Kumekucha MAZITO YAIBULIWA SAKATA LA MSIGWA KUMBE IKO HIVI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 224

  • @bahatikulwa56
    @bahatikulwa56 3 місяці тому +17

    Mungu akubariki Kwa hilo. Naona sasa utatusua bro nakutia moyo wa nguvu

    • @damianlucas5345
      @damianlucas5345 2 місяці тому

      Nikuambie kitu na ukubaŕi ama ukatae ila ndio ukweli.
      Kwenye nchi hii kati ya wasanii wenye akili timamu ni Dudu baya, Amanda sele na Jey dee hawa wengine ni bendera fuata upepo

  • @zariadunia6328
    @zariadunia6328 2 місяці тому +5

    Msigwa alikuwa karibu sana na Mbowe aliwasaliti watu wengi sana kwa kupelekea wenzie maneno mabaya sana kwabowe kila alipokuwabowe yeye humkoai ghafla mbowe akambwaga mpaka uchaguzi wa majimbo akambwaga msigwa alochanganyakiwa sana

  • @geey7893
    @geey7893 3 місяці тому +13

    Huyu jamaa ana akili kuliko watu wengi sana nchi hii. Duuh

  • @AthumanDauda
    @AthumanDauda 3 місяці тому +9

    Umeongea point

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 2 місяці тому +6

    Konk umependeza hongera pia afya yako imerudi

  • @daudimaembe3360
    @daudimaembe3360 3 місяці тому +6

    Godfrey Matumaini a.k.a Dudu baya,safi kabisa😂😂😂

  • @ecodreamafrica3060
    @ecodreamafrica3060 2 місяці тому +1

    Dudu hapo umejibu kishamba sana kuhusu Mbowe. Ukifanya hivyo Mamafya wanaingiza kiongozi wao(MAMLUKI) , anakiua chama mara moja. Kikubwa ni UCHAGUZI, na harakati ziendelee hadi CCM ITOKE.

  • @gangan4618
    @gangan4618 2 місяці тому

    Safi sana, mwanamziki mkongwe... role mode wangu enzi hizo " KUNGURU HAFUGIKI, TOKA....".

  • @aaronswai3092
    @aaronswai3092 3 місяці тому +3

    Duh! Dudu baya akili kubwa sana. Hongera sana hebu lete hizi akili kwenye INJILI ya BWANA!

  • @saidabdalla8996
    @saidabdalla8996 3 місяці тому +12

    Hawa njaa tu kaka umeingea safi wapumbavu hawa

  • @joshuamfugale4632
    @joshuamfugale4632 2 місяці тому +2

    Safi sana kwa kusema ukweli

  • @thadeusmarkiminja2282
    @thadeusmarkiminja2282 3 місяці тому +11

    Umesema ukweli wanasiasa wa kweli walikuwa ni hao ulowataja.nakukubali kulikoni

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 3 місяці тому +1

      Tanganyika ni ulaji tu hakuna mwenye chama, wenye vyama vapo Zanzibar.

  • @Iguanalodge
    @Iguanalodge 2 місяці тому

    Wewe mzee dudu ni noma sana unatetemesha

  • @mkambamaulid447
    @mkambamaulid447 3 місяці тому +9

    Kweli ww ndio Dudu 💪🏽🤣🤣🙏🏼 👊👍

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 2 місяці тому +6

    Msigwa we ulikuwa mnafiki kumbuka pia maneno yako msigwa

  • @taifaramadhan8684
    @taifaramadhan8684 2 місяці тому +1

    Msigwa kuhamia chama kile ameboa sana hafai hata kidogo. bora angehamia hata ACT WAZALENDO

  • @Meiruzibwe
    @Meiruzibwe 3 місяці тому +6

    Umeongea vitu vikubwa 🙏

  • @ezekielkiduge8730
    @ezekielkiduge8730 3 місяці тому +3

    Uchawa ni shida sana katika nchi hii mtasema sana kuhusu MBOWE

  • @chezariboy
    @chezariboy 2 місяці тому

    😎😎😎🥸🥸 PUMBAVU ZAKO,,, HAWACHAGULIWI MARAIS NA MUNGU BALI MFUMO WA UCHAGUZI NA NGUVU YA WENYE MAMLAKA HUWAWEKA ,,LABDA WA MUNGU WAANZE KUALETWA MWAKA2025 ..mwehu, tz.

  • @godwinkasaizi882
    @godwinkasaizi882 3 місяці тому +7

    Dudu nimecheka Sana
    Hasa hapo pa kudaiwa na Tajiri na Chama kinakutaka

  • @baligumyap
    @baligumyap 2 місяці тому

    Kuna kauli aliwahi kuitoa James Kamau (Kenyatta) kuwa yeye anaongoza wagonjwa, Milton WA Uganda anaongoza wagonjwa walio mochwari, sikumbuki alisema nini kuhusu Kambarage anaongoza nini.....

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 3 місяці тому +1

    Huwa napenda kukusikiliza....akili iko...... Fact facts

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 2 місяці тому

    Big up uko vizuri sana

  • @joachimkalungwana8654
    @joachimkalungwana8654 3 місяці тому +3

    Hapo umejichanganya Rudi kwa Nyerere alikuwa TANU kwa muda Gani kabla ya kupata uhuru

    • @piusmdoe3200
      @piusmdoe3200 3 місяці тому

      Hapo na mimi kaniacha hoi.

  • @yahyahamisi2038
    @yahyahamisi2038 2 місяці тому

    Political prostituions 0:42 🎉😂😂😂 umalaya wa kisiasa 😂😂 nyambafu 😂😂😂 Hivi sie watanganyika aliyeturoga ni nani 🤔 🤔🤣🤣

  • @protasmligo4032
    @protasmligo4032 2 місяці тому +4

    Hapo kwenye kuteuliwa na Mungu sikuungi mkono

  • @DaudiSanga-m5o
    @DaudiSanga-m5o Місяць тому

    Msigwa kama anahekima ya kiuchungaji kweli anawezaje kutamka nakusema akihamia ccm basi tumchomee nyumba je,anaifikiliaje familya yake kama nyumba itachomwa hana akili muhehe huyo apimwe

  • @januarysila1569
    @januarysila1569 3 місяці тому +1

    mamba ukombari sana kwa uerewa aikiu yako iko juu

    • @kashiririrkaasongwisye9487
      @kashiririrkaasongwisye9487 3 місяці тому

      Sio kwamba wengine hawaelewi ila wamejizima data mpaka siku likiwafika wakapata pa kusemea ndo watasema sasa ila kwa sasa!

  • @warakawayohana2896
    @warakawayohana2896 3 місяці тому +7

    😂😂😂hapo kwa Mbowe kumpiga upako umenivunja mbavu

  • @DandasiKundi
    @DandasiKundi 2 місяці тому

    Viongozi wengi wanaohamahama kwenye vyama hawafai kabisa kuwahutubia wananchi kwani hotuba zao zote tunazo wanavyoongea leo wanatueleza hivi kesho akihama ansema hili inaonyesha mtu wa namna hiyo ni mchumia tumbo.

  • @BarakaJohnNdaisaba-bk3nv
    @BarakaJohnNdaisaba-bk3nv 2 місяці тому

    Dudu baya nakukubar San unasema ukwel hawa wanasiasa njaa Kali zinawasumbua Et mtu anajiita mchungaj pita msigwa mtu mwenyewe hata hofu yamungu Hana ovyo kabisa mungu awahurumie

  • @YohanaPetro-xv9tp
    @YohanaPetro-xv9tp Місяць тому

    Sijawahi Kuzichoka Intaviu Za Niki mbishi Chidi benz Na Dudu baya Hawa jama Nihatali Sana

  • @Zanzibar-e4h
    @Zanzibar-e4h 3 місяці тому +5

    Wachen choyo kwa mbowe hata kwa maalim seif ukisema sana .Mungu humteuwa kiongozi wa kupigania hak

  • @getitdoneright1938
    @getitdoneright1938 2 місяці тому +1

    Ameshurutishwa na kinana ajiunge na CCM kwani Kinana alishinda kesi dhidi yake. Mahakama ilmpa ushindi kinana kwa kesi ya defamation.

  • @MageAwe-hl5zb
    @MageAwe-hl5zb 3 місяці тому +1

    Bibilia inaseama mkopaji ni mtumwa wamkopeshaji kweli madeni yanatesa

  • @eddyedduu6912
    @eddyedduu6912 2 місяці тому +2

    Zee Dudu mwenyewe. Madini kila mda.

  • @geofreydamas1697
    @geofreydamas1697 2 місяці тому +1

    Huyu ndiyo mwana hip pop siku zote uwa ni wanaharakati wana madini sana

  • @gangan4618
    @gangan4618 2 місяці тому

    Kumbe ni akili ya dudu baya imechakaa, ni kama kichaa " KUMBE HANA AKILI, AKILI YAKE NI MATOPE yaan ZERO BRAIN- KENGE WA KIJANI".

  • @frankmushendwas37
    @frankmushendwas37 2 місяці тому +1

    Huyu tahira amshauri mbowe unafikiri mbowe kawa mwenyekiti chadema anavmalu zake wewe lofa nyerere kakaa madarakani miaka 27 umeshindwa muziki utajua siasa

    • @mussasaid284
      @mussasaid284 2 місяці тому +1

      Ila daaaah wewe jamaa akili yako mavi kbs

  • @justardzelphine6526
    @justardzelphine6526 2 місяці тому +1

    Watu wanatakiwa kujua hakuna aijuae kesho!

  • @justiceshelukindo
    @justiceshelukindo 3 місяці тому +1

    Kupita bila kupingwa itakuwaje Ni mungu acha kumdhihaki mungu

  • @xaixaiobrigado4846
    @xaixaiobrigado4846 3 місяці тому +5

    P msigwa alisema:akihama cdm,nyumba na magari yake yachomwe moto.
    Mfuateni,mmbananishe kuhusu kauli yake!

  • @mamudusaid-qk1bu
    @mamudusaid-qk1bu 2 місяці тому

    Huyu jamaa kutu namjubali hajawahi kuwa mnafiki kwenye nyekundu anakwambia kabisa

  • @MonicaMbaruku-g3g
    @MonicaMbaruku-g3g 2 місяці тому

    Wanasiasa uchwara wachane awo konk master

  • @rastheunique
    @rastheunique 2 місяці тому

    Ni kama anachosema ni kweli! Ila amepwaya sana

  • @festokemibala5832
    @festokemibala5832 3 місяці тому

    Hii imeandikwa pia katika Biblia lakini Mungu aliwaahidi Israel kwamba wao hawatakopa, watakopesha, watatawala na watabarikiwa

  • @aboubakarymasalanga1887
    @aboubakarymasalanga1887 2 місяці тому

    Sijaamini kama yuko iq kiasi ichi aisee

  • @kenstarboytv7250
    @kenstarboytv7250 2 місяці тому

    manjaa tumbo nimeikubali
    kiufupi ukweli aupo kwenye nchi yetu
    wengi awajali nchi yetu na ndomaana ubinafsishaji umezidi kuwa mkubwa sana
    wanasahau waliowaletea demokrasia wanafanya siasa ya kweli na wanajali taifa lao
    njoo tanzania ni kuuza tu rasilimali zao

  • @ProsperMwakilembe-lj7rb
    @ProsperMwakilembe-lj7rb 2 місяці тому

    Aise kuna maeneo unanikonga kumoyo.

  • @sizorstartv6168
    @sizorstartv6168 2 місяці тому

    MSIGWAAAAA UNAFIKIIII UMEKUJAAAA KUMBUKAA ULISHAAHIDI NINI ..MAISHA YA WATANZANIA NA CHEO WAPI NA WAPI ...KUMBE NI MSALITI NA MNAFIKI ISITOSHE WE SI PETER BALI MCHUNGAJI

  • @EmilianKindata
    @EmilianKindata 2 місяці тому

    Sio kweli. kiongozi wa chama hawezi kujito mpaka wakamate dola kama alivyofanya Baba wa taifa Raisi wa kwanza.Mwanzilishi akijitoa kabla ya kukamata dola chama hufa mapema..Mifano chunguza vyama vingine vipoje?

  • @taifaramadhan8684
    @taifaramadhan8684 2 місяці тому

    Dudu baya hapa ameongea ukweli kwa 95% ila hapo eti viongozi wameteuliwa na Mungu mhhh! mfano mzuri ni kule Zanzibar Marehemu Maalimu Seif karibu chaguzi zote alikua anashinda. wazanzibar walimpenda sana na kumkubali ila hakuwahi tangazwa hata siku 1 kua eti ni mshindi. kwa Mbowe pia Nyerere alikaa miaka mingapi chama cha TANU kabla ya CCM? na hakubanduka hata....

  • @KananaKadogholo
    @KananaKadogholo 2 місяці тому

    Aisee, kumbe mandezi waheshimiwa!

  • @kizitomkude
    @kizitomkude 2 місяці тому

    muache afuate ela, kule kuna ela za kutosha, muacheni aende jamani harakati wa kweli wapo wachache njaaaaaaaaaaaaaaaa,

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 3 місяці тому +3

    Dudu anauwezo mkubwa sana,sijui alisoma wapi maana uwezi wake sio wa kawaida

    • @frankmushendwas37
      @frankmushendwas37 2 місяці тому

      Kama unaona dudu anauwezo basi ww zombi la elimu

  • @hamidumweyunge4722
    @hamidumweyunge4722 2 місяці тому +1

    Safi sana umeongea point kubwa sana 😂🤣

  • @dynamicmwakibinga4371
    @dynamicmwakibinga4371 2 місяці тому +1

    International pure points

  • @henrymmbando5930
    @henrymmbando5930 3 місяці тому +2

    Si kweli viongozi uliowataja(Magu, Majaliwa, Samia na Mizengo eti ni wa wa Mungu!!!! si kweli. Ila hapo na wewe umetia uchawa angalau wakukumbuke. Ungemtaja pia Warioba, Mbowe, Lissu etc ningekusikiliza.

    • @corporatethugsent7380
      @corporatethugsent7380 3 місяці тому

      Ila kweli hata mimi dudu kanishangaza asee kuna aman na upendo na mungu wa aina gani kwaviongoz hao hapo?

    • @geofreychitamu366
      @geofreychitamu366 3 місяці тому

      Mzee salimu ahamed,mzee butiku,mzee Edwin mtei,mzee warioba,BABA TAIFA,mzee kawawa,mzee karume,mzee sir George kahama,mtikila,kambona,nk ni wazalendo halisi.siyo wazalendo mafisi.

  • @jumashimba9620
    @jumashimba9620 3 місяці тому +6

    Dudu unajua siasa sana

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm 2 місяці тому

    Dudu Baya kumbe kichwa. Nakutolea kofia yangu. Kuuzika kirahisi. Basi tumpe pongezi nyingi Mbowe na Tundulisu kwa kuwa wazalendo. Inasikitisha.

  • @RobertMeleka
    @RobertMeleka 3 місяці тому +4

    Dudu baya hongera sana

  • @kaundasutikaunda7769
    @kaundasutikaunda7769 3 місяці тому

    Konk Master chukua huu ushauri wangu ...ww una kipaji Mungu amekupa cha kuchambua mambo ...sio kila mtu hata awe amesoma vp anaweza fanya kama wewe unavyo fanya. Huu ni muda sasa wa kubadili icho kipawa alichokupa Mungu kikuingizie pesa. Please take this and act immediately.

  • @stevenkuhanwa7819
    @stevenkuhanwa7819 2 місяці тому +1

    Hakika, most of the politians are oppotunist.
    Future ya gari alilokuwa amepanda imepotea kabisa, so kaona ni bora aingie kwenye gari ambalo linampa uhakika wa maslahi!
    Dudu baya anajitahidi kuzungumza vizuri.

  • @juliusmix
    @juliusmix 3 місяці тому

    Mkimtoa Mbowe atakaa nani? Ndiyo Hawa kina Msigwa na kina Sumaye?

  • @praygodmawalla7884
    @praygodmawalla7884 3 місяці тому +1

    Lini huyu amekuwa mchambuzi wa habari? Okay every one can be mchambuzi right? This is Tanganyika bana.

    • @Fesary
      @Fesary 3 місяці тому

      Hili jamaa lifala halijui vitu vingi

  • @saxannjo6173
    @saxannjo6173 3 місяці тому +1

    GENIOUS DUDUBAYA

  • @BozaDizamile-u1d
    @BozaDizamile-u1d 3 місяці тому

    Kwer Kaka Wapinzani Wa Kwer Kwenye Nchi Hii Bado Tuko Njee Hila. Kunawakati Muda Utaamua

  • @DiwaniMwafongo
    @DiwaniMwafongo 2 місяці тому

    Kwani wananchi wanasubiri Nini kuchoma nyumbani yake......

  • @ProsperMwakilembe-lj7rb
    @ProsperMwakilembe-lj7rb 2 місяці тому

    Aise uko gudi

  • @TrustElbashil
    @TrustElbashil 3 місяці тому +1

    Yes dudu.baya

  • @emmanuelgastine9826
    @emmanuelgastine9826 2 місяці тому

    ni ukweli mtupu

  • @mtakamatv
    @mtakamatv 3 місяці тому

    Mbona hamsemi wanaorithishana madaraka na watoto wao,wakina mwinyi,makamba,kikwete,mwigulu,Hadi watoto wao wamepewa nafasi za chipkizi ccm.hamuoni?

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 2 місяці тому

    Ulipe madeni

  • @moseskita4251
    @moseskita4251 2 місяці тому

    Kuna umakini wa kina ambao unatakiwa mtu uwe nao,kuna watu wanapoongea usipokuwa makini unaweza potezwa,Mtu kusema maraisi wote ni wateule wa Mungu mmmmmh.Huyu mtu hawezi kupigania wananchi na wala hawezi pigania mabadiliko chanya katika taifa,maana amekaa kichawachawa

  • @kidodosimichael349
    @kidodosimichael349 2 місяці тому

    Uko Sahihi mh Godfrey Dudubaya

  • @ibinmgeta2406
    @ibinmgeta2406 3 місяці тому +3

    Upinzani wa bongo nikinyesi tu.

  • @mtakamatv
    @mtakamatv 3 місяці тому

    Ccm imeongoza muda mrefu mbona husemi?mbowe hawezi kutoka sababu yeye ndie hahongeki na ccm,wengine wanakuita chama mapema tu,kama vyama vingine vya uponzani vilivyo dhaifu sana,ccm wanambinu chafu,wanataka mtu imara kwelikweli

  • @babazungu3180
    @babazungu3180 2 місяці тому

    Nenda south Africa uone kama Mandela ni kuongoz jins alivyowauza watu weusi

  • @albinusmkono5887
    @albinusmkono5887 2 місяці тому

    Dudu BAYA.kumbuka mbowe.ndie mhimili wa chadema.kwa msimamo.angalia ccm ilivyovuruga vyama vilivyokua vinaibuka kua mshindani wake.cuf nccr.lkn kwa mbowe ccm umeshindwa kusambaratisha cdm kwa sababu ya msimamo wake.wanachama na viongozi na wabunge wamenunuliwa wamepewa uongozi.waliokua na msimamo walitishwa walibambikiwa kesi na kufungwa walifirisiwa na TRA..mbowe ameafanyiwa hayo yote.hujui.???? Acha uchawa au hujitambui.nyelele alikaa miaka mingapi.??.huzungumzii ccm kuzuia wanachama kugombea urais anayejaribu anafukuzwa marehemu membe.kama hujui kitu kaa kimya

  • @reginaldmapunda6702
    @reginaldmapunda6702 3 місяці тому

    Lakini Lisu anatofautiana na wewe kuhusu Nyerere. Lisu anamwona Nyerere kama ndio chanzo cha matatizo hapa Tanzania. Ninakubaliana na wewe siasa za nchi hii ni kinyesi na kila anayetaka uongozi yuko tayari hata kuua. Mfumo wa kuwapata viongozi una milango ya rushwa kuanzia kwenye vyama vya siasa mpaka kwenye uchaguzi wa kitaifa. Mtu mwenye akili hawexi kuutafuta uongozi kwa gharama zaidi ya uwezo na weledi wake. Lakini hili nalo ni neno " Mbowe kile ni kiwanda chake hawezi kuondoka mpaka afe."

  • @InnocentJohn-l5y
    @InnocentJohn-l5y 2 місяці тому

    Siasa ya tz nimaji taka anae weza kumuelewa msigwa jinsi alivyo kuwa anaitukana ccm leo aseme ccm inamema ujue mjinga ndo atamuelewa njaa zimempeleka ccm njaa mbaya

  • @joshuarose6756
    @joshuarose6756 2 місяці тому

    Mwambie AGombee tutampa kura anaAkili huy ya Uongoz

  • @TrustElbashil
    @TrustElbashil 2 місяці тому

    Apo uongo

  • @JosephSaidJikolo
    @JosephSaidJikolo 3 місяці тому +2

    Uko vizuri

  • @shabanipanya1033
    @shabanipanya1033 3 місяці тому +2

    Huyu jamaa kwa mara ya kwanza namkubali na nitakuwa namsikiliza

  • @mussasaid284
    @mussasaid284 2 місяці тому

    Daaah nimekuelewa dudu baya,naam na huo ndio ukweli na uhalisia wa hawa vibaka wanaojiita watetezi wa wanyonge,msiba ni takataka mshamba mbabaishaji na maskini wa akili na kipato

  • @Abeid-w4c
    @Abeid-w4c 3 місяці тому

    Huyu jamaa anajiamini sana Yupo huru kuwakilisha mawazo yake tena kwa mambo magumu ambayo wengine wanaogopa napendaga sana watu huru na ajilinde asiyekuwa chawa maana kuna baadhi ya viongozi wanaweza mfuata ili awasifie kwa malipo fulani uchaguzi unakuja.

  • @isyukyugha2681
    @isyukyugha2681 3 місяці тому

    Dudu Baya Konky Master sasa umekuwa akili imekujaa unatoa Madini sasa

  • @HenryKatenga
    @HenryKatenga 2 місяці тому

    NINYI MNAOJIITA WANASIASA KINDAKINDAKI ACHENI KUTUKANA WATANZANIA.KUWA WANAHONGWA KWENYE CHAGUZI.

  • @robertadolf562
    @robertadolf562 3 місяці тому

    Dah...mnawajua vizur hawa wanasiasa. kwa kifup wanasiasa ni maslah yao kwanza..sisi ndo tunahangaika na kurubuniwa tu. watanzania tuzinduke

  • @EmmanuelSabibi
    @EmmanuelSabibi 2 місяці тому

    Msigwa sio mzalendo ni mtu mganga njaa na hao ndio hua wasaliti na ndio Miongon wanaohalibu nchi

  • @dynamicmwakibinga4371
    @dynamicmwakibinga4371 2 місяці тому

    Kumbe jamaa una akili sana!??lakini unamkosea mbowe ulitaka mwenyekiti awe msigwa

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 3 місяці тому

    Hata mbowe alikaa gerezani ili atukomboe kutoka mikononi mwa wakoloni weusi siyo wakununulika

  • @AnyegileMwamaluka-ud9xf
    @AnyegileMwamaluka-ud9xf 2 місяці тому +1

    Kwa nn mboye acwapshe wenzake je yy ni mtawala wa milele km ilivyokuwa kwa kamzu banda?

  • @hadijauledi6995
    @hadijauledi6995 2 місяці тому

    Hapo kwenye madeni nimecheka 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @Fesary
    @Fesary 3 місяці тому

    Jamaa uchambuzi unabahatisha bahatisha, akili za kifala sana, chama akiachiwagi ivyo

  • @ajmstationery6157
    @ajmstationery6157 2 місяці тому

    😂

  • @juliusnyerere5393
    @juliusnyerere5393 3 місяці тому

    Wako Wapi wake wanafiki kina lema lissu na wengine Mbona mko waongo chadema maslahi yenu mbele.

  • @sf2tv
    @sf2tv 3 місяці тому

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ nice

  • @msowamhokole7714
    @msowamhokole7714 3 місяці тому +2

    Ebu tafuta radio Moja ikuajili utatonoa Sana dudu baya nenda wasafi ama crown