MAKONDA AMLIPUA LISSU: "Lissu ni MBEA, HANA KABA!!!!!"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 січ 2025

КОМЕНТАРІ •

  • @mwaamwetahussain9947
    @mwaamwetahussain9947 8 годин тому +2

    Mungu ww kunajua cc tunatizama Tu siku tukishindwa kutizama tutajitokeza na wawe

  • @saidimasudi6450
    @saidimasudi6450 7 годин тому +1

    Mtarajiwa baada ya Samia
    STAAHAMILI TU HUO NDIO UKWELI

  • @ElizaNaman
    @ElizaNaman 2 години тому

    Makonda wewe mwogope mungu, huwezi kusingiziwa bila kuhusika.

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 8 годин тому +2

    Wanakuchikia hao wapinzani tenaa sanaa kama uliyosema yeye ni mwanasheria anajua kila kona sasa nimropokaji tu tena uwe makini na hao Jamaa hatari sanaa

  • @mohammedhamad9392
    @mohammedhamad9392 6 годин тому +1

    Ukitaka kuchafua mtu au jamii Waite majina mabaya gaidi mashoga hawafai

  • @ElizaNaman
    @ElizaNaman Годину тому

    Acha uwongo nani katoa cctv kamera kwenye majengo yale ya mbonge, hiyo ingetupa ushahidi kamili bila yeye kuhitajika kwenye ukamilishaji wa ushahidi.

  • @ClarenceHilaly
    @ClarenceHilaly 4 години тому

    Wewe ni muuaji sio sili

  • @RichardBituro-x9g
    @RichardBituro-x9g 8 годин тому

    🦁🦁🦁🦁🦁

  • @BakariJuma-v1o
    @BakariJuma-v1o 8 годин тому +1

    ndg yangu ogopa Mungu

  • @VailethKaali-hx8yh
    @VailethKaali-hx8yh 7 годин тому

    Wanaokupigia makofi wapo kama wew wasiojuwa kuchanganua mbichi na mbivu

  • @WityWityness
    @WityWityness 5 годин тому

    Mh hapo ulipofika sasa kakaangu sikushauri ongelea maendeleo ya chama chako kilichokuweka hapo ulipo usimseme mtu vibaya kama yeye hajakusema vibaya usimchokoze mtu kama hajakuchokoza au mnataka kuivuruga amani ya TAIFA hili? Mtuache na AMANI YETU!!!

  • @phakundigervas1360
    @phakundigervas1360 8 годин тому

    Kwa sababu anakutubumu hadharani?

  • @GANGEMONEY
    @GANGEMONEY 8 годин тому +1

    Wewe ni jambazi wewe, tena muuwaji wewe.. unaonekana harakati zako za ujanja ujanja tu

    • @EmmanuelMlowe-u1v
      @EmmanuelMlowe-u1v 7 годин тому

      Tumegundua chadema Fulani ndio watekaji na wauani ukitaka ushahidi sema

    • @EmmanuelMlowe-u1v
      @EmmanuelMlowe-u1v 7 годин тому

      Waberigiji waliomdanganya lisu ajitoboe mguu au hujui

  • @ashtube1333
    @ashtube1333 8 годин тому

    Wivu tu

  • @BavaBava-lz8vf
    @BavaBava-lz8vf 10 годин тому +2

    Huyu bwabwa sana ccm mmekosa wasomi mkateua maduanzi ccm mnafeli pakubwa

  • @Nyaboke-123
    @Nyaboke-123 Годину тому

    Muuwaji wewe

  • @BozaNassoro
    @BozaNassoro 9 годин тому +1

    ACHA UONGO CHANZO SIO LISSU CHANZO CHA CHADEMA KUTOKUA NA WABUNGE WENGI BUNGENI. SABABU NI CCM MLIPOLA. UCHAGUZI

  • @PiusKimaro
    @PiusKimaro 9 годин тому +1

    Mnateua mahoga mnawapiga vita madada poa

  • @vicentbunzal7342
    @vicentbunzal7342 9 годин тому +1

    Huyu akaongee na felia wenzake na machawa wenzake wa ccm.

  • @PiusKimaro
    @PiusKimaro 9 годин тому

    Bwabwa la ccm

  • @PiusKimaro
    @PiusKimaro 9 годин тому

    We chupi ya mpira Acha kumwongelea mme wako

  • @vicentbunzal7342
    @vicentbunzal7342 9 годин тому

    Ndo maana huwa nasema kila Mara makonda hana weledi wwt ule wa kuweza kuwa kiongozi wa watu huyu anatakiwa akaongoze wanyama na wanyama wenyewe Ni kundi la nyumbu.anatafuta kiki kwa kuniongelea chadema