PENZI LA MTOTO WA BOSS 💞 NA DADA WA KAZI PART 02 | Love Story

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 1,4 тис.

  • @Dontatv255
    @Dontatv255  2 місяці тому +648

    AYA JAMANI TUSAMEHENI KWA KUCHELEWESHA ATUKUPENDA ILA NI KWASABABU ZILIZO NJE YA UWEZO WETU ❤️🙏

    • @ruthgloriaobonyo
      @ruthgloriaobonyo 2 місяці тому +16

      It's okay our lovely Brother ❤❤❤

    • @neybadada3044
      @neybadada3044 2 місяці тому +9

      Ila muwahishe jmn

    • @bigtengwemela3153
      @bigtengwemela3153 2 місяці тому +4

      Msiwaze

    • @AttuMwakalomba
      @AttuMwakalomba 2 місяці тому +3

      Jmn jmn wooow! Nimeanza kusubiri toka saa 6 hatimaye nimeipata ahsanteni nawapenda piah❤

    • @HawaHassani-ge8ko
      @HawaHassani-ge8ko 2 місяці тому +4

      Usjl Kaka Kelvin ila msichelewe sana😢

  • @luciatungwa4039
    @luciatungwa4039 2 місяці тому +76

    First to comment watching from Kenya 🇰🇪Leo mtaninyima likes tena

  • @judithpendo9985
    @judithpendo9985 2 місяці тому +151

    Wa kwanza donta family Genz 👊 team strong hoyeeeeeeeeee wapi wale wanaotegea kwa hii 🇸🇦🇰🇪🥰🥰🥰🥰🥰🥰💕💕💕💕💕💕💕💕nawapenda

  • @FranquinaGeraldosoda
    @FranquinaGeraldosoda 2 місяці тому +195

    Anaemkubali kelvin agonge like 123 apa 🇲🇿

  • @Tedy-s7o
    @Tedy-s7o 2 місяці тому +147

    Watazamaji wa kelvin na loveness like apa napenda sana movie za brother kelvin❤🎉🎉🎉🎉

  • @Justin_Nano
    @Justin_Nano 2 місяці тому +83

    Mimi wangapi😂😂😂sapoti yako kwa Kelvin, tatizo lenu ma fans comment zanu sio kuhusu movie yetu, ipo vizuri Kama na wewe unakubali gonga like 👍👍🇲🇼🙏

  • @FrankLuhaha-dt5sh
    @FrankLuhaha-dt5sh 2 місяці тому +147

    Wanaomkubaliii kelvin khan gonga likeee hapa kama zoteee tunainjoiiiii na movieee😂😂😂😂😂😂

  • @FabiolaMuco-r7e
    @FabiolaMuco-r7e 2 місяці тому +218

    Nani anae mpenda loveness atie like hapa

  • @JabanFranklin
    @JabanFranklin 2 місяці тому +54

    Mm leo wakwanza kutoka Uganda nipen like jaman much love ❤️❤️❤️❤️❤️🎉🎉🎉🎉🎉

    • @Clris.2
      @Clris.2 2 місяці тому +1

      ❤❤❤❤❤❤

  • @Rahema123
    @Rahema123 2 місяці тому +46

    Na mimi leo nimewai maajabu ila sihitaji like good job ❤

  • @nadinenkezimana6719
    @nadinenkezimana6719 2 місяці тому +44

    Watu tuliko toka burundi 🇧🇮🇧🇮 mumependa Kevin munip like

  • @AishaMpeli
    @AishaMpeli 2 місяці тому +23

    Mama candy hamfundishi candy anatufunza wengi tu hongera Mama yetu❤❤

  • @ZiyadaBakari
    @ZiyadaBakari 2 місяці тому +19

    Donta Familly big up saaan,mambo ye9 ni motomoto tunawapend saan tukiwa Buja ❤❤❤❤❤

  • @VioletteManirakiza-jf2rk
    @VioletteManirakiza-jf2rk 2 місяці тому +29

    Nimechelewa likini nawafatiria sana lakini kutowa like duu

  • @KolenKizito-k9n
    @KolenKizito-k9n 2 місяці тому +39

    Ila huyu mama Kelvin kiukweli tumpe maua🌹anajua kuigiza... Tulio mkubali mama Kelvin gonga like

  • @HAMIAKAJIBA
    @HAMIAKAJIBA 2 місяці тому +51

    Mmh Kelvin usimkubali Tina kwasababu ya alivyovaa tu mimi sijapenda😂

    • @LatiffahHassan
      @LatiffahHassan 2 місяці тому

      😂😂😂😂

    • @VictorMushi-k1x
      @VictorMushi-k1x Місяць тому

      Kelvin mesali zake napenda sankusikiliza kwa Makin maan Ina fundisha San jaman piya najifuza mengi kupitiya kwenu ❤❤❤❤❤❤

  • @HellenWafula-b4x
    @HellenWafula-b4x 2 місяці тому +22

    Hapo pa tina na loveless dada wa kazi nmerudia mara ishirini weee tina jamani wow much love donta tv nmetamani kuendelea kuwatch but ni sawa tu acha niwe mvumilivu 😅❤

  • @Amena-z5r
    @Amena-z5r 2 місяці тому +50

    Nimewahi leo jaman naomba like hata 5 tu ❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @laddyfaida
      @laddyfaida 28 днів тому

      Nakupa kakake like zako 👍👍👍👍👍👍👍

  • @aishaaisha1485
    @aishaaisha1485 2 місяці тому +12

    Move ya kelvin na luvnes ❤mm kamashabik yenu time strong from kenya 🇰🇪nawapenda sana uwa inanibamba

  • @selinanimbodza2931
    @selinanimbodza2931 2 місяці тому +94

    Nani anapenda liveness vyenye nipe to like

  • @Barakamchumia
    @Barakamchumia 2 місяці тому +48

    Kila m2 anaomba like mmmh
    Sema na me kama naomba like zenu iv

  • @JoyceKayombo-y3g
    @JoyceKayombo-y3g 2 місяці тому +30

    Jamani candy unanikosha unaigiza vizuri sana 🤭 confidence yako sauti yako unigawieee. ..... Love u❤❤❤❤❤

  • @MarimGodifrey
    @MarimGodifrey 2 місяці тому +29

    Nimefika naombeni mnikumbuke kwa like vipenzi

  • @samwelipetro3097
    @samwelipetro3097 2 місяці тому +33

    Wakwanza leoooooo jamani ila watu wahumu ndani hawatanipa hata lake moja😢

  • @JoyceKayombo-y3g
    @JoyceKayombo-y3g 2 місяці тому +19

    Msitusahau kwenye destiny to love you.. tumeimiss❤

  • @IssaMuamede
    @IssaMuamede 2 місяці тому +65

    Mimi Leo ndo wakwanza naomba like jamani

    • @directorbrax
      @directorbrax 2 місяці тому

      🎉

    • @IreneRabani
      @IreneRabani 2 місяці тому

      ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉​@@directorbrax

    • @laddyfaida
      @laddyfaida 28 днів тому

      Usijali kakangu izoapo 👍👍👍👍👍👍❤❤❤❤

  • @LilianMkare-o3f
    @LilianMkare-o3f 2 місяці тому +26

    Leo nishawahi jaman from 254 🇰🇪donta tv nawakubali sna npeni likes na mimi

  • @SakewizzygsmoothSakewizzygsmoo
    @SakewizzygsmoothSakewizzygsmoo Місяць тому +3

    Jina langu ni kennedy💕🇧🇮🇧🇮 Nawapenda sana wakina kelvin ila ninacho kiomba sana maomba jinsi gani nazipata muvi hiyi yote

  • @Rahema123
    @Rahema123 2 місяці тому +15

    Ila kiukweli love unaweza sana kipenzi 🎉🎉

  • @judithogaya9730
    @judithogaya9730 2 місяці тому +8

    Mapenzi ya kuchanguliwa muchumba yalipitwa na wakati yooooo 😂😂 Kelvin kataaa

    • @laddyfaida
      @laddyfaida 28 днів тому

      Kabisa ya lisha pitwa nawa kati❤😂😂😂😂😂

  • @NORAHNECHESA
    @NORAHNECHESA 2 місяці тому +4

    Wanaopenda video zake kelvin gongalike hapo❤❤❤

  • @judithogaya9730
    @judithogaya9730 2 місяці тому +6

    I'm very interested watching this movie From Kenya 🇰🇪 currently Qatar nice ❤❤

  • @shabaniiddy5465
    @shabaniiddy5465 2 місяці тому +10

    Kelvin khan nawakubali sana pia mnaweza ila kuna story nzur sana naisi mtaipenda sana ni true story

  • @kenedymusonda-r4u
    @kenedymusonda-r4u 2 місяці тому +11

    I'm only waiting for the second part, I really like your TV, donta Tv sasa nime upata sasa I Love you Kelvin ❤

    • @kenedymusonda-r4u
      @kenedymusonda-r4u 2 місяці тому

      I already finished second part even third part I thought it would drag a lot I really want to watch it

  • @MajimbiTz
    @MajimbiTz 2 місяці тому +27

    Wakwanza nipeni like 5 Tu 😅😅😅

    • @HamzaAli-g3q
      @HamzaAli-g3q 2 місяці тому +1

      Km sitaki jeee

    • @MajimbiTz
      @MajimbiTz 2 місяці тому

      @@HamzaAli-g3q sio vizuri

    • @laddyfaida
      @laddyfaida 28 днів тому +1

      Achauongo😧😧😧

    • @MajimbiTz
      @MajimbiTz 28 днів тому +1

      @@laddyfaida kivipi

  • @Muhsin-d3u
    @Muhsin-d3u 2 місяці тому +12

    Wakwanza leo from saudi arabia nawakubal team kelvin

  • @KennedyJuma-w8z
    @KennedyJuma-w8z 2 місяці тому +8

    lakini mnachelewa sana 🎉🎉🎉ila kazi nzuri sanaa napenda❤❤❤❤

  • @DanielChaula
    @DanielChaula Місяць тому +2

    Story makers wanajua sana❤❤❤

  • @christianradja
    @christianradja 2 місяці тому +3

    Wa pili kutoka DRCONGO 🇨🇩🙌 tuna penda sana movie za Tanzania 🇹🇿 mnajua saaaana ❤❤

  • @AishaSalem-g2v
    @AishaSalem-g2v 2 місяці тому +7

    Wambiwa kimya kina mshindo ❤mashallah mko vizury sana nawakubali sana zaud yamaelezo kususa kelvn move zako nazipenda bro❤❤❤kutoka kenya

  • @MemoryKamutandi
    @MemoryKamutandi 2 місяці тому +10

    Kazi zuri sana Kevin 🎉🎉❤❤. Lak kwako

  • @manirakiza-y7v
    @manirakiza-y7v 2 місяці тому +10

    Ongereni sana kwakazi nzr vipenz nawapata Adidja kutoka Burund🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @BarakaBrayson-r3g
    @BarakaBrayson-r3g 2 місяці тому +19

    Kama unaikubal gong like

  • @NapindaSadamu
    @NapindaSadamu 2 місяці тому +11

    Wakwanza from congo🇨🇩

  • @MichellJohn-zk1hp
    @MichellJohn-zk1hp 2 місяці тому +5

    Waah,,kazi safi sana i say...naomba msicheleweshe tena jamani.....loveness ,,tina na wengine ,,big up my guys....

  • @GodwineJohn
    @GodwineJohn Місяць тому +1

    Brother kelvin upo vzr Ata kwa maisha ya kawaida upoo Ivo au

  • @matihassanmwachigutu-hq7ei
    @matihassanmwachigutu-hq7ei 2 місяці тому +4

    Hongera sana brother kelvin nakupenda sana❤❤

  • @ZiyadaBakari
    @ZiyadaBakari 2 місяці тому +8

    Kelvin tunaomba muedelezo ❤❤❤❤ ninzuri saan ckuweni 🎉🎉🎉🎉

  • @MayengDulu
    @MayengDulu 2 місяці тому +5

    Kazi nzuli sana wakaka na madada jalibuni kuwahisha kazi nzenu nawapenda sana❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @SheeMohammed-to8ni
    @SheeMohammed-to8ni Місяць тому +2

    Nakubali moves zake sana

  • @EdwardKibory-mv9dv
    @EdwardKibory-mv9dv 2 місяці тому +4

    Dah wanangu adi raha jamani me naomba tuiombe kikoz iki mungu abarik wenzetu watuendelee kutupa raha zaid

  • @Auleine
    @Auleine Місяць тому +2

    Tunawapenda sana I'm from 🇧🇮♥️♥️🌹🌹🌹

  • @AngeGrâceININAHAZWE
    @AngeGrâceININAHAZWE 2 місяці тому +5

    Duuuh ushauri wa mama kelvin kwa binti yake ni funzo kwa wengi❤ nimependa sana love from🇧🇮🇧🇮

  • @CatherineSamaytu
    @CatherineSamaytu 2 місяці тому +1

    Woooow jamn uyo loveness bn ndo mwanamke🤗🤗

  • @YohanaKibwana
    @YohanaKibwana 2 місяці тому +12

    Wakwanza leoo

  • @shabaniddy5137
    @shabaniddy5137 24 дні тому +1

    Loveness jmn ningekua na nafas kidogo tu ningekua wallah💕💕♥️♥️♥️

  • @AnnaMakoloka
    @AnnaMakoloka 2 місяці тому +4

    Nzr sanaaa jmn msicheleweshee tenaa

  • @nashraychigulu1165
    @nashraychigulu1165 Місяць тому +1

    Congratulation.nawafuatilia sana.keep it up.team kelvin khan

  • @AminaMoris-l5d
    @AminaMoris-l5d 2 місяці тому +8

    Loveness nkupend pamoja n Kelvin ❤❤❤

  • @SbahHiai
    @SbahHiai 2 місяці тому +1

    Hongeren wote mupo vizur na kazi❤❤❤❤

  • @JoyceKayombo-y3g
    @JoyceKayombo-y3g 2 місяці тому +8

    We love❤ u brother napenda kazi yako ni nzuri

  • @laddyfaida
    @laddyfaida 28 днів тому +1

    Jamani love ni mzuri kupita maelezo ebu jamani naombeni like zangu jamani ❤

  • @HellenWafula-b4x
    @HellenWafula-b4x 2 місяці тому +6

    Kudos Kelvin but kuchelewesha kunaboo na kukatisha tamaa 🇰🇪

  • @IreneMarkus-jl4nv
    @IreneMarkus-jl4nv 3 дні тому

    Kelvin🎉🎉🎉uko vizuri Sana...unatu fundisha Sana sisi Wana wake...tusio jitambuwa🌹🌹🌹🙏🙏🙏

  • @monicahsoita
    @monicahsoita 2 місяці тому +8

    Vizuri sana lakini msiwe mnakaa kutuletea thamthilia hii huwa inaniburudisha sana tafadhali naomba sana mue mkiileta kwa haraka Asante sana

  • @EmilyMweni
    @EmilyMweni 2 місяці тому +2

    Huyu Mzee hazeeki walai mungu azidi kumpa maisha marefu❤❤

    • @laddyfaida
      @laddyfaida 28 днів тому

      😂😂😂😂😂😂😂ww😊

  • @NjokiNjoki-xe7bv
    @NjokiNjoki-xe7bv 2 місяці тому +2

    ❤❤ finally nimefika..... waiting for more.... Nairobi , Kenya....nko ndani..... Wapi like za kenya jamani....

  • @محمدالقحطاني-ظ3ط1ص
    @محمدالقحطاني-ظ3ط1ص 2 місяці тому +1

    Kelvin funga macho wa zazi wako Wana shikanashikana wewe unataba samu tuu😂😂😂ila changamka Bana mimi nakupenda Bure nkiwa Kenya 🇰🇪 ❤🎉

  • @NathaSMART
    @NathaSMART 2 місяці тому +3

    Much love from 🇧🇮🇧🇮🇱🇷🇱🇷🇱🇷

  • @FatimaFatima-bx8ez
    @FatimaFatima-bx8ez 2 місяці тому +1

    I like season conditions klvn and your group nice 👍 👌 much love from kenya 🇰🇪 ❤ 😀 😂😂

  • @StarMtuy267
    @StarMtuy267 2 місяці тому +6

    Punguzeni stori za sehemu moja 😢😢
    Mnaboa sanaa kuongea kwingi location moja badilisheni mfumo wa uwasilishaji wenuu

  • @Jajakanjaniri
    @Jajakanjaniri 2 місяці тому +2

    From Burund 🇧🇮 I Love You So Much ❤❤❤ And Much Respect Guys Nawapenda Bure Team Kelvin 😊😊❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @peninahmusyoka
    @peninahmusyoka 2 місяці тому +6

    Kazi zuri

  • @VeronicaMkasa
    @VeronicaMkasa Місяць тому +1

    Kazi nzuri sana Mr. Kelvin💞💞

  • @Brother-moses2vs7bi1v
    @Brother-moses2vs7bi1v 2 місяці тому +10

    Halafu hakuna watu wenye wanabow kama waombaji likes,,,,,,,!!!!!

  • @Iamwitynes
    @Iamwitynes Місяць тому

    Woow mnaweza MUNGU awape MAARIFA ZAIDI ❤

  • @liliancherop5227
    @liliancherop5227 2 місяці тому +3

    Anayeunga Kelvin mkono kama mimi weka like

  • @ASLAYBYAMSPedagogique
    @ASLAYBYAMSPedagogique 2 місяці тому +3

    Poa kk donta ila unafanza watu wanaendelea na mafunzo kupitia movie zako❤❤❤

  • @JullianaEmmanuel-tm5xg
    @JullianaEmmanuel-tm5xg 2 місяці тому +2

    Love na Kelvin wanaendana sanaaaah, nitapenda sku moja kwny hii movie wawe na mapenz ya kwl,

  • @AyoubPaulorimbu
    @AyoubPaulorimbu 2 місяці тому +6

    Hakuna watu wanao kera kama waomba like

  • @elinasanga9246
    @elinasanga9246 2 місяці тому +1

    Jaamn so sweet Kwa hizi actor kati ya Kelvin na actress wake Lavness

  • @AndréLuazi
    @AndréLuazi 2 місяці тому +2

    Kaka nakufata toka drc iyi filamu ni zuri sana unajuwa kwa kweli na weza kukwita kanumba wapili sasa filamu inanza kawiya kaka

  • @AlistidiaSospeter
    @AlistidiaSospeter 2 місяці тому +2

    Anaye mkubari love agonge like hapa

  • @GraceMbulu-rp8ko
    @GraceMbulu-rp8ko 2 місяці тому +3

    Kazi nzuri❤❤❤

  • @Rukaka_jr
    @Rukaka_jr 2 місяці тому +1

    Team loveness ❤

  • @HudhaimaYussuf
    @HudhaimaYussuf 2 місяці тому +6

    Nyie humu nitagawa namba mim mana kila mtu wakwanza yeye 😅😅😅

  • @DanielAlex-o3z
    @DanielAlex-o3z 2 місяці тому

    Jaman loveness dada angu nakupenda xana naomba na Mimi bas nije ata nifanye kaz na nyie mwambie kelvin bas napenda kuwa kama ww yaan unafanya kaz Kwa ufasaha Mungu akutangulie jaman ila naomba unijibu ❤❤❤❤❤

  • @LucyKerubo-l7h
    @LucyKerubo-l7h 2 місяці тому +2

    Kazi nzuri kelvin,, hongera sana🎉🎉🎉

  • @josephineuwizeye8250
    @josephineuwizeye8250 2 місяці тому +2

    Una imba vizuri saana ❤❤❤ much love ftom Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @hamisimwandu5675
    @hamisimwandu5675 2 місяці тому +2

    Tutakusamehe kabsa kwa kutucheleweshea ni vile tu hii ina dakika nyingi hilo usijali na nibora maoni kuhusu movie kuliko anaeomba like kwavile tu amekuwa wa kwanza ku angalia movie

  • @EuniceVode-ni2eb
    @EuniceVode-ni2eb 2 місяці тому

    Kelvin naomba siku moja nikuonw live unatufinza vyema sana wapu pongezi yangu watanzania

  • @MercyWafula-x1x
    @MercyWafula-x1x 2 місяці тому +4

    Hivi mnaombanga like za kazi gan badala mjifunze kitu mnakazana tu kuomba like

    • @AidatAmadi
      @AidatAmadi 2 місяці тому +1

      Aaaah umenichekesha iv kwel uwa wanalipwa

    • @MercyWafula-x1x
      @MercyWafula-x1x 2 місяці тому

      @@AidatAmadi wanaboa, utathani hao ndo wameigiza

    • @VictorMushi-k1x
      @VictorMushi-k1x Місяць тому

      Muvi zakeliv ziko bomba Sana kwa sababu Kwanza maneno take tuu mafumbo yake yani kweli Zina fundisha San keliv kaniiiii daitar hongera San Kelvin kwazi zuri pamoja na wote mnao shirikiyan pongezi kwenu mungu awabariki San mzidi kutowa muvi nzuri zaidii❤😢

  • @GladysWandera-j7v
    @GladysWandera-j7v 2 місяці тому

    Team Kelvin big up 👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽

  • @SurprisedBlackKitten-zc2vl
    @SurprisedBlackKitten-zc2vl 2 місяці тому +2

    Kazi nzuri

  • @FelistusWambua-y8d
    @FelistusWambua-y8d 29 днів тому

    Nimependa movie z Kelvin zikona mafunzo Zaidi y mafunzo mungu akubariki💗tunakupenda kutoka kenya

  • @CianahNgotele
    @CianahNgotele 2 місяці тому +2

    Yaani Tina unachapa crush wa kelvin surely 😂

  • @AlphonsinaSilayo-ff3pe
    @AlphonsinaSilayo-ff3pe 2 місяці тому

    Hongera sana mama Kelvin kwa kufunza binti yako vizuri malezi bora

  • @japhethmutumwa
    @japhethmutumwa 2 місяці тому +5

    Wakwaza kutoka kenya nipeeni likes zagu

    • @GhkK-c5h
      @GhkK-c5h 2 місяці тому

      𝗠𝗶𝗺𝗶 𝗻𝗱𝗶𝗼 𝘄𝗮 𝗸𝘄𝗮𝗻𝘇𝗮😂

  • @MauwaAmida
    @MauwaAmida 2 місяці тому

    Nawapenda sana kweli nipo nanyi adimwisho

  • @AnastaziaSebastian
    @AnastaziaSebastian 2 місяці тому +2

    Kevi usikubali muoe love nimempenda.