @mdta8161 2 роки тому

    Tuko sawa mbele za mungu ubarikiwe sana mtumishi wa mungu

  • @markpaul5475
    @markpaul5475 Рік тому

    Great love of the Tanzanian Gospel ministry from your Biggest Consumers Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪Sisi wote tuko Sawa

  • @johnmshan4017
    @johnmshan4017 Рік тому

    Ameni balikiwa sana mtumishi wa Mungu kazi zuli sana

  • @makletamwamengo5066
    @makletamwamengo5066 2 роки тому

    Kwel yuk saw

  • @maureenundisa9745
    @maureenundisa9745 3 роки тому +1

    Good bony nabarikiwa Nikiwa kenya

  • @CollinsOtieno-ze4gi
    @CollinsOtieno-ze4gi Місяць тому

    This song blessed me very very much

  • @africandreamerjc7190
    @africandreamerjc7190 Рік тому +2

    Plus God loves us equally as long as we turn against sins

  • @kautharkayu6326
    @kautharkayu6326 Рік тому

    Kweli tuko Sawa mbele za mungu😭😭🙏

  • @gideongathekiamkoloni5043
    @gideongathekiamkoloni5043 3 роки тому +1

    Kazi nzuri ,just watched it on maisha magic east

  • @MohammadJoji
    @MohammadJoji Рік тому +1

    Deus continue te abençoando sentindo muito abençoado louvor é lindo

  • @emmaculateoseno8866
    @emmaculateoseno8866 2 роки тому

    Tuko sawa, nice song bony. Kenya mtakuja lini tena tangu mkam na Christine.

  • @edsonlewa6690
    @edsonlewa6690 2 роки тому

    Mungu akutie nguvu mchungaji kazi yko n nzuri

  • @Mara_Gold_Film
    @Mara_Gold_Film 2 роки тому

    Balikiwa sana

  • @masterkeymwakalanje536
    @masterkeymwakalanje536 2 роки тому

    Safi

  • @enockbuluma277
    @enockbuluma277 2 роки тому

    Tuko sawa

  • @johnbarasa9929
    @johnbarasa9929 Рік тому

    Wewe ni mtunzi mzuri 🔥🔥🔥😁🇰🇪

  • @rehemakenya8754
    @rehemakenya8754 2 роки тому

    Hongera sana ste tko sawa mble zmungu, ubarikiwe kaka

  • @bishoppetermugendi5546
    @bishoppetermugendi5546 2 роки тому +2

    GOD BLESS YOU My BROTHER 🙏

  • @CarolineMoraa-vp7hb
    @CarolineMoraa-vp7hb 3 місяці тому

    This song blesses me so much.

  • @melvinniceanyango2919
    @melvinniceanyango2919 2 роки тому

    Ubarikiwe kwa wimbo wako mzuri na mimi pia nimebarikiwa sana@

  • @loicenailala6822
    @loicenailala6822 3 роки тому +3

    May God's favour and his grace be with you

  • @johnjonath6687
    @johnjonath6687 Рік тому

    Safi sana mungu Akupe maisha malefu Sana

  • @monyjohn5538
    @monyjohn5538 2 роки тому

    Hakika MUNGU habagui, hivyo tuko SAWA mbele ZAKE

  • @reginaaminga18
    @reginaaminga18 2 роки тому

    Tuko sawa sote

  • @wilsonmwalungo9478
    @wilsonmwalungo9478 Рік тому

    Bonyeza like hapo kabla you comment its great massage to the entire world.

  • @rosejuma8778
    @rosejuma8778 2 роки тому +1

    Mungu wetu anapenda USAWA🙏🙏🙏🙏🙏🙏🤲🤲

  • @user-bt7ng8sv4z
    @user-bt7ng8sv4z 11 місяців тому

    Soo nice song

  • @bonychange3304
    @bonychange3304 2 роки тому

    Tuko xawa Amina good song

  • @user-ly4xw3gf3e
    @user-ly4xw3gf3e Місяць тому

    Indeed we are all equal

  • @heriethinnocent3283
    @heriethinnocent3283 3 роки тому

    MUNGU akubariki sanaaaaaaaaaa mtumishi wa MUNGU

  • @ojokkennedy1244
    @ojokkennedy1244 2 роки тому +1

    Kw chat yangu ya gospel ninao watambua huwa rose muhando akiwa wakwanza,wapili bukuku watatu niwewe boni lakini venye unavyo kuja baada kusikiza hi wimbo naona ukiwa wakwanza ukiendelea ivo napenda sana wimbo zako uwa zani sisimua wala c jawai koment kw nyimbo zozote duniani, hindio ya kwanza nashukuru kw wimbo sote tuko sawa

  • @Mr.Highway7
    @Mr.Highway7 3 роки тому

    Tuko sawa mbele za Mungu ❤️

  • @elizabethmkinga3191
    @elizabethmkinga3191 Рік тому

    Nice 👍👍

  • @taybeck6564
    @taybeck6564 2 роки тому

    Emen Mtumishi tuko sawa sote hakika

  • @ernestzyno2476
    @ernestzyno2476 2 роки тому

    Nabarikiwa tuuu

  • @floicemukoma9970
    @floicemukoma9970 Рік тому

    Hallelujah

  • @joycebruno312
    @joycebruno312 2 роки тому

    Thanks very much for that good message very sure be blessed

  • @katalayibikabwele5187
    @katalayibikabwele5187 29 днів тому

    Vraiment

  • @noahketter4627
    @noahketter4627 2 роки тому +1

    Tuko Sawa

  • @eyomusamuel5643
    @eyomusamuel5643 2 роки тому

    True. More grace servant of God