RAYVANNY atema NYONGO ''Unaleta dharau hujui watu wali-struggle vipi, wawe na HESHIMA na ADABU''

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2024
  • #rayvanny
    Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

КОМЕНТАРІ • 71

  • @NajimaJuma
    @NajimaJuma 22 дні тому +22

    Vannyboy yule middle Simba miyayusho I Appreciate you Mr BET tz

  • @mwlrobinson
    @mwlrobinson 22 дні тому +16

    Hongela Sana Kaka tuendeleeee kupambana tu❤❤❤❤

  • @Rajamwamba
    @Rajamwamba 22 дні тому +15

    Fanya kazi kakaangu mungu atazidi kukuinua tuuuh

  • @AgatonyMayala
    @AgatonyMayala 22 дні тому +9

    Vany boy me uwashabikiako sana nikingalia ngoma za zaman mfano gimmidate na teamo na zasaiz tofaut yani kama ladha umeipoteza fulan ila pambana tuko pamoja💪🏿

  • @RamadanPaul
    @RamadanPaul 22 дні тому +3

    Ee Mwenyezi Mungu mbariki
    #Diamondplatnumz
    #Rayvyanny
    #Harmonize
    #Alikiba
    #Zuchu
    #Jux
    #Mbosso
    #Marioo
    #Jaymelod
    #Nandy
    Na #Rosemhando
    Wazidi kutangaza lugha yetu ya kiswahili Duniani ❤❤❤

  • @AFRICA_D669
    @AFRICA_D669 22 дні тому +31

    Habari za kinyoro hapana bhana hii media niyakijasusi wakuu au mnasemaje

    • @aaa64sa13
      @aaa64sa13 22 дні тому +4

      😂😂😂😂😂😂😂🎉

    • @rogerioibraim8527
      @rogerioibraim8527 22 дні тому +3

      Umesema kweli sisi ni majasusi kila kitu tunakujiwa @djsmaa katumaliza ❤😂

    • @humbleshoal
      @humbleshoal 22 дні тому +3

      We nae, humu ni habari kwa ujumla kama nyingine hazikufurahishi usizisikilize

    • @samwelsengati1369
      @samwelsengati1369 22 дні тому +4

      Media sio yako, usimpangie mwenye media ukiona hazikufai acha kuangalia tu.

    • @AFRICA_D669
      @AFRICA_D669 22 дні тому +1

      @@aaa64sa13 😂😂😂

  • @Domiranking
    @Domiranking 22 дні тому +6

    Chui ako sawa kabisaa sababu,, hatuwzi kuwa kitambo kwa hio tunaenda na mda kwa saii anazoziimba ziko sawa sababu ni saii so haiwezi fika ety 2029 aimbe kama 2020 hio kiukweli ni tunaenda na nyakati

  • @Rajamwamba
    @Rajamwamba 22 дні тому +9

    Rayvanny wewe unaweza ndio maana wanakusemea vibaya usha watisha na sensema

  • @josephombaka
    @josephombaka 22 дні тому +16

    KUONA MWAMBA UMELIONGELEA KUNA KITU UMEGUNDUA BINAFSI RAYVANY WA MIAKA MIWILI MPK MINNE NYUMA SIO HUYU WA LEO UNAPAMBANA SANA KUTAFUTA HIT NYINGINE USIUMIE ILA JIULIZE MM BINAFSI NI SHABIKI YAKO ILA KUNA KITU KUMEPUNGUA KWAKO

  • @_Nassor_said_
    @_Nassor_said_ 22 дні тому +7

    El Mando ni mmoja wapo, yule wa bongo 5

  • @NdakhiSusu-qz9md
    @NdakhiSusu-qz9md 22 дні тому +14

    Kama unaamin nawew kuwa Rayvanny anastres like apa,🤣🤣🤣

    • @thabitdaudi9815
      @thabitdaudi9815 21 день тому +2

      Anahangaika kuaminisha wtu kwa maneno badala ya kufanya kazi nzuri. Hana nyimbo nzuri lately. Upuuz mtupu

  • @Young_boys24609
    @Young_boys24609 22 дні тому +1

    Hongela ❤❤ kaka

  • @danielmkama24
    @danielmkama24 22 дні тому +8

    Huyo ni #Middle Simba na #SNS kwa mbali ndo mnasemwa hapo

  • @SuzyJohn-rd8vz
    @SuzyJohn-rd8vz 21 день тому

    Kweli kabsa vanny boy tuko pamoja Mungu akusaidie Kayla kaz zako

  • @CamweziKarrashnekov
    @CamweziKarrashnekov 22 дні тому +2

    Mi ningeomba serekali iweke sheriya , izo media zinapo post kotu wawe na fact zinazoegemeya kweny ukweli halisi wakile walichoongeya.kinyume na hapo ziwekwe fine

  • @godymastermind9534
    @godymastermind9534 22 дні тому +10

    Leo mbona hamuombi likes au zimetosha😂

  • @Shokolokobango9385
    @Shokolokobango9385 21 день тому

    naomba kujua tofauti kati ya haya maneno heshima na adabu

  • @silverman6930
    @silverman6930 22 дні тому +5

    Typical Tanzania Beef za kipuuzi .. Vanny Biy keep up the good work pal .. stop listening to these fools …

  • @CheloDangote
    @CheloDangote 19 днів тому

    ❤❤🔥🔥

  • @shannarsaidSwahili
    @shannarsaidSwahili 22 дні тому

    Hongera

  • @Joneslulamaze
    @Joneslulamaze 21 день тому +1

    Kwa wale wenye akili ndo watazielewa kauli za rayvany ila wenye mihemko hawataelewa

  • @SuleAmber-lw2tx
    @SuleAmber-lw2tx 22 дні тому +1

    Kuna watu nlikuwa nawaambia Sensema ni neno la Kisukuma sababu nlienda Shinyanga nkakuta kuna nyimbo ya Kisukuma inaimbwa hvo

  • @yustodonald9772
    @yustodonald9772 22 дні тому +4

    Middle simba choko huyoo

  • @yustodonald9772
    @yustodonald9772 22 дні тому +3

    Middle simba laana yule anawasaniii wake anataka kushusha asiowapenda choko yule

  • @IssaTayari
    @IssaTayari 22 дні тому +2

    Kumbe ulimaibdi Tunataka ufanye kama zamani

  • @NgasaBoy-m6s
    @NgasaBoy-m6s 22 дні тому +5

    Tuzo nibahati bulandi huna reyi

  • @msumbufu_
    @msumbufu_ 22 дні тому +9

    Au niombe likes😅😅😅😅

    • @Baira240
      @Baira240 22 дні тому

      Na hatukupi sasa😂😂

    • @msumbufu_
      @msumbufu_ 22 дні тому

      @@Baira240 nimewawahi waomba likes wote ikabidi nitanie kidogo 😅

  • @salumshakespeare
    @salumshakespeare 22 дні тому +3

    Punguza majigambo,fanya ayo makubwa then chill

  • @mymbaralitv2968
    @mymbaralitv2968 22 дні тому +3

    Jana tuu ulisema anakufa taratibu kumbe anasonga taratibu😅😅😅😅

  • @user-ky7mz7qh1o
    @user-ky7mz7qh1o 22 дні тому

    Kaishiwaaaaa.hana jipyaaa

  • @PAULMAKONDA-TV
    @PAULMAKONDA-TV 22 дні тому +4

    Ila #middlesimba😂😂😂😂😂😂

    • @Izakupdates
      @Izakupdates 21 день тому

      middle simba kafanyeje kaka

  • @mohamedmwinjuma
    @mohamedmwinjuma 22 дні тому +3

    Kamchana middle simba

    • @Radiumflexx
      @Radiumflexx 21 день тому +1

      Nimependa sana maana hua anakata sana yule jamaa

  • @saeedmagoda9651
    @saeedmagoda9651 22 дні тому +2

    Hiki kioo

  • @davidntowanga7717
    @davidntowanga7717 22 дні тому

    🎉

  • @bakarially253
    @bakarially253 21 день тому

    Wewe fanya kazi past can’t build up tumeshagundua Unataka kumsema Al mando Dogo yupo real

  • @CheopsByamungu-e4o
    @CheopsByamungu-e4o 22 дні тому

    Mmmmh ila Rayvanni

  • @simonibonifasi3131
    @simonibonifasi3131 22 дні тому +1

    Nimekuelewa kaka

  • @user-bp5mn8je9r
    @user-bp5mn8je9r 22 дні тому +1

    Chuiii

  • @ramamabrok2523
    @ramamabrok2523 22 дні тому +2

    Me ndo wa kwanza leo 😂😂

  • @elibarikimwanyama7246
    @elibarikimwanyama7246 21 день тому

    We mkal vanny boy

  • @Tiller_bizz
    @Tiller_bizz 22 дні тому

    Mtu yoyote anae omba like ni mshenz

  • @richkaja3317
    @richkaja3317 21 день тому +1

    Acha shobo Vanny fanya kazi na wasanii wenye akili mmakonde anakutia ujinga

  • @kingreagen
    @kingreagen 21 день тому

    Wew ni mchumba tu
    Umeskika tena kwakupewa colabo ya nsensema Umeanza tena mdomo

    • @flowerboytz
      @flowerboytz 21 день тому

      Dogo acha maneno pambania mziki wakooo . U’re still Young ukiwa na Respect inaweza kukufikisha mahali pazuri