TNC - Unajiskiaje (Official Music Video)
Вставка
- Опубліковано 14 лют 2024
- Music video by TNC performing "Unajiskiaje" (Official Release). exclusively licensed under {TNC Musik}, The Music Video was shot in Dar es Salaam, Directed by Kenny.
Stream/Download on All Digital:linktr.ee/tncmusik
Listen TNC Musik on Digital Streaming:
Spotify:open.spotify.com/artist/6R8MM...
Apple Music: / tnc
Boomplay:www.boomplay.com/songs/144911397
UA-cam: / @tncmusicgroup
Audiomack:audiomack.com/tncmusik
Mdundo:mdundo.com/a/333209
Follow TNC Musik on Social Media:
Facebook: / tncmusik
Instagram: / tncmusik
TikTok: / tncmusik
+For More Information Booking TNC Musik:
Contact:+255 717 192 251
©2024 TNC Musik.All Rights Reserved.
#TNC #Unajiskiaje
Waliorudia zaidi ya mara moja gonga like yako
Na kukumbuka connectio 😅😅
Kama unaiskia dar mpaka molow gonga like
Yec Beat inafanana na dar mpaka moro
Una sikio la mziki❤
Nimeisikakia atareee
Ni remix hii
Unasikio La Mbali Lkn Cio Molo ni Moro Na Pia Utafika Mbali Sana Unaeza Ukawa Producer Kijiji Kwenu Huko.
Msanii wa maisha yangu saa na Nature
TNC nizaidi ya WCB kama unaamini hilo gonga like apo
Tuliotamani ingekuemo na ves ya K R mura Jibaba Like hapa
Count me in. Mziki wa bongo umerudi sasa
Kama unakubali hii ngoma inaenda trending number moja nipe like zangu
Trending ya wap nyimbo Haina Radha
@@hajeemchenga6139 🤣🤣🤣 hujasema vizuri
Radha ya vipi kaka hii sio amapiano kelele nyingi@@hajeemchenga6139
Inshaallahkheir itatoboa na itakaa pale juu
Ladha mshenzi wewe. Sio radha@@hajeemchenga6139
😢😢roho mbaya walijiskiaje...ila Mungu mkubwa neema ikatupata tena
Kazi kubwaaa sana...
Temba Nature and Chege...❤❤❤❤
From🇰🇪🇰🇪🇰🇪
👊🏿TNC pure bongo flavor, you can't fake it, one can wave Tanzania flag 🇹🇿
unajiskiaje ukiambiwa hii ngoma imekua NEW SCHOOL YA OLD SCHOOL VIBE YA 90s #fuegoo🔥🔥🔥🔥🔥
Chege, Temba na chiddy benz, Hongereni, shabiki wa siku mingi kutoka Kenya 🇰🇪
Don’t make us cry …you guys …hamjui vile tuliwapenda na bado tunafurahia kuwaona pamoja ❤💯🔥 #tunajiskia raha 🇹🇿🇰🇪👏👏
ajaab
Your CHEMISTRY is still there, Najiskia Freshi seeing you together again, We missed your Voices...from Kenya we Love and Support you keep the fire burning
Ulijiskiaje brings back memories of TMK 😢
Mheshimiwa Temba ft Chege 👏🏽👏🏽 #TMK wanaume 👊🏽👊🏽
Mwimbo Bora Sana huu WA wakongwe.Hongera Kwa chege,Temba na Juma Nature
Mbona nimebonyeza LIKE kabla hata ya kuangalia video yote full......Love from Kenya
Hayo nimapungufu😂😂
@@marafikistation 😅😅 niache nipeane motivation 🤣
Hiyo bridge ya nature kali, Alafu hiyo verse ya Temba kuhushu mamenager Noma Sana,chege kauwa hapo Kwa verse ya ma fans kuwagawanya,good chemistry bado ipo, I m Kenyan but watching from Poland.
Unajisikiaje ukiangalia hii ngoma❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉karibu mjini tena unajisikiaje
Mudi Mabiriani Alikuwa Hapa 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Greetings from Dar es Salaam,Tanzania
Temba, Necha &Chege🔥🔥 Hakika nme-feel poa baada ya kupata maana ya TNC
Sir Kibla fundiiiiiiii hatari kama mtaendelea wallah watoto wanaacha njia tumechoka piano tulidisheni kuleeeee kamua baba kamua baba
Baaasii nilitamani sana huu mziki....
Najisikie shegaaaa wanangu w temeke kurud Tena ado ado🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽🙏🏽
Huyu chege ni msanii mkubwa apa TZ maan anajuwa sana kuimba
Wanamuzikiiiiiiiii mnatutia uchunguuuu mnatukimbushaaaa mbaliii sanaaaa😢😢❤❤❤❤❤❤❤
Mheshimiwa temba🔥🔥🔥🔥tnc
Kumbe TMK imevunjika na wapo wanapambana jamani nipe like zangu kama bado unapenda hiyi myamba
Oyyyyaaaaaaaaaaaaaaaa irudiwe hiyooooooo,.................moto moto, TEMBA NATURE CHIGUNDA,......HII NDIO BONGO FLAVOR YENYEWE YAANI OG, KILA RADHA NI YA BONGO...
Aah kubbbabbeekii nyie watu mtatuua jamaannnnnnniiiiiii dah mnajiskiaaaajee
mambo mengine yalikuwa yente🔥🔥🔥🔥
full support kutoka Kenya,, Kofi Moja manundu elfu kumi
Back to real music , a hit , Dar mpaka Moro With Juma Nature .. just maintain and keep the music on ..bring more music this is real Bongo.
true reminds me of dar mpaka moro change kidogo tu
🔥🔥👊👊
Oya wanangu safi sana ngoma kali ladha ya kijanja 😂😂😂😂 unajisikiaje
This one is a bombshell much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪 a massive banger Kwa kweli.karibuni sana we love you tmk
Cant get enough of Natures verse....TNC to the moon..Ngoriiiii
Temba/chege ni chemistry pure. Nyimbo zao ni always hit.
Eeh bwana! Kazi safi tu. Ata cjui najiskiaje.🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 representing
Ngoma kali sana, nimesikiliza zaidi ya mara kadhaa tam vibaya
Mimi nimeisikiliza zaidi ya mara hamsini 😅😅😅dude kali
Mnge cheza mapanga hii video ingenoga sana kaz kubwa
Tnc to the top
Juma Kassim Kiroboto Sir Nature kaua ndani ya sekunde 30 🔥🔥🔥🔥
Yani mmeamua kutuludisha zamani yani zama iz za watoto wa 2000 mnatuludisha nyuma kabisa tuliko sahau
😂😂😂😂 lkni ngoma nila 🔥🔥🔥🔥
That Dar mpaka Molo vibe❤
Love so much kuungana kwenu fulaha kwetu mungu awaweke amen
Wenye bongo Yao 🔥🔥🔥💪👏👏
Hii Ngoma Ni Kali Sana na ina make sense Kwa sisi tunaojua Matukio yoote ya Tmk Kuanza Hadi Kuvunjika....watu Safi Kazi Safi🇹🇿🇹🇿🙏
On point kabisa,mob love from 254
Yes! Hii ndio tulikuwa tunamiss sasa back 2 Back mfyatue..👏👏👏👏👏👏👏
🙌🙌🙌🙌💣🚀✈️🇲🇿🇲🇿
TMK TMK TMK TMK ❤🔥❤🔥❤🔥❤🔥❤🔥❤🔥❤🔥❤🔥❤🔥❤🔥❤🔥❤🔥love from Rwanda
du ngoma kalisana hasa biti kalikinomanoma🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Diamondplatnumz amefanya laamaan kuwarudishaaa
Wangapi wamezingatia vina wahenga tunajua vigezo ni vina tu kwetu
Hadi machozi yananitoka walai nilikua mdogo sana nilikua nikipenda sana tmk..nililia na kujisikia vibaya sana kundi lilipovunjika
Teeeeemmmbbbaaa,,,,welcome back guys,, we've missed you guys,,,Chege my all time crush 🥰
Behold, the ressurection of TMK Wanamme! Mad love from Kenya +254
This ain't tmk,this is TNC
Ngoma hatari zaidi🇰🇪🇰🇪🇰🇪
❤unajiskiaje
The music... Thanks Chege... Thanks Temba
The TEAM is coming back with a BANG
Kizazi sana ngoma lipo vaibu kinyama TNC kikubwa duwa🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌
Bonge la wimbo hii chemistry huwa haipotei ladha halis y bongo flavor ndo hii sas cjui unajiskiajeee
This is what we call back to the roots where everything started from TMK wanaume family wow those days when music was still real it was so insane 😢🙏😔 mmenikumbusha mbari sanaaaaaa yani na hii vibe🤔🥰
Seeing you bringing Juma Nature and showing him love means the whole world to me.. Keep giving us the vybe my brothers
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥
Nawapenda sn nyie watu, ngoma kali saaaaaaana
Its on repeat ....welcome back TNC to the world sai najiskia freshy.....
Kuna kale Cha dar mpaka moro asee Ila ngoma Kali mno
Dah hii ngoma ni kali kinoma nimeikubali❤malegend wamekutana tena ni moto sana
Hawa vipajiii vishazeheka no jipya wanaimba kizamaniii ujinga2
These guys are good together, their chemistry is amazing. Keep up the good music.
giving the dar mpaka Moro vibe🔥
Waaz from Kenya wattamu najisikia poa one love
Unajisikiaje Una Una
Kali hii
This is what we call music.
Nomaaaaaaaa
Very true
Another bangers in the streets.
Respect TNC welcom back guys
Dar mpk moro 😊😊😊😊 hii kitu acha jamaa wana chemistry nzuri na moto wakiuwasha haujawah kuzimwa kizembe
Malegend wangu hao toka ±255 enjoying❤❤ from KSA
This is the chemistry we've been waiting for twari tubakumbuye sana TMK all the way from Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Jamani hadi rahaa jamani msigombane tena TUNAWAPENDA kaka CHEGE msigombane 😢😢😢
Goma l kibabe sio kinyongeee🔥🔥🔥🔥🔥🙌🏽
You brought back the 2000s memories, feels good to have Mh Temba, Chege and juma nature on the track.
Original bongo flava 🎉🎉🎉.. respect from Kenya. Am so happy to see you guys are back.
Msirudi nyuma tena bahatihaijimaratatu kazeni msijichanganye tena
Nilitamani niwasifie kwa kuanza na mtusi😅 ila sio poa goma kali 🎉🎉🎉🎉
Nakubali Sana wadogo zangu kiukweli huu ndio mziki siyo ule wa chitohori❤
We want more music from Kenya
Miamba inaweza sanah ujuzi hauzeek vantete vakun tanzani
Renewal of TMK wanaume much love from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
I missed this type of music. Legends
Wakongwe wakuchana mistari naaminia. back dem years daa paka moro.
Chege ni habari nyingine 🎉🎉🎉
TNC❤❤🎉🎉🎉
Cjakuwa wa mwisho unajisikia je...?hit town kwa brothers wetu walio tu inspire kwenye mziki kitambo icho nakubali...naomba like zangu jaman?
Bonge la ngomaaaaaah! Dar mpk moro vibe lakini hili nouma zaidi coz la leo
Kwani nature anazidi kurudi utotoni.anakaa kijana sana.
Wa kwaza like basi
Mnapataga nini?
Ngoma kali sana hii