LIVE : Kurasa za Kikwete na Lowassa | Power Breakfast

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 чер 2024
  • Nchini Tanzania kati ya maswahiba waliowahi kushibana kwa kiwango hicho na baadae kutofautiana ni Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete na aliyekuwa Waziri Mkuu Mstaafu Wa Tanzania, Hayati Edward Lowassa.
    Lakini Je ukina wa hili unaujua Kwa kiwango gani, visa na Mikasa pamoja na mapito Yao...?
    Kwenye #PBCloudsFm tutakuwa na .@luqmanmaloto- Mwandishi Wa Kitabu kinachofahamika kama : KIKWETE LOWASSA, Urafiki, Ndoa ya kisiasa, Uadui.
    #Tumekuverify
  • Спорт

КОМЕНТАРІ •