MWANZO MWISHO KUKAMATWA KWA MATOLA..KUMBE ILIKUWA HIVI SIO HIVYO ULIVYOSIKIA..ILA WABONGO DAAH

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 24 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 82

  • @MartinDismas-ou5oy
    @MartinDismas-ou5oy 3 дні тому +7

    Pamba Ssc. Washindwe kwa Nguvu za MWENYEZI MUNGU.SSC NGUVU MOJA.❤❤

  • @CristinLyanga
    @CristinLyanga 3 дні тому +7

    Kama ni kweli ,mkuu wa mkoa unaleta usiasa kwenye mpira,tunaomba rais aingilie kati na mkuu wa mkoa achunguzwe,vinginevyo wana ubaya ubwela tutaandamana.

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 3 дні тому +4

    JP Magufuli enzi zake sasa hivi tunajina la mkuu wa mkoa mpya kbsa . Sio kwa madudu hayo aliyofanya huyu paka 😅😅😅

  • @yuzoooyuso583
    @yuzoooyuso583 3 дні тому +5

    Achague Moja sisa au michezo .kifupi huyo hatoshi kua kiongozi atafute shughuli zakufanya

  • @mckobatz5861
    @mckobatz5861 3 дні тому +3

    Ogopa sana wanasiasa haswa wa nchi hii mtu anaibishia mpaka technology kudadadeki watu wamekuwa captured kwenye video clip manager na coach matola halafu ye anasema hii habari imelenga kumtambulisha yeye vingine ni uongo tu 😂😂😂

  • @SilasJacob-z6v
    @SilasJacob-z6v 3 дні тому +4

    Kama ulicheza mziki mbele ya tripoli kwao utaogopa kucheza mziki mwanza kwetu kabsa

  • @martinsokoi397
    @martinsokoi397 3 дні тому

    Na mshindwe kwa jina la yesu na uongo wenu.

  • @sirzicco
    @sirzicco 3 дні тому

    Bonyeza KENGERE

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 3 дні тому +3

    HUYO MKUU WA MKOA HAFAI KUWA KIONGOZI
    AACHE USHAMBA WAKE

  • @frankjonas7704
    @frankjonas7704 2 дні тому

    Mkuu wa mkoa ndiye aliyesababisha yote hayo Police ukiwaambia kuna vurugu sehemu wakienda ni kwenda kuzingua mkuu wa mkoa amezingua sana

  • @Rihannaboniphace
    @Rihannaboniphace 3 дні тому +3

    Tambua neno sasa mm ndiye mwenyekiti wa kamati ya usalama,, so amepanic katika matamshi yake anatumia neno mamlaka yake kosa kubwa kisheria atimuliw

    • @frankjonas7704
      @frankjonas7704 2 дні тому

      Yaani maana yake aaminiwe hata kama anaongea uongo yaani hakutaka mwandishi aendelee kumchimba saana

  • @StephanoGumbo-k8b
    @StephanoGumbo-k8b 3 дні тому +2

    Mtu wa siasa abaki kwenye siasa na wampira abaki kwenye mpira tu

  • @IssaMohamed-mp4hj
    @IssaMohamed-mp4hj 3 дні тому +1

    Wewe mkuu ni wa kutumbuliwa autufai

  • @sallyeliya5213
    @sallyeliya5213 3 дні тому

    Huyo mtoa ripoti wa Simba ajitathimini kwakua alichoongea na alichoongea RC nitofauti sana,au kweli pamba wamevuruga kampango kenu ka UCHAWI viwanjani😂😂😂

  • @tsitingilembombo9995
    @tsitingilembombo9995 3 дні тому +1

    Hivi VYEO VYA WAKUU WA MKOA NA WAKUU WA WILAYA NI VYEO VYA AJABU AJABU. VINGEFUTWA, HAWA WATU HAWANA KAZI MAALUM ZA KUFANYA, NDIO MAANA WANAFANYA VITUKO

  • @evansthobias6460
    @evansthobias6460 3 дні тому

    Huyu mkuu wa mkoa hana kazi zingene kazi kuihujumu tu simba

  • @samuelmwaipopo1302
    @samuelmwaipopo1302 3 дні тому

    Watuhachie mpira wetu. Wabaki kwenye siasa zao. Kuna viongozi hawaonekani kwenye kujenga ila unawakuta sehemu kama hizi za madhira na uovu uovu ndio hurka zao.

  • @FrankEnock-q4q
    @FrankEnock-q4q 3 дні тому +1

    Mkuu wa mkoa anakuwa na akili za mbuzi

  • @DavidPamba-jx5io
    @DavidPamba-jx5io 3 дні тому

    Mkuu wa mkoa ndiye aliyewasaidia ila bado ndiye munamtuhumu binadamu bhana

  • @SilasJacob-z6v
    @SilasJacob-z6v 3 дні тому +1

    Mimi ambacho sikiamini kwenye hivyo vyeo nipale mkuu wamkoa hana elim ya upolice af anaenda kuwasimamia police afanye kazi nao lkn pia mara nyingi hawa ni wastaafu wa kada fulani why?????

  • @Josephtibu-l9e
    @Josephtibu-l9e 3 дні тому

    PAMBA HAWANA UWEZO WAKUMZUIA MNYAMA

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 3 дні тому +1

    HAWA NDIO WANAMUHARIBIA MAMA SAMIA KWA WANANCHI .

  • @VIVIANEMAKOTO-rl8lt
    @VIVIANEMAKOTO-rl8lt 3 дні тому

    Defender ya in pale
    Matola inapakiwa huko
    Kama habari ambaye mkuu wa mkoa anaongea pumbavu

  • @johnntabagi9726
    @johnntabagi9726 3 дні тому +1

    Huyu mkuu wa mkoa ovyosana

  • @evansthobias6460
    @evansthobias6460 3 дні тому

    Rc wa michongo huyo achana na hiyo kazi uje uwe msemaji wa simba maana unakitamani kiti cha Ahmed ali

  • @barakamusapolekidoti957
    @barakamusapolekidoti957 3 дні тому +2

    Mkuu wa mkoa mshamba

  • @LeganNtambi
    @LeganNtambi 3 дні тому +4

    Acha kupotosha watu ww uongozi wa simba una ushahidi wote clip zipo na huo mlango wa kioo uliovunjwa utaulipa mwenyw

    • @MeshackManoja
      @MeshackManoja 3 дні тому

      Kenge kweli wewe fujo wafanye pamba alipe Simba tumia akili

  • @kelvinmsyani3913
    @kelvinmsyani3913 3 дні тому

    kwa mtazamo wangu simba tusisumbuke kwa pamba kama tupepigiwa figisu uarabuni . na kutoboa hawatoboi pamba ni nani

  • @goodluckjohnuiso-gt1fg
    @goodluckjohnuiso-gt1fg 3 дні тому

    Hiui huyu mtanda ndio yule alimsaidia yule mbakaji bado ni m/kiti wa ulinzi na usalama???😢😢😢😢

  • @martinsokoi397
    @martinsokoi397 3 дні тому

    Ila bundiki hakujibu ni za nini???😂😂😂 Wewe ni shabiki wa yanga. Mtandaaa

  • @salehmohammedsaleh4150
    @salehmohammedsaleh4150 3 дні тому

    Hapo umechezea ugari mkuu

  • @salimsmilton
    @salimsmilton 3 дні тому

    RC mtanda hufai kuwa mkuu wa mkoa

  • @Khaleed5767
    @Khaleed5767 3 дні тому +3

    POPOTE ALIPO HUYU MTANDA.. MWAMBIENI NA MFIKISHIENI SALAMU KUWA SIMBA SC NI TIMU KUBWA NA TAASISI KUBWA.. YEYE KUWA MKUU WA MKOA NA MSHABIKI WA NYUMA YAO KUNA MWIKO HAINA MAANA KABISA KUTAKA KUITHOOFISHA SIMBA SC.. SIMBA NI KUBWA SANA

    • @MeshackManoja
      @MeshackManoja 3 дні тому +1

      Simba ni Taifa kubwa asisahau ilo

    • @SalumMusa-f5l
      @SalumMusa-f5l 3 дні тому

      ​@@MeshackManojaSimba taifa kubwa wapi mmebinya kidogo mnalia Lia nyinyi SI mlianzisha figisu Azam comples yanga inatumia sindano za kuongeza nguvu mkamtumia yule tahira jemedar hamkujua ss tuna watu nchi ihi mpaka wizara za ndani sasa uo mwanzo tu kubwa laja hapa ubaya kwetu ubwege😂😂

  • @jaffarmagawa3245
    @jaffarmagawa3245 3 дні тому

    Mbona meneja wa Simba alionekana ndan ya defenda

  • @raufuuledi8098
    @raufuuledi8098 3 дні тому +1

    Inasemekana ndo nn? huna uhakika usitoe taarifa ya jambo usilolijua

  • @salymkitumbika8644
    @salymkitumbika8644 3 дні тому +3

    INAKERA kuona mtumzima muongo kiasihiki anabishia hadi video kinamatola wanapanda defender unasema hawajasumbuliwa shame on you

  • @MauBonde
    @MauBonde 3 дні тому

    Porojo tuu hivi kama timu haimini ushirikina kwa nini hiyo timu inamini hayo mambo.basi linarudi kinyume kinyumenyume😂😂😂

  • @AbisinaRashidi-c8d
    @AbisinaRashidi-c8d 3 дні тому

    Liongo hilo limkuu wa mkoa wew ni mhujumu wew ni mlezi wa pamba na ni shabiki wa nyuma mwiko sio vijana ni waganga wa pamba huna lolote

  • @HappyEel-wg4qx
    @HappyEel-wg4qx 3 дні тому

    Acheni uchawi makoro

  • @maulidmango1087
    @maulidmango1087 3 дні тому +2

    Ina mana hapo mjini hakuna mkuu wa wilaya mpaka aje mkuu wa mkoa?
    Kwa nini upigiwe wewe cm?

  • @gabrielrobert8677
    @gabrielrobert8677 3 дні тому +1

    Mheshimiwa mkuu wa mkoa video tumeziona acha kupotosha

    • @marcokaroje8980
      @marcokaroje8980 3 дні тому

      Utamnya nini uliye na ukweli wa tukio zima wewe ni mlinzi wa uwanja?

  • @kassimntara6901
    @kassimntara6901 3 дні тому

    Mtaka unajiumauma sana kama Simba ndio waliwafungia hao vijana iweje Simba hao hao wavunje mlango na hayo madirisha?

  • @mikidadmhando2504
    @mikidadmhando2504 3 дні тому

    Hatupendi sauti pekee, twataka clip ya tukio zima na mkuu wa mkoa , kwenye michezo karandinga la Nini? Na kumtaja Ahmed Ally na kumtunishia msuli wamtishia kwa cheo au unamuonea wivu?

  • @AmosiPeter-z3g
    @AmosiPeter-z3g 3 дні тому +1

    Usijitetee ww mkuu. Wamkuo hunahekima wewe acha ujinga

  • @gerioathumani9084
    @gerioathumani9084 3 дні тому

    Hii vita sasa wana yanga na ss itapidi tupambane nayo hawa wasio na akiri washaanza kuleta utimu kwa viongozi wakitaifa sasa na ss tunaanza na mawazili wawi ambao sekta zao zinagusa mpaka mwenye timu yetu hii vita ikianza ss tutaimaliza

  • @salehmohammedsaleh4150
    @salehmohammedsaleh4150 3 дні тому

    Hv kila unapo agza askari huwa unaenda nao

  • @jacksonbiswalo8360
    @jacksonbiswalo8360 3 дні тому +1

    Kwahiyo wewe Mkuu wa mkoa unajua taratibu za kudilli na uharifu kuliko Askari polisi waliosomea kazi yao?kwamba wangeenda askari peke yao ulihofia wangeweza kufanya vitendo tofauti na ulivyo waagiza ina maanaisha huna imani na weredi wa jeshi la polisi ktk Mkoa wako sio?Naomba tusiharibu sifa njema ya michezo ktk taifa letu lenye sifa njema kimataifa 🙏🙏🙏🇹🇿

  • @annajohn2488
    @annajohn2488 3 дні тому

    Uyu nae hajuagi kujieleza

  • @FaidhaJumanne
    @FaidhaJumanne 3 дні тому

    Tatizo makoro wanalialia nackudeka kama watoto wanaolelewa na bibi zao.Acheni kulialia jezeni mpira acheni kujilizaliza hapa p

  • @yuzoooyuso583
    @yuzoooyuso583 3 дні тому +1

    Ukivuliwa kofia ya RC je ulifika kama nani?acha uyanga wako

  • @neemamasimba2981
    @neemamasimba2981 3 дні тому

    Tunamshangaa huyo mkuu wa mkoa pamoja na meneja wa kiwanja , wachukuliwe hatua ,kwanini wanaiandama simba??? Kwanini wanasiasa wanaingilia mpira ???

  • @SimoniMbamba
    @SimoniMbamba 3 дні тому +1

    Mmmmmmh

  • @PeterKadawi
    @PeterKadawi 3 дні тому +1

    Asa kama wamefungiwa alafu haohao wafungaji wa milango wabomoe milango inakuwaje hapo mbona haeleweki anachokiongea huyu

    • @taseleli9181
      @taseleli9181 3 дні тому

      Ndo kujichanganya huko😂😂😂😂😂

    • @PeterKadawi
      @PeterKadawi 3 дні тому

      @taseleli9181 hapo sasa shida wanataka kuingiza siasa hadi kwenye michezo

  • @MussaRqjqbu
    @MussaRqjqbu 3 дні тому

    Mwenyekiti gani wewe kalinda ngogwe wenzako hongongo ww

  • @AljuhaniAllyy-dg4ld
    @AljuhaniAllyy-dg4ld 3 дні тому

    Wewe abasi unazingua mwanzo umeulizwa vp kuhusu tukio hilo ukizingatia hali ya kuwa wachezaji wameshuhudia hilo tukio hawawezi kuwatoa wachezaji wenu mchezoni? ukajibu hapana tukio la kawaida sana sisi tunakutana na mambo mazito sana hili hata robo yake halifiki, ukaulizwa tena vp kuhusu maandalizi juu ya mchezo huo unaonaje ukajibu nchezo ni mgumu kwasababu dalili ya mvua ni mawingu, tumeona wameanza kutuletea vurugu kwahiyo mech ni ngumu, sasa kwa maelezo hayo tukuelewe vp abasi?, halafu halafu pamba jiji ni ya gsm si umemuona msemaji wao amevaa tshart ya GSM.

  • @allymsheri3691
    @allymsheri3691 3 дні тому +1

    Gsm ataaachia lini hizi timu ?

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 3 дні тому +1

    Amesikia nani kwani ushahidi wa video si upo mbona mnatafuta kiki nyie

  • @eugenvem1818
    @eugenvem1818 3 дні тому +1

    Wewe ulikua nje ulikuwa unashaidi gani kwamba vioo vilivnjwa?...na kama utaratibu hatakiwi kuwa mtu mwngne zaid ya tim inayofanya mazoezi?walienda kufanya nini? Ukorofi huo

  • @LucasRuben-x1t
    @LucasRuben-x1t 3 дні тому

    Imekutambulisha inamana unajijua hutambuliki ila simba ikutambulishe kweli wewe mbumbumbu hayo mambo magufuli alimkataliaga askar magereza alilopoka kama wewe kuwa amemuhesimisha kumuhoji nch inaviongoz matahira hii hatar

  • @martinsokoi397
    @martinsokoi397 3 дні тому

    Hata mkitunyima hatutegemei kura zenu kuingia madarakani.mjue nida yako tunayo. Ccm yangu.

  • @ErickyKatunzi
    @ErickyKatunzi 3 дні тому

    Huyu naye nimyanga yanga ambaye yupo simba.

  • @barakamagoti8653
    @barakamagoti8653 3 дні тому

    KWANI WALINZI WA SIMBA KAZI YAKE NI KUJERUHI???
    UNAFIKIRI UMEFANYA JAMBO JEMA KAMA ULIENDA KUOKOA RAIA KWANINI ULIKAA NJE MUDA WOTE BILA KUWAOKOA MBAKA MAZOEZI YAKAISHA??? HUO NDIYO UOKOAJI AU UNALETA SIASA TU??

  • @EmanuelMwambu
    @EmanuelMwambu 3 дні тому

    Acha siasa wewe

  • @molenicharles9107
    @molenicharles9107 3 дні тому

    🐕🐕🐈🐈🐕‍🦺🐕‍🦺🐕🐕

  • @Ibrahmagesa_tz
    @Ibrahmagesa_tz 3 дні тому

    Simba wa senge wanaweka taharuki ili iweje viongozi wa hivyo Sana wa Simba kupotosha umma

    • @taseleli9181
      @taseleli9181 3 дні тому +1

      Mtu asie na busara utamjua tu namna anavyoandika bila matusi haoni kama amefikisha ujumbe hizi ni tabia za mautopolooooooo

  • @mawazochaula3642
    @mawazochaula3642 3 дні тому

    Mkuu wa mkoa anajichanganya, Chanzo why Vijana wawe kule ndani na huenda walikua wanarekodi.
    pia issue za michezo haziingiliwi na police na mahakama why useme atapelekwa mahakamani?