EPISODE 4: MZANZIBAR ALIE TESWA MSUMBIJI AKIDHANIWA NI AL-SHABAB

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 49

  • @salimsalim-lj9uz
    @salimsalim-lj9uz 4 роки тому +7

    Aliegundua Kama mzee Makame Buga Ali kazidiwa na mapenzi ya Mtoto wa kimakonde agonge like za kutosha hapa 🥰🥰

  • @masoudyrashidy9041
    @masoudyrashidy9041 4 роки тому +4

    Kwa kweli ni mtihani wamepitia ndg zetu
    Allah awafanyie wepesi ktk safari yao ila inahitaji subra nzito poleni sana kaka zetu muliopitia madhila haya

  • @masoudyrashidy9041
    @masoudyrashidy9041 4 роки тому

    Shukran ktv tz online kwa kua karibu na hali hii iliotugusa wa zanzibar

  • @jumanesaidi7635
    @jumanesaidi7635 Рік тому

    Nakubali wema unaoza, Mtanzania anafanyiwa haya msumbiji ! !

  • @khalidhassan906
    @khalidhassan906 4 роки тому +1

    Pole cn ndio mambo ktk dunia utakutana na mambo meng muhimu uvumilivu t na kumuomba Allah atufanyie wepes ktk safari yetu

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 2 роки тому

    Dah! inauma sana 😭 majeshi wa msumbiji hawanaimani hata kidogo Poleni sana.

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 4 роки тому

    Polesana Kaka inaniuma yani Sana Allah akulipe KWA uwezo wake mtihani umepata

  • @liltanz2267
    @liltanz2267 4 роки тому +3

    Nafatilia hii video....
    pole sana anko salam zako kutoka uturuki istanbul Europe

    • @khamisjuma5046
      @khamisjuma5046 4 роки тому

      Mimi nafatilia nduguyagu makame mimi yamenikuta Somalia my.brothe never loss hop salam zangu kutoka USA marekani 🇺🇸

  • @assiakhadijz4167
    @assiakhadijz4167 4 роки тому +3

    Asikudanganye mtu wanawake wa msumbiji hawatosheki na mtu mmoja mm yalimkuta mumewangu

  • @sadabahla7120
    @sadabahla7120 3 роки тому

    Daaa polen sana

  • @salummzee9739
    @salummzee9739 4 роки тому +4

    Daaah mitihan kaka unajua ,wahenga walisema masikin mtu kwao, ugeni sio kitu chema,polen ndio ukubwa huo

  • @hajihaji1000
    @hajihaji1000 4 роки тому +2

    Ama kweli maisha yanakamilika kwa kuwepo "Adam na Hawa!!!".

  • @ombayjohn9703
    @ombayjohn9703 3 роки тому

    Pole kaka

  • @AbdulAbdul-pr9qe
    @AbdulAbdul-pr9qe 4 роки тому +2

    wa Kwanzaa mie leo

  • @ALIMOHD-bk9lr
    @ALIMOHD-bk9lr 4 роки тому

    Mungu akupeni penye kheri nanyi

  • @asrymohd6690
    @asrymohd6690 4 роки тому +2

    Mmmh muwezesheni sasa na kumsaidia

  • @makelelehamsini4960
    @makelelehamsini4960 4 роки тому

    Pole sana

  • @zwinaalhabsi664
    @zwinaalhabsi664 4 роки тому +1

    Mnakawia kuleta muendelezo pole kaka

  • @zuwenshemedy7382
    @zuwenshemedy7382 4 роки тому

    Mtihani kweli

  • @hassanabdalla7644
    @hassanabdalla7644 4 роки тому +1

    Mnakaa sana jamani

  • @mohdally9660
    @mohdally9660 4 роки тому +1

    Naomba namba yake nipate kumsaidia kaka Yangu daaah inasikitisha saana

  • @ashrafualidi2893
    @ashrafualidi2893 Рік тому

    Usisheze na moçambique utakufha msenge

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 4 роки тому

    Mnachelewesha sana

  • @zakiakondo2849
    @zakiakondo2849 4 роки тому

    Simulizi nzuri sana

  • @rajabjr478
    @rajabjr478 4 роки тому +1

    Niko ktk sayari ya nubiru ila nafumfulitia jembe langu makame buga ally.

  • @marcominja8850
    @marcominja8850 4 роки тому

    Sasa na nyie makame mnajua kabisa msumbiji kunawaka moto na magaidi mnaenda kufanya nini? Mbona kujiingiza matatizoni?

  • @lutfiarashid8770
    @lutfiarashid8770 4 роки тому +1

    Makame anamaguvu wallah kma Mimi ningeshindwa hata kuelezea

    • @albaharyhaji8231
      @albaharyhaji8231 3 роки тому

      Baharia huyo maisha ya pwani yana afya sana na nguvu

  • @saidmohdsaid8517
    @saidmohdsaid8517 3 роки тому

    Bi siwema

  • @muhamadmussa4382
    @muhamadmussa4382 4 роки тому

    Dah ama kwel Leo ndo nimeipata tafsir kamil ya NGUO YAKUSTIRI HAISTIRI MAKALIO ,

  • @khamiskhamis7649
    @khamiskhamis7649 4 роки тому

    Siku kibaooooooo mbona haiyendelei mnAtuboa banaaaa

  • @ALIMOHD-bk9lr
    @ALIMOHD-bk9lr 4 роки тому +1

    Lakini makame NAWE hayo machangamoto uliopitia BADO unashikilia upewe siku tatu tena za kukaa huko🙄

  • @fathiarabi8340
    @fathiarabi8340 4 роки тому

    Musikawie kutoa habari inayo Fuatia mwatukatiza hamu...

  • @mosaidi2633
    @mosaidi2633 4 роки тому +1

    Siku Nyengine Ukiulizwa kwenu Wapi Ujuwe vya kujibu Vizuri...

  • @cadhimberec1286
    @cadhimberec1286 4 роки тому

    Makame buga Ally Naam😀

  • @omarsheha9929
    @omarsheha9929 4 роки тому

    Duuh

  • @rojaally7293
    @rojaally7293 4 роки тому

    Pole Sana kaka namitihani

  • @salumnassor3845
    @salumnassor3845 4 роки тому

    Hyu makame anaonekana ana matatizo, huwezi ww kuwa na matatizo namna hyo alafu unamwita mkeo ktk wakati mgumu namna hyo ,kwa nini usipigane uweke mambo sawa alafu ndio umwite mkeo ,,fala kweli hyu

    • @alimussa2655
      @alimussa2655 4 роки тому +1

      Umesikia mpaka mwisho au unacoment tu

    • @damwaaussi3590
      @damwaaussi3590 4 роки тому

      Mjinga kweli ww hiv unajua thamani ya mke au unaskia tu UA-cam sasa anajua maisha yatakaa sawa lini na uko so kwao alaf mtu anafurajika kuona ampendae wakati wa shida anakua karibu yake.

    • @masoudyrashidy9041
      @masoudyrashidy9041 4 роки тому

      Fala ni ww usiejua kutumia akili yako vzuri huo ni mtihani kaupata ndg yetu tumuombee kwa Allah amsaidie yy na wenzake waliopitia madhila haya jee ww unajua lipi litakufika ? Jaribu kutumia kauli nzuri kutoka mdomoni mwako

    • @rahmaomar9646
      @rahmaomar9646 4 роки тому

      hawa ndio wanaume wasalini wakati wa raha na shida

  • @maalimrajabu1634
    @maalimrajabu1634 4 роки тому

    Pole sana