NDARO ALIVOMTONGOZA SHEMEJI YAKE KISA STEVE UTACHEKA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 лип 2024
  • #comedy #comedyshorts #comedytanzania #chekatu #ndaro #comedy #stevemweusi #trending #funny #wasafi #movie
  • Комедії

КОМЕНТАРІ • 359

  • @KitoBahogwerhe
    @KitoBahogwerhe 3 дні тому +32

    Mabo vipi bro naona like🎉

  • @SelemaniIddy-nc1nf
    @SelemaniIddy-nc1nf 2 дні тому +5

    Ishiiiiii😂😂😂😂😂😂😂😂 ila ndaro na steve jAman 😂😂😂

  • @KEMEATV25
    @KEMEATV25 3 дні тому +32

    Ndaro kuna sehemu umecheka Kabisa serious... 😁😁 uvumilivu ulikushinda baada ya Steve kusema "anajua hili jinga halina mchezo" ...ila nyie jamaa mko vizuri sana kwenye comedy

  • @malerojr2231
    @malerojr2231 2 дні тому +7

    Ndaro hajui kutumia elimu yake,
    "Kwa faida ya mla chabo😂"

  • @Goodboyofficially
    @Goodboyofficially 2 дні тому +6

    Hahahaaahaaaaaa ndarooooo kaka yako araguswera😂😂😂😂😂😂😂

  • @charmingcomedian
    @charmingcomedian 3 дні тому +72

    Wakwanza leo naombeni like zangu ata moja 🎉😂❤

    • @RwidhiaRichard
      @RwidhiaRichard 2 дні тому

      MKOMBOZI MITIMINGI HERBAL CLINIC UPONYEKE NAWE UKAFANYIKE SHUHUDA KWA WATU WENGINE TUNA DAWA ZA ASILI ZA TIBA MBALI MBALI ZILIZOTHIBITIKA KUWEZA KUTIBU MAGONJWA MBALI MBALI KAMA VILE :kina dada
      huyo HAPA MITIMINGI TRADITIONALCLINIC
      Anatibu fangasi sungu ukeni na U.T.I sungu
      (2)P. I . D .Maumivu wakati wa tendo la ndoa na halafu mbaya ukeni .
      (3) Mirija ya uzazi uliolegea .
      (4)Maumivu ya tumbo chini
      ya kitovu na changu
      (5)UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
      (6)BAWASIRI AU HEMORRHOIDS )
      BAWASIRI YA NDANI NA NJE
      (7)PRESHA ,SUKARI NGIRI N.K
      (8)LIFE CARE;dawa ya asili yenye uwezo wakuboresha kinga za mwili ni msaada pia kwa wenye virusi vya ukimwi _dawa zote zina kibali cha wizara ya afya kitengo cha tiba mbadala
      WASILIANA NASI KUPATA DAWA piga 0673060366 WhatsApp ♥

    • @JosePaul-ie7rq
      @JosePaul-ie7rq 2 дні тому +2

      Acheni usenge like znamsaada gan

    • @user-op9ip8om6t
      @user-op9ip8om6t День тому +1

      😅😅😅😅

  • @malietamalieta9658
    @malietamalieta9658 2 дні тому +8

    😂😂😂ila Steve akili zako unazijuaga mwenywe walai ety nitokee hapa unanuka moyo

  • @raphaelvarane-rv9bv
    @raphaelvarane-rv9bv 2 дні тому +11

    Mimi wakwanza kutoka Uganda 🇺🇬 nawapenda sana team mweusi Family 👪

  • @Istari21
    @Istari21 3 дні тому +11

    Vina muuuuda ..tutengezee ingine kama Mr Mr Machale Afu Tunda awemo pia ❤❤❤😂...

  • @JenifaAnthony
    @JenifaAnthony 2 дні тому +8

    Ndaro hawezag kuwa series muda wote anachekesha tu 😅

  • @AgnessEdmund-nn8of
    @AgnessEdmund-nn8of 3 дні тому +13

    Ndaro unanuka moyo😂, ila stive🙌

  • @Alphanso007
    @Alphanso007 3 дні тому +16

    Kuangalia tu ku like aaahh😂😂😂😂😂😂

  • @Damagemweusi274
    @Damagemweusi274 2 дні тому +17

    HATA kama nimechelewa nipeni like zanguu za upendo

  • @benardremz4290
    @benardremz4290 3 дні тому +34

    kama unaamin ndaro na steve wanaweza gonga like

  • @GentilKakule-rd2pz
    @GentilKakule-rd2pz 2 дні тому +8

    Ebu toka apoo nipitwe😂😂😂 ila Steven bhana

  • @BlackMambaPHD-dj8hg
    @BlackMambaPHD-dj8hg 3 дні тому +12

    Mnakawia Sana Kutoa izi video asee 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😂😃😃😃😃

  • @BerlinPetro
    @BerlinPetro 3 дні тому +14

    Kama unamkubali Steve gonga like😂😂

  • @user-ib4vq3ou3t
    @user-ib4vq3ou3t 3 дні тому +12

    Steve na ndaro uwaga nawapenda sana yan nkiona tu video mpya yenu kama simu yangu Aina net ery nipande kwakichuguu hili network iwe swa niangalie video zanu nkimaliza ndonashukq aky nawapenda sana

  • @benardremz4290
    @benardremz4290 3 дні тому +17

    mashie shinto alarm legeza jicho moja🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @FIDO_X
    @FIDO_X 2 дні тому +6

    😂😂nimeondoka na neno wanawake wana mbinu..😅😅

  • @KEMEATV25
    @KEMEATV25 3 дні тому +4

    Bora usingesema ndaro umejichoma mwenyewe 😁😁😁Shem wako asingesema ila umejichanganya mwenyewe hahahaha

  • @hamzaIlunga
    @hamzaIlunga 2 дні тому +8

    From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲 unajuwa kazi kaka mkubwa tupia like zangu apo

  • @joshuayoile6149
    @joshuayoile6149 3 дні тому +10

    Kucheza tu na wanawake kuomba mzigo aaah,,,, shusheni like zenu hpa wadau😂

  • @Donrugi
    @Donrugi 3 дні тому +7

    😂😂😂 Hivi ulimpendea nini brother

  • @AllySadick-y2j
    @AllySadick-y2j 3 дні тому +8

    Bigapp sana

  • @frankbidenenane303
    @frankbidenenane303 2 дні тому +4

    From Kenya button ✅

  • @ElkanaNakida
    @ElkanaNakida 2 дні тому +1

    Ndaro methali nyingi kutongoza aaaah 😂😂😂😂😂😂😂

  • @desireirambona5701
    @desireirambona5701 3 дні тому +15

    Wa nne gonga like

  • @shemblessing
    @shemblessing 3 дні тому +6

    Ndaro mambo mimi shabiki kutoka kenya

  • @martinbenezeth827
    @martinbenezeth827 2 дні тому +1

    Dahhhh ila steve 🤣😂
    Anachomoa sana betri

  • @naslak_officiel
    @naslak_officiel 3 дні тому +4

    Nyinyi m'a ni-ni jamani!;😂😂😂😂

  • @paulhema5713
    @paulhema5713 2 дні тому +2

    Ila Steve bhn...kama kichaa😂😂😂😂😂😂😂

  • @joycejackson2
    @joycejackson2 2 дні тому +1

    Kutongoza tu mashemeji kuoga aaaa😂

  • @sheilamaziku5980
    @sheilamaziku5980 2 дні тому +1

    Steve kamponza mwenzie😂😂😂😂

  • @stantz2880
    @stantz2880 2 дні тому +3

    Wanaume bn, siokila anayekuchekea ukadhan anakupendaaa😄😄😄 ndaro😆😆😆🙌🔥

  • @PozSunga
    @PozSunga 3 дні тому +6

    Kumbe kuna ugovi😂😂

    • @mnonganebeka
      @mnonganebeka 2 дні тому

      Hivi Steve kwel mchekesheji au mweuu

  • @PrimitifAlmeda-kk8nr
    @PrimitifAlmeda-kk8nr 2 дні тому +2

    Mdr vraiment+243🇨🇩🇨🇩 je valide ça m'inspire

  • @dvjtimo
    @dvjtimo 2 дні тому +2

    Tundaro Twingiii🎉

  • @asiasalim9323
    @asiasalim9323 2 дні тому +1

    Khaaaaaah wala usipitwe 😂😂

  • @user-mo7ez5qx4p
    @user-mo7ez5qx4p 2 дні тому +1

    hahahahahaha kbs Niko nawafwata tano kwatano kila mara

  • @AUGENSYLIVAND-rq7hz
    @AUGENSYLIVAND-rq7hz 20 годин тому +1

    Daaah hii noma gonga like ❤

  • @saumodzumbo9671
    @saumodzumbo9671 2 дні тому +1

    😂😂😂😂😂😂 Steve banaaa yaani umewachangamsha wenzako 😂😂😂😂

  • @YustoElias-Og
    @YustoElias-Og 2 дні тому +2

    Duuu jmn ndaro na steve ipo siku mtapewa kesi ya mauaj maana cy kwa kucheka huku🤣🤣🤣🥱🤣🥱🤣🤣🥱

  • @user-ix5uo6ks7j
    @user-ix5uo6ks7j 2 дні тому +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂woooo leo mbavu za mine

  • @machujamathias7165
    @machujamathias7165 2 дні тому +2

    Big up

  • @youngplatnumzwordwide316
    @youngplatnumzwordwide316 2 дні тому +1

    😂😂😂 nakupenda kwannn huelewi

  • @wanzakleruu8648
    @wanzakleruu8648 День тому

    'eti hayo marage ya Mbeya unayapeleka wapi'😅😅😅😅😅

  • @patricktegea1430
    @patricktegea1430 2 дні тому +1

    😂😂😂😂 daaaaaaaaaaah ila ndaro

  • @Davivancee
    @Davivancee 20 годин тому

    😂😂😂 toka bhana ,,stive sitoki nipitwe😂😂

  • @jonasharagirimana128
    @jonasharagirimana128 2 дні тому +1

    hhhhhh Steve nihatari eti kusoma sijuwi Ata picha sioni? 😂😂😂😂😂

  • @MichaelKingwalu-xl8cg
    @MichaelKingwalu-xl8cg 2 дні тому +1

    Hizo like mnapata hela kwani tujuzane 😂

  • @princeshahazade8440
    @princeshahazade8440 2 дні тому +1

    kwamba mm chanzo na hamniambii 😂😂

  • @user-fq9ol4nr9x
    @user-fq9ol4nr9x День тому

    😂😂😂😂😂😂😂ndaro Steve atakudhalilisha komaaaa

  • @StephenMunyoki-by2jh
    @StephenMunyoki-by2jh 3 дні тому +2

    Wa kwanza Leo ..naombeni likes

  • @MercyKahindi-go2nr
    @MercyKahindi-go2nr 2 дні тому +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ndaro ananuka moyooo

  • @KIZAJOHN-l3x
    @KIZAJOHN-l3x 2 дні тому +1

    naombeni like zangu ata moja kama una wapenda stev na ndaro😋😋😋😋😋😋😛😛😛

  • @geraldngangawangari863
    @geraldngangawangari863 2 дні тому +1

    😂😂😂😂😂😂njoo tu cheze aki stive

  • @user-gk8mm5qt2d
    @user-gk8mm5qt2d 16 годин тому

    Steve weweweeeeeéee.ndaro kula chuma icho😂😂😂

  • @erickabel6201
    @erickabel6201 2 дні тому +2

    Kazi kuomba like tu kuoga aaaaah 😅

  • @LinusFidel
    @LinusFidel 2 дні тому +1

    Ndaro 😂 na steve mna mbingu yenu

  • @PendezaNyasa
    @PendezaNyasa 2 дні тому +1

    Maji na mafuta hayooo😂🤣🤣🤣🤣💯💯🙏

  • @Vladmir9112
    @Vladmir9112 2 дні тому +2

    Ndaro ni mwalimu mpeni mauwa yake

  • @kaionlinetvtz7310
    @kaionlinetvtz7310 4 години тому

    Ogopa sana kumtongiza anaekuhifadhi😂

  • @aghamedia
    @aghamedia 2 дні тому +1

    🎉🎉🎉 trending no 10 and no promo 💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿

  • @simonainea5387
    @simonainea5387 2 дні тому +2

    Hawa ndo wanasababisha CHAMA anang'ang'añia Tanzania😅😅

  • @Sagevali
    @Sagevali 3 дні тому +2

    Hahahaha Muna homoni za mbali 😂😂😂😂😂

  • @dannywillson5874
    @dannywillson5874 2 дні тому +1

    😂😂😂😂😂😂😂bora angekaaa kimya

  • @manajr9155
    @manajr9155 2 дні тому

    Sema huyu demu namuelewa Sana ❤

  • @richardniyongendako904
    @richardniyongendako904 2 дні тому +1

    steeve ni mbaya sana 🤣🤣🤣

  • @Mariam-fm8vq
    @Mariam-fm8vq 2 дні тому +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mtu na shem zake❤❤❤🎉

  • @matokeokashika6860
    @matokeokashika6860 2 дні тому

    Creative. Ideals ndaro umetisha 😂😂

  • @zulachama1067
    @zulachama1067 2 дні тому +1

    Ndaro steve amekuhuza bei raisi tizama huyo shemegi ako vizuri hiyo simu yako anakureekodi ushaidi tosha huo,katafute chumba sasa kwa kuishi😂😂😂😂.

  • @Apo_onlineTV
    @Apo_onlineTV 2 дні тому +1

    😅😅😅😅😅😅 mbavu zanguuu😂😂😂😂

  • @user-lb1nr2fw7t
    @user-lb1nr2fw7t 2 дні тому +1

    Ndaro kachomoa betri😂😂😂

  • @JihadmussaMussa
    @JihadmussaMussa 2 дні тому

    😂😂😂nipitweee,Steve unaznguaaa

  • @jamessamwel9456
    @jamessamwel9456 День тому

    Sema Loveness ni mzuri sana🎉🎉

  • @Prince89-gz2nr
    @Prince89-gz2nr 2 дні тому +1

    Ule mto angeurusha kimahaba ni uwouwo anaukalia na naondoka naye 😂😂😂😂

  • @RuhuneKabose
    @RuhuneKabose День тому +1

    Steve unamudanganya daro weyeninoma sana munafuraichasana

  • @Apo_onlineTV
    @Apo_onlineTV 2 дні тому +1

    Nyie watu hapana kwakweli 😂😂😂😂

  • @thetrends472
    @thetrends472 2 дні тому

    Mficha ugonjwa, maradhi humuumbua😂😂😂😂❤❤pablooo

  • @AdamMlyakado
    @AdamMlyakado 2 дні тому +1

    Steve na ndaro your very well for comedy i like

  • @MwinzanJulius
    @MwinzanJulius 2 дні тому +1

    Nakubali sana

  • @IbuniKilapaya
    @IbuniKilapaya 2 дні тому +1

    😂😂😂ndaro umeumbuka🎉🎉🎉

  • @quavoplatnumz99
    @quavoplatnumz99 2 дні тому +2

    😂😂😂 alooo

  • @stanleyandrea5153
    @stanleyandrea5153 2 дні тому +2

    😂😂😂😂😂😂😂 et nipitwe !!! ,Ila Steve apo umenichekesha

  • @kitaaonlinetv2990
    @kitaaonlinetv2990 2 дні тому

    steve kama fala vile😂😂

  • @ChristiangoodLuckGoodLuc-uy7dk

    🎉😢😅😅😅😅😅 nyinyi stive na ndaro tunawatupiya mauwa

  • @paulinanduku2748
    @paulinanduku2748 2 дні тому +1

    Jameni eti Ndaro ananuka moyo😂😂

  • @BarakaMambile-n7o
    @BarakaMambile-n7o 23 години тому

    Kalii hii💥🔥

  • @user-bo3fm8nb4l
    @user-bo3fm8nb4l 3 дні тому +2

    Jamaa Hawa ni nooma.wanatupa burdani saaaaan

  • @ChristiangoodLuckGoodLuc-uy7dk

    🎉❤❤❤naipenda saana kazinjem wanangu

  • @user-uf7oh5eu4v
    @user-uf7oh5eu4v 2 дні тому +2

    Steve 😅😅

  • @user-st3hv8pi9i
    @user-st3hv8pi9i 2 дні тому +1

    😂😂😂shobo tu kuoga aaaaah

  • @hatangafelix5598
    @hatangafelix5598 День тому

    😂😂😂we ndaro wewe hivi Steve ndo wa kukudanganya kweli?😂😂😂

  • @Thuma_junior
    @Thuma_junior 2 дні тому

    Jmn Steve na ndaro mmepatana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣kwagu na kwaguzi

  • @Mwenge-li2kr3vk8w
    @Mwenge-li2kr3vk8w 2 дні тому

    From Zambia 🇿🇲🇿🇲🇿🇲 kazi nzuri sanaaaa wachuuuuu ndaroo

  • @user-zi6ul4br1q
    @user-zi6ul4br1q День тому

    Misemo mingi kama mwalim wa kiswahili😂😂😂😂😅

  • @nyandichearts
    @nyandichearts 20 годин тому

    Unanipiga kwenye akili😅😅

  • @user-lf5ud8vb5j
    @user-lf5ud8vb5j 2 дні тому

    Kkkkkkkkkk Steven abari akina ndaro nawasalimu sana nipo kongo from 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @ramadhanahmed3302
    @ramadhanahmed3302 День тому

    Hahaha steve dadek huu mchomo nimeukubali 😂