Hamisa Mobetto kafunguka Mahakama kumsuluhisha na Diamond 'Ugomvi wa familia uacheni tu'

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 507

  • @moseskisingi7696
    @moseskisingi7696 7 років тому +10

    Wasichana wa siku hizi Bwana, yaani mtu anasema hana mpango wa kuolewa lakini yuko tayari kumvulia nguo na kuzaa na mwanaume yeyote atakae mwona ana pesa, kisha mtoto atumike kama kitega uchumi,
    = Watu kama huyu binti kuolewa labda, Mahause girls (wadada wasaidizi wa kazi za nyumbani wawe wameisha)
    =Ninyi subirini tu tutafute pesa Kidogo tuwahonge na ili kuona hicho cha ziada mlicho nacho,kisha tuwaambie machoni kuwa hamna cha ziada tulieni,
    =Hata huyo mzazi mwenzake kama kuna cha ziada angekikuta msingefikia Mahakamani,

  • @marylinekatikilo6753
    @marylinekatikilo6753 7 років тому +32

    uyo mwamke yupo powa sana kama umemkubali gonga like

  • @mukamugenzifrancine4995
    @mukamugenzifrancine4995 7 років тому

    Kahamisa nakapendeya kitu kimoja kanajiamini na kanamoyo wasubira hakayumbishwi na maneno kajanja kuliko hata kina wema big up hamissa 😍😍😍😍

  • @shuuathuman9327
    @shuuathuman9327 6 років тому

    mond noma umegongaa umemtumiaa hadi raha. Leo umemucha mweupe. BG ap mond kwa kazi zuri. wavue tu bikin hizo ila ukitaka kuoa muoe zari the boss ledy

  • @petromtakati2975
    @petromtakati2975 7 років тому +1

    Kumbe ww unataka hela kulingana nA uwezo wa diamond Ila we dada nimekuzalau sana, hayo sio maisha inaonyesha diamond Akija filiska utakuja mgeuka useme sio mtoto wake.... Acha mambo yako bhana aaaaah unazingua naww

  • @mako331
    @mako331 7 років тому +2

    did l hear it right? huamini sana ndoa??? ndio maana unazaa watoto nje ya ndoa? wewe ni role model kweli, kioo cha jamii hicho

  • @saumuhassan1365
    @saumuhassan1365 7 років тому +1

    Mashallah Mobetto wewe ni mrembo sana, nakupenda sana mpenzi.

  • @aloycekiwia8613
    @aloycekiwia8613 7 років тому +2

    Duh.!! Ka-win BINGO .!Anajua ku-invest.! She has blight future in front of her.

  • @eunicemishel2562
    @eunicemishel2562 7 років тому

    Heri kuzaa nje ya ndoa kuliko kuolewa maana bwana akioa lazima atafute mpango wakando.Love to be single forever.Hamisa lea watoi wako 2 is enough just relax and continue enjoy tamu with Mr D

  • @AzaAlhabsi
    @AzaAlhabsi 7 років тому

    Kaongea vzuriiiiii afu mwsho akaharbuuuuu.eeh binadam hujui ya kesho.pumzi ya mungu.hapo ukzmika mara moja utajutaaaaa Kwa kufanya kusudi Na kujtapa kuzaa nje ya ndoa.din zote HAZKUBALI.TAFAKARI.

  • @alhamdulillah5796
    @alhamdulillah5796 7 років тому +1

    Ukizini nawe utaziniwa hata km chini ya dirisha la nyumba yako. Allah atuepushie zinaa cc pamoja na vizazi vyetu.

  • @dianacharles6965
    @dianacharles6965 7 років тому

    hongera hamisa umeamua vizuri akikupa chochote chukua Mdg wangu

  • @fathiamzee8312
    @fathiamzee8312 7 років тому +4

    Mnashangaza sana nyinyi wazinifu mtoto wazinaaa anadaiwa haki kwa baba ilo sio sahihi maana nyinyi waislam naistoshe din haisemi ivyo nihiari yke .tafuta mume uwolewe utafute hak ya halali

    • @mgenisalum3721
      @mgenisalum3721 7 років тому

      Fathia Mzee
      Kabisa ni waislam jina tu hao manake huyo mtoto ni wake yeye hamisa na sio diamond na ata wale wa zari pia coz yule tifa anaweza kumuoa dini haimtambui labda wawe wameoana na watoto wapatikane ndani ya ndoa

  • @boikamoha2227
    @boikamoha2227 7 років тому

    Acheni kujipakazia nyiee.
    Mimba za wengine kupeleka kwa mwengine nomaaaaaa.
    Inakua mkate bba🔥🔥🔥

  • @vava1official556
    @vava1official556 7 років тому +1

    That is gud am happy for you guys it will be good that baby to see Mom and Daddy

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 7 років тому +41

    Vizuri kabisa leeni mtoto wenu acheni mabifu ya mashabiki ambayo hayawasaidii chochote.

    • @hassanimtasiwa5820
      @hassanimtasiwa5820 7 років тому

      Safi

    • @lisalizzi8690
      @lisalizzi8690 7 років тому

      asha ali wakiwa wana Tombana wasi weke wazi kufaidisha mashabiki utamu walisikia wao Mpaka kutuma Video kuahakikishia Simba kaaniitomba na kuniitia mimba hehehe koma.So Next Time Think about it befor you do something watajiju

    • @mathewshedrack8382
      @mathewshedrack8382 7 років тому

      Mmefanya vzr kumaliza tofaut zenu

    • @bilalbinali1227
      @bilalbinali1227 7 років тому

      kweli

  • @mwambamkombozi4672
    @mwambamkombozi4672 7 років тому

    Inaonekana wazi kuwa wengi wa watanganyika kiswahili sio lugha yao kama tunavyoona mara nyingi wanapoongea kiswahili huwa wanachanganya na lugha nyengine ambazo sio kiswahili na ndio maana tukaambiwa waswahili ni watu mwambao!! Ningpenda kuwasihi watanzania wanaopenda kuongea kiswahili kama ni lugha yao ya taifa basi wajivunie kwa hilo na wajifunze zaidi kiswahili kwakua kiswahili sasahivi imekuwa lugha moja kubwa sana ambayo inaheshimiwa kimataifa na ni lugha inayongoza kuwa juu katika bara la Afrika, tusikubali kuwa watumwa wa lugha jivunie na matunda mazuri ya lugha yetu ambayo sasahivi imeanza kutamba duniani kote na mfano zaidi ni huu hapa ambapo wa Oman lugha yao ya pili ni kiswahili, katika nchi ya uingereza sasahivi vitu vingi vikiwndikwa kujuilishwa watu basi kunakuwa na kipengele (option) ya lugha ya kiswahili!! Nimetoa mfano huu ili kuwatanabahisha wale ambao wanahisi nakuona kuwa kiswahili labda ni lugha ndogo isiokuwa na maana wakati hicho ni kinyume chake!! Kiswahili oyeeeee!!!

  • @zungubakathir1761
    @zungubakathir1761 7 років тому +2

    Inallah waina illah rajiun ndomana unaniona nimezaa watoto inje ya ndoa mapema hakika mwenye kufanya mazambi huku anacheka ataingia moton uku analia dunia imeisha duuh nishida

  • @barazasila4051
    @barazasila4051 7 років тому +5

    Mashallah, hapo ndio usolome uliwafikisha yaani kotini.

    • @renegerald3289
      @renegerald3289 3 роки тому

      i know I am kinda randomly asking but does anyone know of a good place to stream newly released movies online?

    • @musafinnley4163
      @musafinnley4163 3 роки тому

      @Rene Gerald I use Flixzone. You can find it by googling =)

    • @hendrixsergio5474
      @hendrixsergio5474 3 роки тому

      @Musa Finnley yea, I've been watching on FlixZone for since april myself =)

    • @renegerald3289
      @renegerald3289 3 роки тому

      @Musa Finnley thank you, I signed up and it seems like a nice service =) I appreciate it!!

    • @musafinnley4163
      @musafinnley4163 3 роки тому

      @Rene Gerald happy to help :)

  • @mctidohondoa1652
    @mctidohondoa1652 7 років тому

    Haya ni balaaa pitieni na kwangu kuna vitu vizuri bonyeza picha kushoto

  • @baroseliasbaruani1102
    @baroseliasbaruani1102 7 років тому

    Kutoka USA MAREKANI TEXAS DALLAS, tumewapata, lakini mbona wakati mlipokuwa mnapendana hamjaanza mapenzi yenu mahakamani ? Kwa nini mahakama ihingilie kati huku haikujua ni wapi mlikoanzia ? Na ni wapi mtoto alikopatikana ?
    Amisa iweni na fursa za kuwedhesha watoto mnao wazaa wasije wakawacheka baadae .
    Angalisho sana na swala hili ulilo fanya .
    Haijaleta sura nzuri. Hatumo tunapita njia tu. Tunayaangalia na macho kodo.

  • @ivanmcdonimcdoni7890
    @ivanmcdonimcdoni7890 7 років тому

    Mimi kwetu ni Mozambik. Nimependa sana njizi ambaye mumefanya.Glückwunsch (Ongera) Diamond Platnumz na Hübsche Frau (mrembo nzuri) mwenye Macho kama mdori. Acey you are beautfull

  • @taharayassin6528
    @taharayassin6528 7 років тому +5

    Yaani unapingana na amri ya Allah yaani umeona bora umezaa nje ya ndowa kwasababu huipendi kitu ndowa duh ndokwanza nakusikiya wewe kauli hiyo

  • @simbavevo7318
    @simbavevo7318 7 років тому +11

    hamissa Huyo mtoto wako na simba sawa.lakini usifanye mtaji Huyo mtoto kwa kutegemea pesa kwa mond ..eti kwa mwezi 10million kwani kitua cha yatima hicho ..kuwa na akili sometime utafell ...Fanya yakoo

    • @margarethkalembwe7636
      @margarethkalembwe7636 7 років тому

      simba Vevo Hizo 10 millions unamsemea?mbona yeye hajatamka kitu kama hicho?

    • @zubeidaabdalla5096
      @zubeidaabdalla5096 7 років тому

      familiya umeolewa na unajisifu umezaaa njee ya ndoa looo huna Haya wewe

    • @fridalulu5916
      @fridalulu5916 6 років тому

      simba Vevo ndo maanake hakuzaa na MTU ka wewe, live your life nigga

  • @tabuyahya6481
    @tabuyahya6481 7 років тому

    Vizuri sana mleeni mtoto wenu msiyasikilze ya pembneni shetawadu huwa wananguvu za kugombanisha watu harafu wao kimya yanini sasa mleeni mtoto wenu mazingira mazuri na baba uwe unakwenda kumuona mwanao Achana na mambo ya watu.

  • @valentinamussa4212
    @valentinamussa4212 7 років тому +2

    upo kazuri sana hamisa Mungu akupe maisha marefu,

  • @jacobmlelwa7616
    @jacobmlelwa7616 7 років тому

    Mwanamke mzm unampeleka mahakaman mme wa mtu eti oooh matumizi haleti , huoni haya kama wew ni mjasiliamari na unapenda u boss Lea mtoto kuliko kujizalilisha kama bwana ana mtt anafaham majukumu we Lea MTT ili awe wako mwanamke pambana na hali yako uwo ndio u strong women si kuonekana kwenye TV tu

  • @apansiakyabu4334
    @apansiakyabu4334 5 років тому +2

    Mambo mengine yaaibu, mlipanga kuzaa alikuambia hana watoto! Au ulijua kuzaa mondi ndio kuoleawa na Zari alikuachia olewa sasa!

  • @catherinemsofe8020
    @catherinemsofe8020 7 років тому

    nakupebda, mzuri na uko smart kichwani na maongezi yako pia yana akiki

  • @wampande
    @wampande 6 років тому +3

    For sure zari is more beautiful

  • @MariamsLifestyle
    @MariamsLifestyle 7 років тому

    Amejieleza vizuri 👌🏾👌🏾

  • @ummali7942
    @ummali7942 7 років тому +1

    Mtoto wakislamu huyu anajivunia kuzaa njee ya ndoa hawa wataenda sema nn mbele ya Allah jamni Yani wanaona hawata kufaa Kesho hawajuwi kama ni hisabuu SubhannaAllah Tz Ni wachache wenye dini kisha hawa hawa ati huweka visomo vya dini hata wale mashekhe wanao wfata ni kama wao Don't think ma3lim wamaana ataenda West tym yke

  • @uledimtumwa3045
    @uledimtumwa3045 7 років тому +18

    Wazinifu wanajiamini sana, haya ndio Madada wanaojinasibisha na uislamu.Anaongea kwa furaha kama katenda jambo jema.Anaemuasi Mungu kwa furaha ataingia motoni kwa kilio.

    • @fridalulu5916
      @fridalulu5916 6 років тому

      Uledi Mtumwa let her live her life n stop judging her...

    • @abousahalabdoulnuru14
      @abousahalabdoulnuru14 6 років тому +1

      Uledi uko sahihi japo ukweli kila siku umekua kama sumu watu hukata kuambiwa ila huo ndo ukweli

  • @mariamangel1264
    @mariamangel1264 7 років тому

    Uko na tama kweli daaaa looooooo yani km ana uwezo utafanya nn

  • @slyvian5885
    @slyvian5885 7 років тому

    Hamisa take care of your Family .jini Kisirani alikuwepo toka enzi za "Mawazo" Who listens to Haters

  • @magrethmagretotwara6521
    @magrethmagretotwara6521 7 років тому +1

    tena safi sana baba lea mwanao

  • @fatwimamakungu5456
    @fatwimamakungu5456 7 років тому

    fatshayy fatshayy umeona na ww nilijua mm yaninaumia kuona watu wako nyuma kuisoma dini yetu na kujua kua adhabu ya kuburi ipo na inatusubili namuomba Allah atuepushe ss na vizazi vyetu wallah

  • @danielrobert4838
    @danielrobert4838 7 років тому

    Hapo kameshindwa. Kaongooo. Kiingereza hujui unajikanyaga 2

  • @nuranzubail6825
    @nuranzubail6825 7 років тому

    Mtoto wa kiislam anafurahi kuzaa njee ya ndoa kiama kimefika hizi ndo dalili alizozitabili mtume kuwa wanawake wataona kuzaa nje ya ndoa ni kawaida sana na watafurahi . Zinaa ni mbaya tuweni makini maisha ya dunian ni mafupi mno

  • @moringelangas7276
    @moringelangas7276 7 років тому

    Nakukubali sana we mtoto mzuri wa kariakoo

  • @joycejohn7754
    @joycejohn7754 7 років тому

    nakupenda! wew ni mwanamke kusmamia haki ya mwanao unajiamn sana

  • @roseanthony7754
    @roseanthony7754 7 років тому

    nakupenda hamisa wng we ni mzuriii mnoo

  • @m.mmarckus6298
    @m.mmarckus6298 7 років тому

    alisema lakini kaanza na wema kumaliza bifu nawengine watafuata.inapendeza kwakweli namtt mnampa furaha ktk maisha yake.tunamuombea pia bifu ziishe kote na kwababa pia.

  • @tatianatataa1489
    @tatianatataa1489 7 років тому +2

    Beautiful hamissa

  • @kisianganijob1068
    @kisianganijob1068 7 років тому +1

    Beauty...that is why i need a wife from Tanzania.

  • @nabintukadende2388
    @nabintukadende2388 7 років тому +2

    beautiful Misa.

  • @sabahumedia7053
    @sabahumedia7053 7 років тому +3

    Tumche Allah dunia hadaa kwa mujibu wa dini ya kiislam watoto wote wa mondi hawatomrithi hata akioa leo akazaa basi itahesabika ndo mtoto halali hao wengine hata wakila robo ya mali ni dhulma kidunia ni rahisi tuendapo pagumu haramu yoyote ukila wala moto Allah atunusuru na moto

    • @aishaabdallah5523
      @aishaabdallah5523 6 років тому

      nusraty mohammed inshallah mola wetu atunusuru mama dunia inapoelekea dah

  • @roseirungo1950
    @roseirungo1950 7 років тому

    Hapo ni sawa kama mmekubaliana kulea mtoto pamoja ....Ata siyo vizuli mtoto kuwa mkubwa alfu aje kujua babake alimtenga ....

  • @rebeccahkerubo4151
    @rebeccahkerubo4151 7 років тому +1

    Matusi ya nini.. Walkway Kwa relationship hamkuwa..wacheni Walee mtoto wao

  • @مارياكافشى
    @مارياكافشى 5 років тому

    Tama mbaya binaonekana hawutaki agusaidie unataka diamond

  • @keziaodongo3555
    @keziaodongo3555 7 років тому

    Malipo Ndio hayo ulidhani wamuumiza Zari waah zari hakupata mtoto ila watoto nje ya ndoa mbali alifiwa which is very normal basi ina aibu mwapelekana kotini

  • @nimubonashabani2827
    @nimubonashabani2827 7 років тому

    MISS HAMISSAA ANAJUA KUJIELEZAA.

  • @fatwimamakungu5456
    @fatwimamakungu5456 7 років тому

    Kweli kabisaa bahati shirima

  • @bakarymgaluka9282
    @bakarymgaluka9282 6 років тому

    unatamaa ndio ugomvi wafamilia c mgeongea nyumbani umeweka hazarani Kwa tamaaa utazaa asubui jioni mpaka chini kuwe kweusi kama stoo yamkaa

  • @lisalizzi8690
    @lisalizzi8690 7 років тому

    mwabeto mtafutaju hela na kuzaa na Mastar, ongea Lugha moja kiswahili ama kingereza?mwabeto ushachagua maisha ya kuzaa na wanaume watatu ana kuja.Basi jaribu kuvaa Codom tumia Kinga tuma Choka na tabia zako unatuaibisha sisi wanawake God help you girl.Acha tabia mbaya

  • @salmasalim6055
    @salmasalim6055 7 років тому

    Utakuja juta na kujuta lakini wapiii tumuombe Allah atupe kizazi chema na wawe wenye kumpendezesha Allah.ammin

  • @richardmuyango6106
    @richardmuyango6106 7 років тому +1

    hivi Mtoto wako wa kwanza Baba yake anatoa pesa kama daimond au ndio fursa umeamua kuitumia ww mwanamke na kama hyu tunaye muabudu yupo basi ss binadamu tutachomwa vibaya sana kwa maovu turiyonayo eeeeeew Mwenyezi Mungu utuhurumie

  • @fallymetoo191
    @fallymetoo191 7 років тому

    hivi hivyo ulivoviongelea kwambahuko tayari kufunga ndoa na ndio ukiona kuzaa nje yandoa ni vitu vyema saaaaana sio?
    badilika Hamisa tujue kuna Mungu pia

  • @dawhiteaissa2522
    @dawhiteaissa2522 7 років тому

    pesa zina mwisho !!!!kuzaa bila ndoa ni uzinivu!kweli una tamaa pole

  • @florajoseph3565
    @florajoseph3565 7 років тому

    Kweli kbisa kwa mi hmisa pendaga weye

  • @kallamudaily73
    @kallamudaily73 7 років тому

    Nyinyi mnae msakama mwenzeni kuwa ni mzinifu acheni kujikweza, wewe hapo ulipo unautakatifu gani only God can konws. Yoyote kati yenu ambae hatendi dhambi ajitokeze na kumuhukumu huyo binti kwa kuzini.

  • @richardpondo5139
    @richardpondo5139 7 років тому +8

    Kweli msichana akiwa mzuri lakini Hana akili zitakazoumia NI sehemu zake za Siri,,, unaona fahari kuzaa nje ya ndoa,,, !!!

  • @familykabange6328
    @familykabange6328 7 років тому

    Dada uko mke mubaya , ujuwe kama diamond awezi kuwa na passion na Yule mtoto ,munge lizungumuza tu nyumbani

  • @bilalibenteke5904
    @bilalibenteke5904 7 років тому

    wecheka mungu ana kusubiri dada tubia kabisa kabla hujafa ohooooo.

  • @tzviral7342
    @tzviral7342 7 років тому +1

    Dada unatumia watototo kama kitega uchumi? Kwamba ikitumwa Pesa ya mtoto nawe upige Pasu humohumo ya Saluni? Majizo aliyaona haya ndomaana akatoka nduki. Na vile uko na nyota ya kuzalishwa nakuachwa basi kila mtoto na baba yake. Usije tu ukamtegea mimba na Kiba maana huchelewi navile kifua huna ukamkausha uzazi kaka wawatu.

  • @shedrackboniphace7755
    @shedrackboniphace7755 7 років тому +1

    Live the life you love and love the life you live

  • @gloryfredrick8815
    @gloryfredrick8815 7 років тому

    Huyu mpuuzi ana familia gani mtoto mdogo watoto wawili kila mtu Na baba yake. Angekua mzuri c angeolewa

  • @joshuakaminyoge4954
    @joshuakaminyoge4954 7 років тому

    Pesa anatoa diamond kuna watu wanaishi Kalumekenge huko inawauma kama walishiriki kuzitafuta. kama mondi atampa mobeto kiwango chochote is upto himkila mtu apambane na hali yake.. Mobeto we fanya kula tuu hizo pesa za mondi una haki nazo .

  • @hassansimba9995
    @hassansimba9995 7 років тому +1

    dunia Mapito tufanye yte lkn kumcha Allah ni jambo jema

  • @suzziejelagatt
    @suzziejelagatt 7 років тому +3

    Wtf ati haumini ndoa ndio maana nimezaa njee ya ndoa. Is that a pride ?...

  • @salimomar2032
    @salimomar2032 7 років тому

    Tamaa zitakumaliza

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 7 років тому

    Sio hutaki ndoa, unataka kujitawala! Free woman ambayo Mimi naielewa kabisa , ndoa yahitaji kujipanga na kuwa na uvumilivu ambayo masister duh hawawezi

  • @zombetvonline7591
    @zombetvonline7591 7 років тому

    Simpendi huyu dadaaa ah

  • @fatwimamakungu5456
    @fatwimamakungu5456 7 років тому +7

    Rashidi Suleiman sio anajicheka anafuraiya anakwambia aamini ndoa wala atamani kuolewa ila kuzina ataendelea subhanallah yani muswiba mkubwa kwa waisilam ambao awataki kuacha zinaa

    • @fatshayyfatshayy1084
      @fatshayyfatshayy1084 7 років тому

      Fatwima Makungu tena khatari hii wallahi na naona ufakhari kujisifia kuwa yeye ni mzinifu sana

    • @bahatishirima7575
      @bahatishirima7575 7 років тому

      Fatwima Makungu mungu atamlipa stahiki yake muache acheeekeleee zinaaa

    • @fridalulu5916
      @fridalulu5916 6 років тому

      Fatwima Makungu let her live her life the way she wants

  • @adhifachongera1681
    @adhifachongera1681 7 років тому +1

    dully the coming simba in wcb for life

  • @tracyjustice1600
    @tracyjustice1600 7 років тому +5

    Hivi unuwezagi chagua lugha moja ya kuongea kama kizungu ongeeni kizungu kama kiswahili ongea kiswahili, eti ciitaji kuolewa ujapata wa kukuoa bado c uwe mkweli tuu mbona kawaida

    • @TopTenKaliTV
      @TopTenKaliTV 7 років тому

      ua-cam.com/video/ydVddH89wRg/v-deo.html

    • @roseirungo1950
      @roseirungo1950 7 років тому

      unaona hamisa kama ni sura mbaya ka yako ata ndo huwezi iyeka kwa profile kuma nina wee....

    • @shydollwaalihajj5142
      @shydollwaalihajj5142 7 років тому

      kweli kabisa

    • @tracyjustice1600
      @tracyjustice1600 7 років тому +1

      Rose Irungo wewe haya matusi ni ya kwangu? sasa wewe unasema neno zito kama wewe c mwanamke Rose ukikojoa unachutama au unasimama? Na huko unakokuongelea vibaya c ndipo ulipotokea au wewe umetokea kwa nyuma mwezangu?, "bi...sit down and be humble " in kandrick lama's voice

    • @abousahalabdoulnuru14
      @abousahalabdoulnuru14 6 років тому

      Rose tuwe wastaarabu katik maongezi yetu mbona tunapenda sana kutukan matusi makali why??

  • @choloboy9354
    @choloboy9354 7 років тому

    Bado tupo na khatwa yingi zilotoka kwenye njia sahihi.na khatuwa nyingi zinotaka kurejea kwenye njia sahih bali utakuta mtu anam tolea ukali kwa makosa alomzungumzia hamisa kwa yale aloyasifia mwenyewe.na huyo mwenye kumtetea hamisa nae yupo kwenye chat sasa nani aliebora kati ya hawa watu ..mm naona jambo limeshatokea vizuri kuwapasa watu wanamna hii watubie 2..msigombane kwa makosa yawengine ss haina haja kugombana tufanyeni wapate kutu tuwafahamishe namna kani yakufanya hivi sasa eeh hii ndilo lilobaki mpaka mtoto lazima apewe lilo takiwa apewe kama hadithi zilo tuonesha mifano haya ndio maneno yafwatayo 😤😢

  • @nchiyangutv2157
    @nchiyangutv2157 7 років тому +7

    Mtoto mzuri huyu jamani

  • @maryammeme2615
    @maryammeme2615 7 років тому

    Innalillahi waina illaihi rajiun msiba mkubwa huu mwanamke kufuraia kuzaa nje ya ndoa kweli kiama kilee

  • @mercuchebus2474
    @mercuchebus2474 6 років тому

    Ulita zari mkubwa saa hii unahitaji usaidizi si ujiamiamini hata huna haya unaiba mume ya wenyewe hadi unampeleka kortini haya usiwai chukua tena cha wenyewe utakuwa unaenda tu kortini tafuta wako uzae naye mobetto

  • @judykingoto9494
    @judykingoto9494 7 років тому

    Umeongea ndio lakni as a mother I cant afford to fix myself in such a situation may GOD help me

  • @fokasiinnocent3448
    @fokasiinnocent3448 7 років тому

    Dogo diamond nae bwana cjui akaka demu alikapendea nn!!!yani kapo kapo tu!!lbda kuzaa na MTU Wa nyumbN lkn co kingime day!!

  • @just_b999
    @just_b999 6 років тому

    Hamisa knew what she was doing from the beginning. She kinda a girl who can sleep even with someone who is on life support machine for the sake of money.

  • @albertinamichel3230
    @albertinamichel3230 6 років тому

    Jeuri

  • @fatumahengo6849
    @fatumahengo6849 7 років тому

    Hamisa mashaalah kisweety

  • @lizomaftah3829
    @lizomaftah3829 7 років тому

    Tamaa mbaya yaan dahhh

  • @rozeeroz2515
    @rozeeroz2515 7 років тому +2

    Haya wajaze watoto wengi nnje yandoa hiyo moja ya biashala

  • @fisadikiwembe9787
    @fisadikiwembe9787 5 років тому +1

    beautiful

  • @mauashabani227
    @mauashabani227 7 років тому

    katika siku umenikonga moyo wang dada ni leo big up

  • @mamywardah7960
    @mamywardah7960 7 років тому +17

    umepndezaa hamisa mobetto

  • @pisanasalumu5263
    @pisanasalumu5263 7 років тому

    vzur naon mambo yameend saw

  • @ashangohi450
    @ashangohi450 7 років тому

    safi kwa suluhisho

  • @Joze-ko9he
    @Joze-ko9he 7 років тому

    Haki ya mungu anaelekeyana na mond tena wako sawa wote wa dogo Size moja hata waende disco imagine urefu udogo sawa

  • @aishanjama8557
    @aishanjama8557 7 років тому

    Yani hawa wanalalana kila siku itakuaje ulale na mtu usiemjua vizuri hadi kubeba mimba wote Malaya nawasubiri ukimwi

  • @ibtyhans1163
    @ibtyhans1163 7 років тому

    Huko tayari kwa ndoa Lakini kwa Zinaa Uko namba moja. Hata aibu huoni.

  • @joelpeter1815
    @joelpeter1815 7 років тому

    Dada msumbufu kweli wanawake wote wangekuwa Kama wewe dunia isingekuwa sehemu salama kuishi hasa sisi akina baba ninahisi hamisa anaumasikini uliopitiliza kiakili na Kila kitu

  • @halimamamuma7314
    @halimamamuma7314 7 років тому

    Mmmh hatari kwa mahakama umedai hiyo pesa ya kazi gani na ww sio mkewe halali ww lea tu mtoto na leo unaogopa nn wakati mwazo ulisema

  • @janetmlulla374
    @janetmlulla374 7 років тому

    Apunguze mbwembwe chaa?

  • @rukayaali3580
    @rukayaali3580 7 років тому

    Kichwa kibwa akili huna kuzaa nje ya ndoa ndo sifa kujichekesha uongo apo na akuoe nani akutakae utaishia tu kuzalishwa hivo hivo mpaka uzee wako

  • @larickmtui2852
    @larickmtui2852 7 років тому

    Wew ni mbwa tu huna maana ww ulizaa ili upate mtaji nakama ulitaka hayo kwanini ulitombesha kina petiman?