Aina Nne (4) Za Watu Wanaoua Ndoto Zako - Joel Nanauka

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 387

  • @stevensamwel4854
    @stevensamwel4854 3 роки тому +1

    Asante, nimeanza mwaka kwa kujiuliza maswali mengi, kwanini sipigi atua , mwiaka nenda mwaka rudi, watu pia uniona kama mpambanaji sana, ila sijapata utulivu ni muajiriwa mpango wangu ni kuja kuachana na ajira sijisikii amani kuishi maisha ya kuajiriwa ila kila nikijaribu kufanya jambo ninafeli kila Mara naomba msaada!

  • @rexgodwill7353
    @rexgodwill7353 2 роки тому

    Hiyo ya nne vision attackers imewakuta simba safari hii... Anahakikisha anawachafua kila kona kuwatengenezea maadui na mtu alikuwa mfanyakazi ndani ya club kazi ilipokwisha kazi ipo.. Kila simba wakipokea timu toka nje anamwaga umbea kama wote wageni wanapaniki... Kazi kweli kweli... Asante kwa somo

  • @monamzonge1398
    @monamzonge1398 4 роки тому +1

    Mimi nimekutana na na hii ya kwanza Vision meckers na ya tatu vision distractors lkn namshukuru Mungu nimesimama ktk maamuzi yangu na mstari na haya mafunzo ninayoyapata hapa kaka Joel niko imara yananisaidia sana sitoki kwenye mstar

  • @wardw3022
    @wardw3022 2 роки тому

    Shukran hawa watu niko nao kwenye maisha yako na likuwa siwajui lakin nime washawatambuwa natafuta njia ya kuepukana nao kabisa

  • @elibarikishukya-lf3sk
    @elibarikishukya-lf3sk 5 місяців тому

    Kweli wengi sana ,aina hizo za watu nimewaona, Itabidi ninunue kauntabook niandike hayo .Ngoja niandae pesa za kutosha ninunue vitabu vyako vyote .We need people like you

  • @hansbaraka1029
    @hansbaraka1029 4 роки тому +1

    Asante sana naninajifunza mengi kukuhusu ivyo basi umwalimu wangu mungu azidi kukupea nguvu

  • @farhanduale2769
    @farhanduale2769 4 роки тому +1

    Asante mwalmu, nimefanya kazi na watu aina hiyo wa kusema vibaya but nimewashinda nashukuru mungu

  • @kolosii4351
    @kolosii4351 7 місяців тому

    Leo nimekuelewa zaidi. Hayo mambo yamegusa sana maisha yangu

  • @mahabalimkungu5053
    @mahabalimkungu5053 3 роки тому

    Asante san mr joel nanauka miongoni mwa watu wanao jaribu kuuwa ndoto ya maisha yangu ni vission atakers kwa kueneza habar zinaz nifany nidharaulike katika maisha
    Wanathubutu kusambaz habar ya kuwa ni mwenda wazim au goigoi (mental disorder ) hili ni jamb linalo kandamiz fursa nying san katik maisha yang some time even young children call me crazy but the main answer from me is to remain quiet because I dont have another option

  • @ellysilwani9287
    @ellysilwani9287 4 роки тому

    Sio kuwahi kukutana nao tu,ninafanya nao kazi Joel,yaani nawaona kabisa!,lkn nilichojaliwa ni kunyamaza,wengine napunguza ukaribu(kuwa nao pamoja),pia hata ktk maongezi,huwa makini sana kuchagua maneno ya kuongea nao.Asante kwa somo lako ,nifundishe namna ya kukabiliana nao

  • @sophiamwasonga5289
    @sophiamwasonga5289 2 роки тому

    Ubarikiwe sana jaman, mm nimewah kutana na vision distractor alinishaur niingie kwenye fursa ambayo naona alitaka yeye afaidike hakujal kuhusu mm baada ya kutoa kiingilio nikakosa aman kabisa coz hakuna nilichopata niliamua kuachana nae na kumwabia ukwel tabia yake haifai nikaendelea na mambo mengine

  • @rehemamwasomola4362
    @rehemamwasomola4362 5 років тому

    Mafundisho yako yananisaidia saana I thank God maana hao watu napambana NAO saana Asante YESU huwa haniachi na pia niko makini NAO sasa

  • @yusuphwilliam5283
    @yusuphwilliam5283 5 років тому

    Asante Sana kaka watu wa ainahiyo sasa nimeanza kuwaona katika maisha yangu nimejifunza mengi kupitia wewe nimeweza kupambanua akili yangu sasa nayaona mafanikio yangu asante

  • @wa-mbeyaTv4725
    @wa-mbeyaTv4725 4 роки тому +2

    Daaaaah mim naona nmezungukwa na vision mokers na destructors

  • @maryammaram2612
    @maryammaram2612 5 років тому +5

    VISION DISTRACTORS aina hii ya watu walinisumbua kipindi cha nyuma nikayumba kidogo nilipowagundua nimekaa nao mbali na wanajua nimewandua nia yao mbaya zidi yangu.. Sasa ivi nipo makin sitaki kuruhusu tena maumivu niliyopitia yajirudie.. Thank you broo Joel 🖒🖒🖒

    • @kekjshaiphigenia8854
      @kekjshaiphigenia8854 5 років тому +1

      Kwakweli watu nimekutana nao wanafurahi lakini wanakusema vibana unapokuwa haupo nao

  • @mackjack9294
    @mackjack9294 4 роки тому

    Nimekuelewa sana kaka watu kama hao nimekutana nao pia ila nilipogundua nimekaa nao mbali sana nilijua nimekosea ila wewe umenifanya nione nikosawa asante sana brother

  • @mchungajijacksonmlowe.mlan502
    @mchungajijacksonmlowe.mlan502 2 роки тому

    Mungu AKUBALIKI SANA SANA MTUMISHI WA MUNGU na African Academy MANAGING Director

  • @adinanijumanne772
    @adinanijumanne772 3 роки тому

    Nilikutana watu hao.nilichofanya ni kuomba mungu na kuendeleza loo lilelengo langu

  • @jacklinentabo2380
    @jacklinentabo2380 Рік тому

    Asante Sana kaka Joel, kumbe awa watu wamo Tena Kwa wingi Sana, nmejua mengi Sana kutokana na mafunzo yako na nitakufualitia Kila mara Ili nipate maarifa kamili. Be blessed.

  • @maureenkemei9254
    @maureenkemei9254 2 роки тому

    Asante Sana, nimekutana na vision distractors wengi, wanajifanya kuzipa macho yangu na vitu vizuri hili niachane na ndoto zangu na kuwafuata. Maana nafanya kilicho tofauti na wao, mimi nikiandika wao wanalala.

  • @henrysanga1087
    @henrysanga1087 3 роки тому

    Joeli we kweli ni T O wa uhakika.nondo zako zinaimpact kubwa katika Maisha.unaachia jiwe juu ya jiwe hujawahi kukokosea.

  • @gerardamos5689
    @gerardamos5689 4 роки тому +1

    Nashukuru sana kaka kwa masomo yako kiukweli nmebezwa sana na watu kuusu ndoto zangu lkn wengi wao ni vision mockers and vision attackers

  • @florakaaya4559
    @florakaaya4559 3 роки тому

    Huyu wa mwisho daa🤔 alinichafua kwa maneno ya Uongo watu wakaamini. Lkn tangu niache urafiki nae mambo yangu yananinyookea nashukur Mungu

  • @dicksonsomarjosesomarjose3843
    @dicksonsomarjosesomarjose3843 2 роки тому

    Asante kwaushauli wako sasa ninaswali je akiwa mume wangu

  • @imanimwashiuya223
    @imanimwashiuya223 11 місяців тому

    asante sana kaka. ironariona ninapofanyakazi ironariona kwa bosiwangu umenisaidia sana. nachukuwa hatuwa

  • @hashimkiluwa5434
    @hashimkiluwa5434 5 років тому +1

    nimekutana katika maisha yangu na vision attackers ..
    kiukweli waliniweka kwenye hard time, ilinichukua muda mpaka kuja kuamua
    kuwapuuza na kuendelea na maisha, haikuwa rahisi kukabililiana nao

  • @gracesamwel1338
    @gracesamwel1338 3 роки тому

    Mungu akubariki tunajifunza vyema Mungu azidi kukupa upeo

  • @mwanaheriddy1444
    @mwanaheriddy1444 2 роки тому

    Yaaani nimekuelewa sana na yote nimekutana nayo na yanaendelea🙏🙏🙏

  • @ndoipoemanueldavid9539
    @ndoipoemanueldavid9539 4 роки тому +4

    Joel umekuwa mtu bora sana kwangu...
    Mungu azidi kuwa mwaminifu kwako

  • @JaphetCharles-md7gx
    @JaphetCharles-md7gx Рік тому +1

    Nakupata Sana Kaka Mungu AKUBARIKI sana.

  • @shedrackmbaluka6723
    @shedrackmbaluka6723 3 роки тому

    Mtumish ktk maisha yangu nishawahi kukutana na mchungaji ambae nilikuna muamini sana lakini tulikuwa tunapanga mipango mingi hatukuwahi kufanikisha hata mmoja.

  • @lutegemahano817
    @lutegemahano817 4 місяці тому

    Ulivyo fundisha ni kweli namba 4 inanisumbua sana wapo wengi

  • @grantmwakyusa1961
    @grantmwakyusa1961 4 роки тому +3

    Ahsante kwa somo kaka #Joel# actually I met with vision mockers & vision attackers during my o level and high level studies, It was a difficult time to me because even though i decided to react against them but i didn't have strength to fight. I decided to remain silent huku nikiendelea kuumia moyoni na nikiwaza haya yangeisha lini,! Hata ivo ukimya wangu ulinipa nguvu ya kuendelea mbele zaidi bila kujali what they said negatively about me.
    Sikukatishwa tamaa, I moved on because I didn't let their feelings stopped me. I went the extra mile until I achieved success. That's was the best revenge I did.

  • @justinmmbando5386
    @justinmmbando5386 5 років тому +36

    Asante sana kaka Joel Nanauka napenda kuwakumbusha ndugu zangu hapa UA-cam Mwalimu Joel Nanauka sasa anakitabu kipya kinaitwa ISHI NDOTO YAKO jitahidi ukipate

    • @mussamaulidi3918
      @mussamaulidi3918 5 років тому

      Ni bei gani kinauzwa??

    • @justinmmbando5386
      @justinmmbando5386 5 років тому +2

      @@mussamaulidi3918 Voice call +255 756 094 875 wasiliana na huyu yupo hapo dukani na wanaleta popote ulipo

    • @neemahonorath385
      @neemahonorath385 5 років тому +1

      Justine Mmbando icho kitabu uku mosh 2na vipataje jaman?

    • @justinmmbando5386
      @justinmmbando5386 5 років тому

      @@neemahonorath385 kipo mokoa yote wasiliana na hiyo namba hapo juu atakupa wakalaa

    • @neemahonorath385
      @neemahonorath385 5 років тому

      Justine Mmbando okay hasanteh

  • @patrickmlingwa3193
    @patrickmlingwa3193 4 роки тому

    Iko vizuri Sana unatupa ujumbe na kuweza kutufikisha malengo

  • @mlay3009
    @mlay3009 2 роки тому

    Nakubali kaka nakufuatilia sana unanifunza mengi kwakweli umenitoa mbali paka nilipo fikia

  • @emmanuelelphace115
    @emmanuelelphace115 3 роки тому

    Kaka asant kwa neema mungu aliyoiweka juu yako

  • @mazwichannel2120
    @mazwichannel2120 8 місяців тому

    Kaka joel nakuelewa sana na video zako zinanifundisha mambo mengi mno..Mungu akubariki mno

  • @zaynabhussein6825
    @zaynabhussein6825 3 роки тому

    Mungu akuhifadhi na maradhi na kilashari pia ili uzidi kutupatia elimu

  • @AnneKinuthia-i3p
    @AnneKinuthia-i3p 11 місяців тому

    Hizo zote nimepitia nitaomba mungu anisaidie

  • @allytimbanga2774
    @allytimbanga2774 3 роки тому

    Asant kaka kwaelimu nzuli ila ukijua nn unacho fanya wala awakupi shinda kwakua ili ufanikiwe lazima uwepo mtian ila tumuombe mungu pia asanten mungu Awabaliki

  • @samweldaniel3774
    @samweldaniel3774 Рік тому

    Kaka napenda Sana masomo yako haya uliyosema yapo na nakutana nayo Sana Asante Sana Kaka joel

  • @kennedysono7388
    @kennedysono7388 3 роки тому

    Bro nakufatilia sana unani elimisha sana asante sana Mungu akupenguvu

  • @marangujoy9313
    @marangujoy9313 5 років тому

    Asante sana MWALIMUNANAUKA.Umegusa moyo wangu kwa namna ya kipekee.this has come to me at the right time.

  • @mageandrew5550
    @mageandrew5550 5 років тому +5

    Jaman jaman kaka yaaan umesema ukwel kabisa huyo aina ya 4 imenikuta sana na bado ipo inaendelea !

  • @AliM-di8dz
    @AliM-di8dz 5 років тому

    Kila topck inanigusa kaka joel asant sana mungunakupe afya uendelee kutufunua vichwa hayo mambo yapo na nimeshskumbana nayo sana.

  • @evelyndaniel4770
    @evelyndaniel4770 5 років тому

    Mm nilishawahi kukutana na watu wa namna hiyo kwenye maisha yangu kwa kweli iliniumiza sana mpaka nikafanya maamuzi niliyoyatarajia

  • @muadhbinjabaltv
    @muadhbinjabaltv 5 років тому

    Ndugu Joel shukrani Sana hawa uyasemayo ni kweli kabisa shukrani Mola akuzidishie

    • @muadhbinjabaltv
      @muadhbinjabaltv 5 років тому

      Hayo uyasemayo ni ukweli mtupu thanks alot

  • @malisianosanga590
    @malisianosanga590 5 років тому

    Asante sana kaka kwa somo zuri binafsi nimeshakutana nao ila ninamshukuru Mungu niliwagundua mapema sana nikaanza kuwa mbali nao na ktk lile walilonipinga nilifanikiwa kwani niliamini kuwa nipo sahihi

  • @cheruiyothillary5847
    @cheruiyothillary5847 5 років тому +5

    Exactly my brother am touched by your mentorship you always share with us,,,,it really makes me change in my life

  • @irakozemaissarah4325
    @irakozemaissarah4325 5 років тому +1

    somo la leo limenigusa sana kaka,mana nimekuta na watu wa aina ya tatu,najaribu kuwasahau mana nikiwakumbuka naumia kweli kweli.ubarikiwe sana kaka yangu

  • @janethdamian1260
    @janethdamian1260 3 роки тому

    Asante saana ubarikiwe. Sijui nitabakiliana nao aje

  • @missmfinanga3000
    @missmfinanga3000 5 років тому

    Aiseeeeee mtumishi umebaliki sana tena imekuwa wakati sahhi maana niko napitia katika uo wakati sasa

  • @googkweka3527
    @googkweka3527 3 роки тому

    Hao watu nimekutananao katika maisha yangu na wakakanikiwa Ila nilipo kuja kugundua nimeachananao japo wameweka pendo LA kutokuaminiwa

  • @elibarikishukya-lf3sk
    @elibarikishukya-lf3sk 5 місяців тому

    Nakuombea kwa Mungu akulinde pande zote

  • @tunumazito6346
    @tunumazito6346 5 років тому

    Yes kaka nakutana na hawa watu wawili VISION MOCKERS na VISION ATTACKERS

  • @rweyemamukiobya4569
    @rweyemamukiobya4569 5 років тому

    Nimesha kutana nao, WAMENIFANYA kupoteza ramani kabisa, nasasa nimeamua kuanza life upya, nasasa nastep kwa tahadhari sana, ila naamini one day yes ✔️, god bless you bro

  • @biubwaahmadi40
    @biubwaahmadi40 5 років тому +5

    Kaka, aina zote nne za watu hao nimekutana nao.
    Mwanzo zilinitesa na sikuwahi kufanya lengo langu hata moja zaidi nilipata tu hasara.
    Lakin baada ya kujua niliwaepuka na mwisho nilibaki peke yangu hakuna aliyekuja kushirikiana na mim au hata kunishauri.
    Hata kama nilibaki peke angu, sikukata tamaa na sikuogopa mpaka sasa ndoto yangu imeanza kufanya kazi this year January.
    Ahsante sana.
    Lakin bado hapa nilipofikia hizo aina za watu wamekuja tena wengine sio wale wa mara ya kwanza.

  • @alesiakayoka1203
    @alesiakayoka1203 5 років тому

    Nimewai kutana nayo iyo aina ya tatu,Binadamu acha tu Mungu ndo ajua

  • @farhiyaally8412
    @farhiyaally8412 2 роки тому

    Wonderful je kaa n mama mzazi anauwa ndoto zako

  • @josedorothea7939
    @josedorothea7939 5 років тому +1

    Ofisin kwetu nmezngukwa nao , wanaongea mambo niliofer mwaka juzi ila mimi huwa naishia kucheka au kuondoka kabisa mwanzo walinisumbua ila kupitia mafunzo yako hawaniwez 💪 #see_you_at_the_top

  • @eliezermtokoma2057
    @eliezermtokoma2057 5 років тому +2

    Kweli ma-herode wapo wengi saana. kiukweli nimejifunza vingi hapa na watu wote hawa wamenizunguka. ila maadamu nimewajua nitawakabili.
    asante kaka Joel. God bless you

  • @jonasmwita1837
    @jonasmwita1837 5 років тому

    Nilikutana njia ya kwanza nilipanga kutengeneza kibubu kwa ajiri ya kuweka akiba roommate wangu akaniambia sasa wewe ni mwanachuo hizo hela utazitoa wapi mm nikamwambia kila nikitumiwa hela ya matumiz nitaka asilimia kumi ya ile hela nilotumiwa ya matumizi nitaweka kwenye kibubu ili nikija kumaliza chuo niwe na sehemu ya kuanzia akanicheka sana lkn ckukata tamaa niliendelea mpaka Leo bado nafanya hivyo. Asante sana kaka Joel nimeapenda sana mafundisho yako yanatuimarisha sana na yatatufanya kutengeneza kizazi kizuri sana baadae

  • @vailetmapunda106
    @vailetmapunda106 5 років тому

    Asnte kaka nakupenda cna unatusaidia sana tangu nisnze kukusikiliza nimebadilika sana kila nachofanya nakua makini mno kupitia madarasa yko ubarikiwe mno kakangu.

  • @richardkamaumungwe9633
    @richardkamaumungwe9633 4 роки тому +4

    Thanks alot bro to share with us a good gifts uhv it's really a blessing to me..

  • @grertrudekajabukama9401
    @grertrudekajabukama9401 4 роки тому

    leo nimegundua ushajaa mkuu uliko ndani yangu... ainaa hizi zote za hawa watu wapo kilasiku kwenye maisha yetu.. binafsi mm hua naamini wazo langu na siogopi kushindwaa... na sipangi kushindwaa... nimeshakutana nao sana lakini mm hua nafanyaa alafu nikishakamilisha nawaaluka kwa akili waje waine then wanabaki kusifia tyu🤣🤣🤣🤣🤣 nachojua mm nguvu kubwa iko ndani yetu ...nikujiamini na kuwa wewe bila kujali mwingine anakutazama katika mfumo gani.. asante sana broda

  • @nathanmateow9455
    @nathanmateow9455 5 років тому +10

    Kaka Hapa umenisaidia Sana nahisi nimepiga hatua Mara elfu, Mimi sehemu zote nimepitia na ni watu wa Karibu sana

    • @veronicadeogratius6632
      @veronicadeogratius6632 3 роки тому

      Kaka hayo unayoyasema nikweli kabisa kuna mwanangu mpaka ameacha shule kwasababu ya maneno ya kuzushiwa na dugu zake upande wa ndugu kwa baba take na upande wa ndugu wa mama yake kumzushia mambo kibao ambayo hayafanyi imepelekea kuacha shule na kukimbia sijui huyu tunamsaidiaje

  • @petrolemba5427
    @petrolemba5427 5 років тому

    kweli bro, hapo umezungumza vyema kabisa, Mungu akubariki sana kaka yangu kwa mafundisho mazuri sana, Mungu akuzidishie zaidi kipawa chako maana kwa kupitia ww nnajifunza vitu vingi sana, hakika unastahili baraka za mwenyezi Mungu.

  • @joshuasadi6050
    @joshuasadi6050 3 роки тому

    Point ya NNE imenigusa sana thanks and God blessed

  • @mwajumamwishehe3423
    @mwajumamwishehe3423 5 років тому +1

    👏👏👏👏kweli hao watu wa kukatisha tamaa wapo wengi sana mpaka wanabowa ukitaka kufanikiwa lazima uwe💪💪💪lasivyo watakuwangusha Asante kaka 🙏🙏🙏

  • @latiphakasimu6481
    @latiphakasimu6481 4 роки тому

    Asante sana bro, umenifumbua kitu na nimejifunza kitu kupitia wewe , hata mie yamenikuta hayo nimebaki na majuto na maumivu ya moyo

  • @brightgabrieli8235
    @brightgabrieli8235 3 роки тому

    Dah!!!!!ilo suala linanikabili sana kazn kwangu

  • @stanleyfocas8250
    @stanleyfocas8250 5 років тому

    Kiukweli Mimi nimekutana nao kaka ila na mshukuru mungu kwakunipa uvumilivu na kunionyesha njia nyengine yakuwakwepa kaka ulio sema yapo hapo katika vitu ivyo vinne 4 ukitowa hao watu wakukuchafuwa wazi wazi hao walio baki nimesha kutana nao naninaendelea kukutana nao na katika watu mia mwenye kuku sapoti wazo lako ni mmoja tu kwangu Mimi kwakwel kaka hii ndo dunia ase

  • @shebbyditopile1405
    @shebbyditopile1405 5 років тому +2

    Asante sana bro Joel, kwakweli hii imenigusa sana sana sanaa.. Asante kwa somo hili..
    Mungu akubariki.

  • @samwelmwaijumba6018
    @samwelmwaijumba6018 5 років тому +1

    Asante nakuelewa sana mkuu... Mungu akubariki sana

  • @festoantony4673
    @festoantony4673 3 роки тому

    Mimi nimekutana nao sana tena, walezi wangu na niwatu wa kubwa tuu serikalini lakini kila unapomwambia kuhusu ndoto zako anaona ni ndoto kutimiza nachokisema.

  • @emmanueldaniel2599
    @emmanueldaniel2599 3 роки тому +1

    Ndoto Yangu haitakufa kabla ya wakati AMEEN.

  • @michaelngomeni3679
    @michaelngomeni3679 4 роки тому

    Haya mambo mr yapo yame nipata umekuwa kama tulikuwa wote asante nimejifunza kitu

  • @alesiakayoka1203
    @alesiakayoka1203 5 років тому

    Ni wengi sana watu wa aina izo na huwa hawataki kusikia ushauri unao toa ila wanataka atakacho kushauri ndo ukifanye na sio kuoana unafanya ulicho pang wanakasilika

  • @bintiiddy7043
    @bintiiddy7043 5 років тому

    Asante sana ubarkiwe kaka yani Leo nikama vile umeniambia mimi kwahali nlikuwa nayo Asante sana

  • @zubazubas5366
    @zubazubas5366 4 роки тому +2

    Asante sana kiongoz somo nime lielewa sana

  • @preciouspeliss5779
    @preciouspeliss5779 3 роки тому

    Katika maisha yangu yote nimekutana na hawa watu wote.si envious,attackers,mockers,wala distractors.lakini uwezi amini nimeweza kuwadhibiti wa 2 tu.je nifanyenn ili niweze kuwadhibiti hawa attackers distractord

  • @theresiabukuku9821
    @theresiabukuku9821 5 років тому +1

    Asante mwalim,kwa upande wangu umenigusa aslimia mia,God bless you

  • @nursechunga4470
    @nursechunga4470 3 роки тому

    Kaka Joel we acha tu, Mungu akibariki sana

  • @phanuelpaul3785
    @phanuelpaul3785 5 років тому

    Ahsante sana nitatafakari kwanza juu ya hawa vision distractors nadhani nishawahi kukutana na watu watu wa aina hii mara nyingi sasa ntaelewa namna ya kuishi nao

  • @stephaniamagambo590
    @stephaniamagambo590 5 років тому +4

    Habari,
    Mm nimekutana na hii aina ya 3 (vision distractor), inaumiza sana tena mtu wangu wa karibu mlezi wangu. Yaan kila mara anasema huwezi biashara imekushinda. Kwakweli inaumiza sanasana

    • @noreenrowland6063
      @noreenrowland6063 4 роки тому +1

      ATA mim jaman dah Ila kilichonsaidia nilifanya kitu flan chamaendleo kwasiri ili kuepuka kupingwa

  • @marlomalopa3117
    @marlomalopa3117 5 років тому +1

    Your the best Mr Joel nananuka mungu akubariki

  • @omarikhatib1717
    @omarikhatib1717 3 роки тому

    Nakukubali sana broo bug up kwa sanaaaa

  • @poulstringguitar7691
    @poulstringguitar7691 2 роки тому

    Kaka niko nao nakuna kipindi nikataka kukataam ila navumilia nakuomba mungu kunipa moyo uvumili najauwa haya nimapito, 😢😢😢

  • @rexnatusphilip3301
    @rexnatusphilip3301 5 років тому

    Asante kaka kwa mafundisho mazuri, nmeshakutana na hao watu Wa aina hyo, nashukuru maana nmepata somo

  • @abdallahissa2839
    @abdallahissa2839 4 роки тому +1

    Ww ni Bora sanaaa kwangu. Thanks mentor

  • @jastinimajaliwa
    @jastinimajaliwa 5 років тому

    Kuna rafiki mmoja nimemjua ni #VisionDistractor ameshindwa kwa jina la Yesu

  • @JaphetCharles-md7gx
    @JaphetCharles-md7gx Рік тому

    Kaka mm nimekutana na vision mockers Ila nashukuru Mungu nimepata kufahamu ko nitakuwa Malini na kusimamia ndoto zangu.

  • @s.simponda138
    @s.simponda138 5 років тому

    Ahsante sana brother, nimefikia hatua nzuri Katika mipango yangu, kwa kufuatilia vipindi vyako, namuomba mungu azidi kuniongoza zaidi ili nifikie lengo langu.

  • @festuscharo3108
    @festuscharo3108 5 років тому +2

    Thanks Mr.Joel for this publication it has truly given me a green light of the people around me right now.
    Just date 14 /1/19 I requested apay in advance from my bosses in support to pay for my training in a course very important at the workplace but they replied it is not possible to get the support.(working in Qatar now).the job designation as Labour is what am visioning to change.

  • @imeldampama5074
    @imeldampama5074 5 років тому +1

    Ndiyo kazini. Nasubiri mwisho wake ni nini?maana wananichafua na walidhamilia wazi.

  • @kalembajohn1557
    @kalembajohn1557 3 роки тому

    Mimi nimeway kutana na moja wekee alikua ni rafik yangu mukubwa sana lakin nilivyo mgundua nikahamua nikae nae mballi, alikua hivi aliniomba mssada wa mawazo pya na hakilli zangu pya alitumia mpaka na mtaj wangu linfudisha biashara muishon nikampa mtaji lakini ncha ajabu nikashanga alivyo jua alikua antoka safar ya kwanda sem kubeba mzigo bila kunitalifu ili niweze kumtuma na mimi pya hata hivo haikuishia hapo hapo tu alitambea kwa watu na kussema kwamba mimi ni nfanya kazi wake na anataka kunitowa k maisha haikushia hapo alitembea na mtu wangu kwa kutumia maneno ya kua mimi ni nfanya kazi wake na pya hata nilipo muhuomba ela hili niweze kussafir kuanda uganda kwa sababu ya biashara zangu aliniambia hipo pessa illa syo ya kuchezea loo moyo ukaniuma nilimuhuliza unassema je ww mimboenge nimeasikia nilikua siyamin kwamba wew unaweza kufanya hivyo, akaniambia samahani kaka nilikunyua kwayo nililewa jana nissema siwezi kufanya hivyo mim kwako wew tena kaka hangu kipenzi nakupenda kaka hangu wew nenda ella hii lakukn kwenye ela alipaashert hilio nifamya mimi niwe mkatili kwake alisena nikifika uganda tu nimurdishie magana pessa yake ya biashara nikamuambia okey nipofika uganda nipifa sim wsp nikamuambia nipe namba ya benki alipo nikatuma pessa ya yakee na kukata mtaj nio mpaa thaman afanye bashara. Lakin uko nyuma aliweza kwenda kwa ndugu zangu nawambia mim nimekimbia na ella yake nilkua nfanya kazi kwake nilipo ludi nikafikia kituoni nikaon sio kesi mungu yupo bahada muaka nikaludi nakahamua kussema yato atharani watu waliniona mim ni mtu wa ajabu sana kijana alitoka na haibu hakashukiwa kwa marak pya mpaka kwa ndugu zake mke wake alissema atharani wew mume wangu ni nchizi una aibu kwa sababu huna dini mama yake alisema wew syo muanangu kwan wew ni munyama potea sitaki kukuona na alipotea muaka2013; amekuja tale 27 muezi wa 08 muaka 2021, inamahana wak hilio pita alikuja nyumban kuomba mussama nimssame wakat mim nilimssame likin kwangu huwezi kulala hata kwa usingizi moja, chukula utakula../ je wew ungefnya nini???

  • @francekibele7736
    @francekibele7736 5 років тому

    nakukubari saaaana kaka Joel toka nimeanza kukufatilia nimepiga hatua saaana barikiwa saaaaana kaka

  • @mwelamalibila8988
    @mwelamalibila8988 5 років тому

    Wapo wengi sana,,, hasa kundi LA kwanza,,, niliwakwepa na kuvunja urafiki

  • @emanuelsulle6122
    @emanuelsulle6122 5 років тому

    Asante kaka kwa kutufundisha maana watu kama hao nimekutananao