Wasanii 20 ambao jina la Diddy hawawezi kulikwepa! Miongoni mwao ni wale aliowanyanyasa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 жов 2024
  • Bonyeza link hii kujiunga kwenye channel ya Telegram ya SnS - t.me/+uYTdRVvi...

КОМЕНТАРІ • 56

  • @Dounce
    @Dounce 2 години тому +28

    Unaesoma huu ujumbe MUNGU akulinde na akubariki na akupatie ukitakacho 🙏🙏

  • @philipotieno9996
    @philipotieno9996 Годину тому +4

    Yaaanii Diddy amehusikaa na kila mtu basii huyuu jamaa ni mtuu nomaaa sanaaa.

  • @aishaswab2413
    @aishaswab2413 2 години тому +3

    Hatari

  • @munenejackson1567
    @munenejackson1567 2 години тому +2

    Diamond

  • @munisomiraji9879
    @munisomiraji9879 Годину тому +1

    Sky big up bro uko vzr sana sauti na mpangilio wa habari ni 🔥 🔥 Keep doing it

  • @kupazahotnews6747
    @kupazahotnews6747 2 години тому +4

    Did Hana kes ya kubaka ila anakes za kuwanyanyasa kimapez watu walio nogewa wanataka tena ila did mfanya biashara kubwa

  • @ismailmshana2828
    @ismailmshana2828 2 години тому +4

    Wanamsingizia Diddy wetu

  • @official_mr_bery
    @official_mr_bery 2 години тому +4

    Kazi nzurii🎉🎉🎉

  • @IbraEliudy-e9e
    @IbraEliudy-e9e 2 години тому +2

    😮😮

  • @Chidiwamtaa
    @Chidiwamtaa 2 години тому +2

    Wanamuonea Wazungu wa Senge

  • @aishabakari8040
    @aishabakari8040 2 години тому +5

    Mbona diamond hajatajwa

    • @philipotieno9996
      @philipotieno9996 Годину тому

      😂😂 Simba badoo mdooogooo sanaaa
      Kwanii Burnaboy ametaajwaaa.

    • @sulleymernmannarah7930
      @sulleymernmannarah7930 Хвилина тому

      Yan nyny wabongo mna ushamba kwhy mlitak awemo

  • @kupazahotnews6747
    @kupazahotnews6747 2 години тому +3

    Wana mnyanyasa kwasababu ana mpita jaz yes

  • @shinnerboy602
    @shinnerboy602 2 години тому +2

    😢😢

  • @annamussa185
    @annamussa185 2 години тому +3

    Kwahiyo huyo kaka alikuwa mpenzi wa Diddy

    • @kiezeraalfred4493
      @kiezeraalfred4493 Годину тому

      Hatuna uhakika ila kama alikuwa anaingia studio na mtu anayemiliki chupa 1000 za vilainishi, ni ngumu kuwa na hakika kama jamaa hajaliwa jicho

  • @yohanamchekwa1803
    @yohanamchekwa1803 2 години тому +2

    alio angalia nae move mbona hamjamjumuisha

  • @jassonnelly3445
    @jassonnelly3445 2 хвилини тому

    Pamoja na yote mwamba na ushawishi mkubwa akiamua uwe star unakua star

  • @emmanuelreuben-rz8kl
    @emmanuelreuben-rz8kl 2 години тому +2

    Na wahanga walipewa nini mpka wakakubali kufanyiwa ufuska hao na wameamua kukaa kimya mpaka Leo hii, Basi nao wanachakujibu maana walitaka au kupenda kufanyiwa ufuska huo bila shuruti otherwise Kuna namna mwamba kaukosea mfumo wameamua kumkomoa...

    • @yussufritzy7684
      @yussufritzy7684 2 години тому

      Pesa

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 2 години тому

      Umaarufu unasiri zake we fikiri mtu kama Ja Rule na ile musuli yake ya kiume ila na yeye alishikishwa ukuta hii ni kutokana na kutaka umaarufu kukuwa.
      Subiri siku hizo skendo siku zitafunguliwa Bongo utashanga majina ya watu watakao tajwa

  • @OLOLUFEMITz
    @OLOLUFEMITz 2 години тому +2

    Jambo

  • @IsayaMlakiZ
    @IsayaMlakiZ 2 години тому +3

    DID HE DID IT 😳

  • @LisoClassic9510
    @LisoClassic9510 Годину тому +1

    Diamond

  • @cixworldwide6745
    @cixworldwide6745 2 години тому +3

    Nimeipata kwa wakatiii 😂😂

  • @AFRICA_D669
    @AFRICA_D669 2 години тому +3

    Wanafanya hivyo ili kupoteza uwezo wa muziki wa Africa,.

    • @DevZone1089
      @DevZone1089 2 години тому +1

      mmmh lakini kama kuna video inaonesha Diddy anamshika paja tyson! na hizi scandal za mond hii inatosha kuhisiwa vibaya sisi wenyew weusi huwa tukipata tunajisahau

    • @AFRICA_D669
      @AFRICA_D669 Годину тому

      @@DevZone1089 alisha wekewa pepo la Ng'ono huyo

    • @DevZone1089
      @DevZone1089 Годину тому

      @@AFRICA_D669 yeah ndo hvy...

  • @kiezeraalfred4493
    @kiezeraalfred4493 Годину тому

    Ilikuwa ngumu kuchomoka kwa Didy. Kila aliyetaka kutoboa alijisikia kufankiwa tayari baada ya kukutana na Didy.

  • @MaarufuAmani-bq6qc
    @MaarufuAmani-bq6qc 2 години тому +3

    Wamuachie bana hao niwivu tu

  • @deodathsilayo3639
    @deodathsilayo3639 24 хвилини тому

    Ila jamaa aheshimiwewote waliokua chin yake walifanikiwa Sana

  • @AdamCharles-cc8vr
    @AdamCharles-cc8vr 2 години тому +4

    Kaka sky kazi nzuri ila naomba nikukosoe kidogo kuhusu hiyo list ya wasanii 20 wanainvolved na didy hasa hapo kwa foxy brown sidhani kama alikua close kabisa na didy Bali huyo ni msanii alikua close na Jay z since she was 16 years ni kama alikua ni msanii wake kabisa mana Wana collable zilizo fanya vizuri mfano ain't no nigga, I ll be good etc so instead of kum mention foxy ni Bora ungemweka lil Kim as alikua officially bad boy signed, pia wapo kama kina graig mack na black rob ambao pia ni officially bad boy artists na hao wamefariki kwa misongo ya mawazo ya maisha na walishalalamika sana kuhusu didy, pia yupo g deep ambae ameroka jela few past months na hujamtaja.... Hawa wanalawama nyingi kwa diidy za kidhulumiwa pia daz effex, 112

    • @SimuliziNaSauti
      @SimuliziNaSauti  2 години тому +4

      Asante Adam, uko sahihi kabisa! Tutakuja na makala specific itakayogusa wasanii ambao wamewahi kulalamika kuhusu kutendewa sivyo na Diddy

    • @Brunotarimo10
      @Brunotarimo10 2 години тому +3

      Kaka Fredrick bundala umeonesha uungwana kwa kukubali umekosea Big up💪

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 Годину тому +1

      @@SimuliziNaSauti
      Kaka Sky upo juu sana kwa kuunga mkono fanz wako.

    • @mosesnyongole6240
      @mosesnyongole6240 35 хвилин тому

      Na inasemekana Fox Brown na Lil Kim walikuwa na bifu

  • @eliaspaul9028
    @eliaspaul9028 Годину тому +1

    Mtoto wa tandare no 21

  • @yohanamchekwa1803
    @yohanamchekwa1803 2 години тому +2

    huku p didy hanao wake 1 😅😅

  • @ogdosho93
    @ogdosho93 36 хвилин тому

    Kwaio kila aliyepiga picha na didy anahusika? Jambazi akirud mtaani kwake baada ya kazi sio jambaz ni raia tu wakawaida!

  • @musanichebo
    @musanichebo 30 хвилин тому

    Sasa mimi ngoma yangu nitaisikiza pekeangu naomba sikizeni kaziangu pia msabcribe jamani atleast nipate 1000000+ subscriba

  • @Isyourboy_nard
    @Isyourboy_nard 2 години тому +2

    Ninavyomjua p diddy hawez kufanya hivyo

  • @lisawilliam2491
    @lisawilliam2491 Годину тому +1

    Simba je vp?

    • @philipotieno9996
      @philipotieno9996 Годину тому

      😂😂 huyoo badoo mdooogooo.

    • @Jkone891
      @Jkone891 2 хвилини тому

      ​@@philipotieno9996 acha dharau mrumdogo ambaye ana cls2 10 million subscribers with international collaboration zinatesa kote kisa Grammy.... In fact naweza sema alinyimwa tuzo hizo sababu hakufanya huo ujinga mnafikiri ...