Bony Mwaitege -Mkono wako '' (Official Music Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 чер 2023
  • Kwa Neema ya Mungu kazi zangu zote sasa zitapatikana katika channel yangu hii, nikuombe sana kuungana na mimi kwa hatua nyingine mpya kabisa.Mafuta ambayo Mungu ameyaweka ndani yangu ni wakati mwingine wa kukuvusha ...
    Pia unaweza kuwasiliana namimi moja kwa moja kwa simu namba:-+255 753 582 739.
    MUNGU AKUBARIKI SANA.

КОМЕНТАРІ • 664

  • @kagoKago-kw7li
    @kagoKago-kw7li Рік тому +25

    Can't wait to play this song to my wedding day 🎉🎉🎉❤❤ God hear my pray u know me very 🎉🎉😂😂😂 more love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 like za Kenya 🇰🇪

  • @rosemuhandoofficial5676
    @rosemuhandoofficial5676 Рік тому +7

    Congratulation my kaka nafurahia sana naungana nawe Kwa shukurani maana Kwa mkono wake tumekuwa hivi tulivyo Leo japo hatukustahili

    • @BonyMwaitegeOfficial
      @BonyMwaitegeOfficial  Рік тому

      OOOH MY DADA , MTOTO WA MZEE
      MUHANDO .....ALIYEKUPATIA JINA LA ROSE..
      NASHUKURU SANA

  • @rayfrida634
    @rayfrida634 11 місяців тому +1

    Nakupenda baba yangu nyimbo zako zilinfanya nikue kimaadili sana Mungu atakushangaza zaidi na zaidi

  • @mithletlwoyelo6044
    @mithletlwoyelo6044 Рік тому +42

    After everything I was going through in kenya, I was the talk of town 😢😢Today I can testify I have Seen the hand of God here in Dubai! Thank you Lord Jesus!

  • @mikelangat8452
    @mikelangat8452 Рік тому +16

    Who else feels touched whenever this man of God sings?

  • @vicomslenses8109
    @vicomslenses8109 Рік тому +5

    Hapa kenya tunakutambua kuliko rais wetu. Tunaomba mkono wa bwana uinue uchumi wetu, mbinu zetu binafsi zimegonga mwamba.

  • @dicksonombati3866
    @dicksonombati3866 Рік тому +2

    Kazi nzuri mtumishi napenda huimbaji wako sana

  • @prodigalsaints254
    @prodigalsaints254 Рік тому +2

    Japo napitia magumu. Kupitia wimbo huu nina imani kuwa Mungu atanipa ushuhuda. Ipo siku ataunyoosha mkono wake maishani mwangu

  • @esthersissamo1120
    @esthersissamo1120 Рік тому +1

    Asante sana mtumishi kwa ujumbe mzuri sana umenitia moyo sana kazi nzuri sana bila Mungu nisingeweza

  • @jean-marienkurunziza8198
    @jean-marienkurunziza8198 11 місяців тому +2

    Jamani Mimi wamwisho hâta likes mbili zinanitosha❤

  • @msumbaalihappytokenyan5714
    @msumbaalihappytokenyan5714 Рік тому +3

    Am a Muslim but Napenda ur songs so powerful.. Wapi likes team gulf

  • @JESUSCHRISTSAVES777COME
    @JESUSCHRISTSAVES777COME Рік тому +1

    Hii n kubwa my favourite Bony Mwaitege song is Dunia drop yako tukisonga❤

  • @LatifahTattianah
    @LatifahTattianah Рік тому +2

    All the way from TikTok to listen to this song

  • @salvaspm8803
    @salvaspm8803 3 місяці тому

    Bony Mungu akuzidishie maudhui ya nyimbo zako sisi wengine tunabarikiwa

  • @joylinekinuthia6450
    @joylinekinuthia6450 11 місяців тому +2

    Kweli nimeuona mkono wako ❤❤ asanti for this

  • @mrnickmusician7139
    @mrnickmusician7139 Рік тому +2

    hongera sana mtumishi wa Mungu keep going 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏🙏😂😂🎵🎵

    • @BonyMwaitegeOfficial
      @BonyMwaitegeOfficial  Рік тому +1

      Amina

    • @mrnickmusician7139
      @mrnickmusician7139 Рік тому +1

      mtumishi bwana hasifiwe mimi niko mombasa natamani nikuone Mtumishi naomba nikuwe nawe pamoja tupinge kazi ya Mungu hiyo ndiyo ombi langu mtumishi 😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🎵🎵🎵

  • @cestjolie5574
    @cestjolie5574 2 місяці тому

    Wow! uyo mwanadada ambae anaimb kamfanana sana Zuchu hadi mi nikadhani et ndo yeye Zuchu mwenyewe 🥲🥲🥲🥲🥲.

  • @jonassteven1767
    @jonassteven1767 Рік тому +2

    Ongera san mchugaji mwezangu

  • @andrewkasongo1368
    @andrewkasongo1368 Рік тому +6

    Ameeen , Wimbo Nzuri sana , Ubarikiwe sana Na Mungu mtumishi wa Mungu 💐💐💐🔥🔥❤️❤️❤️🙏🏼Hakika Bwana anatuwazia mema

  • @goodluckkigwenenge8953
    @goodluckkigwenenge8953 4 місяці тому

    ila bony wewe ubalikiwe sana unanifanya nalia nikisikiliza nyimbo zako hua zinanigusa moyoni ndani kabisaaa kama hapo ananiwazia mema duh mpaka nafunguka moyoni nakutamani niwe muibaji namimi❤❤❤sana bony

  • @catherinebunyasi6051
    @catherinebunyasi6051 11 місяців тому

    Nikiskia wimbo huu nakumbuka last month niliepuka Kwa ajali,,, God is great sikuumia na hakuna aliyeumia🙏

  • @bettynekesa7836
    @bettynekesa7836 Рік тому +3

    Bila huyu mungu singeweza mimi na maisha yangu kwa hakika nasidi kuona mkono weka bwana,barikiwa sana kaka

  • @musaliaeugene7975
    @musaliaeugene7975 Рік тому

    Tokea utotoni napenda sana nyimbo zako mwaitege nikiwa nchini🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @Ailestv
    @Ailestv Рік тому

    Hongera baba Kwa wimbo mzuri mweeee ila shati la kijani hili naomba niseme umenibariki sana hahahahaaaa

  • @EdnaLazarus
    @EdnaLazarus 11 місяців тому +1

    Nimeusikiza huu wimbo siku nzima❤❤

  • @ChristineNzyoka
    @ChristineNzyoka 5 місяців тому

    Bony nyimbo zako hakika unibariki sana.Mungu azidi kukuinua Kwa kazi yake

  • @JanethBuzuka-bu7di
    @JanethBuzuka-bu7di 11 місяців тому +1

    Nice song,Umenitendea mema mengi Bwana.

  • @sarahnafulanafula5537
    @sarahnafulanafula5537 Рік тому +1

    Huu wimbo umenikumbusha mbali sana 😭😭🙆,maali mungu amenitoa sina la kusema,na ww mtumishi wa mungu,mungu akupariki milele na milele ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 👈❤❤

  • @samuellamayan9103
    @samuellamayan9103 Рік тому +17

    Amina🙌🙌🙌Mtumishi tumeponywa na mkono wa Mungu, Be blessed from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @FredLui-jd8yw
    @FredLui-jd8yw 8 днів тому +1

    Be blessed...from kyela mbeya

  • @eddahogollah2458
    @eddahogollah2458 Рік тому

    Nimesikiliza nyimbo zako tangu utotoni mwangu hadi wa leo,, walai umeteuliwa kutangaza injili,,be blessed 🙏🙏

  • @geraldmwazo126
    @geraldmwazo126 4 місяці тому +1

    Hakika ni mkono wa Mungu uliotufikisha tulipo ,,,, Mungu akubariki mtumishi wa Mungu bonny mwaitege na azidi kukuinua kiwango hadi kiwango ,,,,much love from kenya

  • @Dorothy-pp6cd
    @Dorothy-pp6cd 10 місяців тому

    ASANTE SANAAAA, MTUMISHI, WA MUNGU, KWA KUNITIA MOYO , KATIKA SAFARI YA KWENDA MBINGUNI, BARIKIWA SANAAAA

  • @shedrackngaila383
    @shedrackngaila383 Рік тому

    Kumbe shetan anaogopa mkono wako (Mungu) the bonfance mwaitege haujawahi kuwa na kazi mbovu te heaven will declare and implemente your demands

  • @leonkangu2850
    @leonkangu2850 Рік тому +2

    Hakika nimeuona mkono wako baba wa kuume umeniponya tena asante.

  • @hellenchepkemoi7730
    @hellenchepkemoi7730 Рік тому +5

    Wauuuuu.....!what a blessing song,kwa hakika mimi nimeona mkono wa mungu pia🙏na nyenyekea.

  • @sebastiancharo4247
    @sebastiancharo4247 11 місяців тому +1

    Ninavyo barikiwa na ulindwe undelee kubariki wengine nikiwa mmoja wao nabarikiwa nawe ndugu. Naona mkono wa MUNGU katika maisha yangu yote.

  • @DALALIMTOTOMPANDAKATAVI9169
    @DALALIMTOTOMPANDAKATAVI9169 Рік тому +2

    Mtumishi wewe waga hukosei kabsa kazi nzuri sana mchungaji wetu

  • @user-oi5ck7ms8y
    @user-oi5ck7ms8y 11 місяців тому +1

    Nmeona mkono wa mungu maishani mwangu! Uabudiwe milele yesu🙏

  • @akumobume3529
    @akumobume3529 3 місяці тому

    Amen nimeona mkono wako kwenye maisha yangu ubaliwe sana

  • @MchungajiNewton-jl9qs
    @MchungajiNewton-jl9qs Рік тому

    ❤❤❤❤nashukuru saana nyimbo yako imenijenga saana kiroho🎉🎉🎉🎉🎉

  • @IRENELWENYA-zr4kr
    @IRENELWENYA-zr4kr Рік тому

    umbali amenitoa pia nami nashukuru,ameniketisha na wafalme mimi niliekua nadharauliwa.hakika nimeuona mkono wako...kutoka kenya twakupenda mtumishi wa Mungu🙏

  • @BuraMwewe-vf1hs
    @BuraMwewe-vf1hs Рік тому

    nashukuru sana bonny nimekua fan wako tangu niwe mdogo nyimbo zako ziko na nguvu zamungu uwa nikisikiliza napata faraja kwakweli nimeuwona mkono wangu,barikiwa sana mtumishi wa mungu love from kenya

  • @lenatiusjonas4714
    @lenatiusjonas4714 Рік тому

    Bon mwaitege bado ni yule yule kwa Yesu amna kuzeeka

  • @dennisotieno7607
    @dennisotieno7607 10 місяців тому

    Nimeuona mkono wako Bwana. Barikiwa mtumishi wa Mungu

  • @rhodahbranice3379
    @rhodahbranice3379 Рік тому +7

    Alleluia, powerful song. MKONO WAKO.

  • @papysadiki5947
    @papysadiki5947 Рік тому

    Iyi ni zuri saana sasa ndugu unaaza kuchezesha wanawake mu mavazi mbaya

  • @papatomaso4874
    @papatomaso4874 Рік тому +2

    Barikiwa sana mtume wa bwana Bonny mwaitege

  • @johnmshan4017
    @johnmshan4017 Рік тому +2

    Ameni balikiwa sana Mtumishi wa mungu🎉🎉

  • @YvanNik
    @YvanNik Рік тому +2

    Tunaicunga kbsa Papa Mwaitege tunakupenda sana 🤗🤗👌

    • @BonyMwaitegeOfficial
      @BonyMwaitegeOfficial  Рік тому +1

      ASANTE SANA

    • @YvanNik
      @YvanNik Рік тому

      @@BonyMwaitegeOfficial Ndiyo hatanami ni muimbaji wanyimbo za kumuabudu Mungu sijuwi kana ninaweza kupata number yako ya WhatsApp ??

  • @chantalmariesony2996
    @chantalmariesony2996 Рік тому +1

    Mungu akubariki sana kaka yangu ulinifanya niokoke sana kwa ile wimbo wa mama roho yangu iko mikononi yake ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ hata na iyi ni powa sana

  • @TerahBarasa
    @TerahBarasa 3 місяці тому

    saidia mungu wangu pokea sifa mungu akuinue sana sana🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @freddyfota-km8qz
    @freddyfota-km8qz Рік тому

    Mungu asifiwe sana na awa bariki, from Kolwezi 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩.

  • @user-qs8qb2jl1l
    @user-qs8qb2jl1l Рік тому

    I like this song mtu wa mungu zidi kumsifu mungu upokeee mafuta zaidi na zaidi

  • @goddamwakimi5889
    @goddamwakimi5889 Рік тому +2

    Nyimbo nzuri sana, Asante mwaitege

  • @jonathanalais.m1303
    @jonathanalais.m1303 3 місяці тому

    Jameni mtumishi ww baraka .Akubariki God

  • @binyondekawangu8854
    @binyondekawangu8854 Рік тому +1

    Jamani imenigusa sana ubarikiwe

  • @remybebs4156
    @remybebs4156 Рік тому

    Amen Mungu kwel amenitoa mbali kijiji kilinijua km mwenye hakusoma lakini saii penye niko ni kwa neema yake aliwazipa midomo nko gulf nashukuru

  • @user-wl8uz5lq2u
    @user-wl8uz5lq2u 4 місяці тому

    I love this song... always look up to God for all your doings and the Lord will put his hand on it...

  • @pascalernest2226
    @pascalernest2226 Рік тому +1

    Mungu akubariki Sana Mtumishi wa Mungu huduma yako ni njema sana 🙏

  • @elizabethsidi5574
    @elizabethsidi5574 Рік тому

    Amen barikiwa sana kaka wimbo mzuri sana unanitia moyo,ila hao dancers wanacheza kidunia alafu wanawake wamavaa trousers haimpi mungu utukufu 😢

  • @barakajoftani
    @barakajoftani Рік тому +1

    hakika nimeuona mukono wabwana nyimbo inabaliki sana

  • @roselindahokeno7637
    @roselindahokeno7637 Рік тому +2

    Amen ,hakika nimeuona mkono wa Bwna,God bless you Sir🙏🙏

  • @rabynzwala1144
    @rabynzwala1144 10 місяців тому

    Hakika mkono wa Bwana nimeuona.barikiwa San mtumishi

  • @user-un4do8gs4h
    @user-un4do8gs4h 9 місяців тому

    Mungu kweli amenivusha kwa majaribu na changamoto😭😭😭

  • @rebeccamaunde4085
    @rebeccamaunde4085 Рік тому

    Much love the song from uwarabuni originality from...Kenyans hata kama tuko gulf countries we still love you bony and listening for you song coz your songs have more blessing...thank you brother bony

  • @obadiamwakaje5775
    @obadiamwakaje5775 Рік тому +2

    Kazi nzuri mtumishi ubarikiwe sana

  • @janekalondu6177
    @janekalondu6177 Рік тому

    Amen l love is song 🙏🙏🙏🙏🙏🙏 mungu akubariki sana ,,,, mtumishi wa mungu ,,,,,, najua mungu atatutoa viwago vya chini atupeleke viwago vya juu

  • @Bettermustcome714
    @Bettermustcome714 Рік тому +7

    Bonny siku moja majaliwa tutaimba pamoja... Naamini,,, Mungu awe nawe milele

  • @SHUJAAWAIMANIHYLINEBAKE
    @SHUJAAWAIMANIHYLINEBAKE Рік тому

    Eeee baba nimeuona mkono 🤲 hallelujah hallelujah 🙌🇰🇪👌💃💃💃💃💃🔥🔥🔥 mikono yako ni mizuri mungu 🧎🏼‍♀️🤝💗🙏🙏🙏

  • @mwanaharusichizikalama7790
    @mwanaharusichizikalama7790 Рік тому +2

    Barikiwa sana mtumishi wa mungu bonny mwaitege

  • @priscaokeiga8321
    @priscaokeiga8321 Рік тому

    Wonderful song nimerudia karibu mara 10 kwa ukweli nimeona mkono wake mungu

  • @priscilahkuvali1280
    @priscilahkuvali1280 Рік тому +1

    Wewe bonny,nyimbo zako ufurahisha moyo wangu licha ya mapito 🙏🙏🙏

  • @kapesatv5566
    @kapesatv5566 Рік тому +2

    Barikiwa sana Kaka

  • @KilelJazzKillerBoyofficial
    @KilelJazzKillerBoyofficial Рік тому

    Amen Amen 🙏imenikuza

  • @barakajoackim-xu3hi
    @barakajoackim-xu3hi 11 місяців тому

    Nabarikiwa sana na zako haswa hiib inanikumbusha kumtegemea mungu

  • @DanielMathou
    @DanielMathou 11 місяців тому +1

    haleluya !yes God shows us without hand of glory

  • @christinematoke2795
    @christinematoke2795 10 місяців тому

    Ni kweli Mungu anatuwasia mema barikiwa mtumishi.

  • @dismasndelwa7627
    @dismasndelwa7627 Рік тому +1

    ubalikiwe Sanaa mtumish

  • @IsraelPatrick-ee6mm
    @IsraelPatrick-ee6mm Рік тому +1

    Amen Mungu akutie nguvu

  • @alexkilonzo2303
    @alexkilonzo2303 Рік тому

    HUU WIMBO UNANIPA NGUVU NA IMANI DHABITI KATIKA MAISHA YANGU....UBARIKIWE...🙏🙏🙏

  • @neemambena7021
    @neemambena7021 Рік тому +1

    Asanteee Yesu kwa kumtumia mtumishi wako kutuvusha kupitia wimbo huuu, Barikiwaaa saaana Mtumishi Mwaitege🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 , BABA NIMEUONA MKONO WAKOOOOO🙌🙌🙌🔥🔥🔥

  • @wanjirahilda5876
    @wanjirahilda5876 Рік тому +1

    Kwa hakika nmeona mkono wa bwana,from all what have been through I can testify his goodness😢😢

  • @guillaineniyibizi5979
    @guillaineniyibizi5979 Рік тому

    Asante sana Mungu nami nimeona mkono wako kwenye maisha yangu. Ubalikiwe sana tunakupenda sana sisi watu wa Burundi

  • @jeanvatistesony7407
    @jeanvatistesony7407 Рік тому

    Kumbukumbu latorati 22:5 wanawake wana vala suluwali😭😭🇨🇩 Paschal casian uko wapi?🇨🇩🇨🇩

  • @esthermuthuita7924
    @esthermuthuita7924 Рік тому +2

    Hakika anatuwazia mema Baba❤

  • @barakadieudonne
    @barakadieudonne Рік тому +1

    Amina kubwa 🙏 ubarikiwe sana 🙏

  • @zulfasaeed7445
    @zulfasaeed7445 Рік тому

    Asanteee baba 🙏🙏😍😍😍😍😍😍😍🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌nipo naenjoy hapa kazini 😘😘😂😂😂😂😂nyie raha sana mungu akubariki sana 🙏💪❤❤❤

  • @carolineouma8660
    @carolineouma8660 Рік тому

    Umebariki wengi kwa mataifa mengi mungu wa uwezo akuneemeshe zaidi mtumishi wa mungu Asante sana

  • @YvanNik
    @YvanNik Рік тому +2

    Hatanami nime uona mkono Wabwana Yesu Asante sana kwanyimbo hiyi 😊😊🙏

  • @lazaroraphaelmwandosya7010
    @lazaroraphaelmwandosya7010 Рік тому +1

    utukufu Kwa Bwana 🙏🙏🙏

  • @jullyjulline4359
    @jullyjulline4359 Рік тому

    Bony mwaitege never disappoint am blsd nkiwa dubai 🙏

  • @rophencenyamvula62
    @rophencenyamvula62 Рік тому +2

    Amen Amen barikiwa sana mtumishi wa Mungu

  • @robertkanamba2497
    @robertkanamba2497 11 місяців тому

    mungu azid kuku kuza kwa vema najinsi unavotupa neno

  • @IgiranezaFaximille-iw7gu
    @IgiranezaFaximille-iw7gu Рік тому +1

    Amen from Bujumbura my Burundi🇧🇮🇧🇮

  • @hawamasomora-os9np
    @hawamasomora-os9np Рік тому

    Amen wimbo huu ninapo usikiliza unanibaliki sana

  • @luisdamianojekapu7136
    @luisdamianojekapu7136 Рік тому

    Barikiwa sana baba yetu hakika nyimbo zako zina gusa nyoyo zetu❤❤

  • @kefaJmalimali
    @kefaJmalimali Рік тому +1

    Baba kama baba kweli nimeona mkono wako Bwana Yesu ameen nimebarikiwa sana baba Mungu akupe maisha malefu sana

  • @loiceloi9471
    @loiceloi9471 5 місяців тому

    Imependeza ni mkono wa mungu tu pekee

  • @mercyndoli5296
    @mercyndoli5296 Рік тому

    ❤❤❤❤ mungu hy n mkubwa wa vyote teams khamama mko wp plz imgn vile watulisema hatutafika mbali weee