Professor Jay, Black Rhyno, DonKoli, Mr Teacher & Simple X - KAZA (Official Video)
Вставка
- Опубліковано 16 гру 2019
- #HauleFamily #ProfessorJay
KAZA OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
Written & Performed by: The Haule
For Bookings: ProfessorJaytz@gmail.com
Follow Haule Family on:
/ blackchatta
/ muonambali
/ tharealsimplex
/ 7donkoli
/ professorjaytz
/ professorjaytz
/ professorjaytz
Kazi autaki kufanya ume baki una lalamika Na wenzako wana kucheka .....
Huu mstari kama una Mlenga Barack Da princes gonga like apa
🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Naona uleling'ombe ,wewe ni mkombozi sana , uleling'ombe ilikua haisikiki yaani ila wewe ulifanya isikike na ulikua unaenda
kaza inakaa sawa
Hawa jamaa ni wakali sana sana sana ila hawafanani hata kidogo na kila mtu ana makali yake naomba msikilize kwanzia 1:30 He is Don Koli i call him the Badest Koli #Respect
Appreciate u all ..father jay dance ako imenifanya Ni comment nakupend sinc katoto cjajua lyf til now nakaza2
Nakubali Sana Mh. Ni 🔥 🔥 🔥
tshapa kaz, mwana mziki borah! na fagiliya toka Kongo DRC
Haule family daah noma sana
Kali sana wale wa 254 twende pamoja hadi kieleweke
Mbunge hujawah kukosea ww bonge LA ngoma
*wanaolike wote like hapa*
Kutoka Kenya, Prof Jay anaaminika kweli. Kazi Nzuri
Wazeeee wanakazaaaa
Wapi likes za legend Pro jay
👇 kaza🔥🔥🔥
Kaazaaaa
Kaza maisha ni kamafimbo
Mzee babaaaaaaa nomaaaaaaa
It’s another One🔥🏆🇹🇿🇷🇼💯💯💯🇺🇸
Noma kweliiiiiiiiiii
Nakufahamu toka enzi Za kikao cha dharula
KAZA
Kaza kaza kaz
nimeipenda sasa
Ni kukaza mpaka kieleweke
Uyo mzee nomaaaaa
Mipango tulipanga na hatua tukachukua.... #Kaza 🔥 🔥 🔥
Kazaaaaaaaa🙉🙉🙉htr na nusu profesa hapa mwaka ushaisha mbn
Kitaaaaaambo mpaka sasa
Black rhino katisha nani ana like. izo team zenu zinauwa muziki nyimbo nzuli ziko uku
Familia ya hip hop noma sana
Kaza ngoma Kali sana
nimewaelewa sana aiseee #kaza
Kuna unyama umefanyika ndani ya hii nymbo balaa,Best hip hop 2019
Donkolii umeua
Mmetisha wazee kaza tu
Wow big up 🇰🇪👏👏👏👑👑🔥🔥🔥
Kaaaaazaaaa
Kaza kaza
Kwa kweli wa waTZ mnakuanga mmebarikiwa sana kwa upande wa mziki na sio siri nyinyi hamlazimishi usanii.
As long as we're still alive in one way or the other this song is great ✊
Kuimba utamu wa wimbo upo mwishoni
Nani mwengine kacheka baada ya kumuona Jay ana cheza robot
Like tujuane 😁😁😁😁😁😁
Mmeua sanaaaa
💣💥💥💥 lipua lipua
Kazi tamu sanaaaa
Ngoma kali sana
Safi sana 🇰🇪🇰🇪🙏👌
🎧📣kza
Zipo familia za mpira, ngumi nk, Ila haule family ni mziki tena Hip Hop
DonKoli ametisha Kinoma...
Jay -chuma cha reli.Hakikauki,hakiozi
Pamoja sana
Kaza Nimekuelewa Sana mbunge wa watu na wanyama
💪💪💪💪💪💪 kaz na kaza
hii ngoma yafaa 10 million views.....nani ako hapa april moja......254
Kazaaaa💪💪💪💪
Talented family bonge ya joint asee
Bonge LA chupa namwelewa sana prof. Kazi zako mzuri bro hujawahi kosea
Family over Everything 🔥🔥🔥
mabraza wametisha sana,kuanzia michano mpaka muenakano,bonge la ngoma,black rhyno bado rap inamuhitaji.
Love this song am from ghana
Wooooooza gangster rap music forever
kizazi sana kuluhu iko poa kifupi inajua kazi noma sana wapi wa mitulinga mzee jy
Professor hujawah yumba nakubali ngoni boy mwanalizombe,,,,,,,like hapa
Kaza ni moto 💪💪💪💪 kaza
Daaah hapa wamekutana mafundi
Ngoma imeika vizur sana
Haule Family mmatosha Kabiiisa kabiiiiisa Kuwa MiGos wetu Bongo
Kaka mkubwa wa prof jay alopiga verse ya pili wanafanana sana sauti na Heavyweight kwa kweli big up this hip hop family u made it.!!!
Mdogoake black rhino
Tamu
My brother from another mother ,,,,,tiiisha
NICE. Hili ni Lizombe kweli. Safi sana.
Kazi nzuli nlikua nimesubili ngoma yako jay
#kaza
Mzee Haule sio mtu wa kawaida
Ngoma Kali
🔥🔥🔥🔥
kazaaaaaaaa
+254 tumekubali colabo kali sana ... keep it simple 😎👍🏽
Balaaaa zitoooooo 🔥 🔥 🔥 🔥
Asante sana Prof mwanasiasa halisi, njoo kafunze hawa wakenya wakaze 👍👍👍💪
Wapi like zenu ndugu zangu wa kilosa-kivungu,myombo,kigunga,ulaya,tindiga,mhenda!!
Simple x killed it, this family Iko juu kuliko povu
kali sana toka kenya
prof j babalao
nipe discount nilete wageni mikumi
Haya mabrothers yote yako na vitambi asee🤣!! My best rappers of all time. Keep up the good work ma ngulis wa music
Daaaaa mmetish sana kuna dingi hapo mstarabu San cjui nan
Don koli umetisha kizaz
Nakwaminia mzee baba we nihatar
I salute brother J and the rest of you. The track is tight... yani mme Kaza kweli. Hamna sauti za kubana. Mnarudisha Hip hop za kale. Only Juma nature hayupo angekuepo duuuuuh
Dah kweli noma nimeipenda mno
Kaza 💥💥💥💥💥
Nimwendo WA kukaza hakuna kulegeza Asante
Wapi A Million Views🚨 Kama kali kali🚒 2020 #Kaza 🇰🇪
Tuuuuune!!
Hata sijui huyo Donkali mnamficha wa nini na kawanyoosha kishenzi mpeni nafasi
@PROFESSOR J LEGEND💗
Bonge langomaa kaza Gonga like mazee
Noma sana
Magu kaza,,,!!!kaza kazzaa oyaheeeeeee
Achia ngoma mbungee🔥🔥🔥💣💥
Nakubali chief🔥 tukaze tuu hamna namna
Jay jay kaza mikumi iwe town kam Chuga 💥💥