MOSES MAGEMBE AFUNGUKA SABABU KUU ZA KUONDOKA TAG || NIMETESEKA SANA NA NIMESEMWA MNO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 519

  • @CalistNyaku-oz1bx
    @CalistNyaku-oz1bx 17 днів тому +33

    Mchungaji hongera sana! Kimsingi ulitakiwa kutoka zamani, maana Aina ya Chakula unachopika, watu wenye upeo wa chini wa uelewa , hawawezi kukuelewa kabisa!!

    • @AngelOutfit
      @AngelOutfit 4 дні тому

      Sku Zote Kama unatembea na roho wa mung huwez kutoka sehem kwa kukurpuka lazma umtii Mungu mpaka atakapo kwambia toka hata Kama Ni sehem ya hatar vp

  • @yohanakissu4819
    @yohanakissu4819 17 днів тому +33

    Asante mzee kwa Maamuzi yako magumu bila mgongani. Kanisa ni mwili wa Kristo, fanya ulichoitiwa ili usipingane na Mungu

    • @brysonsabun4657
      @brysonsabun4657 15 днів тому

      @@yohanakissu4819 Hakuna maamuzi hapo alishapanga kujiondoa na kutengeneza drama more than 10 years ago. Mwanadamu hawezi kuchukua nafasi ya Mungu ktk kuhukumu. Tunashindwa tu kutumia logic kidogo tu na kujiuliza, protestants walioondoka kwenye madhehebu yao na kujiunga T.A.G nao walipaswa kufungua media na kuwadhihaki, kuwashutumu/kuwatukana sana wachungaji/mapadre wao kabla ya kuhama madhehebu? Yesu anatufundisha kuwa wanyenyekevu.

  • @pst.bravida534
    @pst.bravida534 3 дні тому +2

    Kanisa au TAG halitakupeleka mbinguni mchungaji,,, mtumainie mungu na ufanye kazi ulioitiwa kote ulimwenguni,,, mungu akutie nguvu🙏

  • @theresiamanyanda1125
    @theresiamanyanda1125 11 днів тому +5

    Ubarikiwe sana Baba Mchungaji Magembe utappanzisha huduma tujulishe na tutatoa sadaka ili kusaport kazi ya Mungu...kanisa ni mimi na wewe

  • @MchPeter
    @MchPeter 16 днів тому +46

    Mungu akubaliki Bishop songa mbele wachie duka rao tunaohitaji injili ihubiliwe yakweli kama umeondoka naomba mawasiliano yako mimi ni Mchungaji nipo mbangara kalibu mbagala utulee

  • @zablonlissumangu1963
    @zablonlissumangu1963 11 днів тому +2

    Hallelujah Hallelujah Hallelujah!
    Wewe ni Mtumishi wa MUNGU anenaye kweli yote kadri MUNGU alivyokuwa akikutimia isipokuwa tu kwa sasa watu wako kibiashara zaidi wamemwacha MUNGU wa kweli, Miradi SI dhambi ndani ya Kanisa isipokuwa Miradi iwe na Baraka za Bwana,
    MUNGU akupe Nuru kuu moyoni mwako akubariki kazi ya mikono Yako kiuchumi na kifamilia kwa ujumla wake!!!

  • @janegachanja4254
    @janegachanja4254 17 днів тому +25

    Mungu awe nawe.
    Umekua ukifanya kazi nzuri sana.
    Hayo maamuzi ni ya busara.

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 17 днів тому +25

    Bwana akubariki sana. Usihangaike na kanisa, Kanisa unalo mwenyewe ndani ya moyo wako . NA USUFANYE HILI JAMBO LIKAWA KAMA SIASA WEWE NI MTU WA MUNGU, NA TENA NI MWANAUME KWAHIYO UKIKUBALI WANAHABARI WAKUFANYE WEWE KICHWA CHA HABARI. LET LOVE LEAD IN THE BODY OF CHRIST.❤❤❤❤❤❤❤❤

    • @qulasulle-hp1ni
      @qulasulle-hp1ni 17 днів тому +9

      Kama mtumishi wa Mungu mwenye wito NDANI yake hawezi kunyamaza kimya wakati anaona kanisa linakufa halafu eti yeye kwa kuwa analo kanisa NDANI yake lililosalama akae kimya tu, huu siyo utumishi wa Mungu Kwa wengine bali ubinafsi.Ukisoma Ezekiel 3:16- 21 utaona Mchungaji Magembe Yuko sahihi kwa kuwa amejua uovu wa kanisa TOFAUTI na wachungaji wenzake ambao wanaona ni SHWARI NA AMANI WAKATI UKWELI NI KWAMBA KUNA GIZA YA DHAMBI NA MAUTI YA KANISA LA TAG LA SASA.
      USHAURI WANGU KWAKE NI KWAMBA AIMARISHE MISINGI YA KIMUNGU AMBAYO IPO NDANI YA BIBLIA (makatazo ya bidhaa za Yezebel- mapambo ya mwili na mavazi ya kikahaba NDANI ya kanisa)

    • @LangiMwampamba
      @LangiMwampamba 17 днів тому

      Kanisa ni mtu au jengo analo tumia kumwabudia Mungu hili kanisa linajengwa na mtu mwingine aliye juu kiroho

    • @robbysartproductioncompany5306
      @robbysartproductioncompany5306 17 днів тому +2

      @@valenakomba7686 KWAHIYO UNAMPIGA BITI MZEE SIO...HAA SEMA KWAHIYO UNAMUWEZA AU UNAJARIBISHA KAMA NGUVU ZIPO?

    • @bahatimshali2731
      @bahatimshali2731 16 днів тому

      Kanisa la Kristo haliwezi kufa wala milango ya kuzimu haiwezi kulishinda

    • @rachelmuhehe7789
      @rachelmuhehe7789 10 днів тому

      Kanisa ni mtu, ni nyumba ya ibada ya wafuasi wa Yesu Kristo, ni kundi la watu wanaomwamini Kristo Yesu. Neno Kanisa halina maana moja kama unavyodhani.​@@LangiMwampamba

  • @EnthusiasticFencers-rg2td
    @EnthusiasticFencers-rg2td 11 днів тому +4

    Mungu akutumie nguvu wewe ni mtu wa kweli wa Mungu awe nawe nakupenda sana wewe na mahubiri yako

  • @nyotaphina8167
    @nyotaphina8167 16 днів тому +16

    Ukweli ambao wenaofanya kazi ya Mungu kwa mazoea hawakubali. Hongera Mchungaji. Mungu anapaswa kuabudiwa katika roho na kweli. Huwezi kumuabudu huku umejaa maswali moyoni.

  • @MaryKibani
    @MaryKibani 13 днів тому +4

    Mzee uko sawa. Mbinguni hakuna dhehebu. Mwamuzi na Hakimu ni Kristo tu. Lazima Injili ya kale ihubiliwe. Lazima tuwasikilize Wazee wetu waliotutangulia kuwadharau ni kukosa nidhamu.Mungu akubariki baba. Tupo tunaopenda mafundisho yako tutaendelea kukuunga mkono na kukuombea.Mungu akutie nguvu.

  • @damarisemango3192
    @damarisemango3192 4 дні тому +1

    Ubarikiwe sana baba, ukweli utatuweka huru.
    Endelea kubarikiwa mpakamafuta wa Bwana MUNGU

  • @KanaufooKweka
    @KanaufooKweka 17 днів тому +12

    Baba mungu akubariki na akulinde popote utakapokua endelea na kazi ya Mungu kama alivyokuitia

  • @mwasimakenge5752
    @mwasimakenge5752 13 днів тому +2

    Baba yangu mpendwa Mzee Magembe, siku zote unaelewekka sana sana kwa kile Mungu amekiweka na ku invest ndani yako. Hongera sana kwa kuisikiliza na kuitii sauti ya Mungu. Songa mbele km Musa alivyo ambiwa asonge mbele na wana wa Israel. Siku zote mti wenye matunda ndio hupopolewa. Simama na Mungu wako tu, wanadamu ni wanadamu tu, it is better to focus with Godly calling rather than looking at human nature calling (wito wa mishahara). Yesu anarudi hakoka utavuna kwake, nasi tupo nyuma yako tukikuombea kwa saburi.
    We pray for divine protection and preservation upon your ministry, upon you and your family, May God lay His right upper hand upon what you're doing in the mighty name of Jesus Christ the Son of the living God we pray.

  • @apostelgodwin
    @apostelgodwin 15 днів тому +4

    Amen Amen twendeni mbele kwa kasi ya ajabu tukaihubiri INJILI ulimwengu kote ..Amen Amen tupo wengi sanaaa ...tumelike hili

  • @FrankMwakalinga-k9y
    @FrankMwakalinga-k9y 17 днів тому +11

    Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu
    Hio ndio injili ya paulo

  • @kalaghog3574
    @kalaghog3574 16 днів тому +5

    Ninakukubali sana Baba Mchungaji. Huo ni uamuzi mgumu sana, lakini yote haya ni kwa faida ýa mwili wa Kristo, na Mungu azidi kuķuongoza.

  • @OlgaNderingo-co5cj
    @OlgaNderingo-co5cj 10 днів тому +1

    Barikiwa sana mtumishi wa BWANA. Endelea kuihubiri kweli ya Kristo popote

  • @johansenf.mrengimrengi7050
    @johansenf.mrengimrengi7050 17 днів тому +2

    Asante Yesu! Umekuwa Mf. Mzuri hasa jinsi ulivyotoka na Mungu azidi kukutunza ktk Jina la Yesu! Nakuombea!

  • @PhilemonKageleja
    @PhilemonKageleja 16 днів тому +11

    We need persons like you father Magembe.

  • @sylvieomary7294
    @sylvieomary7294 13 днів тому +1

    Barikiwa sana Baba mtumishi natamani wachungaji wote wangekuwa namahamuzi kama haya kuliko kuvuruga nakuhachanisha watu Amen

  • @celestinabwemlanda56
    @celestinabwemlanda56 13 днів тому +1

    Ubarikiwe sana Mtumishi wa Bwana! Mimi nimekuelewa vizuri sana. Ubarikiwe sana.

  • @apostleschurchaustralia2896
    @apostleschurchaustralia2896 12 днів тому +1

    Barikiwa Muchungaji imani yetu nihiyo hiyo simama uzipinge roho chafu hata dunia itakuchukia bali Mungu atakulinda.

  • @rosemathias4288
    @rosemathias4288 13 днів тому +1

    Aminaaaa umenyooka sana mzee Wangu , mungu akubarikii sanaa mhubili kristo yesu.

  • @PiliMasibuka
    @PiliMasibuka 9 днів тому +1

    Asante Mtumishi kumekucha twendeni tukuhubili inji ya milele Kwa yesu kumenoga

  • @musajonas9397
    @musajonas9397 Годину тому

    nimekufwatilia sana mtumishi magembe isikusumbue wengi hawapendi kusema ukweli wewe endelea kusema ukweli mungu anataka tuseme ukweli uko sawa kabisa timotheo2 4:1~5 ukisoma vizuri paulo anamwambia mwanae timotheo utafika wakati watakapo yakataa maneno yenye uzima na kugeukia hadithi za uwo wewe jiepushe nao lihubiri NENO fanya kazi ya muhubiri timiliza uduma yako mimi nakubali kanisa lipo hatarini sana kama umezama kiroho utaona ila kama haujawa umezama kiroho utaona kawaida lakini hakuna ukawaida am profit mosea j msuya nachojuwa wakati wa kukaa chini ya labani umekwisha ushauri usishindae nao songa mbele fanya kazi ya muhubiri timiza uduma yako barikiwa

  • @mawazomacleanmwangobola6806
    @mawazomacleanmwangobola6806 17 днів тому +11

    Ushauri wangu kwa mzee Magembe.
    Mungu akusaidie sana,umefanya maamuzi magumu sana na mazuri.
    Namshukuru Mungu pia aliye nitoa kwenye dhehebu.Kutoka ndani ya dhehebu sio tatizo ila tatizo linaweza kuwa unatoka unaenda wapi.Ikiwa Mungu ndiye aliyekutoa huko basi najua hawezi kushindwa kwa kukupeleka.
    Dhehebu haijawahi kuwa njia ya Mungu na haitakuja kuwa njia ya Mungu,huo ni mlango wa kuzimu.Mungu hajawahi kufanya kazi na dhehebu (mfumo) ila Mungu hufanya kazi na mtu binafsi.Yesu Kristo alipoanzisha kanisa na yeye mwenyewe kuwa kichwa cha kanisa basi shetani alianzisha kitu chenye sura ya kufanana na kanisa yaani dhehebu.Hii ndio njia ambayo ingeweza kuwapoteza yamkini hata walio wateule.
    Mzee umetoka kwenye dhehebu basi nakushauri,usije ukaanzisha tena dhehebu.Lakini nina imani kuwa,Ujumbe na mjumbe wa kizazi hiki unamjua.

    • @AlbinMsechu
      @AlbinMsechu 17 днів тому

      William Marrion Branham!!! Malaki 4...Mungu amsaidie mzee wetu huyu

    • @simonmwandu2214
      @simonmwandu2214 17 днів тому

      Leta maandiko ya yesu alianzisha kanisa

    • @ramahzedon6688
      @ramahzedon6688 17 днів тому

      Akili kubwa sana hapa

    • @mozesamizi931
      @mozesamizi931 17 днів тому

      Point

    • @AlbinMsechu
      @AlbinMsechu 17 днів тому

      @@simonmwandu2214 alivowaita wale 12 ulifikiri alikua anaanzisha nin? Maana ya kanisa unajua kwanza?

  • @judithisaya016
    @judithisaya016 15 днів тому +3

    Mungu akubariki baba jipe moyo, duniani watu wa kweli wa Mungu hawakubaliki! Lakini wewe ni shujaa wa Yesu baba yangu

    • @jekoniarubeni4609
      @jekoniarubeni4609 15 днів тому

      Kwahiyo hajakubalika TAG.....HUYU ANATAKA KUANZISHA KANISA LAKE KWA SABABU ANA WAFUASI WENGI SAHIVI MTANDAONI NDIO MAANA KILA KINAZUNGUMZWA MTANDAONI

  • @theresiamanyanda1125
    @theresiamanyanda1125 11 днів тому

    Amen amen lazima injili ya kweli ihubiriwe....Baba Tupo nyuma yako...🎉

  • @brysonsabun4657
    @brysonsabun4657 15 днів тому +3

    Mungu atabakia kuwa Mungu na mwanadamu atabakia kuwa mwanadamu. Kwa Mungu hakuna mkomavu kila siku neno la Mungu ni jipya mwanadamu ataendelea kubaki kuwa mwanafunzi.

  • @JansanMokiwa
    @JansanMokiwa 17 днів тому +15

    Huyu mzee hataki mizengwe kwenye kazi😢😢😢

  • @AlpheusCharisma
    @AlpheusCharisma 6 днів тому +1

    Wengine hawawezi kujua kanisa limekufa kwasababu na wenyewe wamekufa😅😅
    Keep it up baba fundisha ukweli watuwapone

  • @DicksonJaphet-fq7ov
    @DicksonJaphet-fq7ov 16 днів тому +10

    Hongera Sana Bishop Magembe 🎉

  • @salimajosephine1673
    @salimajosephine1673 11 днів тому

    Mungu akubariki sana huu ndio muda wa injili yakisu kutumikiya Mungu kibinafsi wewe na Yesu pekeyako

  • @fredsichula7171
    @fredsichula7171 16 днів тому +2

    Sawa mzee wangu ,maneno yako yapo vizur ila mm nayaweka hazina moyoni mwangu tumuone Mungu na kusudi lake kwako ,kulijenga kanisa la uwamsho mpya .na sisi tutapona .ila mimi naami baba umetusariti .

  • @BARNABAHALAMA-l8k
    @BARNABAHALAMA-l8k 13 днів тому +2

    Amina pastor mungu akutie nguvu

  • @NuruMwambapa
    @NuruMwambapa 14 днів тому +1

    Mwe ! pole sana mzee kutumiza kusudi la Mungu inahitaji maamuzi magumu sana

  • @mbomapadon
    @mbomapadon 15 днів тому +1

    AMEN MCHUNGAJI WANGU SONGESHA INJILI MPAKA KIELEWEKE TUNA KUKUBALI SANA

  • @agnessbulegu996
    @agnessbulegu996 2 дні тому

    roho ya udini bye bye, UFALME WA MUNGU KARIBU KAZINI... Huu ni mwanzo tuuuu. Haleluya aaaa.

  • @MichaelMathew-j3f
    @MichaelMathew-j3f 16 днів тому

    Mimi kwa upande wangu sioni tatizo kwasababu, huyu Moses Magembe ni wale watu wachache wa Bwana Yesu. Huyu mchungaji huwa ni mkali sana anataka watu waingie Mbinguni leo hiihii!!! Safi sana mchungaji!! Kila andiko lenye pumzi ya Mungu lafaa kwa mafundisho na kuwaonya watu makosa yao. Makanisa ya leo ukiwaonya kwa neno la Mungu huwa wanakwazika vibaya. Mchungaji, waache, nenda zako ukafungue kanisa lingine. Twende mbele hadi tufike kwa Bwana Yesu. Amen 2Timotheo3:16. Amen.

  • @goodluckkayoka4352
    @goodluckkayoka4352 12 днів тому +3

    Barikiwa sana mzee wangu Mungu azidi kukutunza na kukuongoza. Like na sema Amen

  • @ayubutivai2656
    @ayubutivai2656 12 днів тому

    Mtumishi wa mungu simamia ukweli uli usidaiwe damu za watu mungu Mimi nimelishuhudia ni kweli kanisa la TG limekufa kiroho ni pastor Ayubu from Kenya mzaliwa wa Arusha

  • @gabrielmwashambwa5491
    @gabrielmwashambwa5491 17 днів тому +4

    mungu akujalie na akupe neema zaidi mtumishi magembe

  • @healingclinic698
    @healingclinic698 16 днів тому +13

    Safi sanaaaaaaa hivi ndivyo inavyotakiwa umeonesha ushujaaa kama wa Moses Kulola

  • @MaikoRashku
    @MaikoRashku 17 днів тому +2

    Hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah , umefungulia vijana

  • @mirindiabeli3195
    @mirindiabeli3195 12 днів тому

    Ba2 yangu ,Umefunza Watu wengi ,Kwa tendoo hii piya tume jifunza mengi ,Musalaba wa Kristo ni nzito kabisa .ila tuna shukuru Ba2 ,Mungu akuwezeshe .Tuki ngali na Haja yako baba

  • @KulwaElias-c7h
    @KulwaElias-c7h 5 днів тому

    Umeamua vizuri mtumishi,,,, Mungu yupo nawe

  • @GeofrayKijana
    @GeofrayKijana 6 днів тому

    Wakati wa Mungu ukifika hakuna uzee fanya kazi ya Mungu 🙏🙏🙏🙏 Mungu yuko na wewe

  • @amosfabian8326
    @amosfabian8326 14 днів тому

    Roho mtakatifu azidi kukuongoza kwani umeichagua njia sahihi ambayo kiukweli makanisa mengi ya kikiristo hayaifahamu bali wamebaki na mafundisho ya kidunia kupitia utawala wa Roma Injili ya kweli ihubiriwe kwa nguvu YESU Yuko mlangoni mwenye sikio na asikie 👏👏👏👏💪

  • @TussaMbilinyi
    @TussaMbilinyi 16 днів тому +7

    Limekufa kweli,kanisa la Kristo,sabb walokole saivi wanatenda dhambi kma wengine tuuu,Yan hatuna tofaut!😭

    • @niccoelias3889
      @niccoelias3889 16 днів тому +2

      Ila kanisa halijafa, maana alie ndani ya Kristo ana uzima wa milele, ametoka mautini ameingia uzimani

  • @ProsperMwakasungura
    @ProsperMwakasungura 17 днів тому +2

    Songa mbele MZEE Magembe. Siku Moja nilishangaa sana. Kuna mtumishi mmoja pale Dar. Naamini wote mtakumbuka. Alihubiri UKWELI. Kumbe ule UKWELI uliharibu masilahi ya viongozi wake. Si mnakumbuka walimtenga. Aliamua kujitenga na UKWELI na kuwaomba msamaha waovu wakamrudisha kazini. Ndio nikashtuka kuwa wengi wapo kwa masilahi yao sio MUNGU tena.

    • @AtuganileGodson
      @AtuganileGodson 16 днів тому

      Ni kweli ameamua kufanya alichoambiwa na Mungu maana Mungu amemtoa mbali.We kumbuka vita aliyokua nauo Moses Kulola enzi zake maana hakutaka watu wafanye mzaa na Mungu.

    • @JacobNebot
      @JacobNebot 13 днів тому

      Nakumbuka mzee kimaro

    • @ProsperMwakasungura
      @ProsperMwakasungura 13 днів тому

      @JacobNebot Eeeee ndugu, acha kujilipua.

  • @Sedeckia
    @Sedeckia 15 днів тому +3

    Watu wanatakiwa waelewe kati ya kufa kanisa, kanisa nitofauti na thehebu! Kanisa ni mm binafsi na moyo wangu, Mungu akutie nguvu ukweli unaumaaaaaaa sanaaaaa! Tupe dooooooooz tupone hata kama ni kali.

  • @AlfonceFilipo
    @AlfonceFilipo 11 днів тому +1

    Nakuelewa mchungaji Mungu akutunze endelea kusema kweli baba

  • @joshuamwakipesile9293
    @joshuamwakipesile9293 16 днів тому +4

    Ni sahihi mtumishi anachozungumza, nyakati hizi kanisa haliko kama miaka ya nyuma. Lakini ujumbe huu ulipaswa kuwa ndani ya kanisa ili lijitengeneze mbele za Mungu.
    Kwa mtizamo wangu ujumbe wa namna hii ni faida kwa kanisa lijitengeneze.
    Pia ni faida kwa shetani endapo atausikia ambae hamjui kristo, au mchanga katika wokovu.
    Amina.

    • @RynRobert
      @RynRobert 15 днів тому +1

      Shida ya viongozi wakuu hawataki kujihoji na kukubari matengenezo wanachofikiri wao ndo hicho hicho, kubadirika tag ni ngumu .

  • @BarakaWeeding
    @BarakaWeeding 15 днів тому

    Ubarikiwe mtumishii piga injiri mungu yupo pamoja nawewe ..

  • @pasteurstephanoakilimalifr4416
    @pasteurstephanoakilimalifr4416 12 днів тому +1

    Ubarikwe baba piya ulindwe n'a Mungu aliye kuita kwanza.

  • @sallyeliya5213
    @sallyeliya5213 15 днів тому +2

    Mzee injili uliokuwa unatoa ilikuwa ni lazima wahuni waondoke kanisani aidha wewe ujitenge na kanisa na kwakuwa nyumba za ibada leo zimejazwa na wahuni hivyo ilikuwa ni lazima wewe ujitenge,ispokuwa nikukumbushe kuwa makanisa yote sasa yamejaza wahuni kuanzia kichwa hadi kidole cha mguuni🎉🎉🎉

  • @ErickLuvanda-n6g
    @ErickLuvanda-n6g 16 днів тому +3

    Baba Mungu yupo nawe upande wako na huyo anaongea Roho mtakatifu Amen

  • @AlexNestory-h5u
    @AlexNestory-h5u 13 днів тому +1

    Baba maongozi na mafundisho yako yanatujenga endelea kusonga mbele kuhubiri injili ya kristo isiyoghushiwa maana ni kweli kanisa lina Hali mbaya, Mungu akutie nguvu

  • @YahayaMeshinya
    @YahayaMeshinya 16 днів тому +1

    Wakati wa matengenezo linahitaji hekima sana kwa wale ambao Mungu ameziamusha Roho zao kujenga mahali palipobomoka . Wawe na hekima na unyenyekevu Ili washirikiane na viongozi waliopo Ili wajenge mahali palipobomoka Ili kanisa lipate kukua sana

  • @LuganoJimmy
    @LuganoJimmy 15 днів тому

    Mungu azidi kukubariki mtumishi wa Mungu, wanaokushutumu waelewe kwamba dhambi inakemewa siyo kuipaka mafuta kwa mgongo wa chupa.

  • @lusekelokajigili4564
    @lusekelokajigili4564 11 днів тому

    Hongera sana biblia inatutaka tuende na vitu viwili Sheria zake (amri) na ushuhuda wake neno lake mwanzo hadi ufunuo) isaya 8:20. Maana hiyo ndiyo kweli yohana 17:17 zaburi119:142. Kama hatusemi sawa sawa na vitu hivi 2 kwetu hapana asubuhi (Yesu)

  • @edgarmhavile7695
    @edgarmhavile7695 11 днів тому

    Nimesilikiliza kwa Makin sana nasemaje shikamooooo mchungaji na Mungu akulinde sana

  • @innocentkituma2714
    @innocentkituma2714 15 днів тому +2

    Endelea na uamsho mtumishi wa Mungu na Mungu akusaidie

  • @binmarshal8226
    @binmarshal8226 12 днів тому

    Mzee Magembe Mungu akubariki sana. Uliyoongea yanatosha hata ukiongea sana hakuna ataye kuelewa bali.Mungu tu. Tunatamani kuongozwa ktk injili hai isiyo na human dominant power bali Roho mtakatifu. Sajili tu huduma yako ili uwe huru kumtumikia Mungu. Tupe Mawasiliano baba hicho tumekisubiri sana tumeimiss TAG ileeee! Turudini huko.

  • @timotheostanley1469
    @timotheostanley1469 17 днів тому +4

    Asnt umeeleweka baba Mungu yupo upnde wko tupo nyuma yko

  • @alphonceprot8264
    @alphonceprot8264 17 днів тому +6

    Mungu akutangulie mzee wetu,unafanya kazi uliyotumwa

  • @JoelNjole-u5u
    @JoelNjole-u5u 9 днів тому +1

    Amina pasta mungu yupamoja nawewe

  • @yohanakinyunyi
    @yohanakinyunyi День тому

    Uko vizuri mzee

  • @EmanwelinaAlistides
    @EmanwelinaAlistides 5 днів тому

    MUNGU akubariki mtumishi wake na azidi kukutumia kwa viwango vya hali ya juu ....

  • @AuleriaMwajombe
    @AuleriaMwajombe 2 дні тому

    Hongera mchungaji namngu akutangulie

  • @EricTrillz
    @EricTrillz 17 днів тому +1

    Ulikosea sana kutoka upande wa Moses kolola.Wewe mwenendo wako ulikua kama wa Moses kolola.Injili yenu ilikua ya Yesu Kristo.Mungu akusaidie

    • @bahatimshali2731
      @bahatimshali2731 16 днів тому +1

      Unawaonaje walio chini ya Moses Kulola? Watu ni watu tu, hata ukihama watu watabaki kuwa ni walewale. Kuna mambo mengine ni mtazamo na sio Biblia

    • @tuikezeezra1315
      @tuikezeezra1315 16 днів тому

      Amehamia dhehebu gani huyu!??

    • @donking-d4t
      @donking-d4t 12 днів тому

      Wanadamu wote tunatakiwa kua kama Yesu Kristo na mienendo kama Yesu Kristo na si vinginevyo,,

  • @JeftaBudaga
    @JeftaBudaga 13 днів тому

    Mtumishi wa Mungu alie hai, uko sawa Mungu akutangulie katika msimamo ktk kuusema ukweli

  • @GesongoBoaz
    @GesongoBoaz 16 днів тому +4

    Wewe ni shujaa kama akina martini ruther waliopinga maovu yaliyokuwa yakiendelea katika kanisa la Romani mungu akuongoze unapoendelea kulionya kanisa YESU AMEKARIBIA usiogope.

    • @DafrosaNyamwiza
      @DafrosaNyamwiza 11 днів тому

      Acha kuropoka tofautisha kati ya kuasi na kutoka au kujiuzuru! Kwanini wafuasi wa ruther waliitwa protestants. Baba huyu ana busara jifunze kutoka kwake

    • @audifansisafari5587
      @audifansisafari5587 9 днів тому

      Huyo martin Luther kafa Kanisa KATOLIKI Bado lipo

  • @ErastoMwita
    @ErastoMwita 17 днів тому +2

    Mtumishi siamini sana kwamba ulikotoka syo salama na sikubaliani sana kwamba ulikohamia ndiko salama kwani mtu ni mtu na watu ni watu kama tatzo ni watu hata huko wapo watakao kuudhi tafakari mungu anasema Nini kwaajili yako

  • @JoelinaPatrick
    @JoelinaPatrick 8 днів тому

    Wachungaji wa kweli wameshaisha wamebaki wachahe nao ndo kama ivo wanalazimika kuwazima Mungu yupo pamoja nanyi Ili sisi tupone Mungu akiwa pamoja nasi ni nani aliye juu yetu Mungu akutie nguvu Baba,!!

  • @yohanakinyunyi
    @yohanakinyunyi День тому

    Simama na Mungu baba hali ya kanisa ni mbovu sana tena sana

  • @YohanaRichard-e6p
    @YohanaRichard-e6p 16 днів тому +1

    Baba magembe KAZI yako ni njema Tena yesu amekuridhia kuwa mteule wake.

  • @jacquelinesangu1521
    @jacquelinesangu1521 11 днів тому +1

    Nikweli makanisa mengi yamekufa maana tumeacha kumfuata Mungu wakweli tumefuata njia zetu binafsi Mungu atunusuru sisi na vizazi vyetu,Mungu akulinde

  • @gyanglory-qr7qy
    @gyanglory-qr7qy 2 дні тому

    Hongera Sana magembe

  • @GoodluckAmos
    @GoodluckAmos 13 днів тому

    Huyu Mch Magembe ni vile nipo mkoani na mbali ningehamia kwenye kanisa lake mafundisho yake ni ya kweli na yamenyooka.Lakini roho yangu i pamoja nae tufundishe kuzikimbia dhambii Yesu yu aja 🥹.Nijarie mwisho mwema eeh Yesu wangu

  • @judithmwamakula6535
    @judithmwamakula6535 15 днів тому

    Mungu akulinde baba. Mimi binafsi ninakuelewa sana. TAG watakukumbuka.

  • @josykogei
    @josykogei 17 днів тому +5

    Amen amen twende kwa yesu

  • @jacklinemwita4173
    @jacklinemwita4173 12 днів тому

    Muombe Mungu akupe huduma yako, kanisani ni mwili ya kristo na yesu hakuleta udinivalisema yeye ni njia ya uzima na mkate wa uzima

  • @mozzkamaru
    @mozzkamaru 15 днів тому +2

    This is okay sir . Its Time to Raise an endtime army that will see True Gospel Preached to the ends of the world

  • @VailethKivike
    @VailethKivike 17 днів тому +7

    Yesu akutetee msema kweli siku zote anamaadui wengi fanya kazi mungu ulioitiwa

  • @EdwinMotto-v4g
    @EdwinMotto-v4g 17 днів тому +4

    Uko sahihi baba simama na kweli ya mungu haijalishi wangapi watapinga

  • @silvesterjoshua7679
    @silvesterjoshua7679 14 днів тому +1

    Umeandikiwa ole , piga kelele usiache ukiwaonya na kuwafundisha watu wa Mungu makosa Yao, bila shaka ..... Uvumilivu na kuyachunguza maandiko katika roho na kweli , kunaitajika , hasa neno kweli zidi kuichunguza katika maandiko nawe Mungu hatakuacha.

  • @PauloArogo
    @PauloArogo 4 дні тому

    Wewe uko sawa baba makanisa ya kipentacostal yamepoteza ile nguvu ya roho Mtakatifu iliyoshuka sikuile ya 50 ya pentecostal

  • @Precious2425
    @Precious2425 13 днів тому

    Mungu aendlee kukutunza mtumishi wewe umesimama katika kweli ya Kristo

  • @PaulJoseph-wl2si
    @PaulJoseph-wl2si 17 днів тому +1

    Fanya kazi uliyoitiwa mtumishi, hii ndiyo khari iliyopo ktk nyakati hizi. Kristo anarudi, uamsho uhubiliwe!

  • @CharlesMgunda
    @CharlesMgunda 2 дні тому

    Huyo ni mungu anaanza kuponya watu wake wawe salama kiroho zidi ya mazingira hatarishi ktk siku za mwisho.

  • @emanuelkilinga9196
    @emanuelkilinga9196 17 днів тому +10

    Wachache sana watakuelewa. Many shall be called but chosen are few

  • @adammatambo8555
    @adammatambo8555 17 днів тому +2

    Mungu akusaidie kama ni kwa kusudi lake🙏🙏

  • @NoelElikana
    @NoelElikana 8 днів тому +1

    Hujakosea yesu ni yuleyule amina

  • @suleimanmarcelo287
    @suleimanmarcelo287 17 днів тому +4

    Mcheza ngoma mzuri anjua mda wakutoka stejini

  • @JacksonMbites
    @JacksonMbites 16 днів тому +3

    UKWELI NI KWAMBA T .A. G WALIKUFA KIROHO KITAMBO WAMEBAKI NA MATAMBO MAJIVUNO NA KUJIONA WAMEFIKA WALIZIMA ROHO MTAKATIFU KITAMBO...MZEE MAGEMBE ENDELEA NA KAZI YA KULETA UAMSHO AFRICA 🌍 🌍 MASHARIKI NA AFRICA KWA UJUMLA...

  • @mangashajunior242
    @mangashajunior242 17 днів тому +10

    Hongera baba Tag ni zamani enzi ya kina askofu.kolola lazaro na kina rogathe swai....sasa hivi ni Tag maslahi.....

    • @sadocksungura
      @sadocksungura 17 днів тому

      Hongera KUTOKA T.A.G SIYO DHAMBI TANGAZA UAMSHO
      MBINGU ZIMEKUELEWA NA DUNIA IMEKUELEWA. USIOGOPE SONGA MBELE

    • @brysonsabun4657
      @brysonsabun4657 15 днів тому

      Mmh😢

  • @HeiOutfit
    @HeiOutfit 16 днів тому +1

    Mungu tusaidie sikuhizi wachungaji na maasikofu wanasutana kumbe shetani anaingiliaa kati ili kanisa lihalibike maama wakigomana watawezaje kuomba kweli ya mungu(tutaombaje Sasa)

  • @ThekraJanga
    @ThekraJanga 16 днів тому +1

    Hapo ndo kuna mda waga nawakubali ndugu zangu..wakizingua unahama kanisa 🙏