MZEE MTITU: AFUNGUKA USIYOYAJUA SAKATA LA MAGOMA | WANACHAMA WASIMUONE KICHAA KUWASHITAKI.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 жов 2024
  • JE UNAHITAJI KUTANGAZA BIASHARA NA WISPOTI TV.
    KARIBU TUKUHUDUMIE KWA GHARAMA NAFUU, WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0743040370 AU TUCHEKI KUPITIA WHATSAPP NAMBA 0758099136.

КОМЕНТАРІ • 76

  • @AllyKimeme
    @AllyKimeme 2 місяці тому +12

    Nilikua nakusubili Kwa ham mzee wewe ndomwelewa kuliko ote unaogea kiumakini mno mungu akuongeze maisha malefu ili niendelehe kukusikiliza vitu vingi unavijua

  • @philoteuslwena3082
    @philoteuslwena3082 2 місяці тому

    Kweli kina vilaza na waelevu.kakushinda mzeee we kijana point huna.. mzee magoma yupo sahihi

  • @YOSHUAMWAMPETA
    @YOSHUAMWAMPETA 2 місяці тому

    JUMA MAGOMA HOYEEEEEEEEE!

  • @maikomatayo2794
    @maikomatayo2794 2 місяці тому +1

    Vyiura cf mnateseka mkiwa wapi hahahaha hii ndoo ubaya ubwela😂😂😂😂

  • @muhamedjaffar5653
    @muhamedjaffar5653 2 місяці тому +3

    Wenye akili yanga wawili lakin kwa sasa watatu na magoma ndan

    • @lukomanomaliki5442
      @lukomanomaliki5442 2 місяці тому

      Kwa hiyo wanaofoji Saini za watu na kufungua kesi ndo wana akili?

  • @AlfredMpepo
    @AlfredMpepo 2 місяці тому

    Engeneer madawa huuzi tena. Biashsra imeshaanza kuharibika umewazurumu wenzio. Unakula peke yako. Wajanja wameshtuka. Safari haxiishi kimbe anauza madawa. Anzeni kumchunguza vzr. Hana uengeneer wwte anauza madawa

    • @ephesongailo8564
      @ephesongailo8564 2 місяці тому

      Katoe taarifa polisi,,,, hapa sio mahali pake....! Utajichumia kesi ndugu.

  • @nasrakambimton9522
    @nasrakambimton9522 2 місяці тому

    😂😂😂😂 msiye jua maana ya kolo ni mjomba na makolo ni wajomb kwaiy youote any ita kolo jua unait mjomb😂😂

  • @ntulloboy2916
    @ntulloboy2916 2 місяці тому

    Yanga vichwa vigumu Sana kuelewa achana nao

  • @YusuphyKalebu
    @YusuphyKalebu 2 місяці тому

    Acha habari zenu

  • @MaximilianBKalitibu
    @MaximilianBKalitibu 2 місяці тому

    Magoma achukuliwe hatua zakishelia kwakuidhalilisha yanga African

  • @muhamedjaffar5653
    @muhamedjaffar5653 2 місяці тому +1

    Magom yuko sahihi mimi ni yanga naona wazi kuna upigaj mkubwa sana unaoendelea yanga.kuna wazee wanapozwa pesa na kuna kundi la vijana wanapozwa ili wamdhihaki mzee magoma kunyamaza.kiukweli kagoma yuko sahihi sana

  • @bone102
    @bone102 2 місяці тому

    Hivi kwann Yanga wanaongea Pumba sana aisee yaan Kijana kazidiwa na mzee ambaye hata kutumia vizur google hajui

  • @ramadhansesala4891
    @ramadhansesala4891 2 місяці тому

    Yanga kweli vilaza

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 2 місяці тому

    Magoma katumwa na Mangungu na Try again full stop ✋️

  • @RamadhaniSuru
    @RamadhaniSuru 2 місяці тому

    Huyu mzee niwalewale😂😂😂😂😂😂

    • @hamadshembago7647
      @hamadshembago7647 2 місяці тому

      Kivip yan au kipi hujaelewa😂😂halaf kumbuka huyo ni mzee,hajui kutumia google lkn yupo straight 😂😂angalia hilo la pemben linalokuna pua tu,yan lipo tayar kwa mabishano tu huyu ndo walewale sasa kwel uto😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌

  • @ShekhMufyd-mn9zn
    @ShekhMufyd-mn9zn 2 місяці тому

    😀😀😀😀😀magoma ashakua super star

  • @athmanimkangara9290
    @athmanimkangara9290 2 місяці тому +1

    Wala mihogo jazz band

  • @rajabukitego1662
    @rajabukitego1662 2 місяці тому

    Magomaaaaaa😅

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 2 місяці тому +1

    Conflict of interest

  • @hamadshembago7647
    @hamadshembago7647 2 місяці тому

    Huyo jamaa wa pemben amekaa kinafiki nafiki kwel yan

  • @thomangwanyama7122
    @thomangwanyama7122 2 місяці тому

    Simba jifarijini mapema kabla kivumbi akijaanza uo ndio us Hindi wenu ligi ikianza auna chenu tabu iko palepale

  • @timothymbughuni1356
    @timothymbughuni1356 2 місяці тому

    Controversy??????

  • @khalidmgonja
    @khalidmgonja 2 місяці тому

    Waandishi wakat mwingn watu kam nasoro pila msiwe mnawahoj maan wanapend kuongelea mapenz ya uyanga hawan hoj za msingi mabwabwa hawa

  • @lucymsheshi5871
    @lucymsheshi5871 2 місяці тому

    Hivi vizee vyahivi ni vya hovyo

  • @RAJABUALLYCHANDEALLYCHANDE-n4i
    @RAJABUALLYCHANDEALLYCHANDE-n4i 2 місяці тому

    Kumbe nyinyi ndio munao mtuma uyo bwege mwenzio uyo, baasi mutayaoga

  • @rajabukitego1662
    @rajabukitego1662 2 місяці тому

    Utopolo,mmemuelewa,mzee,

  • @stevennambunga9093
    @stevennambunga9093 2 місяці тому

    Makolo mikundu inawasha jambo haliwahusu

  • @kyaligonzalouis4663
    @kyaligonzalouis4663 2 місяці тому

    Mgongano wa maslahi ni Conflict of interest sio controversy. Ubaya Ubwela

  • @yuzoooyuso583
    @yuzoooyuso583 2 місяці тому

    Aliesema Yanga woote hawana akili pepo ataiona.wale wawili mpokeeni na huyo mmoja Mzee magoma.nyinyi vyura aka gongowazi hebu toeni mwiko huko nyuma labda akili itawarudi mnaibiwa acheni kuendelea kullewa supu na ipo siku mtamkumbuka Mzee magoma

  • @jamesgeorge8279
    @jamesgeorge8279 2 місяці тому

    Utopolo mbona coment siizioni leo mzee mtitu anawaelewesha mana huku mtaani jitu hayajui ki2 yanatubania pua tu

  • @salomemongi1246
    @salomemongi1246 2 місяці тому

    Huyu ni Yanga

  • @salomemongi1246
    @salomemongi1246 2 місяці тому

    Huyu ni Simba,wametumwa

  • @jimmymnuano7165
    @jimmymnuano7165 2 місяці тому

    We mzee waambiye hao vijana wanunulie hiyo kahawa maana nakuona unajichanganya yaani unataka kusema mama Karume atiye saini ajishitaki mwenyewe ? Hapo wewe umesema bodi iliyopita na mama Karume alikuwepo sasa vipi leo atiye saini kwa kujishitaki ? Mimi hapo sijaelewa

  • @ambwenemwamwimbe153
    @ambwenemwamwimbe153 2 місяці тому

    Simba wanawatu bana

  • @JosephTibu
    @JosephTibu 2 місяці тому

    Bundi limehamia jangwani 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂hapo ndo mtajua nini maana wa neno ,UBAYA UBWELA 😅😅😅

  • @vom84
    @vom84 2 місяці тому

    Huyo shabiki wa Yanga Hana uelewa, hajui lolote linalohusu sheria

  • @YOSHUAMWAMPETA
    @YOSHUAMWAMPETA 2 місяці тому

    HAWA WAZEE WA YANAGA NINAWAELEWA VIZURI WAKO MAKINI MNO.

  • @GibsonNtamamilo
    @GibsonNtamamilo 2 місяці тому

    Kuhusu mwanasheria kweli Yanga hatuna kabisa.

  • @salomemongi1246
    @salomemongi1246 2 місяці тому

    Kwenda huko,we kaongee ya simba

  • @SmilingBulldogPuppy-nb9ur
    @SmilingBulldogPuppy-nb9ur 2 місяці тому

    Vyura mwaka huu wanacho utopolo bwana

  • @ambwenemwamwimbe153
    @ambwenemwamwimbe153 2 місяці тому

    Huyo jamaa wa utopolo kalewa chibuku

  • @Shags.1972
    @Shags.1972 2 місяці тому

    Tatizo hata mkisema wanachama waende wote wakajadili hayo marekebisho Dar wanachama wataweza kufika wote acheni fikira za kizee nyie kinawauma nini

  • @chiefnumborecords4819
    @chiefnumborecords4819 2 місяці тому

    Auna lolote mzee Mtitu nyinyi watu wa simba mpo nyuma ya huyo mzee kagoma

  • @juliussenzia
    @juliussenzia 2 місяці тому

    Wachezaji Sasa hivi wanalipwa kiasi gani

  • @IbrahimMakonga
    @IbrahimMakonga 2 місяці тому

    Uyo hajui kitu utopolo

  • @salomemongi1246
    @salomemongi1246 2 місяці тому

    Wanafiki Hawa wanaingikiaje mambo ya Yanga?Watatuvuruga,watatuchanganya?Tuwe makini

  • @haroldtarimo3115
    @haroldtarimo3115 2 місяці тому

    Masuala ya yanga unamhoji mtu wa simba kulikoni

  • @stanslausmteme8455
    @stanslausmteme8455 2 місяці тому

    Huna akili hiyo ni press wanachama wa nini

  • @BardenBensonMwamfupe-dk3yg
    @BardenBensonMwamfupe-dk3yg 2 місяці тому

    Huyu bwege alisema heri baba afe abaki mo

  • @AshelyAbel-kg4kx
    @AshelyAbel-kg4kx 2 місяці тому

    Ubera ubwera

  • @christopherdaniel7279
    @christopherdaniel7279 2 місяці тому

    Hakuna mwanasimba ambaye anaweza kumuongelea vibaya magoma over ila dozi ipo palepale

    • @muhamedjaffar5653
      @muhamedjaffar5653 2 місяці тому

      Mie ni yanga ila magoma yuko sahihi .tuache ushabiki maandaz .tuangalie maslah ya yanga yetu.sio wamekaa wapigaj

  • @KumbaBoy
    @KumbaBoy 2 місяці тому

    Sasa mzee mtitu turudi nyuma mama Samia ni raisi wa jamuur wa muungano wa Tanzania ukirudi yeye ndie mwenyekiti wa ccm jee mzeemtitu unajuwa iyo unaic aiwezekani

  • @juliussenzia
    @juliussenzia 2 місяці тому

    Mwandishi mjinga na yeye ni kolo

  • @Yangaone-h8j
    @Yangaone-h8j 2 місяці тому

    Kolo yeyote yule katika hili nilazima atampigia chapuo tu mzee magoma kitakita

    • @bone102
      @bone102 2 місяці тому

      Mnajionyesha wazi kuwa hamjielewi aisee yaan Mangoma kawazidi akili nyie mnafurah wakat Yanga inapotezwa kwa kudanganywa na matokeo ya uwanjan Timu inatakiwa kuingiza hela zaidi sio kuacha sifa za kufika robo fainali au kujaza vikombe wewe dogo

  • @JohnKapalamula-z9j
    @JohnKapalamula-z9j 2 місяці тому

    Mzee huna akili wewe umekujaa ushabiki

  • @chiefnumborecords4819
    @chiefnumborecords4819 2 місяці тому

    Mashabiki WA SIMBA siyo waelewa na ndiyo maana timu Yao aifanikiwi kamwe ni kama mashabiki wanao mshabikia harmonaizi vile awajitambui ikitokea harmonaizi ayupo woote watarudi Kwa Ally kiba ndiyo maana diamond kafanya mchezo mchafu kumtoa harmonaizi kundini kijanja ili ampoteze Ally kiba na kafanikiwa ila hao mashabiki ni madunduka awajielewi ndiyo mashabiki WA simba

    • @GibsonNtamamilo
      @GibsonNtamamilo 2 місяці тому

      Haifanikiwi wakati iko ndani ya vilabu 10 bora Afrika. Wewe kweli chizi😂😂😂

    • @maikomatayo2794
      @maikomatayo2794 2 місяці тому

      wee choko kweli aya nyinyi utopolo mnae jierewa mna mafanikio gani 😢😢

  • @OmaryKiduka
    @OmaryKiduka 2 місяці тому

    Hawa watu wayanga hawajui wanachokiongea maskini

  • @PhilkevinFelix
    @PhilkevinFelix 2 місяці тому

    Mgongano wa kimaslahi = conflict of interest.

  • @AliJussa
    @AliJussa 2 місяці тому

    Kolo akili hawana, Magoma hatambuliki kwa sasa kwa katiba iliyopo, na kakiri mwenyewe hajawahi kulipia 😅

    • @AzizMangara
      @AzizMangara 2 місяці тому

      Kama magoma, atambuliki, na wale wanne Nao awatambuliki?! Utopolo, msilete mihemko. Kikubwa kukaa na wale wazee, kwani walicho kisema ni kweli au katiba aijachezewa?! Tunapenda maendereo ya mpira na hata Hawa wazee wakiachiwa Timu awawezi, ila wanahaki tusilete ujanja janja, na tusilete mihemko ya Simba na Yanga. Kaeni Nao zungumzeni Nao vinginevyo mtatafutana saana.

    • @AliJussa
      @AliJussa 2 місяці тому

      @@AzizMangara Sio mimi ni yeye mwenyewe kasema hajawahi kulipia kadi miaka minne sasa, je ukiwa na akili timamu atakuwa mwanachama kweli au shabiki?

    • @GibsonNtamamilo
      @GibsonNtamamilo 2 місяці тому

      Mawazo yako mgando unadhani kesi kapeleka Juma peke yake. Wako wengi wewe mshamba😂😂😂

  • @kingzu_97
    @kingzu_97 2 місяці тому

    V