JAMANI HIVI KARIBUNI NINAWALETEA SERIES MPYA KABISA KAMA WEWE NIMWANAFAMILIA WA BABA JOAN UNAPENDA NINACHOKIFANYA SUBSCRIBE SASA PIA MAWASILIANO YANGU NI +255768861318 kwa matangazo na biashara zingine nicheck whatsapp
Wewe tuseme hivi shule ndio ilikuchelewesha kabisa ila hakuna ubaya wowote maana hapo ndipo ulipoongezeka kipaji mno ndio maana filamu zako ziko tofauti na zingine 😢😢😢😢😢😢😢 nakubali sana babajoan ❤❤❤❤😢😢😢😢😢
Yaan mwalimu mgeni ww na wanafunzi wako wavipaji haki mnanifanya hadi mm napiga makofi kaambee nko na nyinyi hapo darasan,I sei nawapenda bure ❤ n rahma kutoka kenya 🇰🇪 kwakwel mmeweza😊💓😘🥰😘
Hii ndio movie nimeianza kuifwatilia harafu nika tizama never give up, BabaJoan unaigiza vivuri pamoja na timu yako. ila nimependa jinsi unapenda vipaji ( Talent) na walimu wote wawe na connection na wanafunzi. Movie nzuri. From Sino Miles , East africa nyumbani.
Tuletee mwalimu mgeni part 2 baba Joan move zako nazipenda mfano ukiingalia hii move kw jicho la 3 utagundua vitu vingi vinavyoelimisha nidhamu ya wanafunzi , ubunifu wa ufundishaji mashuleni kuibua vipaji , nidhamu Kwa walimu Katika suala la mavazi, Kuna vingi sana nimejifunza kupitia hii move mungu awe nawe akuzidishie zaidi na zaidi
Kazi nzur sana na hivi ndivyo misingi ya kazi ya fasihi inavyotaka lazma iwe na ujumbe kwa jamii husika hivyo mimi binafsi sina budi kusema hongeren sana wahusika kwa uhusika wenu, ahsante
Kukosekana kwa mwalimu mkuu shuleni basi nilitarajia mwalimu mgeni kuongezwa mamlaka hadi mkuu wa shule. Ameleta mabadiliko shuleni kwa kiasi kikubwa sana alafu Patronize anafaa ashughulikiwe na hicho kipaji chake, naomba aweze kupata mfadhili kabla ya mwaka
Mimi naitwa lolimo Niko pwani mimi nimependa mwalimu mgeni namna anavofundisha na kuwajali wanafunzi. Pia waalimu wamwige kwa sio kuwajaza wanafunzi manotice Bali kuwafanya wafurahi . ❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Mwalimu mgeni nimejifunza kutoka kwake
Eeh! Hii kali mno, Inasisimua kweli kweli na mafunzo kibao. Vile vile Ina taaswira kamili ya maisha. Hongera baba Joan Kwa kazi njema. Hasta na wewe pia unoyo kipaji. Kutoka Kenya
Hii movie imeniliza nakunifurahisha, nimelia kwasababu mwalimu mgeni kanikumbusha mwalimu wangu wa Kiswahili nikiwa kidato cha kwanza na pili, maskini vyema havidumu alifariki kwenye ajali na hadi waleo sijaiamini kama hayupo hii dunia😢. Huyo mwalimu alipendwa na wanafunzi sana tu nakumbuka alipopewa transfer alikuja kutupa kwaheri tukiwa assembly tulilia karibia skuli nzima😢, mungu amlaze pema😢
Mimi naitwa Vitalis kutoka Kenya,ukweli hii filamu ya mwalimu mgeni iliweza kabisa. Nilitamani iweze kuendelea, hongera sana baba Joan. Natarajia season 2.
Asante Sana jamani, historia hii imenipa uchunge Sana, maana nimeisha hali hii kazini mwangu myaka mingi, mwenziwe kukuchukia bure bila hatia, wivutu. Mungu awabariki Sana.
Napenda saaana kazi yako baba joan mwl msitaalabu jaman tuwapateni basi , ❤❤❤❤ pia watoto wa kike tujifunze kitu kupitia feti maua yako kwa Mr and m Mrs john🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
HONGERA SANA NI KAZI NZURI SAANA SANASANAAA BUT (HII MOVIE BAADO HAIJAISHA BABAJOANI. NAOMBA MOVIE IENDDELEE COZ KUNA MATUKIO MENGI BADO TUNARATAJIA KUYAONA)🎉
JAMANI HIVI KARIBUNI NINAWALETEA SERIES MPYA KABISA KAMA WEWE NIMWANAFAMILIA WA BABA JOAN UNAPENDA NINACHOKIFANYA SUBSCRIBE SASA
PIA MAWASILIANO YANGU NI +255768861318 kwa matangazo na biashara zingine nicheck whatsapp
Tuletee Season 2
Hatulali tukiongoja
Kiongozi wangu habar za leo
Naingija sana baba Joan
Usijali kipez chetu
Kuna wasanii wametoboa ila sio waqal Kama patronize❤❤😮
❤ kabisa
Hii movie natamani sana ingeruka TV zote Tanzania visiwani na Tanzania bara ili tujifunze mengi zaidi
Pongezi kwakwe #babajoani
Wewe tuseme hivi shule ndio ilikuchelewesha kabisa ila hakuna ubaya wowote maana hapo ndipo ulipoongezeka kipaji mno ndio maana filamu zako ziko tofauti na zingine 😢😢😢😢😢😢😢 nakubali sana babajoan ❤❤❤❤😢😢😢😢😢
Ilete chap tukodoe
Daaah Leo ndo nakuona wewe jamaa unajua sanaa mbona upo wapi na Mimi ninakipaji nichukue
Baba Joan uko creative sana ila naomba Mungu akupe knowledge and wisdom tunataka filamu nyingi kutoka kwangu.Asante
Kwa njia hii vijana wetu na wanafunzi watafika mbali, asantee kaka kwa kipaji hikii💥💥💥👆👆
Jaman mm nimependa Sana my school na wanafunzi wenzangu hongera Sana pratonize mungu akubless utoboe dogo langu mi tausi
Filamu nzuri sana hii inafundisha mambo mengi
Yaan mwalimu mgeni ww na wanafunzi wako wavipaji haki mnanifanya hadi mm napiga makofi kaambee nko na nyinyi hapo darasan,I sei nawapenda bure ❤ n rahma kutoka kenya 🇰🇪 kwakwel mmeweza😊💓😘🥰😘
Pole sana mwalimu Mugeni,hizo changamoto zinasumbua sana sehemu mbalimbali.
Hata ndani ya makampuni.
Hii ndio movie nimeianza kuifwatilia harafu nika tizama never give up, BabaJoan unaigiza vivuri pamoja na timu yako. ila nimependa jinsi unapenda vipaji ( Talent) na walimu wote wawe na connection na wanafunzi. Movie nzuri. From Sino Miles , East africa nyumbani.
Tuletee mwalimu mgeni part 2 baba Joan move zako nazipenda mfano ukiingalia hii move kw jicho la 3 utagundua vitu vingi vinavyoelimisha nidhamu ya wanafunzi , ubunifu wa ufundishaji mashuleni kuibua vipaji , nidhamu Kwa walimu Katika suala la mavazi, Kuna vingi sana nimejifunza kupitia hii move mungu awe nawe akuzidishie zaidi na zaidi
Aki nakwambia
Kabisa hii filamu is very educative sana kuna mambo mengi sana ya kujifunza
Kazi nzur sana na hivi ndivyo misingi ya kazi ya fasihi inavyotaka lazma iwe na ujumbe kwa jamii husika hivyo mimi binafsi sina budi kusema hongeren sana wahusika kwa uhusika wenu, ahsante
Kukosekana kwa mwalimu mkuu shuleni basi nilitarajia mwalimu mgeni kuongezwa mamlaka hadi mkuu wa shule. Ameleta mabadiliko shuleni kwa kiasi kikubwa sana alafu Patronize anafaa ashughulikiwe na hicho kipaji chake, naomba aweze kupata mfadhili kabla ya mwaka
Movie nzuri sana imenikumbusha mbali sana
Baba Joan uko fit hata family yangu yapenda sana movie zako naomba God bless
Yni hyu mwalim mgeni paka kaniliza maskini😢😢😢anayo fanyiwa...mtu mmoja aeza kukuaribia maisha yko yote😢😢
Mimi naitwa lolimo Niko pwani mimi nimependa mwalimu mgeni namna anavofundisha na kuwajali wanafunzi. Pia waalimu wamwige kwa sio kuwajaza wanafunzi manotice Bali kuwafanya wafurahi . ❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Mwalimu mgeni nimejifunza kutoka kwake
Unatufunza saaaana katika vipindi vyako na pia unakuza vipaji saaana ningepende niwe kwa vipindi vyako lkn mm niko Kenya..
Kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪ni Hongera kwa mtunzi ,,mwelekezi pamoja na wahusika wote🎉🎉yaani kipindi kina ubunifu wa kutosha.
naitwa mwl.mwakapimba toka busokelo mbeya Nimependa Sana hii muvi mungu akubariki ufike mbali
Am benjamin 4rm kenya.the movie is very educative and interesting.congratulations tz actors.
Kusema kweli mimi ujipata nadodokwa na majozi.ata nasahau ni filamu to.nawapenda sana na Hogera kwa kazi njema .🎉
Am from Kenya,the film is very educative apart from being more inspirational.Tanzanianian we love you more.
Kazinzuli jamani hongeleni, naomba mungu awasaidie kazizenu
Baba Joan kweli ninyi Na clam Vevo mkikaa chini kweli tunasinama kuingia UA-cam naomba ulete season ingine
Eeh!
Hii kali mno,
Inasisimua kweli kweli na mafunzo kibao.
Vile vile Ina taaswira kamili ya maisha.
Hongera baba Joan Kwa kazi njema.
Hasta na wewe pia unoyo kipaji.
Kutoka Kenya
Pongezi kwakwe @mwalimumgeni 💪💪
Hii movie imeniliza nakunifurahisha, nimelia kwasababu mwalimu mgeni kanikumbusha mwalimu wangu wa Kiswahili nikiwa kidato cha kwanza na pili, maskini vyema havidumu alifariki kwenye ajali na hadi waleo sijaiamini kama hayupo hii dunia😢. Huyo mwalimu alipendwa na wanafunzi sana tu nakumbuka alipopewa transfer alikuja kutupa kwaheri tukiwa assembly tulilia karibia skuli nzima😢, mungu amlaze pema😢
Naitwa noel kutoka kenya kweri munaweza congratulation juu
Mimi nimeipenda Sana hiifilamu ya Mwalimu mgeni natarajia season 2 😊😊😊😊
Mungu wetu alive juu aibaliki kazi ya mikono yako baba Joan ❤❤❤
Aiseee sir mgeni mung akubariki na akutangulie katka kazi ya mikono yako god bless you tunasubir sizon ya2
Wanjala kutoka Kenya,filamu safi kabisa nimeipenda sana ❤❤❤❤❤nasubiria season 2 mwalimu mgeni, all the best my good actors,big up 💪💪💪
Am moved really,,, big up baba Joan
Mwl Magesa ameigiza kama ana roho mbaya kweli
Mimi naitwa Vitalis kutoka Kenya,ukweli hii filamu ya mwalimu mgeni iliweza kabisa. Nilitamani iweze kuendelea, hongera sana baba Joan. Natarajia season 2.
hii nikiboko hakunafilamu nzuri kama hii kumbe watoa tozo muwapatie tunzo zao.
baba joan hii hata hatakama ukiachakuiza ukawa mchungaji watu wamungu wataokoka.
Baba Joan filamu yako inaweza kabisa Mungu akupe ubunivu saidi
Mwl Magesa ameigiza kama ana roho mbaya kweli.
kenda bila
Mwalimu mgeni umetisha mzeee hongera Sanaa dingiiiiii
Huho wimbo unahitwaje mwalimu mgeni i like it
Mimi naitwa Peter Amos nimeipenda mwalimu mgen
Aki nimependa ii movie walai🎉
Mimi ni rodah from Kenya i like the show very much
Mimi naitwa mike kutoka kenya ..enyewe hii movie mwalimu mgeni ina funzo nzuri sana asanteni 🙏
Jamani ftina yashinda uchawi ni kweli, magesa naomba iwe nimchezo wakuigiza pekee na isiwe ndiyo tabia 😭😭
Dogo mwimbaj anajuaaa sait nzur pia, ila teacher mgen umeua sana movie hiii
Baba Joan congratulations. Napenda sana filamu zako
Mwl mgeni, hii ipo next level
@metrine angacha baba Joan nime jifusa kitu kutoka kwako,😢😢❤❤
Hongera sana, kazi nzuri kiukweli
Binge Moja la movie,, hongereni
Thank u guys much 💓 from 🇺🇬
Naitwa Slavian Chiduo kutoka Morogoro hii movie mmejitahidi sana.
Asante Sana jamani, historia hii imenipa uchunge Sana, maana nimeisha hali hii kazini mwangu myaka mingi, mwenziwe kukuchukia bure bila hatia, wivutu. Mungu awabariki Sana.
Jamani mwalimu mgeni Ana teseka
Hakika mwalim mgeni Iko vizuri sana
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ baba Joan ww nirabo unakanzi zuri
More ❤❤❤ kwa mwalimu mgeni
Mm kama. mm. Kama Mimi mwalimu mgeni I
❤❤❤❤
that girl has very unique vocals
Mm napenda uyo mwalimu mgeni aki😢na pole kwakuonewa❤🇰🇪
Napenda saaana kazi yako baba joan mwl msitaalabu jaman tuwapateni basi , ❤❤❤❤ pia watoto wa kike tujifunze kitu kupitia feti maua yako kwa
Mr and m
Mrs john🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Wow I loved this movie its true this is what in life and God fights for us
Huo wimbo mwenyewe nani Jamani.
Kweli mwalimu watoto wanayesa kweli ❤
INAFUNDISHA, INALIZA NA KUFURAHISHA PIA
😂😂😂eti tumefeli wanafunzi kwa sababu za msingi mwalimu wa biology ndio chanzo ana neema za allah😂😂😂duuuh,mwalimu vicky nae kweli ana neema kajaliwa.
Kazi nzuri mumenikumbusha uigizaji wakanumba
can u imegn ndo nmeangalia leo daah baba joan ur the best 🎉🎉🎉❤❤ much lover
Move zako ni pendwa hakika zinaujumbe tosha Mungu akubariki❤️🙏
Hio nyimbo iliimbwa na nani.nimeipenda
Nilikuwepo papa hapa tarehe 12/5/2024
Karibu sana mwalimu mgeni❤❤❤
Hahaha😂😂😂ila magesa kakataliwa poa 2 shega weka dukan
Naitw peter kutoka zambia hakika nimeipend filam hii akika iko poah
Kaliii
Congratulations to Tz actors,the movie was full of teachings keep it up 👏👏👏🎉🎉am from Kenya ❤
Aiseeee yaani mambo yaliyooneshwa yapoo huwa yanatokea, yaani mmeo esha uhalisia wa hali katika jamii
Hi baba Joan napenda sana michezo yako yakuigiza sababu ina mafunzo mema ndani yake, jamani tusichukiane kwenye kazi tushirikiane
❤❤❤❤😂😂😂😂Ongeren sana kazi nzuri kucheka nimecheka kuuzunka nimeuzunika napya nimejifunza
I think this is my best movie than ever
Iyo mbona yajiludiya na mbali 15 bado ❤❤❤❤❤❤❤❤
ILove this film ❤ God bless you
Waiting for season 2 from 🇰🇪
Mbona ndo iko hivyo ATA kwetu maofisini shida
❤ yamo kwenye jamii
Sending love all the way from Kenya
Dah! Inamafunzo sana sana hizi ndio picha tunataka
Hii filam nimeipenda ahsanten xana
Patronize unajua ad basi❤
HONGERA SANA NI KAZI NZURI SAANA SANASANAAA BUT (HII MOVIE BAADO HAIJAISHA BABAJOANI. NAOMBA MOVIE IENDDELEE COZ KUNA MATUKIO MENGI BADO TUNARATAJIA KUYAONA)🎉
For students to get what you teach them make sure they're happy😊
Mwalimu mgeni pongezi sana
Hongera sana mwl mgeni
Daah, hii movie imeniliza sana. Hongera kwa kazi nzuri.
Baba Joan uko sawa subscriber mpya huyu apa tutaendelea kukusuport bro
Very great film I have liked it , Nicodemus Nzeka watching from kitui kenya
Namie naipenda
Hawa wanafunzi wanafanya kelele mingi sana, waweza punguza hio kwa editing
Duniani Kuna mambo
The best I have watched great job I love it