What a song!!! Very smart song Nawapa 100% kwa kila kitu Natamani kuona featuring ya vijana keko,vijana betheli madale na vijana ubungo Napenda uimbaji wenu Mbarikiwe
Mungu awalinde muendelee kutenda vyema kazi ya Bwana, mnachokiimba mkiishi kwanza, msiwaimbie watazamaji, hubiri limbadilishe kwanza mhubiri, yote kwa yote mmbarikiwe kwa ujumbe mzuri sanaaa
Najivunia sana kuwa mkristo maana raha hii huipati popote bali ndani ya ukristo jeshi kubwa linalomtii MUNGU na mwanae Yesu KRISTO
Ambao mmegundua kua melody ni ya kisabato mko wapi ..,.but Bwana awabaliki kwa wimbo mzuri
Nyimbo zao zote wanatumia melody za kisabato, lakini nyimbo zao uwa na ujumbe mzuri sana
Hongereni sana wajoli wa Mungu Kwa wimbo mzuri
"Kwa hakika yatupasa kushambulia ngome za mwovu Kwa maombi"
Mungu awabariki sana na kuwaweka katika viwango vya juu zaiiiiid wimbo umenibariki saana
Wimbo umenifungia siku kwa matumaini makubwa I will shambulia vilivyo from USA 🇺🇸
Ameen na iwe hivyo kwa mapenzi ya Mungu.
Amen, endelea kushambulia.
AMINA SHAMBULIA NGOME ZA MUOVU
SHAMBULIA KWA MAOMBI👏👏👏
Nabarikiwasananakekokwaya
nimejifunza kitu kumbe pamoja na changamoto zote ninazopitia yanipasa kushambulia mana mungu yupo amen barikiweni.
Nimeipenda mungu awabariki sana
Wimbo mzuri Sana mbalikiwe
Amiiiìiina nabarikiwa sana na nyimbo zenu Mungu aendelee kuwatendea makubwa
Amen barikwa pia
What a song!!!
Very smart song
Nawapa 100% kwa kila kitu
Natamani kuona featuring ya vijana keko,vijana betheli madale na vijana ubungo
Napenda uimbaji wenu
Mbarikiwe
Ameen Ameen yote yanawezekana kwasababu tunafanya kazi ya kumpinga shetani na hila zake
My all time favorite from Kenya. Shambulia kwa maombi.
Yes! Hata corona na nzige na kimbunga tushambulie kwa maombi!
@@elct-kekolutheranyouthchoi9828 à partir de BUKVU
Mnaimba dah atakama unataka. Kuludi nyuma unasonga
Yeeeh yeeeeh yeeeeh yeeeh 🚀🚀🚀
Raha za hii kwaya zitatuua mwaka huu.
Muishi milele makamandraaa, na ukamandraaa urudiwe, urudiwee.
Mpo vizuri sana barikiwa mpaka mshangae
Yesu awapiganie kwaya vijana Keko mmechagua fungu lililo jema
RUSHA KOMBORAAA.....
🙌🙌🙌
MAKOMANDOO NYIE MBARIKIWE MNOOOOOO......
Amen
Mmbarikiwe sn huwa mnanibariki sn nawapenda sn wimbo ni mzuri mnoooo
As an seventh day Adventist ,I don't have boundaries in praising the Lord through songs,I pray that one day you arrange for a joint music day
Yes country wide
Ok
I'd love this...we are one in Christ
Sure it will be 🔥
Kwenye milima rusha kwenye raha rusha kombora shambulia ngome za muovu kwa maombi.nice song
#Kwa kweli kushinda kwetu ni hakika, Am speechless Godbless you KvK, much love kwenu💖💞
Amen ubarikiwe mno
Mungu awabariki sana, hakika mnafanya viziri sanaaaaaa.
Asante sana Ubarikiwe sana
Ujumbe mzur Mungu aendelee kuwatumia tupone mioyo ilyovunjika
Amen
Wimbo unatubariki mbarikiwe👏
Amen wimbo umenibariki sana from UK 🇬🇧
Wow! Ubarikiwe sana!
Amen
Asanteee sana
Kweli mebarikiwa kwa uimbaji
Wow you will forever be my best choir🔥🔥🔥🔥nyimbo tamu sana
Kvk my family MUNGU azidi kuwatumia atavyo
vijana mko vzr, kanisa lenu liko keko sehemu gn make ninapanga kuwatembelea
Oooh karibu sana mtu wa Mungu! Unaweza kuwasiliana nasi kwa 0786309122 ili kufika kwa urahisi.
@@elct-kekolutheranyouthchoi9828 ahsante
Hakika mnatubaliki sanaa mungu awapemaishamaref ilimzidi kumtumikia amen
Ameeeen kubwa nashambulia kwa maombi from UK 🇬🇧♥
Ameen, ubarikiwe sana mtu wa Mungu
Yesu awatunze sana mkazidi kuwabariki wengi zaidi
Ameen asante sana Jack
Mungu awalinde muendelee kutenda vyema kazi ya Bwana, mnachokiimba mkiishi kwanza, msiwaimbie watazamaji, hubiri limbadilishe kwanza mhubiri, yote kwa yote mmbarikiwe kwa ujumbe mzuri sanaaa
Hongeren Sana mungu awabariki nawapenda ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🥀🥀🥀🥀
Kazi ya kuutangaza ufalme wa Mungu inaendelea kwa kasi🔥🔥💯
Shemj yng Kenny😁
Mbarikiwe sana🙏
KEKO YOU are my favorite choir! Keep the gospel burning 🔥. We are waiting for more blessing songs like this👏.
Ameen!
Barikiwa sana, Ameeen
Jaman naipenda hii kwaya Mungu awabariki vijana Kkkt keko kazi yenu ni njema inanibariki mnooo haipiti siku sijasikiliza nyimbo zenu
Ameen! utukufu tunamrudishia Bwana, nwe ubarikiwe sana!
Wow! What a great song. God bless you more and more for your great work.
Thanks brother
Such a lovely choir I really love you,Mungu awatunze sana. Praygod ,Baba JJ Mungu atunze uongozi wenu,hoping to see you soon
Ameen Ameen, thank you very much. we shall meet soon for grace of God.
Mungu awabariki sana kwa kujitoa kwenu KVK
Mungu awabariki Sana kwa kugundua uimbaji wa kisabato ndio mzuri.Bado mavazi tu na hivyo vipuli mkamilike.Mungu azidi kuwaongoza hata milele
Sure sure,we are heroes of Faith.....mungu awabariki Sana kwa kujitolea kwenu
Shambuliaaa kwa maombiii🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Nakubali note
from USA am blessed,,listening it frequently
Wow! Be blessed brother!
Beautifull🙏
Safi sana majushaa wa imani nawakubali sana
Waoooh waoooh God bless you
Ameen
Very potential,amazing and fantastic, the joy of the lord is here
Mmbariwe mno Mungu azidi kuwainua kwa nyimbo nzuri zenye mafundisho
munaimba vizuri💕💕💕🙏
wow wow the best kwaya
Eeeeiii , eeeeiiiii! Hallelujah 💕
Waaau Amazing 👏 proud 👏 ❤
Kwenye Milima rusha kombora sisi mashujaa
Safi Sana❤ Rusha kombora💣💥
Well done.
Waoooooo
Nzuri❤
Very nice song ❤
Am proud of you people in Jesus'Mighty name ❤
Such Lovely voices
Mungu awabariki
Wananibariki sana
Nawapenda sana
hello!
naombeni no zenu
🔥🔥🔥🔥
Amen
Kwaya
👍
1:23
Hongereni Sana,kwa namna hi Mungu was mbinguni anainuliwa,Amen
Amen amen
Amen