GPS: RAIS Ruto yupo KIKAANGONI bado, WAKENYA kurudi kuandamana, si Muswada tena, ni MATUMIZI Makubwa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 вер 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

КОМЕНТАРІ • 298

  • @WazirBoy-fe5ew
    @WazirBoy-fe5ew 3 місяці тому +31

    Sio kenya , hata Tanzania ndio uozo mtupu. Mama na kina mwigulu.nchemba na ccm wote waondoke kama inavyoendelea south Africa, tumechoka kunyonywa damu

    • @missp1814
      @missp1814 3 місяці тому +2

      Wacha warelax tu muda utaongea😂😂....

    • @BenPeter-vp2cy
      @BenPeter-vp2cy 3 місяці тому +1

      Ndo alisema kama atutaki tozo twende rwanda .

  • @benoseaone
    @benoseaone 3 місяці тому +67

    Nimesikuliza sana Hotuba ya Ruto lakini binafsi nimeona mambo mengi.
    1. Ruto amepoteza kujiamini na anajaribu kutafuta huruma ya wananchi wake.
    2. Amethibitisha kwamba Serikali yake haijui nini inataka kufanya na kusimamia mpaka wakumbushwe majukumu.
    3. Ameshakumbuka alichokuwa amesahau kwamba nchi ni mali ya wananchi.
    4. Ruto hajui Kusoma nyakati.
    Finally, alipaswa kuvunja Serikali Kisha ajiuzuru kwa kuwa tayari ameshaonesha udhaifu katika kusimamia masrahi ya Taifa.

    • @lusajondaga4892
      @lusajondaga4892 3 місяці тому

      😊

    • @cocotz1892
      @cocotz1892 3 місяці тому +4

      💯

    • @omarsirleem7105
      @omarsirleem7105 3 місяці тому +5

      swadakta ndugu umeongea ukweli.....watanzania tunawapenda

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 3 місяці тому +6

      Kiongozi yeyote hata kama ni Rais lazima ukubali kukosolewa Kiongozi asiyekuvali kukosolewa hastahili kuwa kiongozi lazima aelewane na wananchi wake

    • @ShabanKarim-tv3vn
      @ShabanKarim-tv3vn 3 місяці тому +1

  • @JacksonYusuph
    @JacksonYusuph 3 місяці тому +11

    Kwanza kabisa niwashukuru SNS kwa kuanzisha kipindi cha GPS na kuanza kuchambua mambo kadha wa kadha. Mliyokuwa mkiyaongea/kuyachambua siku chache nyuma yametokea. Big up sana !!

  • @WazirBoy-fe5ew
    @WazirBoy-fe5ew 3 місяці тому +12

    Hawezi kabisa kujiuzulu kwa sababu keshakula pesa za marrekani

    • @benoseaone
      @benoseaone 3 місяці тому +1

      Kula pesa za Marekani isiwe kigezo cha kuwabenesha raia wa Kenya mzigo ambao hawakuutaka wao.
      Akalipe mwenyewe

  • @everrineanyango7410
    @everrineanyango7410 3 місяці тому +8

    We need ruto to gasp for air,aongoze akijua anaongoza raia siyo Bibi,mamake,watoto,mpango wa kando,ruto akifaulu kuongoza hii Kenya miaka mitano basi atakua amechoka sana na kuzeeka,awe pia mwangalifu asije pigwa lisasi na security wake

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky 3 місяці тому +9

    Ruto hutuba yake sikuitegemea ilivyosema.... vile nilidhani atajiuzuru....Kenya stand up All the best mpka mpate haki zenu maraisi wa Africa iwe fundishoo kutoka Kenya

  • @Eng2460
    @Eng2460 3 місяці тому

    This is SnS🔥🔥🔥🔥💪💪💪💪

  • @husseinhemedi9314
    @husseinhemedi9314 3 місяці тому +7

    Tatizo la ruto ni kujifanya m babe kwa wananch wa kenya huu upuuuz labda kwetu tz il xo kwa Gn Z #kenya
    Na huku kwetu tz watoto wa 2000 kinukixheni

    • @KOMASAVAOG-yb1mm9fk1r
      @KOMASAVAOG-yb1mm9fk1r 3 місяці тому +2

      KWELI KBX KAKA TZ WASAANI WANAMPAMBA SAANA UYO MAMA SAMIA WANASAAU KM NIMAJUKUMU YAKE ANALAZIMIKA AFANYE NA YAKIMXHINDA ATOKE KILA SIKU MAMA MAMA MNASAAU KM KIJIJINI WATU TUNA ANGAIKA YAANI KAWA WEKEYA MADARAJA DAR 2 BS MNAONA TZ IMEFANA DAH😭😭

    • @DaudFataki
      @DaudFataki 3 місяці тому

      Watoto wa 2000 wamejaa mashoga

    • @husseinhemedi9314
      @husseinhemedi9314 3 місяці тому

      ​@@KOMASAVAOG-yb1mm9fk1rtz ni tatizo bila katiba mpya hakuna kipya

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 3 місяці тому +1

      Hussein hana ubabe wowote swala kubwa nu kuelewana tu haina haja ya kuandamana hapo tatizo kybwa Wakenya wanasumbuliwa na Ukabila tu

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 3 місяці тому

      ⁠@@husseinhemedi9314
      Katiba mpya ndio itaondoa uvivu wa akili kwa vijana? Tuwe wa kweli vijana walio wengi wa Bongo wako bize na upuuzi, kubeti, ushoga, kumfuatilia Mwijaku na Mama Levo, vita vya Dai na Kiba.
      Mtu anashinda mtandaoni akiomba like kuliko kuomba kazi nadhani tunahitaji kubadili tabia zetu.

  • @destindjumbe8023
    @destindjumbe8023 3 місяці тому +1

    Raïs wa AFRICA wapenda kuoneya rahiya. Hasa hawa wanao shirikiana na hawa wanyonya damu ma Beberu ya Europa na America.

  • @kilogreekachananawatuwasio4054
    @kilogreekachananawatuwasio4054 3 місяці тому

    MBONA KUNA KAULI NILIMSIKIA KINYATA AKIMALIZA MIAKA 10 YA URAISI ANAINGI RUTO KWELI WANAMISWAKI AWA VIONGOZI WAWILI?????

  • @Elizabeth-gq9kl
    @Elizabeth-gq9kl 3 місяці тому +1

    Watanzaniya, Huku Kenya tumeshinda , lakini bado tunasonga mbele

  • @mkambotv5418
    @mkambotv5418 3 місяці тому

    RutoMustGo#

  • @salmasaid7058
    @salmasaid7058 3 місяці тому

    Leo hadi ikulu

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 3 місяці тому +4

    Wafuasi wa Odinga wako nyuma ya haya mambo, Ruto ameanza kuonyesha udhaifu, Viongozi wa Maandamano wanajulikana, mwisho wa siku wanaharibu nchi yao, ifikie hatua Kenya kwanza mengine baadae, kama ni maandamano kwanini uchome majengo??

    • @yusufmwangichannel6692
      @yusufmwangichannel6692 3 місяці тому

      Wewe hujielewi... Mbona usiulize serikali kwa nini askari watupie waandamanaji vitoa machozi na maji ya kuwasha? Na mbona awauwe waandamanaji? Wakati waandamanaji hawakua na silaha. Unaleta ushabiki kwenye siasa na maisha yamekua magumu. Ama unauwezo wa kifedha ndio unaongea bila kufikiria

    • @DanielMukora-jx1bh
      @DanielMukora-jx1bh 3 місяці тому

      ​@@yusufmwangichannel6692unafikiri wakiendelea ndo watatupiwa soda na keki?ama ni risasi?naomba tukomae kindogo kwa hili bro

    • @yusufmwangichannel6692
      @yusufmwangichannel6692 3 місяці тому

      @@DanielMukora-jx1bh So kwako wewe unatakaje? Ama umekula umeshiba ndio maana?

  • @godfreysudi7264
    @godfreysudi7264 3 місяці тому

    You have high economy in your country but people live difficulty live so what importance to have high economy to citizen far better Uganda and Tanzania with their low economy

  • @josephnyundo6105
    @josephnyundo6105 3 місяці тому

    Nikweli jana 26/6 Atacum imeipiga S 500?

  • @3erffeoui86
    @3erffeoui86 3 місяці тому

    HII MWASADA IMF NDIO IMESUKUMA ATA WALI HONGA KILA MUBUNGE MILLION MBILI KENYA SHILLINGS

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 3 місяці тому

    Hiki kimbunga kitaingia hata tza, viongozi wamekuwa n vibuli mnoo.kuzarau wanachi

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 3 місяці тому +1

    Kaka smaa we ujuwi kumbe unasema wangeweza kukubali mapema kabla ya maafa...shida walikuwa wanapima upepo wa wananchi...viongozi bwana wanakopa mipesa mingii alafu wanafanya ufisadi alafu maden yote wanatutupia sisi wananchi wakawaida..

    • @djsma255
      @djsma255 3 місяці тому +1

      Najuwa walikuwa wnapima, na ndio mana nikasema wangeweza kukubali mapema, ukipima ni 50,50 inaweza kukubali au kubuma, so r u ready to take the risk? Narudia tena wangeweza kukubali mapema, niliongea haya kabla ya mandamano nawajuwa wakenya

    • @jamilaathumani5481
      @jamilaathumani5481 3 місяці тому

      @@djsma255 Mimi nipo pamoja Sana na ninyi kaka smaa .Yan aya mambo yamakato bila sababu nikwer yanaumiza Sana wananchi Yan ..maisha magumu no ajira mikod mikubwa watu hawana furaha ya maisha kabisa..ila ndo ivyo inabidi ukae tu kimya..maufisadi..

    • @husseinmassawa7186
      @husseinmassawa7186 3 місяці тому +1

      Sifa ya kiongozi bora ni awe hatua tatu zaidi mbele kabla ya kuamua jambo hususani kwa wananchi wenye misimamo mikali ka wakenya..ile bills aisee ilibidi ajue kinachofuata ni kipi, ilibidi mapemaaaa aitie kibiritii😅

    • @jamilaathumani5481
      @jamilaathumani5481 3 місяці тому

      @@husseinmassawa7186 tatizo walijizima data walijisahau wakazania wakenya wamepowa kumbe Bado wapo active Zaid na washachoka na maisha mda tu ivyo kujiripua kwao sio tatizo..safi ila maandamano yawe ya amani tu Kila la heri kwao wakenya

  • @mohammedhimba1647
    @mohammedhimba1647 3 місяці тому +1

    Usalama wa Taifa kenya umempotosha Rais kwani walipaswa kulitambua hili na kumshauri Rais kwani Gen z walihasishana kwenye mitandao siku kadhaa baada ya mswada kuandaliwa hivyo interejensia hawakumshauri vizuri au walifanya kazi kwa mazoea...

  • @HasaniSalum-k2q
    @HasaniSalum-k2q 3 місяці тому

    This is East African spring. Viingozi wa Africa Mjitasmini zakayo omba Mungu lasivo hiyo Matako hutaweka tena kwa kiti Raiyaa wameshakushtukia wewe ni Kibaraka wa Western

  • @Hkr2748
    @Hkr2748 3 місяці тому

    Ila Sky mtu kama wew lakin ata salam kweli

  • @jemjay1011
    @jemjay1011 3 місяці тому

    Nime fika hapa ...wembo

  • @jenifferwanjira6124
    @jenifferwanjira6124 3 місяці тому

    Sad

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 3 місяці тому

    kinawaponza watanzania ni shule na vyakula wanavyokula

  • @lisawilliam2491
    @lisawilliam2491 3 місяці тому

    Ruto ngori 🤣🤣🤣

  • @fahmanalbulushi2925
    @fahmanalbulushi2925 3 місяці тому

    Tusisahau kuwa kabla ya south africa nigeria waliteta demonstration ya wafanya kazi na kufata Kenya na Tanzania Wana demonstration ya wafanya biashara hii ni wimbi la vijana ambalo mmojanya wasemaji marekani alisema Kuna nguvu ya umma ambayo Ina nguvu Sana la kufanya ninkukaa mbali na kuwapa njia na kuwasikiza

  • @ShoppnahDorris
    @ShoppnahDorris 3 місяці тому

    Too late meaning he has failed us

  • @ramadhankakai7303
    @ramadhankakai7303 3 місяці тому

    Ruto hakuwa chaguo la wakenya..ukweli unejukikana sasa. Huyo shetani lazima tumbandue

  • @chazy7ya216
    @chazy7ya216 3 місяці тому

    Jamaa amepoa leo mbaya siiyoyule alieihimba bit urus sasa atakua anajuta akyamungu

  • @aminakenea9614
    @aminakenea9614 3 місяці тому

    Na wake around 2 watutoe suluhisho

  • @Elizabeth-gq9kl
    @Elizabeth-gq9kl 3 місяці тому

    Hakuna ibaada, nani anawadanganya Ruto aliokaka?

  • @mosesg.pendael8381
    @mosesg.pendael8381 3 місяці тому

    Sma em ongelea KENYA, acha kuongelea RUTO. Maana inaonekana uko against RUTO tangu atoke kutafuta msaada America. Umeulizwa swali......Je suala hili litasambaa AFRICA?.....Jibu hilo, acha kum attack Ruto!

  • @JonesMwita-lb3wm
    @JonesMwita-lb3wm 3 місяці тому

    Tunataka ruto ajiuzulu period

  • @popod177
    @popod177 3 місяці тому

    Hatuutaki mswada mzima..ifikie mahali shamba langu nilipie ushuru,.yani litakuwa mikononi mwa serikali..

  • @Pratnumzsimba
    @Pratnumzsimba 3 місяці тому

    Mimi nataka nikaoe kenya wanawake mia nikizaa watoto miambili tayari mtakua mmepata chambo😂😂😂

    • @matanohassan9667
      @matanohassan9667 3 місяці тому

      Valuation YA wake 100 Kenya Ni km wewe upige ndana nusu YA familia yk Na raslimali Zako Na Eneo Bunge lako ili ueleweke

  • @uwimana6533
    @uwimana6533 3 місяці тому

    Watu hawalali 😂😂

  • @khalifaalmugheiry9232
    @khalifaalmugheiry9232 3 місяці тому

    Sio vijana hawa wa kwetu ulevi uzinzi na umbea, vijana wa ovyo kabisa

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 3 місяці тому

    Mala nyingi viongozi wanajisahau baada tu yakupata uongozi alafu wanatutumia wananchi wakipata wanatusahau

  • @djafro8729
    @djafro8729 3 місяці тому

    Tired of politicians. What we want is military to takeover

  • @AbuuAli-nf4fb
    @AbuuAli-nf4fb 3 місяці тому

    Mahakama iimepinga jeshishi kuingia barabarani jana

  • @CadeauZabibu
    @CadeauZabibu 3 місяці тому

    Kinambonza. USA. Yaleyenye amesaini njo wanataka kumutowa

  • @jumaramadhan1600
    @jumaramadhan1600 3 місяці тому

    Wabunge waliopitisha mswada wa fedha waliangalia upande mmoja WA kujilikimbizia mali na kutowajali waliowapeleka bungeni😢

  • @navioma4882
    @navioma4882 3 місяці тому

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿tuko njiani

  • @MS.independent8934
    @MS.independent8934 3 місяці тому

    Wtt wa 2000 TZ wao uwamabie kuiba waume za watu na wengine kulelewa na mishanganzi tu😂😂😂 jla angalia wtt wa 2000 wa Kenya wanapambania haki yao ya sasa naya kesho😂😂😂 aisee akili nywele kila mtu ana zake 😅😅

  • @haswatoo009
    @haswatoo009 3 місяці тому

    Hata kama mkuu wa idara ya usalama angesema asinge eleweka mana matatizo ya viongozi wengi duniani hawaamini kwenye diplomasia Bali wanaamini kwenye matumizi ya nguvu tuh

  • @rashidiamini
    @rashidiamini 3 місяці тому

    Mkenya mmoja ni sawa na wanaume mia wa Tanzania ukibisha uje na fact 😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅

    • @djsma255
      @djsma255 3 місяці тому

      Naunga mkono hoja

    • @kombatv2069
      @kombatv2069 3 місяці тому

      ​@@djsma255sisi finance bill yetu itapitishwa soon but huo mda utakuwa busy na maandamano ya wakenya hahaha sisi ni special group

  • @abel_esam
    @abel_esam 3 місяці тому

    Napenda mnachokifamya kama sns. Nawapongeza sana especially hii section mnaiita GPS. Lakini you guys are falling short kwenye mambo serious yanayoihusu Tanzania. Kuna mgomo Tanzania wa wafanyabiashara pamoja na matatizo mengine mengi Tanzania ila hamtoi airtime kama mnavyozungumzia mambo ya nje.
    Vyombo vyetu na mastaa wetu ni sababu kubwa Tanzania vitu vinafanywa ambavyo havipo sawa ila media na mastaa kazi yao inakua kusifia tu serikali na sio kukosoa pale makosa yanapofanyika.
    Nadhani ni vema tukabadilika

    • @djsma255
      @djsma255 3 місяці тому +1

      We r nit falling short kama unataka habari za tz kuna vyombo vingi sana vinatoa tarifa za tz... Sio lazma sisi tufanye

    • @abel_esam
      @abel_esam 3 місяці тому

      ​@@djsma255 Don't take it negatively my brother. Ni katika tu kujenga, napenda mnachofanya I said, especially you @djsma255, upo vizuri unatupa story za upande mwingine wa shilingi ambao hatuzipati kutoka kwa mainstream media.
      Kukosolewa ni kitu cha muhimu sana katika kutengeneza ubora. Kama sns mnamalengo ya kua wakubwa zaidi so inabidi kujitofautisha na vyombo vingine kwa kufanya ambavyo wao hawafanyi.
      Sisemi muwe wapinzani wa serikali ila to call a spade a spade and a spoon a spoon even when it comes to the government katika namna ya kujenga lakini. Na vile vizuri msifie pia.
      Huo ndio mtazamo wangu, naweza kua nakosea ila it is my view. Don't forget I am a big fan @djsma255 @SimuliziNaSauti

    • @abel_esam
      @abel_esam 3 місяці тому

      ​@@djsma255 Don't take it negatively my brother. Ni katika tu kujenga, napenda mnachofanya I said, especially you @djsma255, upo vizuri unatupa story za upande mwingine wa shilingi ambao hatuupati kutoka kwa mainstream media.
      Kukosolewa ni kitu cha muhimu sana katika kutengeneza ubora. Kama sns mnamalengo ya kua wakubwa zaidi so inabidi kujitofautisha na vyombo vingine kwa kufanya ambavyo wao hawafanyi.
      Sisemi muwe wapinzani wa serikali ila to call a spade a spade and a spoon a spoon even when it comes to the government katika namna ya kujenga lakini. Na vile vizuri msifie pia.
      Huo ndio mtazamo wangu, naweza kua nakosea ila it is my view. Don't forget I am a big fan @djsma255 @SimuliziNaSauti

    • @abel_esam
      @abel_esam 3 місяці тому

      @@djsma255 Don't take it negatively my brother. Ni katika tu kujenga, napenda mnachofanya I said, especially you @djsma255, upo vizuri unatupa story za upande mwingine wa shilingi ambao hatuupati kutoka kwa mainstream media.
      Kukosolewa ni kitu cha muhimu sana katika kutengeneza ubora. Kama sns mnamalengo ya kua wakubwa zaidi so inabidi kujitofautisha na vyombo vingine kwa kufanya ambavyo wao hawafanyi.
      Sisemi muwe wapinzani wa serikali ila to call a spade a spade and a spoon a spoon even when it comes to the government katika namna ya kujenga lakini. Na vile vizuri msifie pia.
      Huo ndio mtazamo wangu, naweza kua nakosea ila it is my view. Don't forget I am a big fan @djsma255 @SimuliziNaSauti

  • @fatmabukuku5384
    @fatmabukuku5384 3 місяці тому +55

    Vijana wa Kenya wametoa funzo kubwa sana kwa vijana wa nchi zingine za Africa.

  • @mkambotv5418
    @mkambotv5418 3 місяці тому

    RutoMustGo#

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 3 місяці тому +5

    Acheni kuongelea hizi mambo mna mtisha raisi wenyu Samia nasikia ........... nyie hamuoni hata Millard Ayo hame simamisha kupost😂

  • @BenPeter-vp2cy
    @BenPeter-vp2cy 3 місяці тому +3

    Na hapo kwenye wapinzani ku take advantage ndio unamkumbuka sun tzu kwenye art of war " when things mess around take the advantage" yani kufa kufaana.. dj sma anaelewa hii❤❤

  • @mariamhassan1723
    @mariamhassan1723 3 місяці тому +11

    Kwanzo KDFaskari kazi yake ni kulinda mipaka ya nchi hawezi kupiga risasi ndani ya nchi##Ruto must go

  • @hafidhmiraji9479
    @hafidhmiraji9479 3 місяці тому +5

    Dj smaa we ni hatari bro daaahhh uko njema

  • @jeremiahcharles6027
    @jeremiahcharles6027 3 місяці тому +6

    Duh ,,,kama wananchi wanaamua hivo ,,bila shaka kuna watu wanaifadhili hii ishu,,,kuna watu wazito wako nyuma

  • @Africaamkenitznawenuso
    @Africaamkenitznawenuso 3 місяці тому +3

    Kuna mke wa zakayo naye anasumbua sana kwenye taifa la ughaibun naye amekuwa kero tena shidaa hajui nini maana ya maisha ya mnyonge. Ipo siku mnyonge mnyongen lakin hakiyake mtatoa.

  • @KOMASAVAOG-yb1mm9fk1r
    @KOMASAVAOG-yb1mm9fk1r 3 місяці тому +6

    PIYA TANZANIA YENU IZUNGUMZIENI LISU ANAANDAMANA PIYA AU AMONI? AU MPAKA WATU WAFE NDO YATAITWA MAANDAMANO? AU KUMUOGOPA SAANA SAMIA? MBONA MUNAMPAMBA SAANA UYO MAMA WENU AU MNASAAU KM NILAZIMA AWASAIDIE RAIYA YEYE KM RAHISI? TANZANIA MDOMO SANA NA YAKWENU YANAWASHINDA TUACHENI NA KENYA YETU😭😭

    • @richardrichope3528
      @richardrichope3528 3 місяці тому +1

      Yani wakenya sijui vichwa vyenu vina nini au ni ujii? Watu huku tunataka muungano wewe unataka kenya kaa nayo tumekuachia mginga nini

    • @zayumar2955
      @zayumar2955 3 місяці тому

      😅😅😅😅 mwache Mwenzio akili imevurugika na mabomu ya machozi😅😅😅​@@richardrichope3528

    • @zayumar2955
      @zayumar2955 3 місяці тому +2

      Sio rahis kiivyo ila (MUDA UTAONGEA SISI AFRICA NI NDUGU)🇹🇿🇹🇿🇰🇪🇰🇪❤️❤️

  • @maidimples8236
    @maidimples8236 3 місяці тому +1

    Tuliomuelewa dj smaa huyo mtu aloshindwa kumtaja tujuana 😂

  • @jeremiahcharles6027
    @jeremiahcharles6027 3 місяці тому +2

    Sns tukumbushane ,,chanzo cha yote hayo ,ni kutokea kwa Muigizaji ERICK OMOND Ndie mtu wa kwanza kuibua hizi mambo na kutia nguvu ,na erick omond amekuwa mstari wa mbele sana kwa hii ishu ya maandamano ya kupinga mswada

  • @husseinmassawa7186
    @husseinmassawa7186 3 місяці тому +7

    Dah alishindwa kuwaambia polisi wasiwaue watu, kashabeba dhambi za damu za watu, honest is too bad,

  • @Omosh003
    @Omosh003 3 місяці тому +9

    Iwe jua, iwe mvua, he must GO.

  • @halimamunga1681
    @halimamunga1681 3 місяці тому +4

    Tuisubili hii TANZANIA tizama migomo ya kufanya biashara hii itatupeleka mbali kama viongozi hawata sikiliza wananchi

  • @mohamedabdulkadir6186
    @mohamedabdulkadir6186 3 місяці тому +6

    Jamaa anatuma hadi snipers kuuwa protesters. Snipers walikua located kwa jengo la KICC juu😢

  • @angelanaftael7965
    @angelanaftael7965 3 місяці тому +3

    Hasira ya mwanadamu haijawahi kutenda haki na kenya wajue Ruto Hana cha kupoteza anaweza kuondoka akawaachia nchi yao iliyoharibika kwa vita na umaskini...Mungu awape utulivu ili maamuzi ya hao vijana wa 2000 wasio na akili wajue mihemko haisaidii lolote...zaidi sana ni kumwaga damu na kuiweka nchi rehani

    • @bensonsimwa7263
      @bensonsimwa7263 3 місяці тому +1

      Wewe ujui chenye unaongea ungeliishi Kenya ungelijua, nyamaza, ndio haki ipatikane sio vile unadhani, your out of modern generation,

    • @DanielMukora-jx1bh
      @DanielMukora-jx1bh 3 місяці тому

      Very true

    • @DanielMukora-jx1bh
      @DanielMukora-jx1bh 3 місяці тому

      ​@@bensonsimwa7263iwapo atatoka ujuesio malaika ataingia,heri huyu tumeweza kulekebisha na akakubali

    • @zenajustus5731
      @zenajustus5731 3 місяці тому

      Ungezaliwa Kenya ungeelewa,so huna makosa coz hujui shda zetu,but usiwe mwepesi wakuchagua mrengo bila kuchambua source yenyewe.

    • @hudumablack9339
      @hudumablack9339 3 місяці тому

      Eti hasira ya mwanadamu haijawahi kutenda haki: Wewe ni mjinga kweli kweli, ya Dini unatuletea hapa? Ya Mungu mpe Mungu na kaisari mpe yake. Sasa kaisari amepata haki yake na amebadilisha mswada sasa kwa kuwa ameua raia wake, lazima Ruto aondoke.

  • @msafirimaulidi5054
    @msafirimaulidi5054 3 місяці тому +2

    Wachambuz,sma ,skyks na masubi mpo vizur najua mnatakan kuitaja tz lon ndo ivo wasiojulikana wapo smwhere, lkn wa cuba tunaelewa🫡

    • @djsma255
      @djsma255 3 місяці тому

      😂 watu wa cuba mnamatatizo nyie😂

  • @alisalimkenya3972
    @alisalimkenya3972 3 місяці тому +2

    Dj sma Ana PhD ya uchambuzi nimekufwatilia zamani , salute

  • @samirmswahili
    @samirmswahili 3 місяці тому +2

    Dah polen sana ndugu zetu mungu awatie nguvu katka kipind munachopitia

  • @RuttaJames-kh5jx
    @RuttaJames-kh5jx 3 місяці тому +3

    Tanzania bajeti himepitiswa au bado hila bongo Huwa hatuna hakili kbs

  • @destindjumbe8023
    @destindjumbe8023 3 місяці тому +4

    Kizuri Ruto must go, wanatuleteya muswada wa kufanya Watu wateketeye hao they dont care.

  • @MwazoaMwazoa
    @MwazoaMwazoa 2 місяці тому

    Hata Afanyeje hali ishabadilika na ndio hii inayoitwa msiogope nguvu za Atomic kwani nguvu za Atomic haziwezi kuzishinda nguvu za wakati.Hawa wamezidi khiyana na uporaji kwao wameufanya sana hata hapa Tanzania tena kwa muda mrefu wakijifanya wajuaji na wajanja.Huyo Ruto Aondoke tu anakera sana ukiangalia Anavyo watuma wanajeshi kule israel wakapambane na wapalestina.Mikopo mikubwa anayoitumbukiza nchi yake.Hata wanavyo fanya siasa ktk suala serious la Somalia.Na ufisadi uliojikita kenya.Nchi ya kitu kidogo.watu wa matatu wanavunja sheria Askari anarushiwa Tsh 10 wanapita.Sio anapewa kwa utu na heshima bali nchi inanuka Rushwa mpaka polisi anarushiwa hela.Bora itawaliwe kijeshi kwanza huko mbeleni watafanya uchaguzi mwengine utakao wan,goa mafisadi

  • @JanenyasiriOkullo
    @JanenyasiriOkullo 3 місяці тому

    Ruto. 2024. Gen. Z. MASSACRE. Wama. Tunalia. Sana. Hatutasahu. Ruto. Kwa. UOVU. Wake. Ole. Wake.

  • @yaronaWilliam
    @yaronaWilliam 3 місяці тому

    Tatizo hili haliko Kenya tu, bali ni la Afrika mashariki kwa ujumla wake, viongozi wetu wanalipina posho, wabunge wanaoptisha Sheria kandamizi wanalipwa mishahara mikubwa, kazi wanazofanya hakuna, wananunua magari ya kifahari, badala ya kupunguza matumizi ya Serikali kipau mbele chao ni kuwabebesha mzigo wa Kodi, hili la Kenya liwe fundusho kwa nchi zetu za Afrika mashariki.

  • @mkambotv5418
    @mkambotv5418 3 місяці тому +1

    Haja withdraw. Amekataa kusign tuu ila after 14 days mswada utakuwa sheria automatically. Bunge linaenda mapumziko mpaka 24 july, siku 14 zitakuwa zimeisha.

  • @Africaamkenitznawenuso
    @Africaamkenitznawenuso 3 місяці тому +2

    Mshupaza shingo huvu jika kabisa ruto must go

  • @AdelaSanka-w1q
    @AdelaSanka-w1q 3 місяці тому +3

    Mkiwa pamoja habari ndo inanoga vzr

  • @M7-Band
    @M7-Band 3 місяці тому +4

    Tatizo jamaa anajifanya so smart,but vijana wa saivi ten steps ahead of him,we cant trust him anymore.
    hata kama amekataa kusign,after 14days inakuwa sheria

  • @bintqassimidarous1636
    @bintqassimidarous1636 3 місяці тому

    Kakonda Ruto katoka shingo iyo 😂😂famasihara😂na nguvu ya umma Tanzania 🇹🇿 pekee ndo tutakaochelewa kujipigania wasanii wetu hawapo pamoja na wananchi wapo na serikali bega kwa bega kwa maslahi yao kenya wasanii wao wameungana na wananchi kuipinga serikali bongo wafanya biashara wamegoma hakuna sauti ilopazwa kuwapigania

  • @MohammedBwanga
    @MohammedBwanga 3 місяці тому

    Kw mujibu wa Hali ya watu wa nchini Kenya kuandamana,Muswada ulikuwa km busty lkn kuna kitu nyuma ya pazia lkn sababu kuu ni Ruto kuna kosa kubwa kalifanya la kimkakati la kimataifa kw wazo. Langu k w kiasi flani km. Alivosema Henry mwinuka kuna generation mbili 2 X na z hii Maana yake kuna mfanano wa ideology ktk vizaazi vi2 hivi vipo tofauti na mawazo na vipindi vya nyuma.lkn ndani ya waandamannaji kuna watu Wana target au shabaha ambayo ni mbali na Muswada. Lkn. Kw nini baada ya. Kauli ya Ruto tunaona bado maandamano hayakusita?

  • @harithimahmoud1577
    @harithimahmoud1577 3 місяці тому +1

    ALIILANI URUSI HATIMAE MUNGU KAMLAANI YEYE 😂 RUTO NI RAIS WA HOVYO SANA

  • @SalimKombo-xo4pq
    @SalimKombo-xo4pq 3 місяці тому +2

    Samahani bro ni kimekosea kuituma hapo.
    Utuko pamoja bro.

  • @rosekulola8355
    @rosekulola8355 3 місяці тому +7

    Hawezi withdraw financial bill amekataa kusign of which asipoipresent parliament in 14 days inakuwa law so anajifanya smart kumbe kuna wasomi Kenya

    • @hanifa9153
      @hanifa9153 3 місяці тому +1

      😂😂😂

    • @ProdactTV-T9814
      @ProdactTV-T9814 3 місяці тому +3

      Na parliament inaenda recess till July 24.
      Ruto anafikiria sisi ni mafala.

  • @nomoboy152
    @nomoboy152 3 місяці тому

    #SNS Naomba kujibiwa kama usalama wa taifa wanasimamia usalama kwani pesa zinavyopigwa na viongozi hawaoni kama raia ambao wanaona pesa zinapigwa kila siku amani inazidi kuwa ndogo na wao wazuie au ndo na usalama wa taifa ni miyayusho pia

  • @Tweech
    @Tweech 3 місяці тому +3

    GPS Hongera Hongera Tena kwa uchambuzi wenu ulio kuwa pansa na wasi

  • @KuwakuMalumba6895
    @KuwakuMalumba6895 3 місяці тому

    🫵🏿👊🏿🇰🇪🇧🇮🇨🇩🇹🇿🇷🇼👊🏿🫵🏿Kweli Kaka matatizo Africa yana fanana sana! Viongozi awajali watu wa Africa's 😢 Africa ali ningumu sana sana😢 Africa watu wana kufa kila siku😢 wa Africa shida nikila siku 😢 Africa viozozi wana iba sana😢 Africa akuna madawa hospital 🏥 😢 Africa kila siku ni vita😢 lazima tukataye sasa😢 Africa President's they don't care about Africa's people's 😢 Africa's President's they keep make us Africa's people's be more poor every day 😢 Africa is very poverty every day! Kwa kweli sisi wa Africa tuna shoka na viogozi wa Africa's😢 Kila mwaka wa Africa tuna kimbiya Africa kuja Europe 🇪🇺 sio kwetu 😢America 🇺🇸 sio kwetu😢 UK 🇬🇧 sio kwetu😢 Australia 🇦🇺 sio kwetu 😢 Canada 🇨🇦 sio kwetu 😢 lazima tutegeneze Africa yetu sasa hivi😢 our Africa's President's they keeps send our money 💰 Africa's people's to Europe and America 🇺🇸 how many Africa's people's died every day in Africa 😢 we need change now all Africa 😢 power to all people's of Kenya now 🇰🇪🇧🇮🇨🇩🇹🇿🇷🇼🫵🏿👊🏿

  • @Muahills
    @Muahills 3 місяці тому

    Ukimwi ni ugonjwa and those who are infected please Dont spread your virus to us...or tuta ku expose...
    Wehenga GenZ quote

  • @elishakimanga
    @elishakimanga 3 місяці тому

    Maana ya yule askari kukatika mikono inamaanisha serikali ya luto wataitoa madarakani

  • @issakibwana6497
    @issakibwana6497 3 місяці тому +1

    Moja ya mabango ya wanda manaji huko Kenya. Aliandika. Hata zuwena hajabadilika ghafla ruto amebadilika ghafla Jmn 😢

  • @swalehbakari2667
    @swalehbakari2667 3 місяці тому

    Sisi atumtaki yeye iyo 2027 tuta mpeleka home 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 3 місяці тому +1

    Alifu nilicho penda hawa vijana waliandamana bila kutumia mwanvuli wa chama chochote bali waliungana kutetea maslahi mapana Ya wananchi.

  • @JosephAlakonya
    @JosephAlakonya 3 місяці тому +5

    Leo ndio FINAL MAANDAMANO

  • @mpjozzegalvanize4926
    @mpjozzegalvanize4926 3 місяці тому +1

    600ml k/sh ndio bajet ya first lady? Hii sio sawa.

  • @gasparmpoma3860
    @gasparmpoma3860 3 місяці тому +2

    Let's Wait and see Today's Demonstration. We pray for you Kenya, if this was God's plan it will be inevitable.

  • @maidimples8236
    @maidimples8236 3 місяці тому

    Tunawasikiliza vizuri but when its came Tanzania you guys do go specific on the issue

  • @abdallasaid5593
    @abdallasaid5593 3 місяці тому +1

    You can't advise Ruto ....Ruto is the one who advise his advisors.... huwezi elewa😂😂

  • @hamoudcreator6343
    @hamoudcreator6343 3 місяці тому

    Hao Wabunge Nyuma ya Ruto, Wote ni Wezi na Mafisadi...
    Eti Leo hii, Wanapiga Makofi...😢 Na juzi mwandishi aliuliza Swali wakacheka sana kwa dharau...

  • @Tweech
    @Tweech 3 місяці тому

    Imejitokesa wasi peupe. Serikali hii imepotza mueleko na mkondo wake. Ukweli ni wasi, kuna vurugu ndani. Itakuwa kosa kubwa ikiwa watakuwa uongozi bado ambo italeta utawala wa kuhujumu (REVENGE) kisasi. Liwalo ni wapende inchi hii na watoke kwa salama tuu. Hali ni Ruto must go

  • @PatricWisayi
    @PatricWisayi 3 місяці тому +1

    Mm binafsi kwa Maoni yangu Naona kama Wakenya wamewekwa kwenye mtego Kwa sababu Bunge limefungwa kwa Likizo mpk July inamaana kwa katiba yao hata kama Ruto Hatasaini Siku 14 zikipita bila Bunge kwepo Kazini huu Mswada itakuwa Sheria kwa hiyo Kuna mtego kati Rais Bunge thidi ya Wakenya

  • @HamiduMtandika-lc2tp
    @HamiduMtandika-lc2tp 3 місяці тому

    Hii issue ya mapinduz bolvia imekaaje wakuu

  • @saimongilala8938
    @saimongilala8938 3 місяці тому +3

    Yan alipo kwenda kwa mashoga kuiponda urus 🇷🇺 nilimzalau sana

  • @chapuztv3040
    @chapuztv3040 3 місяці тому +2

    Bamutowe tu because Africa ataisumbua alifurahi bakia banashabulia Congo bamutowe hatujafulahi kuungana na marikani