Yan hawa jamaa huwa wanaimba kisomi na mistari yao unatakiwa kuisikiliza kwa makini na kuitafakari ndo uielewe.....! Nawapenda daima hawa jamaa weusi!💖
Huwa nafuatilia na kuwakubali sana hawa jamaa. Ila huu wimbo ni noma. ¶¶Kupenda penda ni kutokujua kupenda bali kupenda chini hiyooo..... ....Kisa mitungi na mdudu, kisha miguu juu, kujizolea waduduu si nikufanya maduduuu.....¶¶
Hakuna zaidi ya kumimina like kila mstar ni habar tosha na kuijumlisha yataka kujua hesabu....twende kwapamja mapenzi ni kama una dem.....................na kuchit ni km una dem........
All way from mineapolis Minnesota, its a king of vina john makini and nikiwa Wapili , I'm the first one to play this shit in USA , fire 🔥 , bilo tiger from mineapolis Mn
Kiruu hatari sana jomba nairudia rudia kuisikiliza saut juu hadijiran zangu wananiona chizi hata hawaielewi Kwan nipo nchi Zawatu hila Hawa wazungu wameikubali mdundiko kwani ipo kiswazi kinoma
hata kama wasanii wana jaribu kumkataa diamond. swaga zake zaku shevu na kuweka koti begani zimekubalika.gonga like kama umelitambua hilo.ila ngoma Kali.
Watu wa kaskazini sema oyoooo usipite bila kugonga like
Oyoooo
Yan hawa jamaa huwa wanaimba kisomi na mistari yao unatakiwa kuisikiliza kwa makini na kuitafakari ndo uielewe.....! Nawapenda daima hawa jamaa weusi!💖
comment ya kwanzaa kichupa kikaliii....gonga like kama umeikubali
FRANK KIMM Pata Uhuru wa kifedha kwa Siku mpaka tsh 300,000+. WhatsApp me 0674116695, mkazi wa DAR ES SALAAM kwa maelezo na maelekezo zaidi.
FRANK KIMM
Frank alphonce kimm
Mambo yeni hayo
I love you guys, S2kizzy you're killing it bro. This is the best song ever
Huwa nafuatilia na kuwakubali sana hawa jamaa. Ila huu wimbo ni noma.
¶¶Kupenda penda ni kutokujua kupenda bali kupenda chini hiyooo.....
....Kisa mitungi na mdudu, kisha miguu juu, kujizolea waduduu si nikufanya maduduuu.....¶¶
Tangu mwaka uanze hii ngoma (hesabu) ndo kali kuliko zote zilizotoka big job Nikki wa pili
Video ni fire...hyo background full ma equation mpaka nkakumbuka pure maths ya advance.
Creativity 100%. Mastaa kibao yan firrrrrreeeee
Eti Joh Makini anabebwa? (Young Killer) Eti anatengenezwa?( Chidi Beenz) wakasema. Sikia mistari yake hapa ndo mutajua ukweri.noma sana
#amesafir bby hamu y mwil inazid shamir kiraruraru kinapand huelew ......kiraruraru hakishuki huelewiiiii....
Chorus kali beat kali, the real definition of wimbo mkali! Hongera joowzey chupa nzuri
I love weusi...and N2N all the way from USA... ni ILE ILE....ni mchizi wa kaloleni...Arachuga mwazo mwisho...keep it up
Nyie jamaa mna akili sn ila mshamba haelewi mamae
Kuma kwl
Kweli kaka n kaka tu💪🏻
Hizo hesabu za joh n kuntu balaa🙌🏻🙌🏻🔥🔥💯💯
**Dah hii ngoma iko vizuli**
Kama unajua una mswaki (F) wa math ujue hapa hausiki. Hii ni kwaajl ya sisi wenye mabanda (A)
kazi nzuri weusi nawakubalii
kama umemuona Ben poul gonga like na quick laka
hatarrrrrrr sana
ngoma tamuuu sana
I always love the creativity. You guys don't just do art for fun or money but seat your brains and make them work
Nikiwa msanii ntakuwa napenda mavazi ya Niki wa pili
hii ngoma imenifanya niwashe moto kwa kutumia remote ya tv...hatarrrr tupu
Team #team #WEUSI mpo wapi machalii wa chuga like
Kisa mitungu na mduudu
Kisha miguu juu
Kujizolea waduudu
Si ni kufanya maduudu ...Ey
Kazi ya maana hyoo like kama unaikubalii
Ezekia Kiswaga m
S2kizzy Zombie kawaka munooo:beat, chorus, confidence, swagger, all. 💪🏿
S2kizzy umetikisa sn chorus tsha sn mzee baba
NIkk huwa unapenda sana kuangalia jamii iliyokuzunguka safi sana ngoma kali watoto hawataelewa hapo .daaah mwana kaua coras kali saaaaaanaaaaaaaaaa
lulu diva aandikwe kwenye noise makers analeta fujo class
Kama unapenda hii ngoma like hapa
S2kizzy I love his style❣️❣️
Hakuna zaidi ya kumimina like kila mstar ni habar tosha na kuijumlisha yataka kujua hesabu....twende kwapamja mapenzi ni kama una dem.....................na kuchit ni km una dem........
Kisa mitungi na mduduuuuu....kisha miguu juuuu....HABARI HIYOOOO
Wa nne kukoment.hesabu hiyo
I can't never stop loving this song
Chunga usije kufail.
NAELEWA "salute guys".
dula makabil
Kinapanda huelewi hahaha hatareee
Weusi..... Ni fireee
Makini kama joh ....fireeeeeeeeeeeeee!
Saport mziki mzuri bonge LA chupa hili✌✌👑👑👑
All way from mineapolis Minnesota, its a king of vina john makini and nikiwa Wapili , I'm the first one to play this shit in USA , fire 🔥 , bilo tiger from mineapolis Mn
s2kizz katishaaaa😂😂🙌🙌🔥🔥🔥
Ngoma ni 🚒
Weusi hamkoseagi
Hii Kali imesimamia kucha
Kinouma noumaaaaaaa......
Ukipenda chini ...huezi kwenda...juu...nikwenda chini tuu... hahaha
nakumbuka baada ya kuskiliza hii ngoma niliscore "A" math subject😎
Trap Lyfe nikuri
Joe verse yake nomaaa! Big up sana kwa huyu mtu
mambo ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥shwari kabisa
Weusii nomaa nakubalii sana kiraru kinapanda huelewi kiraru
254 approves ❤❤❤❤
kufunga ndoaa nkutafuta thamn ya X
fumbo hilooooo
kichwa usiiengie .. good song #gochelsea i live in canada .. lived in kenya 11 years .. come from rwanda
Hi bro from Tz here. I really wish to fly to Canada and live there. If you can help me get there i will be happy
Goma la mweshimiwaa💥💥
Kaliiiii ngoma inapaaaa
S2 umetishaa coras mzee wa kazi
wenye D za math mnatafua nini hapaa 😜😜😜😜
celebrate your life 😂😂😂😀😀 wako tuition bhn
celebrate your life hahahhaha
celebrate your life hahaaa
Imetendewa haki hii ngoma aisee kila corner
Kichupa kikaliiiiii laana👍
Kichwa kichwa uciingiie
Niki umetisha
Salute kwenu nyiee n mafundii
Mwenye masikio na asikie na kuelewa pia.nice
kaliii...kazi nzuri nikki
Ni kwere hii ngoma big up weusiiii
Iko poa joh makini makini kwel
Bongee la ngomaa !!!at michepuko kuwa na madem watatuu
ngoma kali imepenya hyo
Nawakubali Nikki and Mpenzi Joh Makini😍😍😍
luv Nicky kwa Jumbe zako!! japo za mafumbo !!!
Nakupenda kushuka chini sio kwenda juu
Weusi mko juu hamjawahi kuniangusha.. Ila eeh Ebitoke tena 😀😀
Mimi cjaelewwa chorus s2kizz anasema kichwa usiiingiiieee wapi sasa?
Nikki hii ngoma naikubali kuliko ngoma zajo zote man
Joh killed this verse. Straight 🔥
Kiruu hatari sana jomba nairudia rudia kuisikiliza saut juu hadijiran zangu wananiona chizi hata hawaielewi Kwan nipo nchi Zawatu hila Hawa wazungu wameikubali mdundiko kwani ipo kiswazi kinoma
Hatari sanaa.....kichwa kichwa usiingieee
daaaah noma
Ngoma kali san na s2kizzy kauaaaaa
Kiwaruuu waruuu waruuuu... waruu
Kichwa kichwa siingiii!!
kazii nzurii brathee
K k s noma sana
🙌🙌 kazi nzuri sanaa wakuu
nimewaelewa weusi ni hataleeeeeeeeeeeeeeee
Bonge ya video 💪
NiKKi On ToP 4reva....Weusiiiiiii
hata kama wasanii wana jaribu kumkataa diamond. swaga zake zaku shevu na kuweka koti begani zimekubalika.gonga like kama umelitambua hilo.ila ngoma Kali.
bray the video director kwani diamond ndo wa kwanza kufanya hivyo
umeahau vikofia vyake
vian marcel yaah mond master wa swaga.
Upo kiuteam zaid boi ujui kitu
Jastin Mushi wewe unavijua vingapi.njoo nikupe hata course ya kuedit send off basi.
Motoooo
Hiii video ni kaliii
Mmeonyesha Ukogwe
Wenu wa Music.
Ila jomakini katisha zaidi.
Whozu kabaniwa af whozu doja sana class cjamuona apo😂😂😂🙅
Bonge moja la kichupa
S2kizy umeuwa
Nima sana
kuowa n kutafut thaman y X 😂😂😂😂😂 fumbo hilo
Mzee!🔥oh , Joh makini anabebwa? Au punch izi? Duh! Me sina neno Salut bro
S2kizzy umeua kiitikio❤
nani kaona cop ya bentoke kama umeona kama mm like hapaaa
wataelewa walio soma 4 figure
umeona eeee
Nice song. I just think kuwa wangeweza fanya vizuri zaidi kwenye concept ya wimbo.
Ps: Nikki amenenepa.
Ngoma kareee video Karee Yaaan konk xan