TANZANIA BARA INAFAIDIKA NA ZANZIBAR

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 жов 2024
  • #SERIKALITATU #KATIBAMPYA #MFUMOWASERIKALI #MUUNGANO #MAKAMUWAKWANZARAISWAZANZIBAR #OTHMANMASOUD
    "Nini Zanzibar inaweza kushirikiana na Tanzania Bara katika misingi ya kiuchumi ukitazama Tanzania Bara inaweza kufaidika Sana na Zanzibar Kwa sababu ya historia yake, mahali ilipo. Kama walivyoona wenzetu wa Wachina Wana Visiwa vyao kama Macau ni Visiwa ambavyo havijawahi kuwa nchi huru ni sehemu ya China miaka yote lakini Kwa sababu ya mahitaji ya kiuchumi wameweza kuvifanya vile ndio maana wana policy ya nchi moja mifumo tofauti. Kwa mazingira ya Visiwa viachwe vijiendeshe Kwa misingi inayokubalika Kwa uchumi wa visiwa na wamefaidika Sana. Ukitazama China uwekezaji mkubwa umetoka kwenye Visiwa hivyo" Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Mhe Othman Masoud.
    #HakunaKuleft
    #LiveOnClouds360
    Tazama LIVE 📺 @Cloudstv kupitia | Azam channel no 403| Dstv no 387| Startimes no 109| antenna/497

КОМЕНТАРІ • 59

  • @saidmohd7240
    @saidmohd7240 2 роки тому +6

    Hongera Me. Othman Kwa kuusema Wazii Muungano! Huu ni muungano WA nchi mbili huru zilizo ungana! Wanachama WA Umoja wa mataifa!

    • @sleemhamoud4394
      @sleemhamoud4394 2 роки тому

      ua-cam.com/video/cUTZj5i_gLM/v-deo.html
      👆 *WAARABU WALIVYO KUJA AFRICA MASHARIKI*

    • @OmerSuley-gl7go
      @OmerSuley-gl7go 8 місяців тому

      ​@@sleemhamoud4394Sasa waarabu na Zanzibar wapi na wap? Mbon unakuwa pimbi ww

  • @saidabdala4980
    @saidabdala4980 2 роки тому +9

    Hakuna haki ZANZIBAR. Serekali ina jeshi la nato la CCM. Linaitwa mazombi. Au watu wasio julikana. Hebu muulizeni kuhusu LUKUVI kule kanisani. Mulizeni vipi kuhusu jecha. .

    • @sleemhamoud4394
      @sleemhamoud4394 2 роки тому

      ua-cam.com/video/cUTZj5i_gLM/v-deo.html
      👆 *WAARABU WALIVYO KUJA AFRICA MASHARIKI*.

  • @mahfoudhcalender2747
    @mahfoudhcalender2747 2 роки тому +2

    nakukubali sana makamu wangu Allah akuhifadhi, unaufasaha mashaallaah.

  • @sirborybravo6249
    @sirborybravo6249 2 роки тому

    Hongera

  • @obillaezra6205
    @obillaezra6205 2 роки тому +1

    Yupo very straight forward

  • @hasbunakhamis487
    @hasbunakhamis487 2 роки тому

    Hongera omo

  • @noffelsalim830
    @noffelsalim830 2 роки тому

    Kazi njema mh

  • @omarmohammed5157
    @omarmohammed5157 Рік тому

    Wakitaka kufahamu unachokisema waweke zanzibar kujitegemea wenywe

  • @mahfoudhcalender2747
    @mahfoudhcalender2747 2 роки тому +3

    Ilove Zanzibar

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 2 роки тому +1

      I love Tanganyika

    • @sleemhamoud4394
      @sleemhamoud4394 2 роки тому

      ua-cam.com/video/cUTZj5i_gLM/v-deo.html
      👆 *WAARABU WALIVYO KUJA AFRICA MASHARIKI*.

  • @w4058
    @w4058 2 роки тому +2

    Na pia uuzwaji wa pombe pia una sababisha Wazanzibar kutokuajiriwa

  • @edwardleonard7402
    @edwardleonard7402 11 місяців тому

    Wapeni Zanzibar yao bhanna Kila siku Zanzibar Zanzibar Kuna nn Kwan apo

  • @bajagihaji8923
    @bajagihaji8923 2 роки тому +1

    Kiongozi huyu Ana maono mazuri nchi lazima ibadilike kisiasa zaidi kuelekea kibiashara ndiyo italeta matokeo bora

  • @sasi_tv6702
    @sasi_tv6702 2 роки тому +3

    Ipo vyema Hii Nimeikubali Maswali yake na majibu yake... Ila narejeya Tena kwa ushauri iyo meza ondoeni apo HAIENDANI na location ya apo🤔

    • @dadaagnes4483
      @dadaagnes4483 2 роки тому +1

      😂😂😂😂 hata mimi nimeiangalia sana nikaitafakari sikupata jibu

    • @musasabuu2808
      @musasabuu2808 2 роки тому +1

      Wanasulibili chakula

    • @sleemhamoud4394
      @sleemhamoud4394 2 роки тому

      @@dadaagnes4483 ua-cam.com/video/cUTZj5i_gLM/v-deo.html
      👆 *WAARABU WALIVYO KUJA AFRICA MASHARIKI*

  • @alzawahirabdallah2299
    @alzawahirabdallah2299 2 роки тому +1

    Wanasema nchi hawajaipata kwa makaratasi na hawaitowi kwa makaratasi akili kichwani mwenu tafuteni njia nzuri ya kushuhulikia hilo tatizo

    • @sleemhamoud4394
      @sleemhamoud4394 2 роки тому

      ua-cam.com/video/cUTZj5i_gLM/v-deo.html
      👆 *WAARABU WALIVYO KUJA AFRICA MASHARIKI*.

  • @ommymehmed8880
    @ommymehmed8880 2 роки тому

    wanapenda sana kumuhoji hyu mtu

    • @hamadali3231
      @hamadali3231 2 роки тому

      Vp kwani haifai kumuuliza

    • @ommymehmed8880
      @ommymehmed8880 2 роки тому

      Inafaa sana ...ila ni kwann hatupati ladha nyengine ...wahojiwe na waupande mwengine ,tuwasikie kauli zao je zinaendana na haya tuliyonayo sasa Zanzibar???

  • @mzeesuliman3158
    @mzeesuliman3158 2 роки тому +1

    Tanzania na Zanzibar twafauti Bora muungano uvunjike

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 2 роки тому

      Ungemwambia Kwanza aondoke studio maana Yuko bara huku, halafu ndio ufikirie kuuvunja Muungano

    • @omarhababuu3159
      @omarhababuu3159 2 роки тому

      @@jumakapilima7295 kwanza waodoshe wakenya wakongo wachina wahindi wazungu waburundi waganda wasomali warwanda nk mulokuwa hamujaungana ikisha mungano uvunjwe ndomuwaondoshe wazanzibari

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 2 роки тому

      @@omarhababuu3159 hahahaha,,,,,wahindi hawajataka Muungano uvunjike

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 2 роки тому

      @@jumakapilima7295 Hawa wanajidai utafikiri Zanzibar ni Mbinguni..!!!

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 2 роки тому

      @@mamboshepea8888 wana umasikini wa akili,,,,,

  • @masoudali2163
    @masoudali2163 2 роки тому

    WATU WAZIMA MNAKAA KITAKO MUNAJADILI TANI 2000.HAHAHAHA

  • @mzeesuliman3158
    @mzeesuliman3158 2 роки тому

    kwasababu aiwezekani Mali zinatoka Tanzania bara Zinajenga Zanzibar

    • @mudighurayra
      @mudighurayra 2 роки тому

      Mali gani iyo inayo jenga Zanzibar

  • @samirsamir7177
    @samirsamir7177 2 роки тому +1

    Wacheni Ujinga uwo semeni Tanganyika. Yani mumelishwa ujinga mpaka kuita nchi yenu jina lake imekuwa mnaona dhambi au aibu? Ndo maana Watanganyika wengi wanakuwa wajinga sana katika historia hawajui chochote kwa kusomeshwa mambo ya uwongo. Ni upumbavu ulopitiza mpaka vyombo vya habari badala ya kutoa elimu sahihi na wao ndo wanazidi kulisha watu matango pori.

    • @sleemhamoud4394
      @sleemhamoud4394 2 роки тому

      ua-cam.com/video/cUTZj5i_gLM/v-deo.html
      👆 *WAARABU WALIVYO KUJA AFRICA MASHARIKI*

  • @mzeesuliman3158
    @mzeesuliman3158 2 роки тому +1

    Tanzania Bara wamasai wanauwawa kwa bunduki wananyan'qanywa maeneo yao

    • @sleemhamoud4394
      @sleemhamoud4394 2 роки тому

      ua-cam.com/video/cUTZj5i_gLM/v-deo.html
      👆 *WAARABU WALIVYO KUJA AFRICA MASHARIKI*.

  • @gabrielmdem4271
    @gabrielmdem4271 Рік тому

    Kivip ?Zanzibar! Kuna arhdi uko Kuna madini uko Kuna misitu uko Kuna ziwa uko

    • @MuhammedAliOmar-c9u
      @MuhammedAliOmar-c9u Рік тому

      Zanzibar Hakuna chochote Kuna watanganyika tele na kila siku wanajazana tu huku. Sijui wanafata mini huku hali ya kuwa hakuna kitu cha maana.

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 2 роки тому

    Hamna kitu huyu!!

    • @salehkhalfan7345
      @salehkhalfan7345 2 роки тому

      Ww una nn hata hao mabosi wko hawamfikii

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 2 роки тому

      @@salehkhalfan7345 Hahahaha,,,,,,hamna kitu hapo!

    • @salehkhalfan7345
      @salehkhalfan7345 2 роки тому

      @@jumakapilima7295 Nlijua tu utakuja hapa

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 2 роки тому

      @@salehkhalfan7345 na Mimi nilijua Tu , ungekuja hapa!!

    • @sleemhamoud4394
      @sleemhamoud4394 2 роки тому

      ua-cam.com/video/cUTZj5i_gLM/v-deo.html
      👆 *WAARABU WALIVYO KUJA AFRICA MASHARIKI*..