JUMA LOKOLE AMLIPUA HAMISA MOBETTO / AMEACHWA NA KELVIN / ANA TABIA MBAYA ?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 гру 2023
  • MAZITO!!!! JUMA LOKOLE ATOBOA SIRI HAMISA NA KELVIN SIO WAPENZI /WASANII WANAIGIZA MAISHA
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 65

  • @omarsakwa-zs2zy
    @omarsakwa-zs2zy 7 місяців тому +5

    This lady knows..how to ask questions..congrats

  • @uwimana6533
    @uwimana6533 7 місяців тому +4

    Juma punguza makasiriko , hamisa amekukaba koo katika ma EX wote alopita nao , 😂😂😂

  • @starlily07
    @starlily07 7 місяців тому +2

    Dotto Magari kashatuambia biashara unayofanya ni ya nyuma ya maumbile usidanganye watu, huo mtaji wa biashara ili uupate lazima upinde mgongo 😂 pole mwajuma lokole, umenunua gari kushindana na hamisa mobetto sasa unajuta, pole mke mwenza wa Hamisa na hutamfikia hata robo

  • @TaarabChannel
    @TaarabChannel 7 місяців тому +1

    Mpitie na kwangu wapenzi... ❤

  • @rahmaabdulrahman5592
    @rahmaabdulrahman5592 7 місяців тому

    Leo juma nimekupenda. Hasa uliposema km kuhusu watt na wazazi

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 7 місяців тому +1

    Juma❤️❤️❤️

  • @zainabhussein5542
    @zainabhussein5542 7 місяців тому +2

    Kama ameachwa basi Juma ni bora ukaolewe wewe Sasa manake hamisa alikua anakuumiza sana alipokua na huyo bwanake unaenda kuona hamisa akiharibikiwa hebu na wewe siku moja uyatoe na yako watu wayajue na sio kushinda ukitafuta mambo ya watu mwanaume mzima mbona ya kina zuchu na diamond huyasemi umeyafyata Ila Kazi kusema ya kina hamisa

    • @Sunflower001-xt3ou
      @Sunflower001-xt3ou 7 місяців тому

      Zuchu gani,wewe huonagi huyi juma akimtukana na kumkejeli zuchu kila siku,juma hampendi zuchu hata dakika moja.hawapendagi aliyepo,mpaka atoke.

  • @habisnasalum-nz4zo
    @habisnasalum-nz4zo 7 місяців тому +1

    Hakuna anaekulaumu maana ww ni shoga mbona wewe ulienda kuliwa nyuma ukapata gari aina ya renji na watu wanajua hawasemi na ndo maana doto kasema atakuja kumwaga mambo Yako yote

  • @Queen-be1uf
    @Queen-be1uf 7 місяців тому +1

    Kama kalewa hakulewa kayataka na kayapenda usimtetee ukamponda harmonize

  • @Tiffany340
    @Tiffany340 7 місяців тому +1

    We unamcheka feyvan😂😂 eti unakuaje na mwanamke mfupi km kinu

  • @nellymtambo8432
    @nellymtambo8432 7 місяців тому

    Juma anadimpoz inakuja na kupotea kama ya Zari na Muna 😂😂😂

  • @MwanaishaShattry
    @MwanaishaShattry 7 місяців тому

    Juma leo umekazana kama mwanamme hujajisahau

  • @saudamdoe
    @saudamdoe 7 місяців тому +1

    Juma weee

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 7 місяців тому +1

    Hahaa, wapi ww juma, gari hilo umepindwa mgongo ukamilikishwa, unawadanganya Raia..👉👌

  • @priv524
    @priv524 7 місяців тому +2

    😂😂😂😂😂😂😂😂Hamisa was inspired by Masha 😂😂😂😂😂😂 .....naked truth🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂😂😂

    • @AfricaQueen
      @AfricaQueen 7 місяців тому

      🤔kwani kunaajabu gani mbona wewe chawa wake😏🤪

  • @David_keyan
    @David_keyan 7 місяців тому

    Mtangazaji tunakupenda lakini badilisha nywele umefanya nazo interview nyingi mwambie boss wako manara akupe ela

  • @tumainimwaifunga3884
    @tumainimwaifunga3884 7 місяців тому +1

    Juma bila kumsema Misa hana raha.

    • @Zuu673
      @Zuu673 7 місяців тому

      Waandishi wa habari wenu ndo wanapenda izo Mambo sio juma

  • @maryamalhinai3392
    @maryamalhinai3392 7 місяців тому

    Huyu Juma wivuuu tu
    Unamsumbua. Ndo Mana hafanikiwi

  • @user-nj9hm6xd5u
    @user-nj9hm6xd5u 7 місяців тому +2

    ❤️❤️❤️❤️❤️🤲🤲🤲💯💯💯

  • @user-yh2gy1lp7w
    @user-yh2gy1lp7w 7 місяців тому

    Nataka kujua kwaza uyo juma lokore nimwanaume awo???

  • @maryamm7765
    @maryamm7765 7 місяців тому

    Kwa Ally kamwe ilikua kiki lkn kwa Kevin sio kiki

  • @user-vv1te9fu8q
    @user-vv1te9fu8q 7 місяців тому

    Wee kuma toka lini ukamsifia harmo kwenda huko

  • @sweet16honey75
    @sweet16honey75 7 місяців тому

    Huyu mama Juma apenda sana kuingilia wanawake yupo na shida

  • @saidybhoky-lb7hg
    @saidybhoky-lb7hg 7 місяців тому

    wivu utakufa nao maana hulali kwasabb ya hamonize na hamisa

  • @umfahad2609
    @umfahad2609 7 місяців тому +3

    Juma anateseka sana watu wawili duniani. 1) Hamisa. 2) Harmonise. Hawa watu wanamyima saana ucngizi. Atakufa kwa wivu huyu.

  • @user-dz5jc6pp8e
    @user-dz5jc6pp8e 7 місяців тому

    Hapo umeongea penzi la watu wafupi uwaga alivutiiii😂

  • @user-un3xj4mx5n
    @user-un3xj4mx5n 7 місяців тому

    Chizi uyu eti spotify wanatokea wapi

  • @nahlahassan-fd6le
    @nahlahassan-fd6le 7 місяців тому

    Inter view leo paambee😂😂😂😂juma aki ww mbea sana unachokonoa chokonoa sanaaa😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @ashaali7154
      @ashaali7154 7 місяців тому

      Ndivyo walivyo wasenge hakuna cha ajabu hapo Mwajuma anafanya kazi yake.

  • @user-dz5jc6pp8e
    @user-dz5jc6pp8e 7 місяців тому +1

    Mdogo wetu wema sepetu alikua anatoa ugari kachumbali dagaa bamia

  • @fredericafredrick242
    @fredericafredrick242 7 місяців тому +1

    Diamond kacheza sana hivyo na Zuchu acha makasiliko na wivu

    • @firdaussheikh4817
      @firdaussheikh4817 7 місяців тому

      😂😂😂😂😂 kweli pia huyu zuchu tena deal aliambiwa ntakufanya successful but nikuchezee😂😂😂😂

    • @Sunflower001-xt3ou
      @Sunflower001-xt3ou 7 місяців тому

      ​@@firdaussheikh4817yani akili za kimaskini mnadhani kila mtu malaya.zuchu kazi zake ndo zinamuweka mjini, alikuwa anapendwa hata kabla ya kuwa na simba kwa mahusiano.

  • @user-vv1te9fu8q
    @user-vv1te9fu8q 7 місяців тому

    Na mondi anavyo nyonyana ulimi na zuchu hadharani hiyo imekaaje

  • @nasrimohamed7556
    @nasrimohamed7556 7 місяців тому

    Sema tuache masihara ile mapopo n hatar sn

  • @AfricaQueen
    @AfricaQueen 7 місяців тому +2

    Huyo Hamisa yawakera Nini 😏 Next 🎥🎥🎥🎥tunasubiri shemeji mpya kuwachwa kuacha kawaida mwacheni mama yake fantasi🤔Juma wacha uongo uliringa nalo hilo fake Renger dotto magari anasema bado wadaiwa kikoba jumaaa🤪🤪

    • @ismailmasoud6001
      @ismailmasoud6001 7 місяців тому +2

      Kweli ukimpenda mtu huoni baya lake .... yaani aendelee tu kuchunguliwa hamna noma...ndio maana huwa tunapenda angalau na sisi tuone CONNECTION zao TUCHUNGULIE....🤣🤣🤣

    • @BarbaraPatience-qt9cc
      @BarbaraPatience-qt9cc 7 місяців тому +1

      😂unakichaa

    • @AfricaQueen
      @AfricaQueen 7 місяців тому

      @@ismailmasoud6001 ndio hayooo😂🤣😂🤣🙌🙌🙌

  • @bbanyikwa
    @bbanyikwa 7 місяців тому +1

    Huyu jamaa simuelewi na sijawahi kumpenda mm.
    Ni kichefuchefu yani💩

  • @nellymtambo8432
    @nellymtambo8432 7 місяців тому

    Biashara ya mchele iliisha kumbe 😂sawa bhana

  • @hassanndauka9685
    @hassanndauka9685 7 місяців тому

    Yy mbona anatabia mbaya ya kupakatwa na ajisemei

    • @tiijuma795
      @tiijuma795 7 місяців тому

      Jaman ni kwel hii kitu ee??😮😮

  • @David_keyan
    @David_keyan 7 місяців тому

    Namkubali huyo dada lakini tabia ya kuhoji mashoga aache

  • @LilianNyagali-zu5ex
    @LilianNyagali-zu5ex 7 місяців тому

    M nakupenda juma unanipa raha umbea unauweza

  • @user-vv1te9fu8q
    @user-vv1te9fu8q 7 місяців тому

    Kajala angekuwa anamchukia konde angemtumia nauli mamaake konde ili aje amuombee msamaha choko wewe uongo tu fyuuuuuuuu

  • @saudamdoe
    @saudamdoe 7 місяців тому

    Juma naomba nipeleke huko kwa mganga wako🤣 kuna toto la mtu nataka nikamuweke kwenye chupa🤣🤣

  • @shirfadigubike7920
    @shirfadigubike7920 7 місяців тому

    Wanaume wa sasa wengi wanapeda kupita tu.sababu wazuli ni wengi😢

  • @firdaussheikh4817
    @firdaussheikh4817 7 місяців тому +7

    Alimtukana tanasha na leo ako kwa diamond tena hamisa mobetto? Hamisa is very successful woman 😂. He's making watu wamchukie lakini hawezi bcoz hamisa alichukiwa sana na watu wa diamond but Allah anamenua juu. Ni vizuri kua na waadui😂😂😂🎉💃💃💃

    • @azizaissa4010
      @azizaissa4010 7 місяців тому +1

      Tanasha Yuko Kwa daimond Gani 😅😅😅

    • @BerthaModest
      @BerthaModest 7 місяців тому

      Ajawai jum mkumtukn tanash never

    • @muhiaray1932
      @muhiaray1932 7 місяців тому

      @@BerthaModestwapi huyu alisemaka Tanasha alikua hajui kitu kitandani😂😂😂

    • @Sunflower001-xt3ou
      @Sunflower001-xt3ou 7 місяців тому +1

      ​@@muhiaray1932 hawa ndo kazi yao wanawapenda wanawake wa simba baada ya kuachana naye, walikiwa wanamtukana zari,tanasha,hamisa na zuchu saa hii,sijui wanamtakaga simba wenyewe wapuuzi sana.

    • @MisttaFrankie
      @MisttaFrankie 7 місяців тому

      Successful in changing men

  • @user-vv1te9fu8q
    @user-vv1te9fu8q 7 місяців тому

    Una wazazi wewe wako wapi? Kenge wewe wazazi wako wanakula kimba wewe unajimwambafai mjini msenge baridi wewe fyuuuuu

  • @fbr5113
    @fbr5113 7 місяців тому

    ILA YULE DADA NAE ANAJIDHALILISHA KILA SIKU KUTUBADILISHIA WANAUME NI KWELI ANA TATIZO MAANA KASHINDWANA NA MABWANA WENYE HELA MJINI HAPA KAMA MAJIZO ALIVYO MPOLE BASI TENA INABIDI AJIREKEBISHE SANA APATE MUME AOLEWE APATE HESHIMA

  • @habisnasalum-nz4zo
    @habisnasalum-nz4zo 7 місяців тому

    Huyu ni mwanamke sio mwanaume ni shoga tu kwaasie Jua ataona mwanaume uyu ni shoga