Wakazi, Mashabiki wawakosoa watangazaji wa Transformer ya EFM waliodai Jason Derulo hana maajabu

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 286

  • @othmanibnabdullah
    @othmanibnabdullah 2 місяці тому +42

    Ila bongo bhana kipi jema? Nakumbuka mtu ambaye alikuwa ana hiyo ndoto ya kufikisha game yetu mbele alikuwa AY ila sasa DIAMOND kashika hicho kijiti kweli wana haki ya kusema hivyo ila kwa nini tunakuwa tuna angalia upande wa kuvunja moyo tuu na unajua mashabiki wa bongo kitu kikisemwa kwenye Media kubwa kama hiyo basi wanakichukua kama ilivyo yaaan tubadulike bana anajitahidi tumpe heshima yake nasi kumkatisha tamaa hivyo yaaan

  • @alibinali_
    @alibinali_ 2 місяці тому +48

    Diamond Platinum angefanya hiyo remix na Chris Brown bado tu mugeongea mbaya

    • @emanueldrancula
      @emanueldrancula 2 місяці тому +13

      Sio wangeongea Chris brown ile challenge tu walisema sio kitu Cha ajabu Chris brown ashaisha saiz

    • @rosemahenge9071
      @rosemahenge9071 2 місяці тому +12

      ​@@emanueldranculana kabla afanye walisema ungekuwa wimbo mkubwa ungefanyiwa challenge hata na kina CHRIS BROWN 😂alipofanya tena wakabadili maneno

    • @adamnasibu5931
      @adamnasibu5931 2 місяці тому

      😅uchawi upo​@@rosemahenge9071

  • @billskeez92
    @billskeez92 2 місяці тому +49

    EFM inatembea na upepo wa Damiond 😂

  • @billskeez92
    @billskeez92 2 місяці тому +40

    Hao kina Jonijo wameshapotea wanatafuta kiki yakurudi mjini.....😂

  • @NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM
    @NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM 2 місяці тому +37

    Brother Sky mimi nakukubali sana ,Wewe nimkweli ,nawapenda sana SNS ❤❤ Simba ni big Aest Africa

  • @Khalidniya380
    @Khalidniya380 2 місяці тому +17

    Kwa leo nimekubaliana na Wakazi
    Leo ameongea fact

  • @ramazanitr8541
    @ramazanitr8541 2 місяці тому +19

    Ifike mahali diamond aende zake States, coz wa bongo 🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️ chuki za kijinga

  • @rashidiamini
    @rashidiamini 2 місяці тому +14

    Ht Serena Gomez hana maajabu marekani lkn Rema kamshikirisha kwenye Calm down na ndo nyimbo iliyohit kuliko original song

  • @omarimpogo6895
    @omarimpogo6895 2 місяці тому +39

    Watu wanaonyesha chuki za wazi… ni Ushamba

  • @cosbytz2370
    @cosbytz2370 2 місяці тому +22

    Hawa jamaa wapuuzi sana tena wivu unawasumbua sana naona hawapendi mafanikio ya wasanii wenzake ila hata hawamkomoi Simba la masimba 😂

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 2 місяці тому +23

    EFM lazima iende mjini kupitia Simba la Masimba Dangote

  • @wemaMichael-fr4th
    @wemaMichael-fr4th 2 місяці тому +70

    Wale watangazaji wa kile kipindi wote ni walevi na wavuta bange tena huyo jonhn ndo kabisa ndo maaan hata wasafi walimtimua pale

    • @StevenMathiasSallu
      @StevenMathiasSallu 2 місяці тому +6

      Umepigaje hapo

    • @Maxpaul-oi8pw
      @Maxpaul-oi8pw 2 місяці тому +2

      Bangi haihusiki hapo..watu wanaovuta bange wana upeo mkubwa sana

  • @thabitdaudi9815
    @thabitdaudi9815 2 місяці тому +21

    Kwani jonijooh bado anatangaza? Mm namjua kupitia wasafi tv. Sns achen kuwapa clout wajinga kama hao. SNS is far bigger than jonijoh .Fredwaah caome on bro you are legend unajua? Vp bwana

  • @eng.maxmillianghachocha8023
    @eng.maxmillianghachocha8023 2 місяці тому +1

    We bro nakupenda saana.And I appreciate very much what you're doing.Yaan ww unastahil kufanikiwa kabsaaa ht Mungu anajua.Hakuna mtangazaji mwenye sauti nzuri inayofit in formal or street like yours. But also the intelligence and humbleness withnin.

  • @AkotesefeSafari
    @AkotesefeSafari 2 місяці тому +18

    Natoka drc kongo pa Kinshasa ila watanzania ni tu nabii haana eshima kwao, akifa diamond platnumz basi mutalia jinsi mziki wenu utashuka sana kama filamu zenu

  • @lybiajohn4122
    @lybiajohn4122 2 місяці тому +10

    N gharama kubwa zaid pia kumshrksha msanii wa marekan ambaye yuko on top now . Cost management hyo imagine unamwambia Chris Brown unamshrksha cost yake n kubwa mno. Ila Diamond kaweza mno na n mwanzo mzur kwenda kwa wakina Chrisbrown sasa na wengneo weng sasa mnaosema wenye maajabu zaid. Taking all things postive

  • @sidosaidi3938
    @sidosaidi3938 2 місяці тому +13

    Acheni majungu ...let's praise our east African artists

  • @malkiarosemuhando3310
    @malkiarosemuhando3310 2 місяці тому +11

    Roho mbaya TU !!! Nyie hata kukoroma hamuwezi

  • @OlgaChirezi-qt1pg
    @OlgaChirezi-qt1pg 2 місяці тому +7

    Watanzania mda mwengine mna boa sn ivi bila diamond ku fanya iyo ft mgetoa huo uchambuzi wenu shidweni na pepo ya umaskini tupo USA 🇺🇸 na twaicheza comasava

  • @Black-sound24
    @Black-sound24 2 місяці тому +9

    Marioo alifanya yimbo na mr nice kwan saiz mr nice ana nn BONGO jau sanaa 😂😂

  • @official_6ixer_
    @official_6ixer_ 2 місяці тому +27

    Tafuteni Shughuli nyinyi sikubwata tuh😂😂😂😂💔

  • @thabitdaudi9815
    @thabitdaudi9815 2 місяці тому +14

    Kwanza no body listens to radio anymore. Now media ni youtube na nyie wakina sns na millard ayo mliotangulia bdae mtakuja kua then next big thing keep it up

  • @rosemahenge9071
    @rosemahenge9071 2 місяці тому +8

    Kaka SKY ww ndio unafaa uwe unasoma hata zile habari za kimataifa kuliko yule mwenye msauti mzito huwa hasikiki hata 😢

  • @magrethmagonza186
    @magrethmagonza186 2 місяці тому +8

    Hapo wakazi umeonea watu wengine bwana hao wanamawazo.mafupi. Una wanweza ukafanya na.mtu mkubwa mwenye hot soup na nymbo ikawa.mbaya. think twice before you talk. Hao watangazaji kwa kifupi viziwi na vipofu hawajiu kitu. Diamond ana akili sana. Hafatagi mawazo ya.mtu anafata mawazo yake ni yeye km yeye sio.photo.copy. na bado mnazidishia atapaa.sana.tu

  • @ramayonline2281
    @ramayonline2281 2 місяці тому +8

    Watangazaji vilaza wengi wanatokea EFM

  • @iam_sami
    @iam_sami 2 місяці тому +12

    Arf nd mnataka gemu liendelee watangazi wenyew wanawivu na wasanii 😂😂😂 kula chuma iko

  • @pascalvitalis
    @pascalvitalis 2 місяці тому +9

    Aho watangazaji vichaa... Me sio shabik wa diamond ila Jamaa anatisha😊

  • @abel_esam
    @abel_esam 2 місяці тому +8

    Roha mbaya tu, watangazaji walitakiwa kupongeza ndio wanaponda, bongo bana
    Wimbo mzuri, Jason ni msanii mkubwa

  • @mfalmekaitaba2425
    @mfalmekaitaba2425 2 місяці тому +30

    Wao wenyewe ni watangazaji waliokosa mvuto na hawana maajab tena

  • @innocentemiliani3494
    @innocentemiliani3494 2 місяці тому +7

    Hao watangazaji watoa maoni yao kwa kinyongo , ila ngonja tusubiri mda uende ndio tutajua kuwa ana impact au hana impact, yaani video ina SK moja tu mmeanza kujaji mmmmmmm bongo bwana hatunaga jambo hahahaha!

  • @Paplick9
    @Paplick9 2 місяці тому +5

    Yoote haya kwasababu jonijoo alifukuzwa kazi wasafi 😂😂😂😂😂

  • @HeriRamadhan-q7m
    @HeriRamadhan-q7m 2 місяці тому +9

    Diamond atawanyoosha mamaezenu.

  • @BenjaminNickson
    @BenjaminNickson 2 місяці тому +6

    Ona huyu mshamba anazungumzia wigo hajui ngoma kama swalla haujui ngoma kama Good bye

  • @Zillionking627
    @Zillionking627 2 місяці тому +5

    Daaaa kumbe watu wana chuki hivi??!!!!!!😢😢

  • @sulleymernmannarah7930
    @sulleymernmannarah7930 2 місяці тому +15

    TV E Ina upuuzi

  • @NsisaniraJean
    @NsisaniraJean 2 місяці тому +7

    Majizo unaangalia vigezo gani kumuajiri mtangazaji mbona unaajiri watu walio chini ya uwezo hawana upeo ndiomaana median zingine zinakuwacha mbali sana

  • @bettybetty8717
    @bettybetty8717 2 місяці тому +7

    Salute sns for correcting those fools

  • @nixsonmkamba2895
    @nixsonmkamba2895 2 місяці тому +39

    Derulo msanii mkubwa achen ujinga

  • @SUNDAYMRGAMINGTZ
    @SUNDAYMRGAMINGTZ 2 місяці тому +23

    😅😅😅😅😅 nimependa sana unavyosoma comment.... Nice 1

  • @nadinekinyata1072
    @nadinekinyata1072 2 місяці тому +4

    True 🔥

  • @STAREHE255
    @STAREHE255 2 місяці тому +6

    Kaka Skywalker umechimbaaaaaaaa nakupa 💯

  • @petermvellah4120
    @petermvellah4120 2 місяці тому +12

    Ujuaji mwingi😅

    • @Muba3304
      @Muba3304 2 місяці тому +2

      Mwisho wanazirika na comment za wasomi😂😂

  • @HanchoJunior
    @HanchoJunior 2 місяці тому +6

    Wamuite na wao

  • @Gody360
    @Gody360 2 місяці тому +1

    Wanaropoka tu Jeson anapiga hela ndefu sana apo tiktok tu

  • @SylvesterSwedy
    @SylvesterSwedy 2 місяці тому +1

    Wajinga hao sns achan watakufa na ndevu zao kama mizizi ya bangi

  • @moudrickmouh3569
    @moudrickmouh3569 2 місяці тому +4

    Wa kusini aliimba na shirmuda mlimuandalia tamasha ila bongo🙌😂💔

  • @johnmwasilu7087
    @johnmwasilu7087 2 місяці тому +3

    Asante sana Sky kwa elimu nzuri. Sasa Jonijo na wenzie wachukue madini hayo yawasaidie hasa kuongea bila kufanya utafiti kwanza

  • @mafianboyTV
    @mafianboyTV 2 місяці тому +2

    Hawa watangazaji wa hiki kipindi ni watu wa kuponda tu juzi ilikuwa Jay melody sio watu wa ku appreciate

  • @kennedysimon6707
    @kennedysimon6707 2 місяці тому +5

    Wapumbavu hao

  • @kabambulasimon
    @kabambulasimon 2 місяці тому +3

    HATA WAKATI ANAANZA KUWASHIRIKISHA WASANII WA CONGO DR MLIMCHEKA SANA OK KUANZIA INAMA NA FALLY, yope na INNO’S B NA WAAAH NA KOFFI OLOMIDE ANGALIENI NUMBERS ON UA-cam KILA MTU ANASHIRIKISHA YULE ALIYEELEWANa naye kwa mda fulani, kwani kuzozana kupo katika maisha.

  • @GagaRino-iv7pr
    @GagaRino-iv7pr 2 місяці тому +1

    Ndo maana kumbe Kenya na Uganda wanasema Diamond ni msanii wao,, leo sas nimeelewa aiseee😅😅😅

  • @inearclassictz1233
    @inearclassictz1233 2 місяці тому

    #wiggle 903M
    #swala 1.7B
    #savage love.190M
    Acheni bangi Jason derulo impact yake ni kubwa

  • @issabaraka2404
    @issabaraka2404 2 місяці тому +19

    EFM wanacheza na moto diamond Platnumz ndokila kitu Tanzania hii sisi mashabiki wake tukisema basi hiyo radio wataifunga, kwa nini wanaoleta zarau au tuseme wanajua nini kuhusu mziki zaidi ya Diamondplatnumz wasifikiri labda amekurupuka hapana bali anajua kama Derulo nimkubwa pia atamfikisha sehemu shenzi zao wote na EFM yao😢😢😢😢😢😢

    • @mwajumagomera7609
      @mwajumagomera7609 2 місяці тому

      😂😂mie wasafi tu ndo redio yangu cna muda na redio zingine 😂

  • @rosemahenge9071
    @rosemahenge9071 2 місяці тому +3

    Hawa ni walevi na hapo pengine walikuwa wamelewa😂😂

  • @straightkonect1613
    @straightkonect1613 2 місяці тому

    Watangazaji wanafeli kusema mziki kufanya collabo ni Trending wasipaliwe na Tiktok angalia mziki unamfaa nani sio trending kwaiyo wote wamshirikishe Cris brown? MONDI ANAWANYOOSHA na anapita ki Nginjanginja

  • @KingJungle-t3m
    @KingJungle-t3m 2 місяці тому

    Wapo sahihi kabisa.. #Les Twins kuwepo kwenye video kuna more impact kuliko #JasonDerulo

  • @fridageorge2809
    @fridageorge2809 2 місяці тому

    Mtakufa na vihoro! Wanaume wazima mnajichekesha hovyo! Wivu utawauwa

  • @jojigeorige1056
    @jojigeorige1056 2 місяці тому

    Ulivyo ianza story na ulivyo i wind up binafsi nasema inatosha. Zile brahbrah huenda watapunguza.

  • @sayyedsaeed8089
    @sayyedsaeed8089 2 місяці тому +9

    Kwani wapo radio gan ao?ifungiwe au walikua wamelewa?😂😂😂

  • @JanetAhmad-v3h
    @JanetAhmad-v3h 2 місяці тому +4

    😅😅😅😅😅simba katulia tu yani nawazi kasema😂😂😂😂

  • @Nasbu-tb6cs
    @Nasbu-tb6cs 2 місяці тому

    Ni ukwel mtupu derulo kaisha hana miujiza yeyote now angekua breezy ingekua hatar nyingne

  • @aediayumgo8546
    @aediayumgo8546 2 місяці тому +1

    Diss Diss you can diss even your parents guys that way uncle Majaliwa say skanka is not allowed in our country destroyed our guys look this 🇹🇿 presents

  • @HabiruNuhu-j6q
    @HabiruNuhu-j6q 2 місяці тому

    hayo ndo madhala ya kupiga moshi na kuingia kwenye media.....stupid🖕

  • @osmanmohammedosman5493
    @osmanmohammedosman5493 2 місяці тому +19

    Wakazi Leo nimemuela

  • @idrisadalluc4498
    @idrisadalluc4498 2 місяці тому

    Nyinyi wajinga sana Jason Derulo munamjua nyie vizuri kweli?

  • @mandlasakhile9109
    @mandlasakhile9109 2 місяці тому

    Mashabiki wa Diamond tu unfollow na ku unsubscribe accounts za EFM TV E
    Majizo umeajiri mataahira, Jason on spotify monthly listeners ni over 31M and a lot of good records, no professionalism hapo, how come unaskiliza presenters wasiofuatlia vitu kwa undani yani wasiojua chochote na hawaogopi kudanganya

  • @JackChildishKE
    @JackChildishKE 2 місяці тому

    Itawauma Sana na ndio simba ameanza more still to come, already Montana and DJ Khaled imewafikia

  • @orestegabrielsebastiao8648
    @orestegabrielsebastiao8648 2 місяці тому

    ifike muda watanzania washimu Kaz tá mtu mana sio Laisss kupata kufanaha Kaz na muana músic Derulo respct 🤨🤨🤨🤨

  • @MariamIbrahim-h7p
    @MariamIbrahim-h7p 2 місяці тому +1

    Wivu

  • @LeonJayson-x9j
    @LeonJayson-x9j 2 місяці тому

    Hao Si Wametoka Bushh Juzi juzi hawa Ndo walikua wanamwita #Simba Dimond kwanza walikua hawajui hata Maana yake nini Now Mavichwa yao Yameejaa Maji chumvi Wanabwabwaja Ka Wacshambaa😂😂😅 sorry ila Wanazingua Sanaaah😢

  • @hassankongolilo8408
    @hassankongolilo8408 2 місяці тому

    nyie wenyewe apo mnataka kwenda mjini kwa kumuongelea mondi.
    ata atuwajui kipindi chenu wenywe hatukijui. mbuzi nyie

  • @gilbertkambali3292
    @gilbertkambali3292 2 місяці тому

    Watanzania wengine hamuna akili kuongea tu mbaya zaidi munaongea ata vitu ambavyo hamujuwe...wasani wenu wakose kolabo kwasababu ya mudomo😅

  • @peteryohanne1268
    @peteryohanne1268 2 місяці тому

    Young killer aliwahi kusema, "bongo ukifanikiwa unachukiwa wazi wazi, ila sisi kazi kazi, wengine tumetoka kwenye msoto, kuoga mpaka tushikiwe viboko..." 😅😅😅

  • @sunsetstudioz
    @sunsetstudioz 2 місяці тому

    Kuna comment imesomwa naenda kukagua coment section sasahivi ili io comment ni ipin na niibookmark, huyo jamaa kacoment kisomi sana

  • @daudimaniseli759
    @daudimaniseli759 2 місяці тому

    NIMESIKILIZA HICHO KIPANDE...NIMESHANGAA SANA YANI MT MWENZAO WANA MKAZIA HIVYO...ETI NEXT TIME WASANII WETU WATAFUTE WASANII WENYE IMPACT 😂😂DUUUU MIMI NIOMBE WAO WANAO JUA WASANII WAJARIBU TU KUIMBA NA KINGWENDU KAMA WATA WEZA.....AISEE HUSDA NIMBAYA SANA KULIKO UCHAWI.

  • @barnabasmafuru6735
    @barnabasmafuru6735 2 місяці тому

    Shida bongo ukijuaa kuongeaa tuu unakuwa mtangazaji,Kwanza wote washambaa tuu wanamaajabugani kwa tasnia ya habari 😂😂😂

  • @SELEMANAYUBU-hz8yq
    @SELEMANAYUBU-hz8yq 2 місяці тому

    Hawa majaa ni makuma tu kwa ufupi Derulo unasema umemsaidia mtu ambae total views wa UA-cam billion 25 unasema umemsaidia kujulikana aisee nyie ni wapuuzi kweli.

  • @luckkaserekadancer6832
    @luckkaserekadancer6832 2 місяці тому

    Sisi wa congo tuna kubali kazi zenu ila eshima kwa diamond,😂 mkikua studio mnaongea ongea tu mi bange 😅

  • @eliudhassan9665
    @eliudhassan9665 2 місяці тому

    Ilo ndo tatizo linalokuja pale ambapo unamchukia mtu alafu anafanya vizuri ...inabidi ulazimishe angle za kumkosoa ilimradi tu uonekane kama humpondi yeye kumbe una hate😂😂 kiufupi jamaa wamefail afu inaonekananwalijiandaa kabisa kuchafua dah shame on them

  • @KaguttaEdson
    @KaguttaEdson 2 місяці тому

    EFM | soon biashara yenu inaharibika kwa kuruhusu huu ujinga.

  • @donlinechanell4760
    @donlinechanell4760 2 місяці тому

    Jonijoo skutegemeag km anawez ishiwa mpka akawa anaongea huu upuuzi

  • @FrankElias-u9i
    @FrankElias-u9i 2 місяці тому

    Amjawaelewa awa mkiwa na akili mtawaelewa mana kuanzia brwon na jaruro wameputa na upepo konasava

  • @SuleAmber-lw2tx
    @SuleAmber-lw2tx 2 місяці тому

    Derulo alikuwa zamani huo ndio ukweli au kwa lugha nyingne ni amekuwa cheap

  • @godblesshudson1564
    @godblesshudson1564 2 місяці тому +15

    Wakwanza leo naombeni likes zangu 👍

  • @donlinechanell4760
    @donlinechanell4760 2 місяці тому

    Hao Forbes mm hua siwaamini kwa sabab kuna vtu hua haviendani na uhalisia kabisa kuhusu net worth za wasaniii

  • @HappyatHome-bn8wm
    @HappyatHome-bn8wm Місяць тому

    hawana shule hawa... diamond anachukua followers wa jamaa

  • @draxelr-vc9wr
    @draxelr-vc9wr 2 місяці тому +2

    Ni kwer ngoma ya derulo ya mwisho ilo it yan it song ni ngoma inaita Love not war ilitoka 2022 mbaka saiv akuna ngoma yyote alotoa imasumbua kama komasava ni wazi kwamba tumemsaidia 😅

    • @rebbywealth9869
      @rebbywealth9869 2 місяці тому +2

      Hata baada ya kusikiliza hii video yote bado una mawazo hayo.... Huna akili masta

  • @jumamussantuiche
    @jumamussantuiche 2 місяці тому +4

    Kujua kuwa kwingi

  • @hassanyunus4634
    @hassanyunus4634 2 місяці тому

    Hio ni kweli

  • @OlgaChirezi-qt1pg
    @OlgaChirezi-qt1pg 2 місяці тому

    Kua makini pia nawe usiwe una tuposta mambo ya utopolo

  • @adronicokalumna
    @adronicokalumna 2 місяці тому

    Hawa jamaa sauti na sura zao haviendani kabixxaa 😮

  • @Faraday13
    @Faraday13 2 місяці тому

    Tubadilike ili tuupeleke mzik wetu mbali zaidi!!

  • @mtazycomedy
    @mtazycomedy 2 місяці тому

    Bongo ni kawaida sana kitu kikubwa kirahisisha

  • @Msafirimakini
    @Msafirimakini 2 місяці тому

    Washamba wakiwa wanaongea ushamba

  • @dianajohnson7268
    @dianajohnson7268 2 місяці тому

    Sasa hapo wakina jonijo si ni wivu ndio unaongea 😂

  • @maujanjatzonline4724
    @maujanjatzonline4724 2 місяці тому

    Wanatafuta kk hawa wavuta bangii😅

  • @Furahazawadi-ym4be
    @Furahazawadi-ym4be 2 місяці тому +1

    Waafrika nakuchambulawatu tuachiyemungu

  • @RamadanPaul
    @RamadanPaul 2 місяці тому

    EFM watangazaji wote ni wavuta bangi😂

  • @nanadimpozy7730
    @nanadimpozy7730 2 місяці тому

    Washamba hao wanatafuta kiki za ujinga tu

  • @ZawadiRobati
    @ZawadiRobati 2 місяці тому +4

    Awo.Wanafik TU