OTHMAN MASOUD AFUNGUKA KUVAA VIATU VYA MAALIM SEIF

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 25

  • @kisa6022
    @kisa6022 2 роки тому +7

    Mungu amueke atuongoze kwenye njia ya haki na ukweli
    Hatafuni maneno yakhe

  • @sayidabdillah8505
    @sayidabdillah8505 2 роки тому +6

    Pambana baba tunakuombea Dua Kila siku inshallah Allah sw atakulinda tunakupenda sana kwa ajili ya Allah sw

  • @ukwelinauwazitv2615
    @ukwelinauwazitv2615 2 роки тому +4

    Talent parson from pba

  • @mahirkombo9386
    @mahirkombo9386 2 роки тому +1

    Allah amlinde mtetezi wetu

  • @allykhamis1677
    @allykhamis1677 2 роки тому +3

    Kichwa hicho mashallah

  • @salumsaid1545
    @salumsaid1545 2 роки тому +2

    Great sir

  • @allykhamis1677
    @allykhamis1677 2 роки тому +1

    Mh Rais mh Osthman Masoud Osthman

  • @msabahaali758
    @msabahaali758 2 роки тому +4

    Kiukweli OMO ni kiongozi wa kipekee ni kiongoz na nusu ni mtu mweled mtaratibu ni mzalendo wa kweki kweli

  • @amourmtungo623
    @amourmtungo623 2 роки тому +2

    🤔Ushabiki tuweke kando Othman Masoud ni mzoefu na msemaji mzuri kwa kweli. Anaweza kushika nafasi yoyote nchini Tanzania.

  • @mwatumsaidi5104
    @mwatumsaidi5104 2 роки тому +4

    Tunakuaminia baba mpaka kieleweke

  • @ukwelinauwazitv2615
    @ukwelinauwazitv2615 2 роки тому +2

    Uwoni wa baadae sio ss I believe on omo

  • @rashidissa5887
    @rashidissa5887 2 роки тому +2

    G O L D

  • @salyali7807
    @salyali7807 2 роки тому

    This is an asset kwa wazanzibari

  • @bekaashbai1781
    @bekaashbai1781 2 роки тому +1

    Naenda piga kura marahii Kama Tanzania tungekua na uraiya pacha ,kenya na kipigia chama cha professor cha root part kenya

  • @sasi_tv6702
    @sasi_tv6702 2 роки тому +1

    HII MEETING SAFI SANNA HONGERENI PAMOJA NA MAKAMU WA KWANZA WA RAISI ILA MMEBOWA LOCATION IYO MEZA APO HAIPO VYEMA NINGESHAURI MBADILISHE HAIENDANI🤞

  • @johariabdalla3319
    @johariabdalla3319 2 роки тому

    Huyu jamaa hatariiii,anajuwa mpaka basiiii,kila lakher Mheshimiwa OMO

  • @lilianmakwati5228
    @lilianmakwati5228 2 роки тому +1

    Raisi ajae

  • @solomonadams6337
    @solomonadams6337 2 роки тому

    Almaroohumu Maalim Seif Shaif bin Hamadi ni weapon...Huwezi kumfananisha hata Julia's Kambarage Nyerere na Maalim...Ali Hassan Mwinyi aliwaambia CCM wasije wakaa kwenye meza moja na Maalim wakafanya nae mazungumzo watamfuata kile anacho taka yeye okay¿thanks

    • @kamariaabdallah6388
      @kamariaabdallah6388 2 роки тому

      Tena wala asijifananishe na marehem maalim seif sharif hamad hata kidogo hampati

  • @nassorseif7907
    @nassorseif7907 2 роки тому

    Weee mwanamme nyanyua sauti hio mwanamke yuko juu kuliko wewe

    • @ahmedalbalooshi8518
      @ahmedalbalooshi8518 2 роки тому

      Nassor,sauti sio shida,la muhimu ni uzito wa maneno,na kwa hilo amejieleza vizuri.

    • @abdulhalim3840
      @abdulhalim3840 2 роки тому

      Wew cholo tulia shoga yako uyo mwanamke mwenzio apo naon mmenyoa saw mnafanana san

    • @nassorseif7907
      @nassorseif7907 2 роки тому +1

      @@ahmedalbalooshi8518Nakusudia huyo mtangazaji mwanamme sauti yake iko chini sana muheshimiwa yuko vzr Masha Allah Allah atuekee

    • @mohamedsheikh6618
      @mohamedsheikh6618 2 роки тому

      @@nassorseif7907 mhh umejitetea vyema ungekuwa karibu yao eehe wangekupiga, walivyo na usongo wa uhuru wa nchi yao

    • @solomonadams6337
      @solomonadams6337 2 роки тому

      kwanza kasome dini ndio utajua kuishi Uislam umekaza hicho unacho kizungumza wew?shut up!