Mr Joel je? Unamsaidiaje mtu mwenye kutaka kujua kutamani mageuzi/mabadiliko ambae haridhiki na hali yake aliyonayo lakini hajui aanzie wapi hajui nini afanye 😢 amegubikwa na kiza nene kwenye ubongo wake anajaribu kutafuta solutions kadha wa kadha lakini ni kama mbele yake kuna giza na ukweli haelewi nini afanye ila nafsi yake na moyo wake unatamani sana atoke alipo apate mabadiliko mapya kwenye maeneo kadhaa , eneo la kiuchumi, eneo la kimahusiano/ndoa na eneo la ibada/mahusiano na Mungu.
Kaka kama anayeuwa ndoto zangu ni mke wangu nifanye je ? Naweza je kukaa mbali naye naweza je kumficha mambo yangu muhimu? Niko serious kaka jaribu kunisaidia.
Asante mtaalam kwaushauri mzuri mmi sjapata sehem sahihi kuonyesha uwezo wangu najitafuta
Mr Joel yua motivations works may God add you more wisdom to inspire world.follwing from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@@stephentarus Amen
Asante Sana kaka hiyo tunakutana nayo Sana Hasan kwenye familia zetu wanasemj hatuwezi Lila kitu tunacho waambia tunataka kufanya
Mungu akubariki Nina mengi ya kuandika ila itoshe kusema unbarikiwe na mungu ❤❤❤❤
Masomo yako kilasiku yananisogeza sehemu nyingine, siku nitaleta ushuhuda 🙏🙏
Mungu akubaliki sana uncle,kwa elimu unazotupatia.
Ahsante sana kwa elimu hii ubarikiwe zaidi
Umesema kweli broo,watu wakaribu ni namba Moja kwa kufelisha.
Bwana joel naomba ushauri ,mimi ninaishi nawazazi nimeoa nawatoto ninao,lakin ndan yangu nasikia msukumo wakuhama hapo nyumbani maana kila ninachotaka kujaribu wazazi wangu niwaoga wananipa wosia wakuwa na hatma mbaya lakn unakuta nimambo yanayompendeza mungu. Na nikusimamia haki, naninaona waZazi wangu wanaelekea uzeeni nawaonea huruma kuwaacha naomba nisaidie.
Mi kilanacho Fanya kina feli
All the best kakakkaaaa❤
Wivu uliojaa huruma na Upendo bandia (uongo)
Mm mme wangu ndo muua ndoto zangu hajawah kunisapot chochote na nipo tuu sina cha kufanya
Watunao nizunguka kunawakati naonyeha uwezo mkubwa umesema kweli
Sauti ya zito kabwe
Shukran sana mwalimu nimepata majibu ya maswali yangu
god bless you in your career
Asante kaka angu
Godly voice family hiii account yako au ya brother joel
Mm changamoto katika jamii ninayo ishi
Kwangu mahusiano yamekuwa chachu ya mm kutofanikiwa katika maisha had nakosa nifanye nn ili nifanikiwe
Kweli kaka
Hawa fire fighter mm ndo wamenizunguka kila nikijikagua ninawaona hawatu, yaan hwa ngoja nianze kufanyia kazi
🎉🎉🎉❤
Amen
Kwangu tatizo makundi lika
@@FrankMathius
Kwa kuwa umejua tatzo basi liepuke
Ni kweli
Mr Joel je? Unamsaidiaje mtu mwenye kutaka kujua kutamani mageuzi/mabadiliko ambae haridhiki na hali yake aliyonayo lakini hajui aanzie wapi hajui nini afanye 😢 amegubikwa na kiza nene kwenye ubongo wake anajaribu kutafuta solutions kadha wa kadha lakini ni kama mbele yake kuna giza na ukweli haelewi nini afanye ila nafsi yake na moyo wake unatamani sana atoke alipo apate mabadiliko mapya kwenye maeneo kadhaa , eneo la kiuchumi, eneo la kimahusiano/ndoa na eneo la ibada/mahusiano na Mungu.
Joel mimi nimekua nahofu kila wakati nahiyo ndio sababu uwezo wangu kua mdogo nifanye nini
Watu wanao kupenda na hawataki kuona ukipoteza
🎉🎉🎉🎉
Kaka kama anayeuwa ndoto zangu ni mke wangu nifanye je ? Naweza je kukaa mbali naye naweza je kumficha mambo yangu muhimu? Niko serious kaka jaribu kunisaidia.
Naomba nambari yako ya whatsapp naishi Uganda,
Mke wangu amekuwa wa kuniambia ety nimechelewa umri umeenda niachane na kusev muda umeeisha unanishauli nn hapo kwa sasa mm nina umuri miaka 42