SWAUMU NGUMU FULL MOVIE )

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 192

  • @IddyMohamedi-w7i
    @IddyMohamedi-w7i 4 місяці тому +38

    Top Five 5 Movie Kali Za Chado Master Kama Hamjaziona Mkaangalie 1.Mission Impossible
    2.Problem
    3.Swaumu ngumu
    4.Mtegoni
    5.Na Hapa ipo

    • @SayunjKalinga
      @SayunjKalinga 3 місяці тому +1

      Nishaziangaliaa ztee yaaani Kali ilee mbaaya

    • @AgabaAsnath
      @AgabaAsnath 2 місяці тому

      Ni🔥🔥🔥

    • @IbrahimMkwama-m3n
      @IbrahimMkwama-m3n 2 місяці тому

      Chado mtu wa maana sana

    • @NabbiiWamungu
      @NabbiiWamungu 2 місяці тому

      Kuna ile account yake yakitambo movie zengine hazijamalizika s aziletee huku amalize hizo story😂😂mm ntka k watch movie zako zote

    • @SayunjKalinga
      @SayunjKalinga Місяць тому

      @@NabbiiWamungu Anzaa Na hzoo sio pouwaaah

  • @AminaHamisi-t9e
    @AminaHamisi-t9e 2 місяці тому +9

    Walio mkubal mganga mzee wa misumli gonga like hp

  • @ZainabuOmari-yk8fb
    @ZainabuOmari-yk8fb 3 місяці тому +11

    Mama ngwengwe nimekupenda bure❤❤

  • @JeanLunda-nv5fd
    @JeanLunda-nv5fd 10 днів тому +1

    Ni noma Sana nawa kubali Sana kutokea Congo 🇨🇩🇨🇩 chado masta 2025

  • @Magret-fi2gs
    @Magret-fi2gs 4 місяці тому +5

    Asante chado pamoja n timu yako hii movie inamafunzo hongereni nyote kwa ushirikiano wenu🌹🥰🥰❤️

  • @Naah-o2c
    @Naah-o2c 3 дні тому

    Bonge la movie
    Mama ngwengwe anajua, chado,mzee wa misumar na wengine ni hatar ogopa 🎉🎉🎉

  • @AmenaAmoon-t3v
    @AmenaAmoon-t3v Місяць тому +3

    Yani hii move ndefu kama yakiindi nimejitaidi sana kuichek mpaka nimemaliza yote nikwasababu inamahadili na inamafunzo mengi sana ongeren wote mlio shiliki kutuletea vitu vizuli ❤️❤️❤️❤️🎉🎉🎉🎉

  • @aishaomar9621
    @aishaomar9621 2 місяці тому +3

    Hongera sana mastar chado umetoa funzo kubwa maana hivi vitu hutokea😢 nwapenda mno 💋❤❤❤❤alafu wanaume mjifunze sana mchague wakuowa wengine mashetani 😢

  • @nasoromarua-xi5lz
    @nasoromarua-xi5lz 3 місяці тому +3

    Kaka we noma hii kitu hii kitu hii Kali kinoma yani mungu akulinge

  • @IddyMohamedi-w7i
    @IddyMohamedi-w7i 4 місяці тому +8

    Kama Hii movie mmeigiza kweny kipind cha Ramadan Hapo Kwa Mungu mnachochakujib lakin Kama mmeigiza Nje ya mwez wa Ramadan Hapo Sawaa Hii movie inae mafunzo chado hujawah kuniangusha master

  • @AfhamuHuggo
    @AfhamuHuggo 5 днів тому

    Powa Mr chado nimekukubal

  • @Dalexis-r1g
    @Dalexis-r1g Місяць тому

    Yaani vituko vya Chado vimefanya nimpende bure.....Mungu awalinde sana Chado gang much love for you guys❤❤

  • @mohamedemmanueli
    @mohamedemmanueli 3 місяці тому +3

    yani chado niki fanikiwa kufika Tanzania natamani nikuone unanipa raha sana Kaka yangu🌹🌹🌹🌹tuna subiri inayo fata💃💃💃💃💃

  • @KhairatSaateni
    @KhairatSaateni Місяць тому

    Nakupnd xn da hanifa unafistiri xn yaan kl movie zk umejistiri mashaallah 🥰

  • @SKELETON-m9e
    @SKELETON-m9e 4 місяці тому +4

    Chado kweny hii movie umenifurahisha sana maana umecheza ukatuni mwingi mno af m mwenyewe mpenzi wa comedy umetisha sana at tula man ntufe peleng'e mpeleng'e ingogo igwe izo👉🤜🤛

  • @FatrishaAyoub
    @FatrishaAyoub 29 днів тому

    Ally sitaki kucheka Mie 😂😂😂 nawapenda Sana chado mastar group 💋💋💋🙏🙏🙏🙏

  • @NYAMBISHANI
    @NYAMBISHANI 2 місяці тому +2

    😂😂😂😂jamani chado kakutana na moto mwanamke ana mdomo uyo kufulu😂😂❤❤❤kazi zuli kweli

  • @AnnoyedCircuitBoard-mp8vn
    @AnnoyedCircuitBoard-mp8vn 2 місяці тому

    Mashallah chado hii umetisha yan mumeicheza vizur nimewapenda bure mashallah

  • @PhilimonJoseph-t3v
    @PhilimonJoseph-t3v Місяць тому

    Kaka ongera kazi nzuri sanaa ongera embu mnaomkubali chado embu mu like tujuanee

  • @Naema-x7p
    @Naema-x7p 2 місяці тому

    Gozi 😂😂😂goz 😂😂😂gozi kaowe tu 😂😂😂kumbe kweli mwanaume akitaka kufanya kitu chake akosi vijisababu asanteni xna kwakutufungua masikio move nzuri xna ila chado ni comedy ww 😂😂😂😂mke wa pili afadhali wa kwanza kamwe chado kaz unayo 😂😂😂😂aliy dady nae na mchawi mwenzie mbona ubaya ubwela 😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤

  • @Naah-o2c
    @Naah-o2c 2 дні тому

    🤣🤣🤣🤣 chado utavunja watu mbavu kadem ka midambanguro nako kashakua kamke ka chado

  • @PhilimonJoseph-t3v
    @PhilimonJoseph-t3v Місяць тому

    Kaka move zako zote au kazizako zote usiwe unamuacha mr mdabanguro anafaa kwenye kazi zako make anaweka udabwiudabwi

  • @richardmaranga1633
    @richardmaranga1633 Місяць тому

    Gozi Leo umechoma,biashara ni ya familia mke nyumbani,kazini usijionyeshe

  • @شاميمشاميم-ر9ت
    @شاميمشاميم-ر9ت 2 місяці тому

    Chado kweli umeweza nakupenda tu sana kakangu mungu akubariki kwa kazi yako nzuri nasubiria ya kidem jau sasa 😂😂😂😂

  • @JasmineMdee-ln7iy
    @JasmineMdee-ln7iy 2 місяці тому

    Chado nakupenda bure we kaka kama ni kuigiza ty uko vzr 👍

  • @SheikaYussuf
    @SheikaYussuf 24 дні тому +1

    MOVI NZURI SANA MASHAALLAH❤

  • @AminaHamisi-t9e
    @AminaHamisi-t9e 2 місяці тому +3

    Hahahahahahaha🤣🤣 chado kayatimba

  • @RachealMaghanga
    @RachealMaghanga 16 днів тому

    Hii movie tamu mash Allah nimeipenda

  • @NajmaSaid-sb2lh
    @NajmaSaid-sb2lh Місяць тому +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣yani chado leo nimecheka sana leo yani missions impossible ndo imenifanya nitafute zengine uko vizuli chado

  • @AbeidRamadhan
    @AbeidRamadhan 2 місяці тому +2

    Hii movie nimeipenda kwasababu Ina maadili ya kutosha

  • @DaudabbasDaudabbas
    @DaudabbasDaudabbas 4 дні тому

    Nzul sana hii jamn

  • @AmaniRodah
    @AmaniRodah 3 місяці тому

    Majina y hizi movie daandika kwa tishat zangu Yani jina ziko poa❤❤❤

  • @NajmaSaid-sb2lh
    @NajmaSaid-sb2lh Місяць тому +1

    Yani chado nimecheka kwa kweli et tambi zangu 🤣🤣🤣🤣

  • @mohamedemmanueli
    @mohamedemmanueli 3 місяці тому +1

    Chado umetisha yani napenda movie zako zote♥️♥️♥️♥️🥰🥰🥰💋🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @AntonyDaniel-pr1vc
    @AntonyDaniel-pr1vc 2 місяці тому +7

    😂😂😂🎉 impossible inafanya tutafute izi movie 🎥 zingine

  • @PpPp-nv7gf
    @PpPp-nv7gf 18 днів тому

    Mzee wa misumari nyimbo gani hiyo😂😂😂

  • @PaulLazaro-vx2wf
    @PaulLazaro-vx2wf 4 місяці тому +1

    Chado mastar nakukubar sana anyama mwingi❤❤❤❤❤

  • @edbertyustack1598
    @edbertyustack1598 2 місяці тому +2

    Kutoa kipnde Cha kwanz mpk 60 na kuendelea sio kitu Cha mchezo uy jamaa n hatal sn

  • @mamuhussein-c4n
    @mamuhussein-c4n 3 місяці тому

    chado wewe kiboko kipande cha kuchambana chado umekicheza sana daah mungu akupe uzima chado

  • @RoseWakio-k4o
    @RoseWakio-k4o 2 місяці тому +1

    Chado hii umeweza😊😊😊

  • @EsterMallya-f3m
    @EsterMallya-f3m 2 місяці тому

    Daaa nimeipenda Sana inamafunzo mengi Sana asanten

  • @anizawasiche2457
    @anizawasiche2457 27 днів тому

    Weeeeh chado nifanyie oder ya mbavu zangu mbili, maana hazipo kwa vicheko😂😂😂😂😂

  • @MELVINBBY
    @MELVINBBY 3 місяці тому

    Hii movie inanichekesha sijawai kupata .vituko mob much love from 🇰🇪 😂😂😂😂😂

  • @KhaisamKaporo
    @KhaisamKaporo 2 місяці тому

    Onger San chad akik unachez vzr xan❤🌹🌺

  • @kontawaa
    @kontawaa 4 місяці тому +3

    Hapa chado alikuwa ustadh jamani😅😅😂

  • @GraceMchinji
    @GraceMchinji 8 днів тому

    I'm from malawian ila mumenichekecha Sana kwenye movie hiyi

  • @MohammedAlshamsi-x5j
    @MohammedAlshamsi-x5j 3 місяці тому +4

    Chado mpe sin mpya kidemu jau .. movie iwe kidemu jau mcharukoo na wew mkaka mmoja bishoo umepanga kwao😅😅 ni idea yangu tuu nawapenda mnoo

  • @Barakamalendaa
    @Barakamalendaa 28 днів тому

    Sana mnyama chado masta

  • @pahesalmakai6005
    @pahesalmakai6005 Місяць тому

    Hapa ndommecheza kwa mafunzo mlotupa jmni shukran sana

  • @IslamPeto-fd6wr
    @IslamPeto-fd6wr 4 місяці тому +1

    Ingelikua washikirika wanalipwa hapa hapa tukijionea wote ivi ingelikua raha sanaa

  • @IreneIsambi
    @IreneIsambi 4 місяці тому +33

    🤣🤣🤣🤣🤣 nilikuja kuangalia mission impossible nikaionq na hii nikasema ngoja niangalie akika nimecheka sana chado tupumzishe bas nimecheka kifara🤣🤣🤣🤣

    • @Safinamfinanga
      @Safinamfinanga 3 місяці тому +1

      ww ndo mm nikaona umo umo acha nitoke nayo😅😅😅😅😅

    • @Zawia-y2j
      @Zawia-y2j 2 місяці тому

      Ila kama tumeingalia Jana mbona

    • @Mumdida
      @Mumdida 2 місяці тому +1

      😂😂😂hila chado ananifanya narudia tuu

    • @EshaAbedi
      @EshaAbedi 2 місяці тому

      P1 sanaaaa

    • @emmaculatemukoto8061
      @emmaculatemukoto8061 2 місяці тому

      Wee need to be friends 😂😂😂😂

  • @ramadhnimwajuma
    @ramadhnimwajuma 10 днів тому

    Yani mm nawapenda ila swaumu ngumu jamani 😂😂😂 movie zenu zinatupa mafunzo kwel flm zenu😢😢

  • @AshulaMbola
    @AshulaMbola 3 місяці тому +2

    Ila chadooo😂😂😂😂

  • @minniegomal
    @minniegomal Місяць тому

    😂😂🙌🏻🙌🏻chado n mkewe kaah

  • @ButoyiRukiya
    @ButoyiRukiya 4 місяці тому +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nimeceka mpaka basi

  • @IddyMohamedi-w7i
    @IddyMohamedi-w7i 4 місяці тому +1

    Hii movie inae masaa 4 au sioni vizuriiii Mbn Ndefu Sanaa au ilikuwa ni season

    • @SharifaRashid-tg9kx
      @SharifaRashid-tg9kx 4 місяці тому

      Ushaambiwa full move inamana kam vipo vipande ishirini basi vimeunganishwa kwa sababu unaona ndefu

  • @ZeinabRashid-oj9iv
    @ZeinabRashid-oj9iv 12 днів тому

    Asa mgang we vp
    Astaqafiru tena 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nimefurahi sana

  • @Magret-fi2gs
    @Magret-fi2gs 4 місяці тому +1

    Chado tulia mkeo aolewe n kalist muache amdabangule kidogo 😂😂😂😅

  • @hansynasery6399
    @hansynasery6399 2 місяці тому

    Tunaona matunda ya mkojan gang safi sana hakika mmetoka mmekwiva

  • @Shamma-c1d
    @Shamma-c1d 4 місяці тому +1

    Ila chado unanifurahisha na wake zako😂😂😂😂

  • @kabephinie7314
    @kabephinie7314 3 місяці тому

    hii swaumu ni kali sana. we need part 2 please Mr Chado Masta

    • @MELVINBBY
      @MELVINBBY 3 місяці тому

      Acha ushamba wewe .inamana wewe ni kuwatch tu ila kutazama hpo juu uone imeandika full movie aaaahhhh wee bora tu umewatch ety😂😂😂😂

  • @ZeynabSemoma
    @ZeynabSemoma Місяць тому

    Chado jmn unatumaliza mbavu jmn
    🤣🤣🤣🤣🤣

  • @bakarimohamed-ib4po
    @bakarimohamed-ib4po Місяць тому

    Kazi safi brother

  • @sarikokiagape7685
    @sarikokiagape7685 3 місяці тому +3

    asanteni sana commenters,, comment zenu mara nyingi ndo zinanifanya nitazame movie au niache..mbarikiwe sana kwakweli movie nzuri❤❤❤

  • @DeviSholla-zk6gd
    @DeviSholla-zk6gd 3 місяці тому +1

    Wow nakubali san

  • @IreneIsambi
    @IreneIsambi 4 місяці тому +6

    🤣🤣🤣hila chado kumbe hadi comedy unaweza jaman akika nimecheka sana🤣🤣🤣

    • @EsterMallya-f3m
      @EsterMallya-f3m 2 місяці тому

      Daaa nimecheka mno tena sana Adi kichwa kinauma

  • @MycoSamwery
    @MycoSamwery Місяць тому

    Chado nimkali mpaka comedy anaweza

  • @Shamma-c1d
    @Shamma-c1d 4 місяці тому +1

    Ila chado unamawenge 😂😂😂😂ùnatuchekesha ban 😂😂😂

  • @Aminaibrahim-d2w
    @Aminaibrahim-d2w Місяць тому

    Ila chado wallah kwakuchambana namkewe😅😅😅

  • @FikiriMustafa
    @FikiriMustafa 3 місяці тому +1

    Chado we ni mwambaaaa

  • @MariamHamis-d1p
    @MariamHamis-d1p 4 місяці тому

    😂😂😂😂 mwisho mwisho ndio tamu😅😅😅 sheikh Amir

  • @PhilimonJoseph-t3v
    @PhilimonJoseph-t3v 22 дні тому

    Umu yumo adi kurya boy unyama sana

  • @KURUTHUMUMOHAMEDI-b9h
    @KURUTHUMUMOHAMEDI-b9h Місяць тому

    Shekh gonzi anavisa,wenzio wakitaka kuongeza mke hawafanyi vitimb namna iyo

  • @LucyMartin-n8i
    @LucyMartin-n8i 2 місяці тому +1

    Chado na Gozi nawakubali

  • @SKELETON-m9e
    @SKELETON-m9e 4 місяці тому +1

    Ustaadhi kwani kiimani hio imekaaje hio😅😅😅😅

  • @eshamohd7268
    @eshamohd7268 3 місяці тому

    Yni mwanaume akikuchoka haa! Vituko kila aina..yni hanifa kazi unayo😮😢

  • @شاميمشاميم-ر9ت
    @شاميمشاميم-ر9ت 2 місяці тому

    We semeni wewe una gubu sana ,ila we gozi uliyataka huo ni mwanzo tu😂😂😂😂mwana kuyataka mwana kuyatafuta ila pole gozi 😂😂😂😂

  • @Tina-xr9lr
    @Tina-xr9lr 4 місяці тому

    ❤❤❤❤❤💐💐💐💐💐chukua maua yako😂😂😂😂🙌🙌

  • @Safinamfinanga
    @Safinamfinanga 3 місяці тому

    😅😅😅nimecheka mno hii muvi kiboko hongereni sana

  • @IbrahimMkwama-m3n
    @IbrahimMkwama-m3n 2 місяці тому

    Nikiwa nasubir mission nazuga na hii❤

  • @MELVINBBY
    @MELVINBBY 3 місяці тому

    Walai huyo wa kusema kwamba kiimani hiyo imekaa aje ananimaliza kwa kicheke yaani jambo lake limekataa kutimia kwa khanifa sasa anaamua kuwa mkali 😂😂😂😂😂aty kiimani hiyo imekaa aje😂😂😂😂

  • @graceirene-m4k
    @graceirene-m4k 3 місяці тому

    Chado kweli muhuni nacheka mpaka naliya 😂😂😂😂

  • @AngelJohnson-q5p
    @AngelJohnson-q5p 3 місяці тому

    Chado 😂😂😂😂😂 wee kiboko🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂

  • @SharonGodfrey-o7o
    @SharonGodfrey-o7o 3 місяці тому +1

    😂😂😂😂 nimecheka san chado umetisha san

  • @ibrahshek
    @ibrahshek 2 місяці тому

    Jamani eeee wadau kwa mm ninacho omba tuzidini kuwaombea kwa Allah wazd kufanya mazur zaid na awaepushe na mabaya yawapitye mbal Hawa jamaa wanajua kitengo balaaa sana 🤣🤣🤣

  • @AshulaMbola
    @AshulaMbola 3 місяці тому +1

    Ilaaa waliiiii 😂😂😂😂😂😂

  • @LizSpiffy
    @LizSpiffy 14 днів тому

    Kiimani hii imekaa aji🤣🤣🤣

  • @UwadhanAbrahman
    @UwadhanAbrahman Місяць тому

    Nimeanza kunpanda chadobjwenye najima sahii naangalia kwa sim unanifanya nitamn kununua TV nifaidi vzr😂😂

  • @MbaroukKhalfan-g7y
    @MbaroukKhalfan-g7y 3 місяці тому

    Hanifa anajua sana anafiti Kila sehemu

  • @ZuwenaAbedi
    @ZuwenaAbedi 4 місяці тому

    Chado umetisha utaniuwa mbavu natokea zanzibar

  • @eshamohd7268
    @eshamohd7268 3 місяці тому

    Jamaa anamtesa mkewe na kule anateswa na mchepuko..malipo ni hapahapa duniani

  • @AngelJohnson-q5p
    @AngelJohnson-q5p 2 місяці тому

    😂😂😂😂😂😂 jamani chado namkewe daa

  • @AmorMaya-y4t
    @AmorMaya-y4t Місяць тому

    l like chado masta

  • @MejumaaMwamumba
    @MejumaaMwamumba 3 місяці тому

    😂😂😂😂chado master wee kiboko nmecheka mpka bc😂😂

  • @isheali546
    @isheali546 4 місяці тому

    Kaz nzuri masha allah 😂😂😂

  • @DushimeSalha-h8v
    @DushimeSalha-h8v 26 днів тому

    Eti mswali ramadhani😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @ZamzamAbdulnuru
    @ZamzamAbdulnuru Місяць тому

    Ndo mnachokitaftaga waoji WA sunna

  • @AminaBakary-n1i
    @AminaBakary-n1i 4 місяці тому +2

    Jamani 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @SKELETON-m9e
    @SKELETON-m9e 4 місяці тому +2

    Oa chado Niende nyumbani aw nikaze??😅😅😅😅

  • @Ummy-cr9nf
    @Ummy-cr9nf 3 місяці тому +1

    Humuuu mume uwaaa hataryii