Kelvin mimi ni mr~by mwana mpire mimi ni mwana music kutoka kongo Kelvin kazi munajuwa sana Ila naweza kuhongeleya fasimoja kwenye filamu zako munajihima sana kula Nami munisapoti ndugu yangu
Daaah nimeipenda sana na nimejifunza, ingekua Mimi ile laana ya mama ingenipata maana Mimi Sina unyenyekevu huo hongera sana. High capacity of think movie kali kinoma imejaa hisia kali. Vp kuhusu Vick.
Cjawah kuelewaa bongo movie lakn ww kaka movie zako nazipenda zina mafunzo sana an nakupenda sana sana sana sanaaaaa aniiii❤❤❤ una kitu utafika mbalii❤
Napenda sana filamu zako.. Zina mafunzo mengi sana... Sehemu ya Tano . Tafadhali ... Someone like my comment I need to come back again... For this.. much love from Kenya.. 🥰🔥💕🙏🙏
Mubarikiwe kwa filamu hizi nzuri. Napenda vitu viwili: 1. Kuficha tendo la ndoa. 2. Kutoa mashauri baada ya Filamu. Mubarikiwe nyote Mr Kevin na gundi lote.
Kelvin hongera kwako kwa mafunzo, love yourself enough to let go anything or anyone who ruins your happiness, never let anyone make u feel unworthy,much love from Kenya 💖💖💖
Congratulations 🎉🎉🎉🎉🎉 kaka kelvin i love you ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️ nakupenda sana 😂😂😂oh my goodness hapo kwa shwali nimependa sana 😂😂😂😂😂😂😂 kelvin hauna haraka na bodaboda wa mkewako nakupendea hapo hauna mbambamba mungu akubariki 🤝🤝 kelvin ♥️❤️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️ siku hizi kazi zamwarabu hazinyiki kwa movie zenu nzuri nzuri from 🇰🇪 Asante 💐💐💐💐💐
Napenda sana maamuzi ya kelvin kwani yupo sahihi na filamu zake ❤ ukiona ako sahihi piga like apo chini
A 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤
Weeee
Ola napendenzwa sana na ujasiri wake jameni kelvin,😅🙏💖💝💝💝,,,umesimama kwa upande wa wanaume banah wote mngesimama kama kelvin tungekuwa sharti kabisa
😅😅😅😅😅😅😅
Kelvin mimi ni mr~by mwana mpire mimi ni mwana music kutoka kongo Kelvin kazi munajuwa sana Ila naweza kuhongeleya fasimoja kwenye filamu zako munajihima sana kula Nami munisapoti ndugu yangu
Unafunza wengi maana wapo wanawake wenye tabia izo so wenyeakili wataacha tabia mbaya kamaiyo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤ thanks kaka kelvin
😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉😊
Wakwanza naombeni likes ata kumi good job mr kelvin ❤
🎉🎉🎉🎉😂😂😂
Kaka kelvin kazi yaki ni njema upewe maua yako lakin sehemu ya tano isichelewe plzzz nawapenda sanaa
(◍•ᴗ•◍)❤
Ok
Kaka yangu Kelvin tusumikumiye five partie
Wow nice advice,, usi force mapenzi kwa mtu mwenye hakupendi mwishowe utajut,, watching you from 254🇰🇪 nice work guys
Kama unamupenda mr klevin mupe mua 🎉🎉❤yake ametisha kinomanona😅
Andika vizuli
❤🎉
Kelvin I love you so much
Umalaya ndo mingi dada
❤❤
DONTA 🔥🔥💪 Nyie washkaj mnajua sana, na tunawaomba msilewe sifa mzidi kutupatia vitu kama hivi
♥️ parabéns meu kerido Kelvin força pra sempre deus te abençoe sempre 💪🥰❤️ .por favor estou esperando parti 05 não demore muito ❤💋🙏😘♥️🥰💪💪🥰
Daaah nimeipenda sana na nimejifunza, ingekua Mimi ile laana ya mama ingenipata maana Mimi Sina unyenyekevu huo hongera sana. High capacity of think movie kali kinoma imejaa hisia kali. Vp kuhusu Vick.
Jaman Vicky
😂😂😂na ingekupata kweli wewe
MashaAllah Kelvin uko vizuri kaka wangapi tulikuwa tunaisubiri mwanamke mnafki sana wapo wengi kama hawa
Mungu huyu jamn
Wanawake hatuna huruma
Kabisa na ndio wengi 🥺
Na ukweli Kwa hayo mafunzo ya mwisho Yana mawaidha kiukweli ya kwamba mwanamke au mwanamke akiamua kuondoka muache akaende
Cjawah kuelewaa bongo movie lakn ww kaka movie zako nazipenda zina mafunzo sana an nakupenda sana sana sana sanaaaaa aniiii❤❤❤ una kitu utafika mbalii❤
Napenda sana filamu zako.. Zina mafunzo mengi sana... Sehemu ya Tano . Tafadhali ... Someone like my comment I need to come back again... For this.. much love from Kenya.. 🥰🔥💕🙏🙏
Xawa ndomaixha haya
Nimeipenda sana kaka
Hakika utafika mbali kijana ongeza juhudi ktk kuelimisha jamii ❤❤❤
My brother Kaz nzur sana nimekupenda bure broh good blessed❤❤❤❤
Nmefika kutoka Kenya! Nipeeni likes zangu
Mubarikiwe kwa filamu hizi nzuri. Napenda vitu viwili:
1. Kuficha tendo la ndoa.
2. Kutoa mashauri baada ya Filamu.
Mubarikiwe nyote Mr Kevin na gundi lote.
Kaka hapa umefunika sana daaaaah hongera sana kelvin kwa kazi nzuri ulipo nipo mungu awatie nguvu zaidi muweze kufika mbali na kazi yako 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
kasi nzuri bro napenda sana movie sako bro😂😂
Yaan daaaah had unaenjoy na move za kelvin
❤❤❤❤
Kelvin hongera kwako kwa mafunzo, love yourself enough to let go anything or anyone who ruins your happiness, never let anyone make u feel unworthy,much love from Kenya 💖💖💖
Ahsante kaka kev unatufngua sana akili zetu mungu akibariki ishi miaka 💯
Wau this is how we lose our lovely houseband.
From Kenya congratulations bro kevo🎉
Waiting another episode next
Umejua kunifulahisha mungu awabariki sana katika kazi zenu
Safii sana...Maamuzi ya Kibusara Sana...Ameingiliana kwenye 18 Mzinzi Asiyejielewa ...Haya Mama njoo umsupport tena kwa Uovu wake...Shenzi type
Anayeona uyu kaka anafanana na kp like jaman
Kabisa mim kipindi sijawatofautisha nilijua ni mtu mmoja kumbe kevn na kp ila kaz zao nazikubali sana
You are doing a great work Kelvin.... Congratulations🎉🎊🎉🎊🎉🎊🎉🎉🎉
Movie nzur sana Kelvin ❤️, nakupa pongezi
😂😂😂😂😂😂what was the work of the knife 😢😢😢 so enjoyable keep it khan we love u so much daah!!!!😂😂😂
Peeling 😂😂😂
Was waiting for this part much love from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Filamu zake zote zinatesa walai,,wacha tumshow mapenzi❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Congratulations 🎉🎉🎉🎉🎉 kaka kelvin i love you ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️ nakupenda sana 😂😂😂oh my goodness hapo kwa shwali nimependa sana 😂😂😂😂😂😂😂 kelvin hauna haraka na bodaboda wa mkewako nakupendea hapo hauna mbambamba mungu akubariki 🤝🤝 kelvin ♥️❤️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️ siku hizi kazi zamwarabu hazinyiki kwa movie zenu nzuri nzuri from 🇰🇪 Asante 💐💐💐💐💐
L
Lll
Natoka 🇰🇪 shukran sana kaka unatoa elimu bure kabisa
Dhaaaaa,nashindwa la kusema.acha tu Mungu Akupe myaka mingi sana we kijana mzuri kicwa chako kina mengi mazuri
😂h
Kelvin my best actress nakupenda bure♥️♥️🥰🥰from Nairobi kenya
Part5 waiting.......so impressive 💝💝💝
😅
Waaauh your films are so interesting it have a lot of encouragement I always enjoy be blessed whenever you are thank you
Kelvin sipendi kukosa kuangalia movie zako maana zikona mafunzo sana Kwa wakati huu ninayo yapitia ni sawa na haya kabisa ❤❤❤❤ asati sana ❣️#kenya
Reality they are so good and interesting teaching alot
@@alicemutinda9754 that's true
Big up sana brother
Goood brother ❤💖❤🔥
😮
❤❤❤❤🎉🎉 wazazi wetu wanapenda sana kuchagulia watu wanaume au mke sasa hapa ndo tunajifuza kitu kwakwel hongera kaka kev
Good job 👌👌 bro.keep it up.💞💞💞 Kama unamkubali bro gonga like Apo💕💝💝💝💘💗💖💞💓🥀🥀
Good job l ❤❤❤all of your na napenda sana maneno yamisho aliyoyasema Mr kelvin yanenifanya niwe mjaja katika life angu so thanks Mr kelvin
Mungu akubaliki sanaaa Kelvin kwa kazii nzurii tunasubulii sehemuu ya tanoo mambooo ni 🔥🔥🔥
Nic isan
Kwel mungu amubariki sana kev tunapata somo la kweriii
Ndo mnaanza ama mumumaliza😂😂😂...love you so much kelvin
Tafathali sehemu ya 5 naomba isichelewe Khan. Mapongezi yangu yapo moyo si lazima nianike hapa😢. Naingoja part 5. La ziada sina!
Kabisaaaa,, part 5 faster, faster,,
nakupenda sana khelven napenda sana move
Asichereweshe jaman
Muwanamke malaya kweli
Muana mke Malaya kweri kervin aca mbizi mushenzi
Ahsante Kelvin ukovizri na Mungu akuba rikina hicho kipaji chako❤❤
CONGRATULATIONS MY BROTHER KELVIN ♥♥♥🌺❤❤💖🍑🌸 KWA KAZI NZURI SANA💖💖💖💖💖
Wooow what amazing advice ,I have learned something new today
You are not just handsome but very intelligent, much love from Kenya💖💖
Hahaha
Kweli kabisa
Achan na mkeo Malay broo
Kabisa watching from Mombasa kenya
Huyu bibi Malaya tu...pia huku inje wanafanya hivyo vivyo tu
Kwahyo mm ni wa laki na ushehe🤓🤓🤓
Haki mama akiingilia doa ya mwanawe hivi si ataweza jinyonga,, wazazi acheni kuingilia ndoa za wanao watakaliwa Sana na wake zao😭😭😭
Mm kaniuzi uyu Mama 🙂
@@rahimaaaaa5682 haki huyu mama MTU anajiskia kumchapa mafibo,, haki anaishi kabisaaaa,,mama fake, watching from Kenya,,,
Huyu mamah kanikeraa Sana nahc Kama vle ni kweli
Jamani Huwa so poa ata kidogo
Zuri braza.....wanaume funzo kwenu
Watching from Saudi Arabia so lovely 🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂
Movie taamuuu ila ni fupi natamani niendelee guhangalia Asante sana kka yangu khelvin kwa kaz nzuri inamafunzo kwa kwel ❤❤❤
movie ninzur sana my brother kelvin❤ mungu makubaliki kazi ya mikono yako kaka
👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻 kelvin and all actors
Kaka nashukur kwnza umefanya nmejifunza k2 kimoja kwko ❤❤❤❤endelea n uo moyo uko. Nayo may God bless you
💓💓💓🔥🔥mbn fupi kelvin Nimekuwa wakwanza Leo naomba like zngu
Much ❤❤,Mr Kelvin unanfundisha mengi Sanaa brooo
Hongera sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 much love 💞 from Saudi Arabia nasubiri sehemu ya Tano
Hongera xna muvi zako nzur kweli
Kabisaa kumbe team strong tuko hapa 😂😂 hongera Kevin 🎉🎉🎉
Team strong oyaaa 😂
Wow,, Kula vizuri nenepa,lala usingizi wa kusinzia,,vaa vizuri watashangaa,mm hapa
That's true brother kelvin thanks so much. Am watching from Ugandan ❤️😀
Finally is out. Nilikuwa naingoja Sasa sasa l love it 😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤
Nimeipenda sana dastardly ALLAH amekupea kipaji tupee elimu kadri ya uwezo wako ....... I LOVE U ❤️
Nimeipenda bro kelvin wasichana km hao tunaokwetu jamni unaweza
Waaa mafunzo mazuri sana nawapenda ❤❤❤sana kwa kutupea mafundisho mazuri
Good work naona kelvin umeamua kupindua meza kibabe , hongera sana
Muendelezo jmn 😊😊😊😊Much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Kelvin kaz nzur xna
Good job like it
Mm nimeipenda iyo
Very true Kelvin,, muache aede, baadaye ataweza Tu kukutoa uhai abaki na wengine,, kweli mapenzi huwezi yalazimisha😓😓
Unromantic kaka uko poa na muvi zako zina mafunzo tena sana endelea tu kutupa vitu va msingi ausio
Asante saaaana kwa ushauli yani umenifaliji wala sitarudi kilazimisha mutu mapenzi ,nashukuru sana kwa ilo ,mungu akubariki
Wawoo kazi nzuli kweli umecheza vizuli kelvin❤❤❤ funzo nzuli
Haki nayipenda sana bt wanachelea kuitoa yote naomba pt .9 naiomba hadi mwisho nitaisubiri ikitoka munirushie nakukubari kelvn 🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤
Maneno mazuri kweli .Kelvin Mungu akubariki uendelee na kazi nzuri.
Pole Kevin mmmmmmm'jamañi
Nikutakie ndoa kwawakati mwingine Kevin ññ mama ww sio kwa mwanao jamani mmmmmm'kevi ww Ni jasiri kweli ila pole Sana kijaña wg"
Movie full of wisdom and educative to society...big up kelvin 🎉❤ from N.Sudan 🇸🇩 🫶
Nmekuwa wa kwanza naomba like zangu❤
Sina mengi, kevin good job 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 keep it up and be blessed ❤❤❤❤❤
Movie tamu sana nakupenda kelvin ❤
Good job Mr kelvin
Salute kazi safi sana Huwa najifunza mengi kutokana na maongezi yako good advice may God bless you abundantly
Kelvin huyo tunakupenda kwel yaani wewe unatufundisha kbsa ❤❤❤❤❤❤❤❤
Sehem ya tano Khan unaekimisha Jamii asante mungu
NawapendA keip nazebuuu❤
jaman kevn kaz zko nzur kwer🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Barikiwa sana kaka Kelvin kwani video zako Zina mafunzo mazuri sana, part 5 tafadhali naingoja Kwa hamu sana
Kazi nzuri kaka yangu kelvin khan , utu na nidhamu kwa mke ndiyo kitu cha kwanza kuzingatia kabla kuingia kwenye ndoa
Great lesson part 5 nimeisubir kw hamu n gham❤❤
Nakubali sana mr kelvin good job and god bless more and more ❤
Kelvin eagerly waiting for part 5 pple should learn a lesson
Ushauri wako mzuri xana kaka Kelvin
Wow!amazing,pia funzo lako ni la kweli kaka limeniguza asante🙏🙏❤
Kelvin!
Umeniongelesha kwa roho sio kwa maskio tu 😢
So painful to let it go
Kelviiin hatali❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
MashaaAllah kervin wise words bila shaka ni tuko darasani Allah awazidishie na elimu tufaidike sote inshaaAllah ❤
Good job my favourite kelvin ❤❤❤
was waiting for this but God has done it , part 5 icome haraka pliiiz much love❤❤❤
Kumbe lkuw Napitwa,, Kelvin Unajua bhnaaa🔥🔥🔥
Finally is out....nilikuwa naingoja sana
Walete next
Nakumbaliana nawe doc Kelvin khan hayo maneno yako na mafunzo zaidi shukran
Great lesson,part 5 plz ❤❤
🎉🎉🎉wee ni wazimu juu wa zimu aki naipenda hii movie
Daaa asanteee Kevin kwakaz nzuriii najifunza saanaa Toka kwakoo♥️♥️🔥🔥
tuwe maki mama wasichagurie watoto wao wake hii kaka habari ngumu Asante kwaujumbe huu barraaa
Congratulations Kevin ❤, next plz 👏
Umenifanya nijue thamani yangu kelvin filam yako imenifundisha kitu asante my brother ❤
part5 hisichelewe kazi nzuri mwenhe hakili hapa hanapata hilimu tena sana ❤❤🇲🇿
Hili fundisho lamwisho limepenya mpaka kwa ubongo❤❤❤❤❤dk kv
Nimee baatika kuwa wa kwnza jmn naomben iyo mvuu ya like km kwl mmelikubali iku movie
E
😂😂 sijaelewa kasemaje
@@AndrewSesi uwez kuelewa yote mana mm co mswahil sana🤣🤣🤣
Daaaaaa jamani
@@NeemaSwai-fe2pb 😂😂😂
Excellent advice sir.
Watching from USA ( Kenyan)